ZITTO “GARI ILIYOMTEKA NONDO TUMEIKUTA POLISI GOGONI, IMEBADILISHWA PLATE NUMBER”

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 36

  • @sumaidgasto4721
    @sumaidgasto4721 8 годин тому +8

    Sasa kutekana kuumizana kwanini kama issue ni vyama vya upinzani si vifutwe tuwe na CCM peke yake kuepusha madhara

  • @animaniacs588
    @animaniacs588 Годину тому +2

    Utekaji Tanzania imeongezeka na hao hao polici ndio wanafanya hio kitu. Tumwamini nani sasa😢

  • @Mrmohadi.OFFICIAL
    @Mrmohadi.OFFICIAL 11 годин тому +7

    Polisi ban 😂 mnatengeneza mazingira gani kwa jamii ntakuja mkose misaada

  • @MoEd-k8w
    @MoEd-k8w 9 годин тому +2

    Hizi hali za utekaji na nguvu katika kuharibu uchaguz inaoonesha wazi kuwa tz ishaangukia katika mikono ya watu ambao si wema, tena kama ni viongoz hawana hata chembe ya upendo wala uzalendo ndan ya nchi hii. Ila kila lenye mwanzo lina mwisho

  • @NeemaMushi-wj1zn
    @NeemaMushi-wj1zn 10 годин тому +2

    Mungu asaidie tu kaka wa watu akutwe akiwa hai jaman

  • @NeemaSamueli
    @NeemaSamueli 9 годин тому +1

    Huu ujinga mpaka lin wakuteka watu.??kijana hana familiy inamtegemea

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 9 годин тому +1

    Sasa sisi wananchi tutafanya nn?

  • @IjumaaIjumaa
    @IjumaaIjumaa 10 годин тому +1

    Allah amuhifadhi na hii Hali tufanye maombi nchi nzima wahusika Allah atajuwa nini wafe wawo au wawe machizi hii ndo itakuwa fundisho kwa wahusika sisi tumuombe mungu

    • @EmmanuelErnest-xd1rc
      @EmmanuelErnest-xd1rc 6 годин тому

      Akunaga duwa bila matendo haipo haipo haipo mungu ampi anaye lala kusubiri ata zuku moja apo sawa ni kunili.nao.kimy kimya tu mpaka na wao wajue raiya siyo kuku wa kunyongwa nyongwa hivyo

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 10 годин тому +1

    Aaa hii hali inaonesha kuna shida tunakokwenda

    • @JudeKinyai
      @JudeKinyai 9 годин тому +1

      Sio tunapokwenda ni hata tulipo sasa hivi!

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 11 годин тому

    Dugh noma sana

  • @charleskonea3756
    @charleskonea3756 9 годин тому

    Nini hiki kwenye Taifa letu Jamani

  • @christopherkanyalakc8941
    @christopherkanyalakc8941 Годину тому

    Kwanin rakin

  • @alphoncejohn6308
    @alphoncejohn6308 10 годин тому

    Huyo IGP wa inch hii hata smjui sjawah kumuoma , anafanya kaz kwel au ndo kulindana

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 9 годин тому

    Sasa Uyo Hana Nguvu Gani Kwa Tanzania Mpaka Atekwe Ivo Wakati Yuko2

  • @mindy8337
    @mindy8337 11 годин тому +2

    Sasa hivi unyama unyamani,polisi wanateka halafu wanaleta drama kuma nina zao

  • @HarunaShabani-hy8mx
    @HarunaShabani-hy8mx 11 годин тому

    daa kk zote jitahid kaka yetu tupambanie ndugu yetu wa ujiji arud salm

  • @MaguguStore
    @MaguguStore 10 годин тому

    Polisi ebu mwachieni hiyoo mtu ili wanainchi wajenge imani na Jeshi la Polisi

  • @hildajoel5
    @hildajoel5 10 годин тому +1

    Tulipofikia sio mambo ya kumuachia Mungu tena au kuombana ombana aisee. Mtu anachukuliwa Magufuli kabisa palivyo na movement nyingi? Watu wamekaa pembeni wanaangalia kama movie kweli? .nguvu ya umma ni kubwa kuliko hao watekaji naamini hivyo. Hivi Tanzania nani katuloga na uchawi wa kuogopa kiasi hiki? Mbona wezi tunajua kushughulika nao? This is too much

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 9 годин тому

      Itafika mwisho ,nasiku Mambo yakiharibika wanaojiona wenye nchi watakimbia

    • @JudeKinyai
      @JudeKinyai 9 годин тому +1

      Inahuzunisha sana aiseeh! Hali ni mbaya sana na ni kweli tulipofikia sio tena kumuachia Mungu pasipo kujitetea

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 9 годин тому +1

      @@JudeKinyai yaan natamani bastola zingeuzwa kama ulaya,Hawa mbwa tukabiliane nao,

  • @MweraRiro
    @MweraRiro 11 годин тому

    Hii ni dhahili kuwa Kwa Sasa gogoni ni chimbo jipya la mficho ya raia sote tunamkumbuka vizuri deogratus mushi aka kibonge

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 10 годин тому

    Majibu haya tutayapata mwakani

  • @aloycelymo57
    @aloycelymo57 11 годин тому

    Duuh😢

  • @yordanyona8663
    @yordanyona8663 10 годин тому

    dah

  • @FrankSamson-r6s
    @FrankSamson-r6s 9 годин тому

    🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️

  • @Nelvin3333
    @Nelvin3333 10 годин тому

    Ningekuwa rais wa tz ningepunguza vyama vya upinzani vibak viwil il tupokezane kibingwa maana wapinzani wengi na nguvu hawana ( vyama 2, ushawishi mkubwa kila upande, tupambane hapo)

  • @Rawdha-y8t
    @Rawdha-y8t 11 годин тому

    kumekucha