SAKATA LA NYUMBA ZA KIKWAJUNI (MJERUMANI) LACHUKUA SURA MPYA, WANANCHI WAFUNGUKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 20

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 3 дні тому +2

    Kibaya kuwa anapewa muekezaji alau wajenge wao serekali.Hizi nyumba ni nzima hazina ukrabati tu na kwa uzoefu wetu hapa Zanzibar zitakazojengwa ndio mbovu kuliko izo tungoje .

    • @harithwhite589
      @harithwhite589 День тому

      @@AllyHamran duh, watu kama wewe mkiwa mpo watano tu basi hii Zanzibar yetu ishakuwa magofu haitaendelea milele

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips 3 дні тому +1

    Serekali kuu Inaweza ikawa na dhamira nzuri sana ila hawa wachini yake ndio Wanaoleta njaa zao na kusababisha migogoro ila nina imani na Musaraka Mkuu wa mkoa wa Hapo Ni Mchumia tumbo tu

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 3 дні тому +1

    Yaani uvunje nyumba ujenge nyumba .kubanduka plasta sio ubovu ni kukosa ukarabati tuuu.na lawama ni wao smzero maana wao ndio wamiliki na watoza kodi.

  • @KhadijaHussein-qn2ge
    @KhadijaHussein-qn2ge 3 дні тому

    Sawa si vibaya bali watarejeshewa kwenye makaazi Yao na jee watakaa wapi Kwa huo mda

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 3 дні тому +1

    Nyumba zmechakaa hamelin wacheni ubishi ama mpaka yakuporomoeni me mlaumu serikali?haifai hasira mnamfanyiya nani kaeni chini mpange muhame epusheni shari

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 3 дні тому +1

    Kubanduka plasta ndo ubovu kuchakaa rangi ndo ubovu?

    • @R10_Rajab
      @R10_Rajab 2 дні тому

      Nyumba mbovu hizo wacheni maisha ya kukariri hayo

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab 2 дні тому

    MBUNGE NA MUWAKILISHI SI WALIPITA JUZI KATI HAPO WHY WASIWASOMESHE WANANCHI WAO KUHUSU HILO SUALA AU WAMEKUJA KUTENGENEZA MAZINGIRA YA KUPATA MSOSI TU(KURA)

  • @mudymbarouk8279
    @mudymbarouk8279 3 дні тому

    Hao wanaosema kua nyumba zile ni nzima zimebanduka plasta tu munaishi kwenye nyumba zile au wanaongea tu. Kiukweli zile nyumba zimechoka kuna baadhi ya zile kwa wale wanaoishi varanda za juu huwa wanavijiwa mvua zikichanganya na wanaziba kwa saruji ili wasivujuwe

    • @saidal-hind5338
      @saidal-hind5338 3 дні тому

      Je wamepewa makazi mengine kama ww unakuja kuhamishwa hapo kwenu bila ya fidia yoyote vip emu muekezaji vip pale kwa baba yk enei kubwa si wajemge

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 3 дні тому

    Kaka usijitetee kujivuwa maneno yako hayana umoja ongeya tu kibinaadam ili muhame hamtaki kaeni humo yakiporomoka mtajifunza alafu mtalaumu serikali ilikuwa wapi

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 3 дні тому

    Si wakajenge Tunguu uko mji mpya kwanini watumie harama kivunja nyumba kisha wajenge nyumba ?/ kwanini wasitumie izo pesa za kuvunjia kuzikarabati kama zimechakaa?

  • @stellahlinusi8215
    @stellahlinusi8215 3 дні тому

    ndo wapi uko mooa gani?

  • @harithwhite589
    @harithwhite589 3 дні тому

    Aliekuwa hataki aachwe na gofu lake limporomokee afe azikwe uko,ACT bwana

  • @stellahlinusi8215
    @stellahlinusi8215 3 дні тому

    mkoa gani huo?