Kurasini SDA Choir - SAUTI YANGU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 191

  • @dennismaosa7051
    @dennismaosa7051 9 місяців тому +6

    Popote historia ya Kurasini itatajwa na kuandikwa Mwalimu Kebaso hutatoshea kwa sura moja tu. Makiwa. Sauti zetu zitatoweka pia siku moja tuzitumie vizuri.

  • @marvineochieng6757
    @marvineochieng6757 11 місяців тому +18

    Miaka yangu ni ya kukopeshwa naishi kwa rehema za Bwana, hakuna njema nililotenda kushinda walio lala. Very powerful stanza.

  • @alexmduma6278
    @alexmduma6278 Рік тому +11

    Mungu awabariki sana kwaya yetu ya kimataifa Kurasini SDA kwaya.Hatuwezi kunyamaza wakati Sauti zetu bado zina nguvu tupaze sauti zetu Yesu anarudi tena.

  • @elijahbfsuma5737
    @elijahbfsuma5737 18 днів тому

    Umoja katika Mungu muumbaji wetu ni ushindi kwetu

  • @faithzolar8695
    @faithzolar8695 11 місяців тому +5

    Kurasini choir hii wimbo went viral and it trended sana adi wa leo inatrend,mamillions za watu hasa wakenya waliifanyia challenges,DJs walicheza mix sana,live long SDA live long Kurasini

  • @raphaelalrajabu650
    @raphaelalrajabu650 Рік тому +7

    Mwalim kibaso 😭😭😭 Tutakukumbuka siku zote Za Maisha Yetu , Mungu Atuongoze katika Kazi Yake, kila Ni sikiapo Nyimbo izi Moyo wangu Uwa Unauma Saana 😭😭😭

  • @BlessKJoseph
    @BlessKJoseph 15 днів тому

    Mbarikiwe sana wapendwa,nami nabarikiwa mnoo na injili enu hata natamani nijiunge kwenye kundi

  • @davidcharles4348
    @davidcharles4348 Рік тому +3

    Barikiweni sana watu wa Mungu nasikia faraja sana ninaposikia maneno yenu ya matumaini. Mmekuwa mkiniamsha mara nyingi roho yangu ikikata tamaa na safari. Nimewafaham tangu mwaka 1998 nimejitahid kuwatafuta mkiwa mnauza analog cassette nawapenda na nawaombea msipungue mjipe moyo huku mliko mnatuongoa mno zaid ya mnavyofikiri. Nimejifunza uimbaji kupitia kwenu na hata sasa nafurahi kila ninaposikia sauti zenu. BARIKIWENI. ningependa mtupatie na zile za zaman kabisa zilikuwa na ujumbe sana. Tengenezeni column ya za kale

  • @StephenMagati
    @StephenMagati 19 днів тому

    True definition of sda music just simple vocabulary not very complex ones

  • @benardotuoma59
    @benardotuoma59 Рік тому +7

    Amina watumishi wimbo unanikumbusha mwaka 2008 nikiwa form 5 Minaki High School,nilipokuja kusali Kurasini SDA church,tukiwa na mwamba Mwl Kibaso, waliimba huu wimbo na Safari ya Matumaini, Kurasini SDA church choir mumeeneza injili nje na ndani ya Tanzania

  • @PR0NETMnganya
    @PR0NETMnganya 4 місяці тому +2

    Mimi siyo msabato lakini huu wimbo unajumbe mzuri sanaaaa

  • @gwalambafredy4469
    @gwalambafredy4469 Рік тому +3

    Mungu wenu mnaemtumikia hata nyamaza atawabariki,asante kwa kazi nzuri na ujumbe unaotia moyo.Kurasini will be the role modal to all Adventist choirs.

  • @faithhenry5369
    @faithhenry5369 Рік тому +22

    Maneno ya wimbo huu unapotafakari kama mwimbaji ina uzito sana hasa kwa wale wanao kasirika na kuacha uimbaji kwaajili ya viji sababu

  • @Nyanda_Jr
    @Nyanda_Jr Рік тому +3

    Waooow oooh waooow. Niliusikia huu wimbo mara ya kwanza nikiwa na miaka kama 10 hivi. Mbarikiwe sana uimbaji wenu ndio identinty yetu ya kanisa. Huu ndio uimbaji wa kisabato. Mabirikiwe sana kurasini.

