Huba Leo Alhamisi Usiku 24-10-2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 146

  • @WetchiKhams
    @WetchiKhams 2 години тому +21

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤my Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 mungu akulinde ww mtanzania mwenzangu.

    • @lovegirls3713
      @lovegirls3713 Годину тому

      Wengine tuko wageni wanani mbona haujatuombea?umetubagua sindio?

    • @SaraMAVE-jt2mx
      @SaraMAVE-jt2mx Годину тому

      Ume tupagawa tena kwa nini

    • @WetchiKhams
      @WetchiKhams Годину тому

      ​@@lovegirls3713hapana sorry kwa hilo.

  • @rosemarymaokola7239
    @rosemarymaokola7239 34 хвилини тому +3

    Chidi jmn jera imemchanganya hajitambui mwenzenu😀😀

  • @hawaabdi6209
    @hawaabdi6209 30 хвилин тому +2

    Mimi live band tu ndio inanimaliza

  • @Mjenirose
    @Mjenirose 26 хвилин тому +2

    Huyuu beshte yakee Abby aky anakaa Hamdala kiunoo😂😂😂

  • @Naju645
    @Naju645 2 години тому +2

    Imekuaje tena hubba

  • @BrycesonYoson
    @BrycesonYoson 29 хвилин тому

    Sidi bhna rahaa na pia mama mwnyewe wakipare n fulu mkoba yaani daa

  • @FaudhiaAbraham
    @FaudhiaAbraham 2 години тому +1

    Hahahahahhaah Nicole etiiii. Aaah jmn anatak kuniaribiaa uyu

  • @GakimaEstelle
    @GakimaEstelle 2 години тому +9

    nipen like zangu 🎉🎉nimekuw wakwaza wey awako tayari kuona huba tena gonga liki apa

  • @AminaMshirazi
    @AminaMshirazi 2 години тому +11

    Jb ata akiwa maskini ana fura hajal chochoye😂😂😂sasa cid kimekurambaa

  • @MussaRasul
    @MussaRasul 5 хвилин тому

    Sidi kiboko kwenye hii huba ameishi na wanaume watatu mzee kashaulo mzee mwinyi na JB bonge la bwana

  • @givenessdavid3743
    @givenessdavid3743 2 години тому +3

    Mungu anisamehe nliposema Huba ni Bora kuliko juakali

  • @saidmasika8738
    @saidmasika8738 Годину тому +3

    pati ya jb yafundisha sana wasikiwa awa jamaa awashukuru nn ao utajaza ww mtazamani😢😢 vijana nendeni mwendo wa polepole maisha tutaishi na kuyacha

  • @wangagirl3508
    @wangagirl3508 34 хвилини тому

    Huyu chidi nae😂😂😂

  • @AnnaMndeme-f6y
    @AnnaMndeme-f6y Годину тому +26

    Wengine hatuna bahati hata tukiomba like hata moja tu hatupewi jaman..khaaa😥

    • @aishabakari8040
      @aishabakari8040 51 хвилина тому +1

      Waigize wale wanaoombea dua watu ndio utapata like kibao 😂😂😂

  • @SalomeEmmanuel-n8t
    @SalomeEmmanuel-n8t 2 години тому

    Huba mumechanganya mambo🎉🎉🎉

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 45 хвилин тому

    Mbona mwatufanyia hvi hatuelewi jamani kulikoni chidi alifanyaje mpka kawa hivi😢n kina bless wako wapi 😢

  • @AminaMshirazi
    @AminaMshirazi 2 години тому +5

    Imekuaje nicol akawa ndo boss wa clab mh huu mchezo unatuvurugaa😮

  • @elikajames7273
    @elikajames7273 2 години тому +5

    Kuna watu uwaga mnanishangaza oooh Huba saiv mby bora kuisha kwahy ukikoment muhusika uwaga anaziona wabongo kazi tunayo 😃😃😃😃

    • @rahmasalim5252
      @rahmasalim5252 2 години тому

      😅😅😅😅😅😅

    • @rahmasalim5252
      @rahmasalim5252 2 години тому

      😅😅😅😅😅😅

    • @josephatbonifaceclemence1154
      @josephatbonifaceclemence1154 2 години тому +1

      Ndio wahusika hua wanaona maoni ya followers wao na kuyafanyia Kazi ingawa sio yote Bali Yale yanayofaa tu.

