MTANZANIA AJA NA TEKNOLOJIA YA KUWASHA/KUZIMA GARI KWA SIMU YA MKONONI "WASHA HATA MAGARI MATATU"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 130

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 2 роки тому +10

    WATU WENGINE WANA UHASIDI MNO,.ETI HAKUNA JAMBO JIPYA ALILOFANYA!!
    ALBERT HONGERA SANA,WASIKUVUJE MOYO!! ONGEZA JUHUDI!!

    • @hassanjr5318
      @hassanjr5318 2 роки тому

      Jamaa amethubutu hongera kwake

  • @tegemeareuben7618
    @tegemeareuben7618 2 роки тому +15

    Wow nice hii ndo tunataka kwa Africa yetu

  • @kijarmshilu7254
    @kijarmshilu7254 2 роки тому +10

    Hongera sana kaka kwa kubuni ,, kaza utafanikiwa zaidi

  • @MuhammadHassan-xp6dc
    @MuhammadHassan-xp6dc 2 роки тому +22

    Tanzania Kuna vipaji vingi sana tatizo wakusimamia hivyo vipaji ndiyo hakuna.

    • @andrewaron7611
      @andrewaron7611 2 роки тому +2

      Kweli kabisa

    • @emmanuelmchomvu2676
      @emmanuelmchomvu2676 2 роки тому +1

      Tanzania unaweza kuwa mbunifu ila haiwez kukusaidia....

    • @mwanagwakyala3213
      @mwanagwakyala3213 2 роки тому +1

      @@emmanuelmchomvu2676 Kuna wavivu wanamfikiria waanzie wap awe chanzo Cha mapato sio kumsamport afike mbali Zaid ya hapo alipo

    • @zainabmapezi5730
      @zainabmapezi5730 2 роки тому

      Tanzania ndio inaingia leo. Huku Ulaya siku nyingi saan wanatumiaa. Uki na Iphone unawasha.

  • @yarmfayce167
    @yarmfayce167 21 день тому

    #MillardAyo
    Mbona teknolojia kama hiyo ilianza kutumika kule Arusha tangu mwaka wa 2009 na ikashika kasi zaidi miaka ya 2012-2015... Na wadau wakubwa zaidi kwa matumizi ya teknolojia hiyo walikuwa hasa wakitokea katika taasisi kuu mbili yani UN na EAC, ambao gari zao nyingi ziliunganishwa na mfumo huo pamoja na ule wa GPS ili kuitraki ikiwa gari lako litaibiwa basi utalizima, na hivyo kusaidia usalama wa gari lako kuwa bora zaidi.
    Ila Hongera sana pia kwa kijana huyo mwenye kipaji kuisogeza huduma hiyo Dar es salaam na kuitangaza, hatimae itafahamika kote tz.

  • @graceobed7966
    @graceobed7966 2 роки тому

    Hongera sana Albert. Utafika mbali sana Mungu akujalie

  • @mashiassenga8849
    @mashiassenga8849 2 роки тому +6

    Ubunifu wa hali ya juu nice

  • @tegemeareuben7618
    @tegemeareuben7618 2 роки тому +8

    Hongera sana kwa ubunifu bro

  • @yassirjailan2720
    @yassirjailan2720 2 роки тому +6

    Let's support him guys 🇹🇿💯

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 2 роки тому +4

    Hongera sana bro Mungu akuongoze zaidiii

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 роки тому +1

    Mashallah, hongera sana kijana, ubunifu 🔥🔥🔥

  • @Chapesamedia
    @Chapesamedia 2 роки тому +9

    Heshima kwako kwa kutumia muda wako vizuri kwa Google vitu sahihi sio umbea

  • @abdulazizsharif2984
    @abdulazizsharif2984 2 роки тому +5

    Serikali changamka msaidie kijana kukuza kipaji chake nina imana he his more business idea's ... na ataajili wengine Tanzania songa mbele

  • @shapfan7415
    @shapfan7415 2 роки тому

    😀😀😀. Braza. Wabongo watakuibia had simu

  • @eng8251
    @eng8251 2 роки тому +6

    Hii hata Arduino unaweza itumia kutengeneza tracking ya kifaa chako kupitia cm

  • @edgarnandonde48
    @edgarnandonde48 2 роки тому +3

    sio gari tu mimi home nafungua friji kwa kutumia simu 👏👏👏

    • @lampadshigonko3006
      @lampadshigonko3006 2 роки тому

      mm nataka yakufunua chp ya dem yyt... unayo

    • @edgarnandonde48
      @edgarnandonde48 2 роки тому

      @@lampadshigonko3006 ni.mfumo rahisi sana sana kuna kitu unaseti tu vitu vyote vyenye display hata tv

    • @lampadshigonko3006
      @lampadshigonko3006 2 роки тому

      @@edgarnandonde48 kwa hiyo friji ina display

    • @wisperfect5320
      @wisperfect5320 2 роки тому

      @@lampadshigonko3006 kazan utapata

  • @lucaskasonde4558
    @lucaskasonde4558 2 роки тому +3

    Nimekubari

  • @athumanijuma2428
    @athumanijuma2428 2 роки тому +1

    Anafanana na Ben Kinyaiya

  • @andrewhaonga1647
    @andrewhaonga1647 2 роки тому

    Hongera sana kaka

  • @pmbzkenya209
    @pmbzkenya209 2 роки тому +2

    Kitu kizuri sana but kwa wezi umewarahisisha kazi......

