- 11
- 10 570
Official Eblessing
Приєднався 20 вер 2016
𝗕𝗲🇸 🇹 🇷 🇴 🇳 🇬 𝗮𝗻𝗱🇨 🇴 🇺 🇷 🇦 🇬 🇪 🇴 🇺 🇸
Eblessing-Wanitosha|More than enough by Esther oji(swahili version Cover).
Eblessing performs "wanitosha" (Swahili version cover) which has been altered or contorted from its original song "more than enough" composed and sang by the Nigerian gospel singer and Songwriter Esther Oji.
Jesus is more than enough ,his grace is sufficient for you, even if everything else feels like it's falling apart...its not Jesus plus something else,ONLY Jesus is ENOUGH for your heart, soul ,mind,spirit and body in this currently world. If you have him you have everything.
Lyrics
INTRO:
Aiyah liye-alelele-wanitosha,
Aliyah liye-alelele-wanitosha,
VERSE:01
Yote umetenda kwangu,
Umetenda,hakuna wa kuyatenda
Umeniokoa toka kwa adui,
Umetenda,hakuna wa kuyatenda,
Hukuniacha,haujanitupa,
Mtetezi wangu,
Mpaji wangu,
Sina mwengine bali ni wewe tu,
Yesu mokozi wangu,
CHORUS:
Mokozi wangu,Mokozi wangu,
Nini niombe kwako?,
Nini nisipate kabisa?,
Mokozi wangu,Mokozi wangu
Yesu wewe wanitosha,
Mokozi wangu,Ooh Mokozi wangu,
Nini niombe kwako?,
Nini nisipate kabisa?,
Mokozi wangu,Ooh Mokozi wangu
Yesu wewe wanitosha,
VERSE:02
Niendapo gizani,
Wewe ni nuru yangu,
Taa miguuni pangu,
Watembea nami,
Wanishika mkono
Unaonge nami,
Eee Yesu wanitosha,
Milimani upo nami,
Na jangwani upo nami,
Kwenye moto upo nami,
Upo nami kila mahali,
Now am shining in your light,
Basking in your glory ,
Glory and the lifter of ma head,
CHORUS;
Mokozi wangu,Mokozi wangu,
Nini niombe kwako?,
Kwako ninapata vyote,
Mokozi wangu,Mokozi wangu
Yesu wewe wanitosha,
Mokozi wangu,Ooh Mokozi wangu,
Nini niombe kwako?,
Kwako ninapata vyote,
Mokozi wangu,Mokozi wangu,
Yesu wewe wanitosha,
Studio:Kumenya Studio
Keys:Enoch Kibena
#morethanenough #wanitosha #cover
Jesus is more than enough ,his grace is sufficient for you, even if everything else feels like it's falling apart...its not Jesus plus something else,ONLY Jesus is ENOUGH for your heart, soul ,mind,spirit and body in this currently world. If you have him you have everything.
Lyrics
INTRO:
Aiyah liye-alelele-wanitosha,
Aliyah liye-alelele-wanitosha,
VERSE:01
Yote umetenda kwangu,
Umetenda,hakuna wa kuyatenda
Umeniokoa toka kwa adui,
Umetenda,hakuna wa kuyatenda,
Hukuniacha,haujanitupa,
Mtetezi wangu,
Mpaji wangu,
Sina mwengine bali ni wewe tu,
Yesu mokozi wangu,
CHORUS:
Mokozi wangu,Mokozi wangu,
Nini niombe kwako?,
Nini nisipate kabisa?,
Mokozi wangu,Mokozi wangu
Yesu wewe wanitosha,
Mokozi wangu,Ooh Mokozi wangu,
Nini niombe kwako?,
Nini nisipate kabisa?,
Mokozi wangu,Ooh Mokozi wangu
Yesu wewe wanitosha,
VERSE:02
Niendapo gizani,
Wewe ni nuru yangu,
Taa miguuni pangu,
Watembea nami,
Wanishika mkono
Unaonge nami,
Eee Yesu wanitosha,
Milimani upo nami,
Na jangwani upo nami,
Kwenye moto upo nami,
Upo nami kila mahali,
Now am shining in your light,
Basking in your glory ,
Glory and the lifter of ma head,
CHORUS;
Mokozi wangu,Mokozi wangu,
Nini niombe kwako?,
Kwako ninapata vyote,
Mokozi wangu,Mokozi wangu
Yesu wewe wanitosha,
Mokozi wangu,Ooh Mokozi wangu,
Nini niombe kwako?,
Kwako ninapata vyote,
Mokozi wangu,Mokozi wangu,
Yesu wewe wanitosha,
Studio:Kumenya Studio
Keys:Enoch Kibena
#morethanenough #wanitosha #cover
Переглядів: 754
Відео
Eblessing-Love Yourself( Visualizer)
Переглядів 3,6 тис.3 місяці тому
Eblessing perfoms Love Yourself song. This is an inspirational Gospel song .I have prayed that God will use this song to remind you the another phase of Love in LIFE ,that is self love .You will beggin to see your Value ,having a Self concept, and growing in Self image(Gods image) in the name of Jesus.Amen. Mathayo 22:39 [39]Na ya pili yafanana nayo, nayo ni hii, Mpende jirani yako kama nafsi y...