    • @sharifamahamudu182
      @sharifamahamudu182 Годину тому

      ​@@josephatbonifaceclemence1154so Hz atamsikia cz Hz so za yotube Hz za kwenye dstv kwahyo you sizani km wanafuatalia cz so chanel zao

    • @sharifamahamudu182
      @sharifamahamudu182 Годину тому

      Ata awaon cz Hz ni za dstv na so UA-cam so awazifuati wala weapon cz ata chanel so zao

  • @SalmaAllaalalla
    @SalmaAllaalalla 2 години тому +1

    Huba imekuaje

  • @rachaelmapenzi8747
    @rachaelmapenzi8747 57 хвилин тому

    Hivi mnaielewa hii huba ya sasa nyiyni😢 aaah nachoka kwakweli

  • @Abdulrazakjuma-lu5xb
    @Abdulrazakjuma-lu5xb 40 хвилин тому

    Monica bless wakowap

  • @fatmatraashidu8522
    @fatmatraashidu8522 2 години тому

    Hii Huba Usenge Mtupuu ishakuwa

  • @safiaimran6455
    @safiaimran6455 2 години тому +1

  • @safiaimran6455
    @safiaimran6455 2 години тому +2

    Huba ya moto ❤

  • @eveetarimo7275
    @eveetarimo7275 2 години тому +1

    ❤❤❤

  • @SelinaPius
    @SelinaPius 2 години тому +8

    Mm saut ya mbugila inanichekeshaa 😅😅😅😅 kwenye kuimba

  • @mumfaraji5034
    @mumfaraji5034 2 години тому +6

    Haha Sidi sauti alegezi tena na kurembua macho 😂😂

    • @AminaHassaniChoka
      @AminaHassaniChoka 2 години тому

      😂😂😂

    • @NeliaDaniel-h9s
      @NeliaDaniel-h9s 2 години тому

      😂😂😂😂 anaipatia wapi hiyo jeuri 😂😂😂😂😂​@@AminaHassaniChoka

    • @AliceMwacharo
      @AliceMwacharo Годину тому

      😅😅😅acha nicheke Kama mazuri vile

    • @mumfaraji5034
      @mumfaraji5034 Годину тому

      @@AliceMwacharo 😆😆😆 ingekua yaezekana kurecord,ningeigiza alivyokua akideka kwa JB kumbe hela zilimtoa macho akajipeana🤣🤣

  • @McT-m1m
    @McT-m1m 2 години тому +1

    Kwani happy chidi ni mpenzi wako tena

  • @silvanusjohn987
    @silvanusjohn987 Годину тому

    ❤❤❤❤❤

  • @monikayohana-i1r
    @monikayohana-i1r Годину тому

    Jamani mbona haielewek

  • @mwanamisitenga3455
    @mwanamisitenga3455 2 години тому

    Nice

  • @Mummyummymillions
    @Mummyummymillions 52 хвилини тому +1

    Sidi mahaba yote yameisha kwa jb ilikua pesa tu 😄 🤣 😂

    • @stellahwilfred5762
      @stellahwilfred5762 18 хвилин тому

      Ndiyo ashike adabu ya kumwingilia mtt kisa hajamzqa

  • @dorriskimathi8571
    @dorriskimathi8571 2 години тому +1

    Sidi sidi😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂

  • @geraldmwangira.4978
    @geraldmwangira.4978 2 години тому +4

    Kwan Chidi anafichwa nini? Mbn sielewi na hyu chidy mbn nikama wanamzubguka!! Kama na ww unaona hivyo tujuane🙋‍♂️.