  • @innocentprosper8378
    @innocentprosper8378 2 роки тому

    Intelligent brother

  • @kipegeitv5014
    @kipegeitv5014 2 роки тому +2

    Hatariiii xanaaa

  • @jamilasalimvilog6752
    @jamilasalimvilog6752 2 роки тому +2

    Hongera

  • @christianbaba9971
    @christianbaba9971 2 роки тому

    Safi sana Ndugu yangu.

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 2 роки тому

    Tanzania nnch Tajiri sana ina kila kitu

  • @claudiakanyembo5949
    @claudiakanyembo5949 2 роки тому

    That great move!!big up

  • @irenekitomary7271
    @irenekitomary7271 2 роки тому +3

    Huyu kaka alichonifanya MUNGU amsamehe na najua nitalipwa na MUNGU TU🥺🥺🥺anajua nini alinifanya yeye na duka lake la pips by rae

    • @cathycharmym28
      @cathycharmym28 2 роки тому

      Alkufanyaje?

    • @irenekitomary7271
      @irenekitomary7271 2 роки тому

      @@cathycharmym28 nilinunua cm kwao mwaka 2020 mwez wa 12 iphone 11 pro max gb 256 na niliexchange na iphone 8+ gb 64 bhas mwaka 2021 mwez wa 10 ile cm ikakata net nikaituma aiseeee sikusaidika chchte mwisho wacku ananiambia anasafiri nilituma cm ikiwa na wifi imerudi hata wifi haina yaan imeharibiwa zaid na ckusaidiwa chchte mpk nikaamua kununua cm nyingine yaan hawa MUNGU tu awasamehe

    • @fadhiliromwald
      @fadhiliromwald 2 роки тому

      @@irenekitomary7271 duuu

  • @faustinpesambili7085
    @faustinpesambili7085 2 роки тому

    Hongera sana wasikuvuje moyo mbona wao hawajaonesha toka mwanzo kama hakuna jipya

  • @frankmbawala3115
    @frankmbawala3115 2 роки тому +1

    Umesema divice inatumia Bluetooth unazimaje gari ikiwa mbali bro

  • @barakacharles4763
    @barakacharles4763 2 роки тому +4

    I like thi

  • @peterlujuo1640
    @peterlujuo1640 2 роки тому

    Ifike mahali serikali iwainue zaidi vijana wa namna hii, kupitia uyu wange create employment kwa vijana wengine na kukusanya kodi, uyu angekua america 🇺🇸 trust me angekua bilionea tayar.

  • @monicasimpilu6257
    @monicasimpilu6257 2 роки тому +1

    Mbona waizi wataiba sana magari sana sasa hatarii sana

  • @gilliangabriel7896
    @gilliangabriel7896 2 роки тому

    Top notch 🔥🔥🔥

  • @imanmartine811
    @imanmartine811 2 роки тому

    💪💪💪💪 nice bro..

  • @robbierobin3094
    @robbierobin3094 2 роки тому +2

    Mbona hii technology ipo tz mimi naitumia technology hii mwaka wa nne sasa

  • @yassirrashid7802
    @yassirrashid7802 2 роки тому +1

    Nice bro

  • @christinamwanguku3291
    @christinamwanguku3291 2 роки тому

    Hongera sana mwanangu !!

    • @deus8629
      @deus8629 2 роки тому

      Mama huyo mwanao kweli au unatuzingua tu 😂

  • @officialmachupatv3637
    @officialmachupatv3637 2 роки тому +1

    Ndoh shida ya wabongo uwo mfumo nikitu unafunga alfu unakua Na app yake kwenye simu akuna chaajabu apo wanapiga promo Tu

  • @claudiakanyembo5949
    @claudiakanyembo5949 2 роки тому +1

    Can I have his details please

  • @bentez911
    @bentez911 2 роки тому

    Tisha sana mzee

  • @ammyabeid9574
    @ammyabeid9574 2 роки тому

    Big up brother.

