ASANTENI Sana kwa kuwa Nasi kuanzia mwanzo wa Series Hii mpaka Leo tumefika tamati,. Tulianza tukiwa wengi, Ila isivyo matarajio wapo walioshukia Njiani, na kwa uwezo wa Mungu jahazi limefika Salama Japo haikuwa Rahisi..🙏🏼.. Kuisha kwa series Hii ndo mwanzo wa Series nyengine mpya!!.. Kaeni mkao wa kula,.. Kazi mpya inakuja hivi karibuni.. Nawapenda Sanaa Team kp & Zebuu
@@Deborahdepsy-qh4rj uzuri wa KP anajuwa kuandika stori zenye mvuto ndiomaana Shey Shey tulimuona anaweza sana. Ona sasa kwenye channel yake anafanya mauza uza tu, hakuna cha maana anachokifanya.
Kp baba tulianza kukuelewa pale tu ulipoanza kutufurahisha na BINTI NYOKA🐍 mara paaaap WAMANGUSHI🙌🙌 mara paaap LAST CARD ♦️ ♠️ Mara paap BENZEMA DADA NA KAKA, SONAA❤❤ MZEE WA GIZA🌑⚫⚫ hatimae mkatuletea bonge la series funga mwaka PLAN B❤ Homgereni sanaaaa team #kp wa Aquino kwa kazi zenu nzurii mnooo 🤗🤗🤗🎉🎉🎉
Wow,nime enjoy tangu mwanzo Hadi mwisho ,nime jifunza kwamba penye nia Pana njia,na mvumilivu hula bivu,,baraka zako ni zako TU ,Mungu akisema yes,hakuna wa kupinga❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤much love team kp ,may God bless you guy's wote kwa kutufurahisha,,mwisho mwisho😘😘😘huku tuki mchunguza mama muuza asije akawa askari 😂😂😂😂❤
Finally ni ya hisia sana ila binafsi nina uwezo wa kuandika script ningekua mshaur wa kp ningejazia penye mapungufu kidogo tuu hakika ni kazi nzuri sana❤❤❤
For those who have been watching this channel from 303 level of cheating, Binti nyoka, wamamgushi, last card,Sonaa and this episode of plan B i wish you all a merry Christmas and a happy New year as we wait more episodes from this wonderful team.. To Kp and the team, may God expand your boundaries ❤
Tunawapenda❤❤ hatujutiii kuwafatilia movie ziko hot, tumeanza pamoja tumemaliza pamoja.walioondoka wakatoka kwenye kikundi achana naooooo mnatosha kufanya makubwa🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Big up brother kp wa aquino kwa kazi nzuri hatimae plan B imefikia tamati ,pongezi sana kwa kp na zebuu media kwa kuandaa movie Bora sana💪🙏,tunakaa mkao wa kula kusubir movie mpya zijazo
Kp usiwahi kata tamaa juu ya waliokuondoka,,, waja waende wakiendenga,,,, ww movie zisonge mbele kama injili but kumbuka mzee likoma asikuondoke,,, likoma mnaendana sana kp❤❤❤. Hongereni sana waigizaji wote🎉🎉🎉🎉
Tupo pamoja sana kp na zebuu geng.naamini mwisho wa plani b ndo mwanzo wa kigongo kingine mungu awajaarie uzima amani muwe pamoja na msitengane.one love🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Hapo nime jifunza kwa likoma kitu hata hauna kitu kwaajili ya rohoyako nzuri Mungu anaweza kukupa kitu ambacho haukukuwa nauwezo yakukipata likoma leo kawa nawatoto tatu ijapokuwa haku zaaa namumoja nashukuru kundi la kp na zebu kwa mafunzo asanteni jameni Mungu awa peleke mbali zaidi
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤daaaah hii move c amini kama imeishaa jaman nawapenda sana tena saaana mungu awabariki tuko hapa tukisubit move mpyaaa nawapenda saaaan mmwaaaaaaa😘😘😘😘😘😘😘😘
