CHIMBUKO LA WACHAGA KUMBE NI NDUGU NA WAYAHUDI KABILA LA YESU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • CHIMBUKO LA WACHAGA KUMBE NI NDUGU NA WAYAHUDI KABILA LA YESU
    Bonyeza Hapa KUSUBSCRIBE www.youtube.com...

    FOLLOW TRICOD SKILLS on Instagram!
    / tricodmedia
    LIKE TRICOD SKILLS on Facebook!
    / tricod-skills-11524157...
    FOLLOW TRICOD SKILLS on Twitter!
    / tricodskills
    #makabila
    #wachaga
    #Africa

КОМЕНТАРІ • 49

  • @lulusuprime3706
    @lulusuprime3706 4 роки тому +2

    Asante kwa kutuelimisha baba

    • @mdmahammad3278
      @mdmahammad3278 Рік тому

      Asante babakwakutufundisha ili tujitambue uafrica wetu imbuko

  • @willechuwa6360
    @willechuwa6360 4 роки тому +1

    Long Live Africa 🤝

  • @madpeoplezzzz5121
    @madpeoplezzzz5121 4 роки тому +1

    Stori nzuri Ingia ndani kidogo basi tuelewe zaidi....

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  4 роки тому +1

      sawa nitaandaa simulizi hii kwa undani zaidi siku si nyingi,endelea kuwa mdau wa tricod media

    • @madpeoplezzzz5121
      @madpeoplezzzz5121 4 роки тому

      Shukran..

    • @RoseSimba-d3x
      @RoseSimba-d3x 3 місяці тому

      Tunasubiri

    • @RoseSimba-d3x
      @RoseSimba-d3x 3 місяці тому

      ​@@TricodMediatuletee kwa undani zaidi kuna watu wanabisha

  • @denismsacky3760
    @denismsacky3760 4 роки тому +2

    Ni kweli kabisa tutambulike sasa

  • @c-4839
    @c-4839 4 місяці тому +1

    Ethiopia naamini

  • @godiusmghase8146
    @godiusmghase8146 5 місяців тому

    Siii kweli KWANINI kindi Iko kibosho lakini wakindi wapi upare neno tsana ni .... Na wsana wako upare

  • @barikikimaro9165
    @barikikimaro9165 4 роки тому

    Nimefurahi kwakweli safi sanaaa

  • @wolfgangabel-tr2lc
    @wolfgangabel-tr2lc Місяць тому

    Hebu Angalia dance ya WACHAGGA na WA ISRAELI Kuna kitu Cha kufanania.

  • @rebmannminja3671
    @rebmannminja3671 4 місяці тому

    Na Wachagga pamoja na kwamba ni wakulima, huwa ni vigumu kuishi bila mifigo

  • @nereimhindi5429
    @nereimhindi5429 3 роки тому +1

    Wayahudi wa wapi tena jamanii 🤯

  • @peresamiradvocate
    @peresamiradvocate 2 роки тому

    I doubt

  • @Nderemi786
    @Nderemi786 4 роки тому +3

    Ephiopia ni kubwa sana haikuwa Ephiopia kama inabyojulikana leo

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  4 роки тому +1

      Ni kweli kabisa , kumbuka mipaka ya nchi za Afrika iliweka na wazungu 1884-85 kabla ya hapo mipaka ilikuwa ni mwisho wa himaya za kichifu au zile za kitemi za jamii fulani,vinginevyo Afrika ilikuwa ni moja na ndiyo maana unaona mwingiliano wa tamaduni na mila za kiafrika hauna tofauti kubwa baina ya jamii hizi

    • @Nderemi786
      @Nderemi786 4 роки тому

      @@TricodMedia lazima tuludi kwenye asili ndio tutatokwa na utumwa mila zetu sio mbaya au za kichwawi kama wazungu wanvyosema ni uwongo wa kutufabya tusijue sis ni kina nani na tuna nguvu gani wazungu wabaya sna historia ya kuafrika ukifuatilia ni kubwa sana na najivunia kuwa mama Afrika . Ukichunguza lingha zote za ki afrika zinaendana

  • @themask4665
    @themask4665 3 роки тому +1

    si tulishasema hesu alikua mweusi sasa mbona munatuekea picha za wazungu tena.. wachagga hoyeee

  • @hizim6699
    @hizim6699 4 роки тому

    Ora ora wera wera

  • @victormneney1307
    @victormneney1307 Рік тому +1

    kati ya watoto wa nuhu yule aliye laaniwa alimzaa MUSHI
    chagga

    • @c-4839
      @c-4839 4 місяці тому

      😂😂😂

  • @TheofridaJohn
    @TheofridaJohn 11 місяців тому

    Uru ya wakalidayo na akina Mushi kwenye biblia wanahusika nabwachagga?

