🚨Sakata la manula Yaibuka Mapya,Chama cha wachezaji chaingilia kati watoa tamko.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 22

  • @LinusKyando
    @LinusKyando 2 місяці тому +2

    SIMBA WANATAKA KUUA KIWANGO CHA MANULA,ASIKUBALI KWENDA KUKAA BENCHI KAMA NB:MASHABIKI HAWANA IMANI NAYE VIONGOZI MNAMNG'ANG'ANIA WA NINI WAKATI HAMKUMTAMBULISHA

  • @saidingumbo-is2oe
    @saidingumbo-is2oe 2 місяці тому

    Hiyo ndo kolos hakuna wanaemuacha vzr japo ukiwasaidia sana

  • @BarakaIlomo-re9je
    @BarakaIlomo-re9je 2 місяці тому

    Shida yetu ndogo awe muwaz kwenye zile Tano yeye alikula shingapi😅😅😅😅😅

  • @IBRAHIMKAIRA
    @IBRAHIMKAIRA 2 місяці тому

    Yule mchexaji wa yanga simba katokawp apo ubaya ubwera

  • @azizially557
    @azizially557 2 місяці тому

    Hillo duka amevuna alicho kipanda mechi na yanga katuuza mechi na wajelajela alibet msenge huyu

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 2 місяці тому

    Mbona fedha walikula wote na jaribu tena mbona yy hamjamfukuza

  • @williamwarioba6099
    @williamwarioba6099 2 місяці тому

    Kwani kuna ulazima gani kuwapa taarifa wasafi?

  • @MohammedJaizan-yf5yt
    @MohammedJaizan-yf5yt 2 місяці тому

    Aende hata Fifa malipo ya usaliti ndio hayo

  • @PeruthNehemia
    @PeruthNehemia 2 місяці тому

    Simba acheni roho ya chuki mwacheni aende huyo kipa

  • @Mufti-g3x
    @Mufti-g3x 2 місяці тому +1

    Malipo ya tamaa ndio hayo huyu jamaa aliwaumiza Wana Simba maumivu ambayo yatachukua muda kusahaulika lakini na yeye mpira utamshindi mukimpa haki Basi ata ndumba atakula vyenginevyo aache kucheza mpira

    • @TheGreat-lq9tg
      @TheGreat-lq9tg 2 місяці тому

      Mpuuzi kabisa, unaweza kutoa ushahidi wa tuhuma zako? Mambo ya hovyo, hamtaki kukiri kuwa mlikuwa hoi. Kwani hadi kipa afikiwe si kuna wachezaji 10 mbona hao hawaulizwi mchango wao kwenye kufungwa?

    • @Mufti-g3x
      @Mufti-g3x 2 місяці тому

      @@TheGreat-lq9tg nakubali Mimi mpuuzi lakini chukua maneno yangu kwa tz uyo jamaa mpira atauskia tu lakini yeye is over

    • @haidhabushiri9558
      @haidhabushiri9558 2 місяці тому

      Dah! Tz ni shida sana timu zilizofungwa 5 na yanga msimu uliopita ni nyingi but wanakuwa primitive tu

    • @yunusimchala6569
      @yunusimchala6569 2 місяці тому

      Acha ujinga mungu ana makusudi yake goli la kwanza musonda alipiga kichwa free header mbele ya che malone goli la pili ngoma,inonga, na chemalone walimuacha max anafunga goli la aziz ki alipiga tobo wachezaji 4 kabla ya goli la nne mzize alimzidi nguvu shabalala na kupiga krosi maxi akafunga la tano penalties fault ya inonga hapo manula kahusikaje nyie wasenge ngoja tufungwe tena 7 halafu tufukuze wote

    • @Mufti-g3x
      @Mufti-g3x 2 місяці тому

      @@yunusimchala6569 kwani mko wangapi mnomtetea ? Mchukueni timu yenu Basi mapumbu wakubwa nyie

  • @mkubwakasim1470
    @mkubwakasim1470 2 місяці тому

    Hii timu ya ukoo inashida

    • @Mufti-g3x
      @Mufti-g3x 2 місяці тому

      @@mkubwakasim1470 Kama vile timu yakutambulisha wachumba sio?

  • @manmanonline6394
    @manmanonline6394 2 місяці тому

    tatizo huyu jamaa ni duka na ana Tamaa sana,alaf huyu ni mchezaji wa Simba kwani halipwi mshahara?kama vp avunje mkataba tu aende

  • @MatokeoJoseph.Fonkol
    @MatokeoJoseph.Fonkol 2 місяці тому

    maisha ni fumbo kubwa mno hivi watnzania mme fumba macho kama vire hamuoni rinari tokea kwa mazuri ariyo fanya aishi manura kwenye krabu yake na midia kazi umbea na uchambuzi uchwara ira kwenye mambo ya msing no ira umbea midia zote hovyo