Benson Kessy & Annoint Amani - NATAKA KUTOKA ( official video +254 740 904450 )

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 вер 2024
  • #natakakutoka#annointamani#
    Whatsapp & call
    👇
    +254 740 904450
    Tiktok ,Benson kessy
    👇
    Instagram,Benson Kessy

КОМЕНТАРІ • 28

  • @Fredrickmuithi96
    @Fredrickmuithi96 4 дні тому +3

    Kama unaamini Mungu uinua zaidi na zaidi piga like...Wapi likes za kiongozi nchini Tz annoint Amani . nipitie team tz pia..

  • @philipndeche3564
    @philipndeche3564 3 дні тому +3

    Ben benna on the beat..wazo zuri mwanangu mfalme wa gospel utafika🔥🔥

  • @mukhwanaisaac8013
    @mukhwanaisaac8013 4 дні тому +3

    Yesu ni mkuu❤❤❤ love song

  • @annahmutune4866
    @annahmutune4866 4 дні тому +2

    Kama wewe ni mkenya nipee likes tukisonga❤❤ anointed we really love you Kwanza Ile wimbo ya ( mama) naipenda sana 🙏🙏

  • @hellenkemunto5357
    @hellenkemunto5357 4 дні тому +1

    Barikiwa sana amani kwa kumtambua YESU

  • @fearful254
    @fearful254 2 дні тому +1

    Ujumbe nzuri kaka zangu

  • @mrnickmusician7139
    @mrnickmusician7139 2 дні тому +1

    Ubarikiwe sana mtumishi 🇰🇪

  • @rened7286
    @rened7286 4 дні тому +7

    Mtu amesuka, amevaa hereni, crazy jeans alafu ananifikishia neno la Mungu mimi...Hapana kwakweli

  • @NechLove
    @NechLove 4 дні тому

    Kumbe unaimbia watu hembu ambia Mungu wako nini unatakae

  • @patiencehumbled3519
    @patiencehumbled3519 3 дні тому

    Nikimwangalia Benny uwanalia sanaa,Ben Rudi msabalani

  • @WafulaMasinde
    @WafulaMasinde День тому

    From Kenya....nice job and be blessed

  • @_Esounds
    @_Esounds 4 дні тому +2

    Wewe Ben my friend alie kushauri hiyo kufanya hvyo hana roho mtakatifu kabisa hvi sisi ndo barua kwa wasio mwamini mungu tena wewe ndo unafanya hvyo kweli🤔🤔😪😪 alfu unataka utoke uende wapi wimbo hauna utukufu kbisa na ww anoint mmmh

    • @BENSONKESI-jv5fj
      @BENSONKESI-jv5fj 4 дні тому +2

      😂😂😂😅punguza plesha elewa content ya wimbo kwanza kaka

  • @michaelomondi325
    @michaelomondi325 4 дні тому +2

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @WilliamJoel-kz2jv
    @WilliamJoel-kz2jv 4 дні тому

    Kaz nzur kaka😊❤🎉

  • @user-qs1pz4fr5o
    @user-qs1pz4fr5o 4 дні тому +2

    Sasa wimbo mzuri ila Sasa heleni Tena mara kusuka nywele jamani injili inagoma mbona annoint huyo vipi na wewe unaona ni mtumishi mwenzio kweli basi na wewe umefika pabaya Kaka

    • @SalamaSalama-c1q
      @SalamaSalama-c1q 4 дні тому

      Yeye amefanya hivo kulengana na hiyo nyimbo venye inamaanisha hebu isikize tena mwanzo

  • @josemangula8806
    @josemangula8806 3 дні тому

    Wimbo mbaya sana

  • @MaryZainabu
    @MaryZainabu 4 дні тому

    Amen ❤❤❤❤

  • @MichaelKambao-rs3ck
    @MichaelKambao-rs3ck 4 дні тому

    😂😂😂😂nataka nitoke uende wapi jamani

  • @ElsiyCheptarus
    @ElsiyCheptarus 4 дні тому

    Moto kama pasi,,more anointing guys

  • @happinessjuma177
    @happinessjuma177 День тому

    Mbona huyo mwingine kama shoga kwanini avae heleni na asuke halafu anatangaza neno la Mungu atakuharibia Annoint tunakukubali sana

  • @jaydenbellaofficial254
    @jaydenbellaofficial254 4 дні тому

    Noma sana❤❤❤

  • @aswa3338
    @aswa3338 День тому

    MTU and video call Later 🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥😍😍😍

  • @SusanGakunga-ni4kr
    @SusanGakunga-ni4kr 4 дні тому +1

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