  • @valentinmutsuva2772
    @valentinmutsuva2772 3 роки тому +1

    Kipindi kitamu sasa Sisi kwetu mambo ya asili wameyakata ukimuliza babu wako hivi sasa tulitokawapi na asili yetu niipi ata kujibu ashana nahayo mimi nimusomi hayo nimambo ya chetani sasa hapo ndafanyaje mimi nimu DRC kutoka Congo butembo

    • @themask4665
      @themask4665 3 роки тому

      Ahahhaha kujua asili imekua ni mambo ya shetani tena?

  • @sahirimohammed1973
    @sahirimohammed1973 2 роки тому

    umezngua

  • @GoodluckMushy
    @GoodluckMushy 3 місяці тому

    Labda inawezekana

  • @yusuphbura950
    @yusuphbura950 2 роки тому +1

    Hakuna uhusiano wowote kati ya wachaga na wayahudi wala hakuna historia yoyote inayothibitisha hilo. Kuna jina la Mushi kwenye Biblia haithibitishi huo uhusiano.

    • @gilbertmboya15
      @gilbertmboya15 Рік тому +2

      Iwepo isiwepo ila si unaisoma sho yao.. hakuna mfano...

    • @RoseSimba-d3x
      @RoseSimba-d3x 3 місяці тому +1

      Ww ujasoma bibilia , mushi yupo

    • @Ars-t2k
      @Ars-t2k 2 місяці тому

      Eleza kwa point sio kwa Hisia.

  • @peterndecho8325
    @peterndecho8325 3 роки тому

    Jee majina ya Koo za kichaga inamaana wayaudi nawo wangapi wanayatumia?

    • @simonlukiko2850
      @simonlukiko2850 3 роки тому

      HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA SWALI ZURI MANAKE KILA MSIMULIAJI ANA ONGEA LAKE MWINGINE MALA KONGO MARA OHOOO MCHANGANYIKO WA MAKABILA TUSHIKE KIPI SASA?

    • @gilbertmboya15
      @gilbertmboya15 Рік тому

      Kutoka 6:19
      Na wana wa Merari; ni Mali, na Mushi. Hizi ni jamaa za hao Walawi kulingana na vizazi vyao.
      Mali na Mushi ni Chagaa names. Kutoka hapo utakutana na Mallya, Mosha, Moshi,

  • @peterndecho8325
    @peterndecho8325 3 роки тому +1

    Kwa hiyo majina ya Koo za kichaga ni Yale Yale ya kiyaudi?

    • @nereimhindi5429
      @nereimhindi5429 3 роки тому

      Yani 😂 najiuliza hpa so mm ni myaudi

    • @chrisshonga
      @chrisshonga 3 роки тому

      @@nereimhindi5429 kuna MUSHI ambalo unalipata kwenye BIBILIA

    • @themask4665
      @themask4665 3 роки тому +3

      @@chrisshonga haya mambo ya asili kutaka kuyaelewa inabidi ufute elimu ya mzungu kwanza kisha ndio uanze kujifunza haya mambo ya asili

    • @samsonkarume7173
      @samsonkarume7173 2 роки тому

      @@nereimhindi5429 ndio

    • @Maxpaul-oi8pw
      @Maxpaul-oi8pw Рік тому

      ​@@themask4665ni kweli

  • @mwinyijumashabani8557
    @mwinyijumashabani8557 3 роки тому

    Wazaramo je?

  • @carolinesalakana1090
    @carolinesalakana1090 3 роки тому

    Duuuh ndo maaana yuda alipenda hela aise kumbe ni mchaga