  • @didanurdin7088
    @didanurdin7088 6 місяців тому +1

    Mama ang amerud mavumbin na saut yke imetoweka ctaisikia Tena 😭😭😭😭😭💔 huu Wimbo Leo umeniliza sn

  • @daudigamba8821
    @daudigamba8821 Рік тому +2

    Pongezi kwa wimbo mzuri....pongezi nyingi sana kwa mkalimani wa lugha ya alama hakika ametenda haki amewasilisha ujumbe vyema kbs kwa kuzingatia maudhui ya wimbo na melody...Mungu ambariki sana kwa kazi njema 🙏🏼🙏🏼

  • @phyniacerungu5368
    @phyniacerungu5368 Рік тому +4

    Moja ya jambo zuri sana mnafanya kurasini SDA choir ni kuzirudia nyimbo za zamani na kuziweka katika teknolojia ya kisasa....mbarikiwe sanaaaaaaa

  • @andrewonsare1861
    @andrewonsare1861 Рік тому +4

    Shukrani. Re-do all your old songs tafadhali. Very sweet😊

  • @kitandajeremie8269
    @kitandajeremie8269 Рік тому +3

    Hata huku Congo,tuna kumbuka mwalimu kibaso. Tumaini lipo,tuta onana asubui njema

  • @asamtulli4598
    @asamtulli4598 Рік тому +2

    Nawapenda sana wazee wangu kurasini mnanigusa sana

  • @wycliffeongeri6988
    @wycliffeongeri6988 Рік тому +3

    Mwalimu Kebaso and the greater Kurasini did and is doing good in service. May you be richly rewarded.

  • @wisleymarube5510
    @wisleymarube5510 Рік тому +2

    You always bless me. Mungu awaongeze miaka ingine muendelee kumtukuza Mungu

  • @LindaWilliam-g1d
    @LindaWilliam-g1d Рік тому +1

    Huu wimbo nilihold na kujika nisiusikilize ili tu uwe wimbo wangu wa kwanza wa 2024 kuusikiliza.nimebarikiwa.Mungu ainuliwe kupitia huu wimbo.lindalissi

  • @jeremiahngoka4980
    @jeremiahngoka4980 3 місяці тому

    Kibasooooo

  • @ReubenChalz
    @ReubenChalz 4 місяці тому

    Nitawezaje kunyamaza kimya sauti yangu Bado inanguvu Amina . Tuzitumie sauti zetu vizuri wakati huu tunanguvu.. mwenyezi Mungu tujalie kuyatii na kuyafwata maandiko kwani siku zetu nichache sana

  • @johnsonsebastian3248
    @johnsonsebastian3248 Рік тому +1

    nice vedio Mungu awabariki sana kurasini mwende mbali

  • @lambofgodtv8107
    @lambofgodtv8107 Рік тому +1

    Amen and Amen

  • @lilianmasawe8094
    @lilianmasawe8094 7 місяців тому +1

    Mungu awatunze watumishi wa Yesu....wimbo una ujumbe mzuri mnoo

  • @evelynemichael9949
    @evelynemichael9949 10 місяців тому

    Mungu awaongeze kipaji waimbaji tunafarijika kwa ajili yenu nawapenda sana.

  • @deoekalngurichana1149
    @deoekalngurichana1149 Рік тому

    Nawa penda saana, ahsant kwa kuuchagua wimbo huu kuufanyia video ni wimbo unao pendwa nawengi nami naupenda, mbarikiwe saana Mungu awape mwisho mzuri

  • @ElizabethMjema-fp6pm
    @ElizabethMjema-fp6pm Рік тому

    Barikiweni sana napenda nyimbo zenu Mungu azisi kuinuliwa kupitia kwaya ya kurasini

  • @alicesereti3028
    @alicesereti3028 Рік тому +2

    Happy new year wapendwa ..Amen kwa kazi mnaendelea kutukuza Mungu mbarikiwa 🙏🏼🙏🏼

  • @DeboraSimbeye-d4x
    @DeboraSimbeye-d4x 2 місяці тому

    Mungu awabariki sana kurasini

  • @mathiasmangwanya4112
    @mathiasmangwanya4112 Рік тому +1

    Mungu atukuzwe kwa wimbo huu. Hongereni sana Wana Kurasini Kwaya. Mungu awatie nguvu na kuwabariki muendelee kumtumikia

  • @buya2030
    @buya2030 Рік тому +1

    Amen🙏 Mungu awabariki kwa kazi nzuri na talanta tele! Hakika miaka yetu ni ya kukopeshwa, tunaishi tu kwa neema ya Bwana... 🙏

  • @perisbosibori2249
    @perisbosibori2249 11 місяців тому +1

    May GOD strengthen you as you continue serving our SOVEREIGN LORD in His vineyard, AMEN 🙏🙌.

  • @kitalecentralsdayouthchoir800

    Sauti yangu bado ina nguvu nina imani Mungu atatuwezesha kuendza injili hii kupitia nyimbo

  • @juliuswilliam5486
    @juliuswilliam5486 Рік тому +1

    Tunaendelea kubarikiwa kwa huduma nzur ya nyimbo zenu

  • @eliasbahati4561
    @eliasbahati4561 Рік тому

    Mbarikiwe na Mungu awatunze shambani mwake tufanye kazi yake tukiwa bado tuna uhai na nguvu

  • @JuliethMwema
    @JuliethMwema Рік тому

    Aminaa, Huyu Baba wa Mbinguni azidi kuwatumia mdumu kuwa Baraka kwa ulimwengu wote.

