Mashallah kila siku tunafaydika kwa kuwacha sadaqatul jariya yako mwenyez mungu akusamehe makosa yako akuweke kwenye pepo ya Firdaus na cc mwenyez mungu atupe khatma njema
inshaallah!!!umeacha manufaa ',na kila tukiskia mawaidha yako allah anakuandikia mema akuepushie adhabu ya kabri na akufanyie qabri yako iwe katika kaburi za waja wema inshaallah.
Ina lillahi wa ina ilaihi rajuun,mungu amueke shekhe wetu pahali pa watu wema na inshaallah amfufue pamoja na kipenzi chetu nabii muhamad swalallahu aleihi wasalam
Maisha n mafupi, dunia hadaa, sheikh wetu Mola amrehemu. Ameondoka ametuachia faida. Na sisi Mola atujaalie tukiondoka tuwe n mwisho mwema, tuache faida kama hizi
My greatest sheikh of all time....may Allah Azzawajallah have mercy and dwell him to jannatu firdaous
Ewe ALLAH mrehem sheikh Nasoro Bachu
Nikiwa Kenya Mombasa nampenda sana shekh inshaAllah namuomba Allah akaniweke na nayeye peponi..............MashaAllah makubwa haya..........
Inshaallah Allah akupe pepo ya daraja la juu sheikh nasoro bachu Rahma ullah
Yaa Allah mrehem huyu shekh
Mashallah kila siku tunafaydika kwa kuwacha sadaqatul jariya yako mwenyez mungu akusamehe makosa yako akuweke kwenye pepo ya Firdaus na cc mwenyez mungu atupe khatma njema
Amin ya rabbi mlipe firdaus yeye na sisi kwani kwake niwanafunzi
nakupenda sana Allah akufufue pamoj na kipenz chake mjumbe wake Muhamad
(s.a.w)
M/mungu akulipe malipo kamili unayostahiki kulipwa aaa min m/mungu atujaalie nasisi mwisho mwema aaaamin
Allahummaghfirlahu warhamhu waskinhu filjannah,,, ameen yarabbal alamin
Allah amrehemu sheikh nassor
Allah akuweke katika pepo yake yenye neema
Allaahummaghfir lahuu waaskinhu fil jannah
Mashalllh mungu akufnyie wpesi na safari yko akheraa
Inalilah wa inalilah raijuni. Allah amuifathi na thiki ya kaburi na amuweke mbali na moto.
Makule Mshana amiiin
Mola amuifadhi Na amride namooto wajahannama,
Ndugu zangu tuyafanyie kazi mawaidha ya Alla kupitia kwa shekhe,N,bachu.inshaallah
inshaallah!!!umeacha manufaa ',na kila tukiskia mawaidha yako allah anakuandikia mema akuepushie adhabu ya kabri na akufanyie qabri yako iwe katika kaburi za waja wema inshaallah.
Ameen
Allahuma aaamin
allahuma Aaamiin
Haji.saidi.kayame.mwenyenzi mungu akuhifadhi pamoja na waja wema.Allah huma swali alla muhammadi waara alimuhammadi.
Allah amuhifadhi sheikh wetu,,,,, Allahumma Aamiiyn
Mwenyezi Mungu amrahamu na ampe jaza yake fi janaatul firdaus
Ina lillahi wa ina ilaihi rajuun,mungu amueke shekhe wetu pahali pa watu wema na inshaallah amfufue pamoja na kipenzi chetu nabii muhamad swalallahu aleihi wasalam
Kaburi lako liwe ni kiwanja katika viwanja vya pepon
Allahumma aamin
Inna Lillahi Wainna Ilayhi Rajiun M/mungu akulaze mahala pema peponi Ameen,
Allah akurehemu sheikh wangu
Rabbighfirhu warhamhu waskanhu fil jannah
inna lillahi wa inna ilayhi rajiun...allah amsamehe madhambi yake na amuingize katika pepo yake tukuf
Bado tutamkumbuka mwalim wet
Allah ambariki jannah
Namuomba Allah atujaalie tuwe ni wenye kusikia mema na kuyafaanya
Ameen thumaa Ameen
alahuma arhamhim waaskinhim felel jannah
Allah akulipe kheri inshaallah
Allahuma ghrifrillahu warahamuhu
Maisha n mafupi, dunia hadaa, sheikh wetu Mola amrehemu. Ameondoka ametuachia faida. Na sisi Mola atujaalie tukiondoka tuwe n mwisho mwema, tuache faida kama hizi
inshalla allah ampe pepo ya firdaus
Allahuma aaamin
ameen ameen ameen
Allah akulipe jannatul firdous
Allahumma thabbit-hu bil-qauli thaabit
Allah ampe pepo Ameen
Maashallah
Can you please upload more videos of the sheiykh?
Please can you up loud more videos
Allah amplipe
amiin
\
Twataka video nyingi za huyu ustadh....,............Twampenda saaaaaaaaana
Kweli kabisa
MashAllah
Pl
Allah amrehemu sheikh nassor