  • @TradersEasyWay
    @TradersEasyWay 2 роки тому

    safi.sana

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 2 роки тому +1

    Shangaa na mie nisiye hata na ndoto yakununua gari nimedownload hiyo App kama siyo umbea🙈🙈🤣🤣

  • @hamadimwinyi2146
    @hamadimwinyi2146 2 роки тому +4

    Mbuna hii Kuna dogo anaitwa salumu na mulimfanyia interview na anafanya Kam hii

  • @nenotv9144
    @nenotv9144 2 роки тому

    ANGALIENI: MUUJIZA HUSIO WAKAWAIDA, NA MAAJABU YA MUNGU YA KUSHANGAZA KWA , MCHUNGAJI AMBAE HANA MIKONO WALA MIGUU, MAISHA YAKE KWA UJUMLA., NA. BADO ANAHUDUMIA WATU WA MUNGU KANISANI
    Bonyeza Link hii Hapa chin kutazama, USISAHAU KU SUBSCRIBE NA KUSAMBAZA LINK HII.👇👇👇
    ua-cam.com/video/Osn0s4840UA/v-deo.html

  • @abuuminya8746
    @abuuminya8746 2 роки тому +3

    💪💪

  • @farijimwangosi8202
    @farijimwangosi8202 2 роки тому

    Gharama zake zinagharimu kiasi gani?

  • @issazalala4907
    @issazalala4907 2 роки тому

    Duuh umeweza brow

  • @faithjonathan3845
    @faithjonathan3845 2 роки тому +1

    Yaani waru hawasikilizi. Amesema inatumia password, pia unazuia mtu kuwasha kwa ufunguo, password pia kama haijui ataijuaje?. Na hapo unakuta huna gari uko hapa unambishia😂

  • @mochepa9191
    @mochepa9191 2 роки тому +1

    JE GARI KAMA IPO KWENYE GIA UTAWASHAJE PASIPO KUTOA GIA

  • @salamaseif4183
    @salamaseif4183 2 роки тому +2

    Wizi umeingia watu wataibwa Mpaka tutakoma

    • @abudoeugenio6903
      @abudoeugenio6903 2 роки тому +2

      Wazundu wana tufananisha na nyani,ngedele na wanyama wengeo sio kwamba awajuwi kuwa sisi ni watu Kama wao apana,ila tabia zetu chafu ndo tatizo.Atupendani,atuaminiani na wala atusapotiani ndoomana tunaitwa manyani na wazungu.Yeye kakopy wewe chakwako uricho kopy kipo wapi? Let's change our behavior, please.

  • @ziyandamhlana8776
    @ziyandamhlana8776 2 роки тому

    Ukibiwa simu au moto ukishiwa japanizi sio

  • @vero57
    @vero57 2 роки тому

    Hongera sana kaka 👏👍

  • @faustinejoachim2750
    @faustinejoachim2750 2 роки тому +1

    tuwekee namba za simu

  • @jwilliamngeleja6548
    @jwilliamngeleja6548 2 роки тому +1

    Good

  • @nassorhaji2637
    @nassorhaji2637 2 роки тому

    Mbona hiyo ipo zamani tu

  • @swahiliinspirations7953
    @swahiliinspirations7953 2 роки тому +1

    Mngeweka Link ili tuidownload kwa Urahisi sana.

    • @generalpol7817
      @generalpol7817 2 роки тому

      Woow nice bro hata mm ninachangamoto ya kusahau funguo ndani ya gari

  • @tabasamtv6728
    @tabasamtv6728 2 роки тому

    Watto wa kishua.

  • @swahiliinspirations7953
    @swahiliinspirations7953 2 роки тому +2

    Hii App Haina Security, Maana Inauwezo wa Kulink mpaka gari 4, Sasa Hapa Ubora wa App uko wapi? Maana tutaibiwa Magari bure.

  • @أبوعبداللهراشدمحمدناصرراشد

    Good ila weka mawasiliano

  • @kamilagwajuma8384
    @kamilagwajuma8384 2 роки тому +4

    Haya mambo yapo youtube mda sana hakuna jipya hapo kwamtu ana faha.u tech,tokea enzi za iph 5s

  • @amirikoshuma3039
    @amirikoshuma3039 2 роки тому

    Respect

  • @mimidennice205
    @mimidennice205 2 роки тому

    Huyu kaongea ukweli

  • @titonemos8929
    @titonemos8929 2 роки тому +1

    Vitu vya zamani sana

  • @nasmamambi9082
    @nasmamambi9082 2 роки тому

    No yako please

  • @mwakyusa1513
    @mwakyusa1513 2 роки тому

    Ndoa product ya elimu na si kuwa na ma A's tu

  • @abubakariibrahim5375
    @abubakariibrahim5375 2 роки тому

    Garama kiasi gani ya kufunga iyo program?