  • @emilymigiro2832
    @emilymigiro2832 9 місяців тому

    Am glad the choir is still strong,let not the devil shake your foundation,we are almost home...the bright shining star is ready to be seen from the east.

  • @AnneOlymer-lp3wi
    @AnneOlymer-lp3wi Рік тому +3

    You've gone through rough fiery times,but still soldering strong, never give up,for God is fighting your battles.

  • @carloslonjez975
    @carloslonjez975 Рік тому +1

    old school SDA songs hit differently...the best

  • @alphayomogunde7828
    @alphayomogunde7828 4 місяці тому

    Nivizuri kukubali kufanya vizuri kazi ya Mungu ungali na nguvu.

  • @edwardjoseph8188
    @edwardjoseph8188 4 місяці тому

    This song is always my favourite. As a musician, and a director of Choir it gives me the courage and confidence of singing and singing and singing coz.....miaka yangu ni ya kukopeshwa, naishi kwa rehema za Bwana.
    When I imagine that one day I will not be able to sing, I shade tears.
    Powerful words in this song.

  • @felixdumu254
    @felixdumu254 11 місяців тому

    God bless you for the powerful ministry all these decades.Mola azidi kuwatia nguvu na kuwaongoza kwa yote .Amen.

  • @felixboimanda1724
    @felixboimanda1724 Рік тому

    Amen, amen.
    Mungu nifundishe kuhesabu siku zangu

  • @WilliamMbasha
    @WilliamMbasha Рік тому

    Amen mbalikiwe maana mmenibariki Mimi William mbasha nimejifunza kitu kama kijana na mwimbaji

  • @JOYDANFAMILYSINGERS
    @JOYDANFAMILYSINGERS 6 місяців тому +1

    Wow amen mungu awabariki

  • @isayambetwa6564
    @isayambetwa6564 Рік тому

    Wenye wimbo wenyewe na tone Yao tamu,Mungu awabariki kurasini

  • @Drloveglobal
    @Drloveglobal 4 місяці тому

    Wimbo mtamu mno..mola awabariki Sana waimbaji wote 🙏🙏

  • @raphaelmilambo8778
    @raphaelmilambo8778 Рік тому

    Yaan nawapenda sana MUNGU aliwatumia kurasin kunafanya me kuwa msabato karibun mbeya iganzo

  • @MumbereJulson
    @MumbereJulson 3 місяці тому

    Mbarikiwe sana kwaya kwani mnatubariki piya

  • @PrincessSally777
    @PrincessSally777 8 місяців тому +1

    This is powerful……Definitely we can feel the presence of Mwalimu Kibaso..Your legacy lives forever legend…My all time choir❤️❤️

  • @antonnycastro6624
    @antonnycastro6624 6 місяців тому

    Whenever, I listen to this song I shed tears but I love it as well.

  • @massmediatz4785
    @massmediatz4785 9 місяців тому

    Amina, mbarikiwe sana. Niliwapenda tangu utoto wangu

  • @EneaMwaijulu-iq2ki
    @EneaMwaijulu-iq2ki Рік тому

    Amina, mbarikiwe waimbaji kwa wimbo mzuri,songeni mbele kwa kazi ya Bwana.