Eblessing-Kitambo kidogo(Little While)|Todo saldrá bien
Переглядів 41510 місяців тому
WORD OF INSPIRATION: Isaya 10:24-25 [24]Kwa hiyo Bwana, BWANA wa majeshi, asema hivi, Enyi watu wangu mkaao katika Sayuni, msiogope Ashuru, ingawa akupiga kwa fimbo, na kuliinua gongo lake juu yako, kwa namna ya Kimisri. [25]Maana BADO KITAMBO KIDOGO TU ghadhabu itakoma, na hasira yangu itageukia kuwaangamiza. . . . Isaiah10:24-25 [24]Therefore thus saith the Lord GOD of hosts, O my people that...
Eblessing-Hongera(Congratulations remake) | The official video 4k
Переглядів 3,6 тис.3 роки тому
Eblessing performs Hongera(Congratulations) remake song (In Swahili Version) which has been altered or contorted from its original song "congratulations" composed by Nigerian gospel singer, songwriter, recording and performing artist 𝐀𝐝𝐚𝐡 𝐄𝐡𝐢. Video Director:𝐗𝐜𝐞𝐞𝐣𝐚𝐲 𝐒𝐨𝐧𝐠 𝐋𝐲𝐫𝐢𝐜 𝐈𝐧𝐭𝐫𝐨-: Ooooh Mmmmmh Aaah aaah Aaah aaah Aaah aaah Aaah aaah [𝐕𝐞𝐫𝐬𝐞 01] Ninaujumbe wako, Mungu amenipatia, Ninamessage ...
Eblessing-Hongera(Congratulations)
Переглядів 4463 роки тому
This is the remix song (In Swahili Version) which has been altered or contorted from its original song "congratulations" composed by Nigerian gospel singer, songwriter, recording and performing artist 𝐀𝐝𝐚𝐡 𝐄𝐡𝐢. The Lord has done great things for us; we are glad.126:3Psalms BWANA alitutendea mambo makuu, Tulikuwa tukifurahi [Zaburi 126:3] 𝐏𝐑𝐎𝐃𝐔𝐂𝐄𝐑𝐒: ➪𝐒𝐚𝐦𝐛𝐞𝐚𝐭𝐳_21 ➪𝐕𝐢𝐞𝐦 𝐀𝐑𝐓 𝐖𝐎𝐑𝐊 𝐁𝐘: ➪𝐌𝐫 𝐌𝐚𝐫𝐭𝐢𝐧 𝐁𝐫𝐚...
Eblessing-My God by Chris Ade
Переглядів 2973 роки тому
#Multitudeofnations🌎 #Allpeople#Allnations#Allcontinents #Lightoflife💡
EBLESSING- Nguvu ndani yangu(Power in me)
Переглядів 6534 роки тому
#powerinme Basi atukuzwe yeye awezaye kufanya mambo ya ajabu mno kuliko yote tuyaombayo au tuyawazayo, kwa kadiri ya nguvu itendayo kazi ndani yetu [Efeso3:20] Each and every one of our bodies is unique.We all look different to each other, we come in different colours shapes, and sizes, different hair or eye etc, and the same applies to our insides.We have different levels of POWER that enable ...
Kuoshwa kwa Damu by Eblessing
Переглядів 2904 роки тому
Follow me Instagram@eblessingofficial Twitter@eblessing
BIGGER by Eblessing
Переглядів 1324 роки тому
If GOD is the creator of the entire universe,then it must follow that He is the Lord of the whole Universe.NO part of the world is outside of his lordship.#Godisbiggerthancovid19
Kaka unajua🙌🏾🙌🏾🔥🔥🔥
Go my brother
Blessed kaka
Hongera.... Wimbo Mzuri🔥🔥
Hii ni zaidi ya 🔥
Umeadimika Mtaalam
Nyimbo nzur sana
Brother umeua sana humu ndan God bless ue teacher
be blessed
Ni UMEMEEEEEEEE
❤❤❤ Mungu akubariki kwa kunitia moyo kupitia hii song
Kipaji unacho
Nakubali
🔥🔥🔥🔥
My favorite song❤
🔥🔥🔥
Tishaa sanaa
Hongera sana ndugu yangu
Hongera sana ndugu yangu
Hongera sana ndugu yangu
Woow 🎉🎉
kazi nzuri kaka 👏🏻👊🏼🙌🏽
Nice song... see you on top
Teacher ubarikiwe Kaz nzur wanafunz wako tumekumiss
💥💥💥
💯💯 Keep it up Man
Umetisha 🎉si nilikwambia mim 😅u believe now , una saut jmn
So powerful kaka 🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🔥🔥 you're on fire brother
Kaka uzidi kubarikiwa sana Mungu akuinue mnoo
Umebarikiwa sana Bro hiii 🙌🏾🔥🔥🔥
🔥 good Work Brother Umebarikiwa mno
Can't wait 🔥🔥🔥
Wouuuuh huu wimbo umenitia moyo AISEEE hahaha hongera na pia Bwana atakuheshimisha na wewe.🙌
🔥🔥🔥🔥🔥
Nyimbo Kali Video Kali pia...so Keep going Bro2 🔥💥
A powerful song!!! Blessings
Hongera kwa kazi nzuri, ubarikiwe 🔥🔥🔥
Kazi nzuri sana mtumishi My school mate advance
Kazi njema sanaa be blessed
Wonderful
Wow.... Such a beautiful song
Wow my friend you did it. Congratulations 🎉
❤️❤️Amen, such a blessing song. very powerful
Amen ❤️❤️🙌🙌🙏
🔥🔥🔥
It's an amazing song...aisee🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🙌🙌🙌
Be blessed 🙏🔥
Amen❤️🙏
Ur da best salute
Amen ❤️ thank you brother,glory to God🙌🙌.
Umeitendea haki