#MIZENGWE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 тра 2022
  • Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
    Subscribe to our UA-cam Channel : bit.ly/itvtanzania
    Facebook : bit.ly/2KeQNl3
    Twitter : bit.ly/2XG7aii
    Instagram : bit.ly/34KItmg

КОМЕНТАРІ • 52

  • @dr_ridhiwan
    @dr_ridhiwan 2 роки тому +4

    Hii CREW mko vizur sana🔥🔥🔥

  • @HamisiMohamed-v1s
    @HamisiMohamed-v1s 28 днів тому

    Baba mkwe changamoto sana

  • @dagchalo7878
    @dagchalo7878 Рік тому

    Mkwele we kiboko kuigiza unaweza

  • @happinessandrea2118
    @happinessandrea2118 Рік тому +1

    Kwani huyu Maringo,,,ndio mshauri wa kikundi🤣🤣🤣 maan kila siku yeye ndio anatoa soln

  • @raphaelmwamakimbula9642
    @raphaelmwamakimbula9642 2 роки тому +1

    Bwege kweli huyo jamaa!

  • @abelisimoni1748
    @abelisimoni1748 2 роки тому +2

    Kweli pengo la mzee matata linaonekana hapo baba alitakiwa mzee matata

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 2 роки тому +3

    TUNZO MUNAWAPA

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 2 роки тому +2

    Daah wazazi wengine mtihani tu hata huruma hawana.

  • @noelkipera6581
    @noelkipera6581 2 роки тому

    Mmetisha Sana,,Bora kang'oa mti wa maembe,,hapo mkwere hela utaiona Sasa, baba mkwe kageuka kajimti kamaembe

  • @abeidabdullwarith8991
    @abeidabdullwarith8991 2 роки тому +3

    Baba mkwe noumaaaaah

  • @sulaymanwaziri4455
    @sulaymanwaziri4455 2 роки тому +3

    Nitakua napokea ndogondogo maana hizi nyekundu ndio zinazoleta maneno

  • @hanifajuma6121
    @hanifajuma6121 2 роки тому +1

    Baba mkwe kwa kupora hatari.

  • @samatarabdullahi8083
    @samatarabdullahi8083 2 роки тому

    Tanzania mko juu.lakini hii team kiboko

  • @lilianatieno7821
    @lilianatieno7821 2 роки тому

    Mafundisho tele.shukran

  • @ayubuakyoo9500
    @ayubuakyoo9500 2 роки тому

    Dada kabonga vzr sana, kwmb fundi anajibana bana anajenga kwake pia

  • @sadmahossein9030
    @sadmahossein9030 2 роки тому +2

    Nzuri na mafunzo mazito, kazi safi.

  • @omarbosiomar8608
    @omarbosiomar8608 2 роки тому +1

    Shukran ITV

  • @mathayowilson1525
    @mathayowilson1525 2 роки тому +1

    SIJAZKWA NA WEWE BORA NIENDE MOTONI....😀😃😄😁😁😁😆😆😅😅😅😂😂🤣

  • @cuteprincess7728
    @cuteprincess7728 2 роки тому

    wametisha hongera

  • @omarymnuru8746
    @omarymnuru8746 2 роки тому

    Ujumbe wa leo umeonesha uhalisia wa mambo ambayo sisi wanaume tunayokumbana nayo tunapokuwa katika majukumu ya kifamilia pamona ujenzi...napenda kushauri kusoma alama za nyakati kwa ndugu zetu muda mwingine mtupe muda kidogo kwa ajili ya kuvuka kikwazo kilichokuwa mbele yetu