DIAMOND kaweka rekodi mpya! KOMASAVA imeingia kwenye CHARTS za BILLBOARD nchini Marekani,haijawahi..
Вставка
- Опубліковано 8 вер 2024
- Please subscribe now on our UA-cam channel to be the first to hear about latest news and updates on Time.
#middlesimba
#WeAreEverywhere
#diamondplatnumz
Diamond hana mpinzani hapa East Africa 🇰🇪🇰🇪
Diamond platinumz you're the lion king 🦁 🤴 tunakupa pongezi sana wewe ni zaidi ya Simba 🦁 🦁
Kaka yangu diamond mungu akujaalie na akufungulie milango mingine mingi ya mafanikio ya muziki wako na kazi ya mikono yako, MUNGU NA AYASIKIE MAOMBI HAYA, AMEEENI!!
Allah akuzidishiye kila laheri inshaalah diamond akulinde nahsuda za mwanadamu akuzidishiye riski ameen
Diamond ni moja tu apa dunian na ster Africa mujivunie sana kumpata uyo jama jiji wa Tanzania🇲🇿
Diamond platnumz an artist from Burundi... i am so proud of you brother
😂no he is from Kenya 😂😂
Nan shabik ya Diamond alike ap💯🔥
🦁🦁🦁🦁 Simbaaaaaaa
Hii ni hatariii 🔥🔥🔥
Huyo ndo platinumz Simba lamasimba dangote ❤❤
#middle Simba we mkali sana
Hakuna wakumpata huyu jamaa hapa east Africa. Simba to the world 🌎.
Na bado mawe mazito yako store ❤❤❤WCB 4 life❤❤❤
Kweli kabisa
Tanzania to the world 🌎
Huyu diamond platinumz atakuja kutuua mashabiki zake kwa presha 🔥🔥🔥🔥✊🏻
Simba ni mmoja tu Hapa Africa Diamond platnumz number kwenye utawala wa simba Hakuna fala yoyote atakae tamba imeisha hio 🦁🔥🔥
I love diamond platinumz
Nipe like zangu leo wa kwanza
Jini ilo 🙏🙏🙏🙏 chris mitindo dzaina from mlabani
Wewe ni super star keep it up
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉amefanya vema sana na hii ndiyo impact ya nyimbo na aliyemshirikisha
Mashaallah diamond mwenyezi mungu akuongoze katika kazi zako❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wakwanza naombeni like
Huyo do mwamba wa East Africa mnzima Simba la mama dagote ❤❤❤
Midd simba ni mondi ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Masha Allah. Congratulation Unasitahili ❤❤❤
Middle simba am so proud of you big boss i really love your News saana ukimwongelea king platnumz
Wow Simba la masimba Dangote umepigaje hapo❤❤❤❤🎉🎉
Diamond Platnumz courage pour les œuvres déjà faites comment ça va noma sana💥💥💥💥🇨🇩
middle simba on fire tena, tulikuwa tumemiss views kama hawa kwa muda mfupi 🎉🎉
Diamond platnumz 🤴🤴
Diamond NI noma Sana anawakilisha wasanii wa tz
Middle Simba 🔥🔥🔥🔥
Simba diamond platnamz ❤🎉
simba diamond tunakupenda sana
Simba ni mmoja tu ❤❤❤
Simba tupo naee🦁🔥🔥🇹🇿
🦁 jitu bovuuuuu🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🤯🤯🤯🤯🤯🤯🤯🤯🤯🤯
Mor 💥💥💥 respect bro Damond platunmz, Nex level, we need Grammy for him he deserves it 💗💗❤❤❤
Respect sanaaa diamond platnamz ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Tanzania to the world Kenya to the world 🎉🎉
Simba🔥🔥🔥🔥💐💐💐💐
Simba to the world 🌎
🔥🔥🔥🔥🔥🔥simbaaaaaaaaaaaaaaa
Nomaa saaana Good music 🎵🎶💥🔥💯
💥🦁💥
Kilicho Baki nikutafuta sehem yakumjengea sanam
🔥🔥🔥
Diamond on top
Naomba like za simba lamasimba
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 diamond ni faya sana hakuna kama simba from Tanzania ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂
SIMBA 🔥🔥🔥🙏🙏🙏
Mhhhh🎉🎉🎉🎉
Simba n hataliiii
Asante sana Diamond Plantamz ❤❤ big up middle Simba
All the best simba
Simba la masimba dangote ni nomaa😂😂
Noma
Good job dimondplatnumz
Mtoto watandale katoboa ❤❤❤❤
Ametuheshimisha am so happy for this great news
Waiteni wale vibaka wa Efm waliosema Janson hana impact
Jonijo 🤣🤣🤣
Nguri wa bongo freva
Wow🎉🎉
Baba uyo
God bless you my brother diamond platnumz ❤❤😮😂
Wale waliosema Jason Derulo hana impact wapo wapi…??????
Huu mwaka eeeh, ndo mwaka waku force yaani mtake msitake, tuna Leta Grammy 😂
We zombie ❤❤ haujui ❤🎉
🔥🔥🔥🔥🔥❤❤❤
Sawaaa
❤❤❤ I love you u
Simba ni simba tu 🎈🎈🎈🎈
Na mim wa miamoja nipeni like zenu jmn
Huyu. Simba nimoto sana
Simba
Watanzania mujivunie kuwa na huyo mwamba Ila nyinyiwenyewe ndo munashusha hesima yake, huo niupumbavu wena na ujinga wenu 😂😂😂😂😂
Acha simba aitwe simba si kwa bure.
dieume junior
Gramy iyoo
Simbaaaa
❤
❤❤❤❤❤❤
❤❤
😮
Platinum to the World 🌎
Safi
Kila siku nasemanga simba siyo mtu waku pinganisha
Katisha
🎉
Safii😂😂😂
Huyo ndy simba bhn
Haya sava 👋😂😂🙌
Mpaka mimi niomba diamond Platinumz ange kuwa hata rdcongo
Huyo ndio mwamba Hana mpinzani
Heeee
Nguli wa Africa
Mimi Sina chakusema huyo ame maliza wasema swahiili tuna jivunia huyo mwana ume kwenye dunia
Nguli baba 😊
Grammy inakuja tz
Anatokea kenge anamshindanisha Harmonize😂
Star wa dunia 😅 6:47 😅😅