Tunajifunza kutokukata tamaa na rahma za Allah. Allah anabadilisha maisha kwa njia ambayo mtu hajaitegemea. Kp saluti kaka. Tutarajie chuma cha nguvu 🎉
Axanten xna Mwenyezi mungu kwa kuixaidia team kp kwa kuimalza move ye2 xalama 2xaidie afya njema tena kuingoj Move mpya hongeren xn na mung awabarki❤❤❤❤❤
Team kp na zebuu mkoo vizurii muvi ni nzuri pia inafundisha Sanaa nawapenda Sanaa na mungu awabariki sanaaa kwa hatua nyinginee zaidi yn ni tamuuu balaaa❤❤❤❤❤ mmetisha sanaaaa love team kp na zebuu
Hii ngoma nimeikubali sana, hongereni team kp na zebuu, mmeandaa bonge la muvie, Mungu awajalie kuitumia talanta hii hadi kufa kwenu. Naomba ngoma nyingine❤❤❤❤❤
ASANTENI Sana kwa kuwa Nasi kuanzia mwanzo wa Series Hii mpaka Leo tumefika tamati,.
Tulianza tukiwa wengi, Ila isivyo matarajio wapo walioshukia Njiani, na kwa uwezo wa Mungu jahazi limefika Salama Japo haikuwa Rahisi..🙏🏼..
Kuisha kwa series Hii ndo mwanzo wa Series nyengine mpya!!..
Kaeni mkao wa kula,.. Kazi mpya inakuja hivi karibuni..
Nawapenda Sanaa Team kp & Zebuu
Shei shei vp
Tunawapenda pia
Tunawapenda pia Mungu azid kuwapigania siku zote tupo pa1 nanyi hata ukiwa pekeako bado tupo pa1
KAZI NZURI BROO ALLAAH AZIDI KUKUPA UWEZO WAKUFIKIRI NAKUTOA KAZI NZIR KAMA HII
Maswal ni mengi juu. Ya. Shey shey. Hebu. Tunakuomba utujibu. 😢😢😢 fans. wako
Kazi nzuri sana, tuletee kazi nyingine nzuri zaidi🎉
Tumsapoti kp wa aquino walau afikishe followers 300k kama wazo zuri gonga like🎉🎉🎉
subscribers😂
🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢😢😢😢😢
🎉🎉🎉😢
Asante kwa kutuletea buludani yetu
We have to share the account to our friends inorder to get new subscribers. This will be our thanks to KP🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nimependa mwisho wake kazi nzuri ❤❤hongera sana
Tuliokuwa tunafatiliya hii move. Mbaka apa final tumshukur mungu kwakila jambo na tuwatakiye maisha malefu team kp wote mungu awe pamoja nanyi
Tupo apa
Tupo apa
@elizabethcatherine-jm8fr sawa usiku mwema
Mama muuza sija mupna sijapentaaa😂
Ipo sawa sana kp Niko apa 🇰🇪🇰🇪 kama wee n Mkenya 🇰🇪 achilia like tuh 🇰🇪
Ndo nmedonjo 🇰🇪
Nkoo😂😂😂😂 Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
😭😭😭Kama kwenu unatengemewa naomba ufanikiwe 🙏 🙏🙏
Amen
Amen
Amina
Amen 🙏
Amin
Kp na zebuu kutoka mwanzo ad mwisho kazi imekua nzuri sana ahsanteni kwa kutupa kazi nzuri mungu hawabariki ahsanteni
Tunashukuru pia ,, tumekuwa nanyi since mwanzo hadi mwisho ,tumefurahi na tumeenjoy , tuandalie kingine kizuri zaidi ya hiii
Hongera Sana kp waaqwino tumefraiya Kaz nimzur Sana mungu awaongize familia mzima ya kp na zb mungu awape maisha marefu mzidi kutufuraidha 🎉😂😂😂
Finnaly wale tulifwatilia toka mwanzo adi sasa ivi mwisho tujuane kwa like tukisonga🎉🎉🎉
❤Tupo pamoja
Yes very nice story giyx nimepnd xan mpk hap mwixh nimefrah pia, kaz nzur mung awabarik❤❤❤ all
Nimeanza kuzowea kuangalia filamu zenu bila SHEY SHEY ❤❤❤ Twende kazi team KP
Poa mm Sasa nishazoea😂😂
@@Deborahdepsy-qh4rj uzuri wa KP anajuwa kuandika stori zenye mvuto ndiomaana Shey Shey tulimuona anaweza sana. Ona sasa kwenye channel yake anafanya mauza uza tu, hakuna cha maana anachokifanya.