  • @JoshuaNgolela-pi3nh
    @JoshuaNgolela-pi3nh Рік тому

    Mungu awabariki mzidi kusonga Mbele daima

  • @annenyabuto6781
    @annenyabuto6781 8 місяців тому

    Aaa the mighty kurasini mwalimu apumzike palipo amani

  • @amossagara805
    @amossagara805 10 місяців тому

    Twende kazi ya Mungu wetu kwa bidii

  • @ElijahKimani987
    @ElijahKimani987 Рік тому

    Asanteni Sana waimbaji wa kurasini.. mzidi Sana katika utumishi wa BWANA

  • @VivianAtieno-k6z
    @VivianAtieno-k6z Рік тому

    Amen wachaniembe ningali hai miaka niyakukopesha❤

  • @amirijoel8976
    @amirijoel8976 Рік тому

    Mungu awabariki kwa huduma yenu mliyoitiwa

  • @NaetweFue-sx5ju
    @NaetweFue-sx5ju 4 місяці тому

    Barikiweni sana Kurasini

  • @rehemamiriam588
    @rehemamiriam588 11 місяців тому

    Mungu awabariki sana na azidi kuwaongoza❤❤

  • @501moruvideos
    @501moruvideos Рік тому +2

    God bless you all,much love all the way from Papua New Guinea

  • @benjaminwabwire8291
    @benjaminwabwire8291 6 місяців тому

    My best of all the best songs I listen

  • @kijayusuph6140
    @kijayusuph6140 Рік тому

    Mbarikiwe sana kwa ujumbe bora zaidi

  • @suzanapepeta5370
    @suzanapepeta5370 9 місяців тому

    Mbarikiwe sana watumishi wa mungu

  • @masanjangelela
    @masanjangelela Рік тому

    Mungu awabariki sana watumishi wa Bwana

  • @malimachacha4500
    @malimachacha4500 Рік тому +3

    Thanks for bringing this one in video form....i used to listen & see that one recorded during funerals of Kibaso at Rorya

  • @anitayala8092
    @anitayala8092 Рік тому +3

    Thank you for bringing this song back to life❤..God bless you

  • @furahanzigayene5489
    @furahanzigayene5489 Рік тому

    Wimbo wangu pendwa sana umenifunza kupenda kuimba na Kwa kweli 😢

  • @BeatriceMassawe-uv9qu
    @BeatriceMassawe-uv9qu Рік тому

    well done kurasini Mungu awatangulie

  • @marvineochieng1202
    @marvineochieng1202 Рік тому +1

    One of the Greatest song among songs.

  • @SaraphinaChamba
    @SaraphinaChamba Рік тому

    MUNGU azidi kuwalinda na kuwatumia katika kazi yake nawapendaaa sana wimbo mzuriiiii sana

  • @faithhenry5369
    @faithhenry5369 Рік тому

    Amina. Tutumie vipaji tulio pewa kwa wakati unaofaa tusije jutia

  • @MAGAFUSILISI
    @MAGAFUSILISI Рік тому

    Mungu awabariki sana songeni mbele

  • @elevatedministers
    @elevatedministers 24 дні тому

    Nice 👍👍👍 ❤

  • @ZipporahAbere-ls8hk
    @ZipporahAbere-ls8hk Рік тому +1

    I really love kurasini choir and songs since my childhood. May our good Lord give you grace to spread his gospel worldwide. Mimi ni kurasini damu.

  • @maigamgeta9015
    @maigamgeta9015 Рік тому +2

    Played this song all the way from home to church...it really blesses me a lot🙌

  • @zithakusaya
    @zithakusaya Рік тому

    Mungu azidi kuwabariki 👏

  • @OmarG-y8x
    @OmarG-y8x 11 місяців тому +1

    Nyimbo imenikumbusha mbali San nikiwa suji high school 🎒 2011

  • @evelyneonyango8745
    @evelyneonyango8745 8 місяців тому

    Kibaso....eiii

  • @raingodmmari5732
    @raingodmmari5732 Рік тому +1

    My all tike SDA team 💥💥🔥🔥🔥

  • @beautinekipsamey
    @beautinekipsamey Рік тому

    Mbarikiwe kwaya ya Kurasini

  • @GetrudeMgaya
    @GetrudeMgaya Рік тому

    Mbarikiwe sana kurasin nawapenda sana❤

  • @davidodindo6891
    @davidodindo6891 Рік тому

    Mbarikiwe Kurasini SDA Choir. Nabarikiwa na huduma yenu.

  • @salumjames5172
    @salumjames5172 Рік тому

    Bwana awabariki wimbo huu huwa unanibariki sana!

  • @LeahMajura
    @LeahMajura Рік тому

    Mbarikiwe Sana wapendwa katika bwana

  • @fredrickotieno3934
    @fredrickotieno3934 Рік тому

    Amina my favorite song I love it I'm blessed wapendwa

  • @chiatv119
    @chiatv119 Рік тому

    Mungu ni mwema wakati wote

  • @JescaNdatulu
    @JescaNdatulu Рік тому

    Amina Sasa kurasini

  • @joelpereiralima9193
    @joelpereiralima9193 Рік тому +5

    Feliz Ano Novo muita paz e amor lindo louvor ❤❤❤

  • @felixoumaotieno984
    @felixoumaotieno984 Рік тому +2

    This song is second to none🇰🇪

  • @butemimayunga292
    @butemimayunga292 Рік тому

    Amen. Mungu awabariki sanaaa.

  • @Bernardjulius-r2o
    @Bernardjulius-r2o Рік тому

    Barikiweni sana, kwa wimbo mzuri

  • @Zakayochota
    @Zakayochota Рік тому

    Amina sana.watuwa MUNGU

  • @eldardmk3624
    @eldardmk3624 Рік тому

    Barikiweni mnooo 🙏❤️

  • @menyalewis
    @menyalewis Рік тому +1

    This song remind me 2017 after my FAVORITE aunty died. Mathare North SDA choir waliimba on the night before burial 😢😢😢