    • @BintHassan-o1y
      @BintHassan-o1y 2 години тому +1

      😅😅😅😅tuangalie tu my wngu...ata sielewi umasikini wa ghafla

  • @Marmar-xh3rx
    @Marmar-xh3rx 2 години тому +1

    Nicole ndo hajapata anguko😂😂😂na judi

  • @AshnuriSaid
    @AshnuriSaid 2 години тому +16

    Wa6 Leo jamn nataman kuonja izo like Leo nijue ladha yake😅

  • @SimoniThomasi
    @SimoniThomasi 56 хвилин тому

    Nicole tuliza hilo komwe kila mtu atachanganikiwa kwa wakati wake huu wa kibibi

  • @manirambonajeanne3876
    @manirambonajeanne3876 2 години тому +2

    Mm nimecungulia sana Saii nimeyiangukia😂😂😂

  • @nanamohamed6525
    @nanamohamed6525 43 хвилини тому

    Sa jb na sid vipi mbona maskini tena

  • @stellahwilfred5762
    @stellahwilfred5762 19 хвилин тому

    Kwani like zinalipa😅😅😅 mbona watu huomba tuambiane basi😅😅

  • @ZoomCompany-r9i
    @ZoomCompany-r9i 2 години тому +1

    Uyu Abby kanenepa mashavu

  • @JosephNdunguru-lw7st
    @JosephNdunguru-lw7st Годину тому +1

    Hii series mbn haieleweki duuuh yaan huelewi ina anza mpya au inaisha

  • @naimahhussein8430
    @naimahhussein8430 2 години тому +9

    Naangalia tu kupoteza muda 😢
    Msimulizi wa huba na director wake wakamatwe wanyongwe hadi kufa 🥹

  • @AsilaA-s7m
    @AsilaA-s7m 52 хвилини тому

    Kwn huba tunaenda wapi mbele au tunarud nyuma au tunaotaaa ????haki sielewii nijitahidi mnoo nielewe lkn wapiiii 😂😂😂

  • @AminaSuleiman-sr4oo
    @AminaSuleiman-sr4oo 2 години тому +1

    Kwan hii huba ikoje mbon sielewi au Kuna mtu atanifahamisha jaman

    • @marryofficial9143
      @marryofficial9143 2 години тому

      Huba imeonesha baada ya miez 3 baadae mizimu ishampokonya jb mali,alaf chidy alifungwa naon siku ya mazishi alimpiga sijui paji la kibibi na akili zake kufyatuka,happy tena kufilisika mume na yy karud uswaz ndo kumsaidia mume ex chidy mambo ya zaman na abby penzi lake na nelly litakufa tuu maan mchongo wake kwa mkwee ushafel maan pesa za mizimu,uku penzi la tima na devi liko sawa na tesa nae yupo uswazi kupamban mwnyew na zile pesa zake alizokuw anaiba club

  • @jescamariki8498
    @jescamariki8498 2 години тому

    Mbn gafla imebadilikaaa

  • @Rizikialiamechannel763
    @Rizikialiamechannel763 Годину тому +5

    Tuloapa juzi hatuangalii huna tena halafu tunaisubirinkwa ham tujuane 😂😂😂😂

    • @NiyelaBolo
      @NiyelaBolo Годину тому +1

      Umenichekesha sana namimi niriapa rakini nimejikuta naiangaria😅

    • @MwajumShaban
      @MwajumShaban Годину тому +1

      😂😂😂

    • @Rizikialiamechannel763
      @Rizikialiamechannel763 Годину тому +1

      @@NiyelaBolo 😂😂😂 yaani mpka tuijue iyo ndoto anaota nani 😂😂

    • @Rizikialiamechannel763
      @Rizikialiamechannel763 Годину тому

      @@MwajumShaban 😂😂😂

  • @MosesBakari-mh5of
    @MosesBakari-mh5of 2 години тому

    🎉🎉🎉🎉🎉😊

  • @StamilyMussa
    @StamilyMussa 2 години тому +1

    Ila nikole jamn😂😂😂

  • @SalomeEmmanuel-n8t
    @SalomeEmmanuel-n8t 2 години тому

    Amina😂😂😂

  • @wingracemosha9771
    @wingracemosha9771 2 години тому +1

    😂😂😂😂niko na mashabiki wa huba sambamba ya bado hamjasema yan mpaka mseme na mtasema.. . 😂😂😂😂😂😂