Mbona murry kazba nafas ya Sheila nae anadanya vzr
Kweli kabisa murry ameweza pongezi Kwa director
@@ayshahamisiyupo vizuri mdada
Tunawapenda sana nan̈awapea pongezi kwakàz nzuri mzee rikoma big up sana❤❤❤
Kp baba tulianza kukuelewa pale tu ulipoanza kutufurahisha na
BINTI NYOKA🐍 mara paaaap
WAMANGUSHI🙌🙌 mara paaap
LAST CARD ♦️ ♠️
Mara paap BENZEMA
DADA NA KAKA,
SONAA❤❤ MZEE WA GIZA🌑⚫⚫ hatimae mkatuletea bonge la series funga mwaka PLAN B❤
Homgereni sanaaaa team #kp wa Aquino kwa kazi zenu nzurii mnooo 🤗🤗🤗🎉🎉🎉
Umesahau Benzema, Mze wa giza, Sona nakadhalika😂
Asante kwa kunikumbusha@@jazminewatanzi1854
Na wewe umesahau kaka na dada😂
@@jazminewatanzi1854Ameandika zote ww ndio ujaona
Umesahau Mr money
Daaaah pole sana Hila kipande hiki mumefanya na me nimtoka machozi jmn haisee😢😢 nawapenda sana vipenz
Tulio kuwa nao kuanzia mwanzo Hadi mwisho ngonga like
Sheila jameniiiiii hatujamuona
Wow,nime enjoy tangu mwanzo Hadi mwisho ,nime jifunza kwamba penye nia Pana njia,na mvumilivu hula bivu,,baraka zako ni zako TU ,Mungu akisema yes,hakuna wa kupinga❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤much love team kp ,may God bless you guy's wote kwa kutufurahisha,,mwisho mwisho😘😘😘huku tuki mchunguza mama muuza asije akawa askari 😂😂😂😂❤
Wow!!imependeza saaana,,,keep it up,,,tunangoja ingine mpya
Waoooo 👌 Kila ambaye anafata iyii movie mpaka mwisho amini kwamba siku Moja uta kutana nandugu yako uliye kosana neye❤
Kp unajua sana kutengeneza movie na ulianzisha movie inamaliza daaa chukua maua yakoo🎉🎉🎉
Big up kp wa akwino unakaz nzur zenye kufunza na kuelimisha jamin nmejifunza meng sana God bless you
Akh mzee likoma utakuja kuniua siku moja😂😂😂😂 etz familiar ya bakabaka
😂😂😂😂😂 nimecheka 😂😂😂
Mimi pia😅😅😅😅😹
😂😂😂😂😂😂bakabaka wote
Huyo Mzee humu kaua
Finally ni ya hisia sana ila binafsi nina uwezo wa kuandika script ningekua mshaur wa kp ningejazia penye mapungufu kidogo tuu hakika ni kazi nzuri sana❤❤❤
For those who have been watching this channel from 303 level of cheating, Binti nyoka, wamamgushi, last card,Sonaa and this episode of plan B i wish you all a merry Christmas and a happy New year as we wait more episodes from this wonderful team.. To Kp and the team, may God expand your boundaries ❤
Amiin inshaallah ❤ nawe pia
Tunasubiri kazi nyingine kp zebuu tafadhali wapedwa wote mzee Likoma asikosekane 😂😂 maana anaogopa mzim Nawapenda wote inshallah ❤❤❤❤
hio nyengine sheyshey na diboz nasuraj kp uwarejeshe ndo movies zako zitakua nzuri zaidi❤
Ukweli
Sio lazma watu kama wamegoma utawalazmishaje jmn
Waooooh ongereni sana hii move nimeipenda sanaaa mungu awabalikiiii mfanye kazi nzuri zaidi ety
Saivi tuleteeni ya action kama wamangushi, mimi nimechoka kuangalia ❤story au muandae mbili mbili tofaut
Nimechelewa jameni 😭😭😭😭.Love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI 🇧🇮.
