Tulia dada nyumbani Salima tulia ilikuwa ikipigwa hii mimi nilikuwa jama nimedata hivi, huniwezi kunieleza kitu hapo noma, daahh maisha kitu kimoja very funny machozi yananitoka
inanikumbusha mbali sana mpaka inaniliza nikikumbuka kipindi hicho pale tandale kulikuwa Na baa moja inaitwa makutano baa maeneo Yale mchiliku ulivuma sana kila juma pili mtaani pakiwa Na shuguli tu unaitwa mchiliku ya kipindi hicho nilikuwa noma yani msela ila kwa sasa apana nakumbuka sana broo endeleeni kutukumbusha
Dah yaani hatari ni mwendo wa kukumbuka mbali, nyimbo zinaleta hisia sana kaka, "tulia nyumbani dada salima wanaume wa mjini matapeli, wanaume wa mjini si wa kweli" tupia na za TOPAZ Kaka..
Sungu sungu wakulinda Baba asha" karata tatu"mfefanya kila njia ya kumuua dada yangu Amina dada mola amlaze pema peponi" kifo cha kipaka eti kipaka kafa saa ngp sio yy peke yake safari yetu wote yy ametangulia hata Babu nani nae atakwenda tu"....... muddy kwa Leo naomba uniwekee hizo Ngoma"
Nauliza walimwengu, kipi kilichowafanya, kumuua Dada yangu Amina, mola amlaze pema pema peponi, gari kubwa gari kubwa, gari kubwa tishiooo, enzi hizo wakija Moro kwa mama bashala, aka mama kiuno ama biti chande....utasikia biti chande kiboko yao.....nimekumbuka mbali sana....niliibiwa kwenye mnanda wao ahaahaaa
Unanikumbusha mbali Sana nilikua na Rafiki yangu anaitwa Iddi mganga alikua anakaa manzesa mitaa ya shidele,alipata mtoto wakike alimwita jina SALIMA Kwa sababu ya wimbo huu
Aaaah Gari kubwaaaaaaaaaa! Kuna ngoma moja walipiga Chaukucha (kama sikosei) inaitwa Dada Amina. Tutafutie tafadhali
Da yaani unanikumbusha marehemu fadha ndio nyimbo zake kitambo hicho bigup
Nishakata tamaa kuhusu kuzipata hizi nyimbo...asante sana kaka Muddyb mwanaharakati
Pamoja mwamba
umenikumbusha mbali sana, tupia na hidaya, bundi hana makosa, hisan namba 3, nyimbo zake we acha
Dah hisani was my favourite mchiriku group 😪
Tulia dada nyumbani Salima tulia ilikuwa ikipigwa hii mimi nilikuwa jama nimedata hivi, huniwezi kunieleza kitu hapo noma, daahh maisha kitu kimoja very funny machozi yananitoka
Namkumbuka sana kaka yangu nimejikuta nimemwaga machozi
inanikumbusha mbali sana mpaka inaniliza nikikumbuka kipindi hicho pale tandale kulikuwa Na baa moja inaitwa makutano baa maeneo Yale mchiliku ulivuma sana kila juma pili mtaani pakiwa Na shuguli tu unaitwa mchiliku ya kipindi hicho nilikuwa noma yani msela ila kwa sasa apana nakumbuka sana broo endeleeni kutukumbusha
Ntaweka nyegine. Ninazo nyingi sana za Tumani Jabari na Gari Kubwa.
Dah yaani hatari ni mwendo wa kukumbuka mbali, nyimbo zinaleta hisia sana kaka, "tulia nyumbani dada salima wanaume wa mjini matapeli, wanaume wa mjini si wa kweli" tupia na za TOPAZ Kaka..
Nazisaka kaka. Nikizipata sana tu!
Mkubwa Muddyb kama kuna uwezekano tutafutie wimbo wa mfungwa hachagui gereza wa marehemu Omary Omary. Tutakushukuru sana.
Sungu sungu wakulinda Baba asha" karata tatu"mfefanya kila njia ya kumuua dada yangu Amina dada mola amlaze pema peponi" kifo cha kipaka eti kipaka kafa saa ngp sio yy peke yake safari yetu wote yy ametangulia hata Babu nani nae atakwenda tu"....... muddy kwa Leo naomba uniwekee hizo Ngoma"
Nakutafutia kaka. Najua jinsi mnavyoumia!
Nauliza walimwengu, kipi kilichowafanya, kumuua Dada yangu Amina, mola amlaze pema pema peponi, gari kubwa gari kubwa, gari kubwa tishiooo, enzi hizo wakija Moro kwa mama bashala, aka mama kiuno ama biti chande....utasikia biti chande kiboko yao.....nimekumbuka mbali sana....niliibiwa kwenye mnanda wao ahaahaaa
@@TamuzaKale Kinang'ula hatari
Sarut mia kaka mkubwa siamini hii ngoma kama ningepata kuhisikia tena hinanikumbusha kitambo mpaka nalia
Kisoma Khamis poa mwamba.. Nitaweka na za Tumaini Jabari
Lete vitu kk hakuna mwengine mwenyekutambua hisia kali kama ww
Kitambo hicho nipo mdogo miaka ya 1992 nacheza nyimbo hizi napewa pipi kama unaikubali nyimbo hii gonga like yako hapa
Muziki huu ndio ulikuwa una tuliwaza hata uwe wap lazima twende
Haswaa!
Hatari Sana"
sikutegemea kama ntaska ngoma hizi kitambo
Ibra Salum babu noma
Salina salima
Kitambo sana yan duh
Asha Masudi" kipindi hicho unaishi wapi asha manzese au tandale?
Muddy hebu tuwekee naile "nakubali NakuPenda"
Duuh!....
mmetukumbusha mbali sana mwaka 1990 tandale maguniani ilikuwa noma yani daaaa ongereni sana kwa kutukumbusha
dotto khalfani na hii miziki watu tulioish tandale ndio inatuumiza Sanaa.
Bongo Tz