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 2 години тому +1

    😂😂😂😂😂😂sidi jicho kijiji kimempend

  • @ROBINSONDAVID-n7n
    @ROBINSONDAVID-n7n 2 години тому +3

    I don't understand huba now,,,who is the boss of the kibibi's clab

  • @fatmaomary5606
    @fatmaomary5606 2 години тому

    Kwan hawa watu wanaota au mimi ndio nipo kwenye ndoto mbona sielewi 🙄🙄🙄🙄

  • @JoyceDaniel-i8c
    @JoyceDaniel-i8c 2 години тому

    Kwan kulitokeag nn

  • @AminaMaisha-vd6mf
    @AminaMaisha-vd6mf Годину тому +1

    Jaman Kwan tima nadevi walitoka kwenye huba manq sielww❤❤🇰🇪

  • @MentunaMlebo
    @MentunaMlebo 2 години тому +4

    Hi guys nimekuwa wa kwanza like jaman😂😂😂

  • @RosemaryLucas-h8j
    @RosemaryLucas-h8j 26 хвилин тому

    Cdiii 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @MariamObote
    @MariamObote Годину тому

    Jb😂😂😂😂😂

  • @Asma-i1t2b
    @Asma-i1t2b Годину тому +1

    Mume muona papaa ama nimimi tu😂😂😂😂❤❤

  • @calisteladislaus8319
    @calisteladislaus8319 2 години тому

    sasa huba tunaangalia nn

  • @HarerimanaFeza
    @HarerimanaFeza 2 години тому

    Au JB ametaka kumpima tesa kama alikua anampenda kweli na sio hela zake😂😂

  • @AminaSalehe-ou3pb
    @AminaSalehe-ou3pb 2 години тому

    Wanatuchosha tuu

  • @SuzyFidels
    @SuzyFidels 2 години тому +1

    Jaman Mimi mbona sielew imekuwaje Jb maisha yamebadilika gafla Mara happy karud kwa chidy

    • @khadijaahmad8694
      @khadijaahmad8694 Годину тому

      Baada ya miezi mitatu Jb mizimu imechukua Mali zake zotee

  • @فاطمه-ج6ن7س
    @فاطمه-ج6ن7س Годину тому

    Wow karibu papaa 😂❤

  • @NoorEesa
    @NoorEesa Годину тому

    Papaa huyooo❤❤❤❤❤

  • @magritmdgmagagt4238
    @magritmdgmagagt4238 2 години тому +1

    ❤❤❤❤❤😂😢

  • @NeemaGeorge-t1u
    @NeemaGeorge-t1u 2 години тому +1

    Yani huba mpk msem lakin mim nishaelewa mchez mzim tena ndo imekuwa tamu ambay ajaelewa anione

    • @AdveraElias
      @AdveraElias 2 години тому

      Nko hapa sijaelwa kbs 😅😅

    • @FedhaLuhunde
      @FedhaLuhunde 2 години тому

      Nipo apa

    • @NeemaGeorge-t1u
      @NeemaGeorge-t1u 2 години тому

      @@AdveraElias na umekuja kwel 😂😂

    • @AdveraElias
      @AdveraElias 36 хвилин тому

      @@NeemaGeorge-t1u 😂😂😂ay bhana

  • @annafrancis7313
    @annafrancis7313 Годину тому

    Sidi nyota yake ya kijijin

  • @shakilasharifa9
    @shakilasharifa9 2 години тому +1

    Hadi papa yupo kwenye huba😅😅😊😊

  • @MwanaHussein-s2n
    @MwanaHussein-s2n 2 години тому

    Sidi😂😂😂

  • @monarose6091
    @monarose6091 2 години тому +2

    Xx ino baa niyani ama niya tesa

  • @nautharidd
    @nautharidd Годину тому

    😂😂😂

  • @tifashadrack7135
    @tifashadrack7135 Годину тому

    Toka juma tatu sijaangalia huba mbona haielewek imekuaj tena huku jaman😢😢😢

  • @martinamahenge4476
    @martinamahenge4476 2 години тому +2

    Mbugila na sauti yake afu mkaliii😂😂😂😂

  • @fatmatraashidu8522
    @fatmatraashidu8522 2 години тому +2

    Hivi Hii Huba ni ya Kazi Ganii aiseeeh!?! Huba Ganii Hii Mbona haina Ladha Tenaa!?!