Yani nimecheka kwa likoma kukimbia mzimu 😂😂😂 kumbe mamake kp nawapenda sana jamani timu KP 😂😂😂
❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂 ongereni sana wapenz kwazi yen zuri sana mubarikiwe wote 😂😂😂❤❤
Mpo vizuri sana MUNGU akuze zaid vipaji vyenu muwe vizuri zaidi ya hopo
Kazi nzuri Sana KP, toute m félicitations frère. MOSES from Drc Congo ville de BENI
Tunawapenda❤❤ hatujutiii kuwafatilia movie ziko hot, tumeanza pamoja tumemaliza pamoja.walioondoka wakatoka kwenye kikundi achana naooooo mnatosha kufanya makubwa🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kbc wanajiweza🙌🙏
Umeongea kama watu mia 🎉🎉🎉🎉
Kongole Mr and Mrs kp mmeweza kula bando duh
Wa kwanzaaaaaaaa❤❤❤
Big up brother kp wa aquino kwa kazi nzuri hatimae plan B imefikia tamati ,pongezi sana kwa kp na zebuu media kwa kuandaa movie Bora sana💪🙏,tunakaa mkao wa kula kusubir movie mpya zijazo
Woiyeee ni final. Na nilikuwa naiprnda sana❤❤❤❤from kenya
Kp usiwahi kata tamaa juu ya waliokuondoka,,, waja waende wakiendenga,,,, ww movie zisonge mbele kama injili but kumbuka mzee likoma asikuondoke,,, likoma mnaendana sana kp❤❤❤. Hongereni sana waigizaji wote🎉🎉🎉🎉
Jaman mzehe likoma utanivujà mbavu eti wewe huoni huko kunamzimu huko au kwa vile ww ni mama ako😂😂😂😂😂
Big up bro sitaacha kutazama kazi yako
Maana napata furaha xana kutoka kwenye timu yako.
Ila inayofuata weka kali zaidi
Léo mcongo kakosa liké kwenye tamsiriya nzuri kama iyi🇨🇩🇨🇩♥️♥️🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Japo tulikuwa wote mwanzoni..
Wabongo mshukuruni sana mungu stivin kunumba karudi kwa mpinu mpya na yaki mataifa kp nikama kanumba proud of you my brother 💪🏾💪🏾🔥🔥🔥🔥
Nawapenda saaaana tena mimi shabiki wenu kutokea congo❤❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏💪💪💪💪🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Bonge moja la series nimekubl sana kazii nzurii kp wa Aquino na team yako
kinara kazi safi kabisa❤
❤❤❤❤❤
Nimeamini baada yadhiki nifaraja. Tunashukuru tumefika mwisho mungu atujalie sote tuone mwaka unaokuja IN SHAA'ALLAH
🎉🎉🎉🎉🎉 napenda hivoo❤❤❤,,,weuh mzee likoma ww😅😅😅❤❤
Congratulations kp nmesoma lesson kutoka qwako ulihaidi mamako maixha mazuri bila kujua n yote yakatimia i will never give up ❤
Much love from Kenya,big up team nzima mnafanya kazi safi
Waaaoooo amazing hongereni saaaana mungu atuvushe wote 2025 ili muendelee kutupa burudani
Kiukwel movie inafundisha big up sana brother
Kp hongela sana tangu mwanzo hafi leo nimekua bega kwa bega na wew, nimejifunza kitu kupitia wew, Asante sana. nipo Burundi.
