Eblessing-Kitambo kidogo(Little While)|Todo saldrá bien
Вставка
- Опубліковано 6 лют 2025
- WORD OF INSPIRATION:
Isaya 10:24-25
[24]Kwa hiyo Bwana, BWANA wa majeshi, asema hivi, Enyi watu wangu mkaao katika Sayuni, msiogope Ashuru, ingawa akupiga kwa fimbo, na kuliinua gongo lake juu yako, kwa namna ya Kimisri.
[25]Maana BADO KITAMBO KIDOGO TU ghadhabu itakoma, na hasira yangu itageukia kuwaangamiza.
.
.
.
Isaiah10:24-25
[24]Therefore thus saith the Lord GOD of hosts, O my people that dwellest in Zion, be not afraid of the Assyrian: he shall smite thee with a rod, and shall lift up his staff against thee, after the manner of Egypt.
[25]For yet a YET A VERY LITTLE WHILE, and the indignation shall cease, and mine anger in their destruction.
SONG LYRIC:
Intro:[Instrumental]
Oh yeah,
Todo saldra bien,(Tafsiri:(Kila kitu kitakuwa sawa)
el es mi padre,(Tafsiri:(Yeye ni Baba yangu)
Uuuuuh,ooooooh,
Yeh Yeh Yeh,
Todo saldra bien,
[VERSE :01]
𝙽𝚊𝚓𝚞𝚊 𝚞𝚗𝚊𝚢𝚘𝚔𝚊𝚞𝚕𝚒 𝚖𝚘𝚢𝚘,
(𝚠𝚊𝚝𝚊𝚔𝚊 𝚜𝚎𝚖𝚊),
𝙺𝚞𝚑𝚞𝚜𝚞 𝚑𝚊𝚕𝚒 𝚗𝚒𝚕𝚒𝚢𝚘 𝚗𝚊𝚢𝚘,
𝙽𝚒 𝚔𝚠𝚎𝚕𝚒 𝚞𝚗𝚊𝚢𝚘 𝚑𝚊𝚔𝚒 𝚖𝚘𝚢𝚘,
(𝚔𝚞𝚠𝚎𝚣𝚊 𝚜𝚎𝚖𝚊),
Kusema yote usumbukayo,
𝙴𝚎 𝚖𝚘𝚢o oh,
𝙴𝚎 𝚖𝚘𝚢o oh,
[PRE-CHORUS]
𝙽𝚒 𝚍𝚑𝚊𝚑𝚒𝚛𝚒 unaumia,
Si halisi kuhadithia,
Ni vizuri kuvumilia,
Bado Kitambo kidogo,
Bado Kitambo kidogo ooh,
[CHORUS]
Eeh moyo wangu usilalamike,
Eeh nafsi yangu Usinung'unike,
God's gonna make everything arlight,
(Arlight,Alright,)
He's gonna make everything arlight,
(Arlight,Alright,)
God's gonna make everything arlight,
(Arlight,Alright,)
Oh Yes,He's gonna make everything arlight
(Arlight,Alright,)
[VERSE:02]
Ooh my soul anakuita Baba,
Ooh my soul Mtazame Baba,
Atayafanya mabonde Kuwa tambarare,
Ataiponya mifupa iliyoumia,
(Ooh ooh)
[PRE-CHORUS]
𝙽𝚒 𝚍𝚑𝚊𝚑𝚒𝚛𝚒 unaumia,
Si halisi kuhadithia,
Ni vizuri kuvumilia,
Bado Kitambo kidogo,
Bado Kitambo kidogo ooh,
[CHORUS]
Eeh moyo wangu usilalamike,
Eeh nafsi yangu Usinung'unike,
God's gonna make everything arlight
(Arlight,Alright,)
Oh Yes,He's gonna make everything arlight
(Arlight,Alright,)
Outro:
Todo saldra bien,(Tafsiri:(Kila kitu kitakuwa sawa)
el es mi padre,(Tafsiri:(Yeye ni baba yangu)
Uuuuuh,ooooooh,
Yeh Yeh Yeh,
Todo saldra bien,
todo está bien,(Tafsiri:(Kila kitu Kiko sawa))
el es mi todo,(Tafsiri:(Yeye ni Kila kitu kwangu)
Uuuuuh,ooooooh,
Yeh Yeh Yeh,
DETAILS:
Producer:OGGY
Studio:EMG Records
FOLLOW @officialeblessing through
IG:eblssing_World
Twitter:eblessing
TikTok:eblessing
Face book:eblessing official
My favorite song❤
Can't wait 🔥🔥🔥
Umetisha 🎉si nilikwambia mim 😅u believe now , una saut jmn
🔥🔥🔥🔥
Umebarikiwa sana Bro hiii 🙌🏾🔥🔥🔥
Hongera sana ndugu yangu
🔥🔥🔥🔥🔥🔥 you're on fire brother
kazi nzuri kaka 👏🏻👊🏼🙌🏽
🔥 good Work Brother Umebarikiwa mno
Kaka uzidi kubarikiwa sana Mungu akuinue mnoo
Tishaa sanaa
💯💯 Keep it up Man
So powerful kaka 🔥🔥🔥
Nice song... see you on top
Woow 🎉🎉
🔥🔥🔥
Teacher ubarikiwe Kaz nzur wanafunz wako tumekumiss
💥💥💥
Hongera sana ndugu yangu
Hongera sana ndugu yangu