  • @kategileulimbo3114
    @kategileulimbo3114 2 години тому +2

    Huba nyinyi malizenu tu muandae tamthilia mpya ila mambo yamewashinda

  • @KhadijaTwaha-z3t
    @KhadijaTwaha-z3t Годину тому

    Chidi kujimilikisha kutoka na kutoka jelaaa apo pashakua kwakwe nyoooooo😅😅😅😅

    • @sharifamahamudu182
      @sharifamahamudu182 Годину тому

      😂😂😂😂😂mbona nyoooo

    • @KhadijaTwaha-z3t
      @KhadijaTwaha-z3t 40 хвилин тому

      @@sharifamahamudu182 huko kujiachie kweny nyumba za wanawake ndo humponza😅😅😅😅

  • @fatmatraashidu8522
    @fatmatraashidu8522 Годину тому

    Yaaniii Director wa Huba Kaishiwa Kabisaa Sielewi hata ni Ujinga Gani huu unaotuonesha, ameshindwa kumaliza huu Upuuzi!?!

  • @MariamuIbrahimu-p5g
    @MariamuIbrahimu-p5g Годину тому

    Kwanini tusiweki mgomo jamani hakuna kutuzama huba mpaka waache kutuchanganya😁😁

  • @Modesta-yn9ys
    @Modesta-yn9ys Годину тому

    Kwani Huba imekuaje Mimi sielewi niliacha kibibi akitaka kushoot chidi kwa burial ya angel naona tayari wengine kijijini jb

  • @AliceMudandi
    @AliceMudandi 2 години тому +1

    alpha na blezi wako wapi jamani ?

  • @shakilasharifa9
    @shakilasharifa9 Годину тому

    Side kapatikana leo😅😅😅

  • @PendosimonDenis
    @PendosimonDenis Годину тому

    Uyo mbaba aloongea na tesa wangap wamemuona kwe house girl

  • @rahmamaliwata
    @rahmamaliwata 2 години тому +1

    Happy alienda kwenye kaburi la nani?

  • @ggfwtgg1652
    @ggfwtgg1652 Годину тому

    Sidi mbona ulelembue macho kama ulivyo mujini😅😅😅

  • @zamzamMaulidi-q8s
    @zamzamMaulidi-q8s 2 години тому

    MACHO yangu mabovu nimemuona Eva hapo kwa bendi au kapata ruhusa kwa madam

  • @Serah-b7v
    @Serah-b7v Годину тому

    Sidi anasikia kumuzaba kibao jb😂😂😂

  • @Mariawamam
    @Mariawamam 2 години тому

    Alafu ukute hii huba wanaota alafu wataamka mbeleni😅😅

  • @FranckyjumaJuma
    @FranckyjumaJuma Годину тому

    😅😅😅😅😅Jb mnafki eti wacha weee

  • @marryofficial9143
    @marryofficial9143 Годину тому

    Sidi kujiziba data ww km ulizaliwa utajirin vilee pamban na jb wako ss ulikuw unajirembulishag kwny misosej sio😂😂

  • @EstherCharo-lc3md
    @EstherCharo-lc3md Годину тому

    Sidi na JB😂😂😂😂😂

  • @MashaurJuma
    @MashaurJuma 2 години тому +2

    𝚖𝚖 𝚠𝚊 21 𝚕𝚎𝚘 😢🎉𝚕𝚒𝚔𝚎 𝚔𝚠𝚊𝚗𝚐𝚞

  • @Awlo-g6d
    @Awlo-g6d 2 години тому

    ❤❤❤❤

  • @IbrahimShanzi
    @IbrahimShanzi 2 години тому +1

    • @Mwanabina
      @Mwanabina Годину тому

      Nicole kawa wamoto sasa

  • @monarose6091
    @monarose6091 2 години тому +1

    Xx ino baa niyani ama niya tesa