kazi nzuri sana ❤❤❤pia unaelewesha sana katika story nzima kwenye movie hii that's i like it 🎉🎉🎉
Asante sana kepi kwa kazi nzuri sana unaofanya iri tupumzik bira sres
Jaman nikuwa nalia lakin likoma kanichekesha hadi nimechoka mashallah
Mni follow kwakupata movie mpya naomba support yako
❤❤❤❤maze naimeipenda tuliaza vizuri pia tukamalizia vizuri zaidi sifa kwa Mungu 🙏🙏
Machakos ukambani 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️
Ooooooh Mungu wape haki yao 🎉🎉🎉🎉
Tupo pamoja sana kp na zebuu geng.naamini mwisho wa plani b ndo mwanzo wa kigongo kingine mungu awajaarie uzima amani muwe pamoja na msitengane.one love🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Unae soma hii comment naomba mungu akupe afya na maisha marefu na familia yako #acha mungu atuvushe mwaka salama❤❤❤❤
Ameen 🙏 barikiwa mtumushi ila samahani Mungu haiandikwi kwa herufi ndogo ya mwanzo lazima iwe kubwa 🙏
Kwahio umeelewa ama bado@@happnssrichard4068
@@happnssrichard4068 nini maana ya mtumushi una rekebisha mwezio ww umekamilika ama
Amina
Hapo nime jifunza kwa likoma kitu hata hauna kitu kwaajili ya rohoyako nzuri Mungu anaweza kukupa kitu ambacho haukukuwa nauwezo yakukipata likoma leo kawa nawatoto tatu ijapokuwa haku zaaa namumoja nashukuru kundi la kp na zebu kwa mafunzo asanteni jameni Mungu awa peleke mbali zaidi
Wacha mzee likoma aongee imtoke😂😂😂😂
Yaaani ananifurahishaga huyu Mzee mbayaa😂😂😂😂😂
Aki imemtoka😂😂😂
😂😂😂😂
🎉🎉🎉
Hongera san kp move zako hakika zinafundisha sana🎉🎉❤❤❤
From Tabora nimewahi one love KP tupo kku support 🎉🥰
Mni follow kwakupata movie mpya naomba support yako
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤daaaah hii move c amini kama imeishaa jaman nawapenda sana tena saaana mungu awabariki tuko hapa tukisubit move mpyaaa nawapenda saaaan mmwaaaaaaa😘😘😘😘😘😘😘😘
Kazi nzur🎉🎉🎉 xana kaka
Mumemariza vizuri 🎉🎉🎉🎉 vizuri sana kazi nzuri bwana kp🎉🎉🎉🎉🎉 mung akuongoze kwenye kazi zako
Tulianza pamoja tunamaliza pamoja, tulianza na sheila binti kipensi tumemaliza bila binti kipensi na hii plan C imenoga bila ya wasaliti.