  • @lovely-mq4rg
    @lovely-mq4rg 2 роки тому

    Atawapata wenzie

  • @piusmicky6300
    @piusmicky6300 2 роки тому +2

    Wapeni wavumbuzi heshima zao, hii hajagundua yeye. Yeye amenunua akafunga kwenye gari ikiwa tayarinkila kitu.

    • @firsat1pharmacy272
      @firsat1pharmacy272 2 роки тому +1

      Hajakwambia amegundua yeye bali amesoma kweny Internet
      Sio watu kam ww mnatumia internent vibaya ku-comment ujinga

    • @hashimmabruk8953
      @hashimmabruk8953 2 роки тому

      Huo ni wivu na kijicho. TANGAZA UVUMBUZI WAKO TUKUONE.

    • @hassanjr5318
      @hassanjr5318 2 роки тому

      Tumpongeze kwa uthubutu aliofanya

  • @yusuphrashid3516
    @yusuphrashid3516 2 роки тому

    Huyu jamaa ana historia kama yangu 😂

    • @deus8629
      @deus8629 2 роки тому

      Uko wapi tuje tufanyie mahojiano

  • @janiaoma7093
    @janiaoma7093 2 роки тому

    JAMANI SISI WATANZANIA TUKONYUMA MIYAKA 100 HII IMEPITWA NA WAKATI SEMA KWA TANZANIA NI MPYA SISI KAZIYETU KUSHIKA MKIYA WATU WATEREMKA KWEYE GAZI SISI NDIOTUNAFIKIRIYA KUPANDA

  • @fadhilmtunha4070
    @fadhilmtunha4070 2 роки тому

    Wow

  • @mbanguluzito5496
    @mbanguluzito5496 2 роки тому

    Mbona Canada ni mambo ya kawaida na izo gari zinaibiwa saana uku ulaya

    • @fatumakassim64
      @fatumakassim64 2 роки тому

      Wabongo bna sawa Canada kawaida lkn bongo bado sana kwanini usipe ongera kwani utakufa au wew ulikuwa unajua kufanya hvyo

  • @ashirafuissa9693
    @ashirafuissa9693 2 роки тому +1

    dah

  • @isacknyaga104
    @isacknyaga104 2 роки тому

    NDO MNAJUA LEO MBONA IPO MDA SANA HIYO KHA! NENDENI ULAYA MKAJIFUNZE SIO MNASHANGAA KHA! ETI KAGUNDUA HAHAHAHA

  • @patrickbilago5513
    @patrickbilago5513 2 роки тому +1

    Haya hayana faida kwataifa Bali kwa watu wachache

  • @bwalyaalex5990
    @bwalyaalex5990 2 роки тому +2

    Dar mujiandae kuibiwa magari 🤣😂🤣😂🤣

    • @faudhiaayubu2463
      @faudhiaayubu2463 2 роки тому +1

      Jaman 🤣😂😂

    • @bwalyaalex5990
      @bwalyaalex5990 2 роки тому

      @@faudhiaayubu2463 nakwambia maana simu moja inauwezo wakuunganisha magari zaidi ya 6 au 8 sikuibiwa apo sasa ila tz tunajikubali

    • @mcback4384
      @mcback4384 2 роки тому

      Kwani hii app ipo Dar Tu?

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 2 роки тому

    Watu wataibiana

  • @reneepaul3102
    @reneepaul3102 2 роки тому

    Sasa hapo ndo wizi wa magari utakapozidi

  • @AbdulKarim-iz3db
    @AbdulKarim-iz3db 2 роки тому

    sasa hamjataja gharama.

    • @hassanjr5318
      @hassanjr5318 2 роки тому

      bure una pakua app tu na kuanza kutumia

  • @ibrahimaman3762
    @ibrahimaman3762 2 роки тому

    Umena akili mingi sana bro

  • @christopherdimagaaaikopouw916
    @christopherdimagaaaikopouw916 2 роки тому

    Broo waskupange bhauna, tengeneza app ya tax mtandao kama akina uber nk apo utapiga pesa kuwashia gari kwenye cmu hiyo ni kama urembo.

  • @chandeshabani4174
    @chandeshabani4174 2 роки тому +1

    Anapatikan wap

    • @nawechi4818
      @nawechi4818 2 роки тому

      Makumbukumbusho karibu na jengo la tigo au mataa ya kuingia makumbusho ukiwa unatokea mwenge upande wa kulia

    • @mymbaralitv2968
      @mymbaralitv2968 2 роки тому

      @@nawechi4818 mawasiliano please

    • @libenmmary8040
      @libenmmary8040 2 роки тому

      Yupo makumbuso opposite na usalama wa taifa

  • @Bayothomusic
    @Bayothomusic 2 роки тому +2

    Bonyeza link hii. Kisha share. Utaipenda
    ua-cam.com/video/4NJlyOmIlk4/v-deo.html