Na hatutak wasalit😏
Nice, congratulations 👏👏 KP chukua maua yko 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤ much love from Kenya
Kazi safii kabisa
Kwa kweliii big up sana tunafulayiii sanaaa kwa kweliii team kp Mungu awabaliki katika kazii yenu courage fron Burundii🎉🎉🎉❤❤❤
hio nyengine sheyshey na diboz nasuraj kp uwarejeshe ndo movies zako zitakua nzuri zaidi
Hakuna wa kuwarejesha bali ni hao wenyewe waamue kurudi
😂😂😂😂@@aishaomar2287
Movie bado nnzur hata bila wao achen kurudisha watu nyuma
Jomon kazi nzur sanaaa tupo pamoja I wish 1dy na mii niwe moja wenu love you so much❤❤❤❤❤
Wa kwanja jamani 😢, naomba likes zangu ❤❤❤
😂😂😂😂masha Allah imeisha vizuri sana nisiwe mnafki 🎉🎉🎉🎉yenu ayo❤❤❤❤
😢😢yaani kisai hajai shinda hata siku moja😂😂😂 wanai kubali kazi ya kp na zebuu wapee maua❤❤❤❤❤🎉
Tunajifunza kutokukata tamaa na rahma za Allah. Allah anabadilisha maisha kwa njia ambayo mtu hajaitegemea. Kp saluti kaka. Tutarajie chuma cha nguvu 🎉
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 hongeni sana jamàni.. mungu awalinde awa tunze muweze kutoa kazi nyingi na nzuri zaidi ❤❤❤❤❤
Kazi nzuri sana kp na wote mloact tunawapenda sana mukopoa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
❤❤❤🎉🎉🎉 kp munafanya kazi nzuri
Kazi nzuri sana Mungu awatangulie ktk kazi yenu niwatakie kazi njemaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Axanten xna Mwenyezi mungu kwa kuixaidia team kp kwa kuimalza move ye2 xalama 2xaidie afya njema tena kuingoj Move mpya hongeren xn na mung awabarki❤❤❤❤❤
Masha Allah Tabarak Allah,kazi nzuri na pia imekuwa na mwisho mzuri, Alhamdulillah,mwisho wa kuridhia ❤🎉Masha Allah
Am from Kenya, you guys your work was so perfect and good, I love how the family united again big ❤,its a lesson learned by many ❤❤❤❤
Duuuuuuh jamany zebuu we cute mpaka cyooo pw ❤❤❤❤ nataman one day nikuoneee
😂😂😂😂 likoma unatufuraishaga sana natamani iendelee 🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Nmeipenda sana hii movie pia nimejifunza vitu vingi,, hongera sana kp na team yako Kwa ujumla nawapenda sana❤😂
Jaman ndo mumeondoka kweliiii 😢😢😢 mungu awabariki sana much love❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
watching from Kenya, team kp tuporomoshie vitu wakuu tunawapenda sana
Mungu awabariki kwa mafundisho Mazuri. Ni shabiki wenu toka Congo diarsi ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉👍👍👍👍👍
Kp anajua kumaliziq move ongera sana kp mungu azid kuku ongozq❤❤❤
Asante kwa série iyi imenipa fuzo kubwa
Jap nimechelew, shukran team kp & zebuu kaz nzur amujawah kukosea mwaz ad mwish 🎉🎉🎉🎉
Ahsante na weee pia usijali kp changamoto ndogo ndogo lazima zitatokea
Team kp na zebuu mkoo vizurii muvi ni nzuri pia inafundisha Sanaa nawapenda Sanaa na mungu awabariki sanaaa kwa hatua nyinginee zaidi yn ni tamuuu balaaa❤❤❤❤❤ mmetisha sanaaaa love team kp na zebuu
Wllh n furahiy iy filam jinsi inaisha kazi nzuri watu wangu❤❤❤ tunaomba mtupe ingeine km hiyi❤❤
Hii ngoma nimeikubali sana, hongereni team kp na zebuu, mmeandaa bonge la muvie, Mungu awajalie kuitumia talanta hii hadi kufa kwenu. Naomba ngoma nyingine❤❤❤❤❤
Nimeipenda sana plan B tokea mwanzo hadi mwisho kazi nzuri sana 👏wenye mmefatilia gongeni likes kidogo ❤❤❤❤
Wauuuuuuuu nimefurahi sana imeisha vizuri nawapenda sana ❤❤❤❤❤❤tunaisubiri mpya Sasa usitucheleweshe kp