Lakini nola mna mtenga sana hata comments huwa hamuongelei sana me sipend ubaguzi nawapenda wote ata nola nae ni noma kinyama ety na Sheila ndo babu kubwa 2 🎉🎉🎉😂😂😂❤❤❤❤❤❤
Ilaaaa Mzee likomaa Yani ww ni jembe unaweza kuubeba uhalisia wa uzee kwa asiyee kujuaa haamini kama ww ni kijana handsome Alafu sasa maajabu yenyew kote kote ni handsome ❤❤❤❤❤ penda sana ww😘😘😘
Nilivyo na bahat kuwa wa kwanz tena ❤❤❤❤❤❤❤❤❤penda san kp na zebu mmm from kenya 🇰🇪 😄 😆 🤣 ❤❤❤❤
😂😂😂😂kp na zebuu pamoja na mzee likoma hongereni kwa kupata huyu mkenya kazi mnayo🎉🎉🎉🎉😂❤
Nakupenda sana sheila na zebuu na Tim Yako nzima kiujumla 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nakubar san kp na zebuu
Mr likoma wakwanza leo Burundi Bujumbura tunawafuatiria mia%
Lakini nola mna mtenga sana hata comments huwa hamuongelei sana me sipend ubaguzi nawapenda wote ata nola nae ni noma kinyama ety na Sheila ndo babu kubwa 2 🎉🎉🎉😂😂😂❤❤❤❤❤❤
Bora ata umemkumbuka nola
Hooooo jamn shei shei we niatar kp na zebuu kimewalamba
Kimewalamba kwelikweli😅
Kama unakubali series ya mr money gonga like hapa tujuane........😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤
Arooooow! Nawapend san pia nawakubar san
@@AdinaniMisso❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤🎉🇰🇪
Naipenda sana❤❤
@@NuruNdegwa-yg2bm❤❤❤❤❤❤❤
Ilaaaa Mzee likomaa Yani ww ni jembe unaweza kuubeba uhalisia wa uzee kwa asiyee kujuaa haamini kama ww ni kijana handsome Alafu sasa maajabu yenyew kote kote ni handsome ❤❤❤❤❤ penda sana ww😘😘😘
Maajabuu nawapendaa sana
Muko vizuri sana tena sana apa kutoka Moçambique
Kazi nzuri Mzee Likoma❤❤🎉🎉
Sheila shei unatesa liko na mapenzi si Kwa mzee wa giza si Mr money aaaa jamani ❤😂😂
Yeah 😂😂😂😂😂
kwa kwl sheil pngz unmchngny mzee wa w2
😂😂😂 Sheila umeweza manzy
Tunamtaka suraji kama na ww unamtaka suraji
😂😂😂shey shey we ni noma ila ko na zebu mmenishida tabia❤❤❤
Love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI 🇧🇮
😂😂😂jamani hii 🤗 ☺ movie ni nikali sana nakupenda sheyshey 😅😅Waseca Vittoria having adabu nyie❤❤❤❤❤sana
Bonge moja la kazi i say...nawapenda bure vipenzi...ila sheyshey katuonea😂😂😂😂wadada wa kenya sio wezi😂😂😂😂😂
Mimi najuwa amunipendi ila naomba like jamani
Mr likoma naomba like yako moja2 nifrahi namm😢
Ila.kweli
Wowow❤🎉🎉❤nipo apa na Mr money
Kp na zebu tuko pamoja ila msitu heleweshe jamani 🎉🎉🎉🎉❤❤🎉🎉🎉🎉🎉❤❤🎉🎉
Kazi nzuri nawapenda sana
Zebuu sisi wakenya sio waovyoo bwana kakako kapagawa mwenyew 😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
@@elizabethcatherine-jm8fr eeeh atuwache😀😀😀tumshoshee mzee likoma nae sasa😂😂😎
Sheiraa umependeza kil wakatiii
Lkn likoma❤😂 unafurahisha move zako shei shei nawe nakupenda
Waooh muvi nzur San kama unaikubali Mr money gonga like hapa
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ni nzuri sana watoto wazuri kula mkimaliza mtawekewa cocomelon😂😂😂😂😂
Mnacherewesha sana kitu tumeipenda ❤❤❤❤
Mnazingua dakika chache ongezeni
Plz napema ndio best from 254 hebu like zangu
Mganga yuwaimba nyimbo zote za Diamond na Mbosso😂😂😂😂
😂😂😂 Sheila et mkimaliza kula nawaweka cocomelon 😂😂😂
😂😂😂😂shey shey umepiga aje hpo akili ni ya 🇰🇪 kweli
nomaa
Walai😂
Mazee ni Alfred kutoka kenya nasemaje daa mmeicheza nimeikubali msichelewe kutoa kwa muda
Likoma ukiwa katika muonekano wa uzee uko poa sana❤❤❤❤❤
😂😂😂 umeona eee kuliko uhalisia wake
Nawapata loud and clear kutoka Kenya,,likoma kupata mkenya umeyakanyaga,ametoka penye Kuna vita kali😅😅😅😅
SAfi sana mzee likoma next plz 🎉🎉❤❤
K p chukuwa sm yako lkn kuwa mankini uyo mma noma sna
A história de Mr MONEY é muito saborosa 🔥🔥🔥, gosto da está história
Mimi ni wanza nipeni laiki zangu
❤❤❤❤
❤❤
Shei shei😂😂😂😂😂 jamani nimecheka kijinga wallah
Sheishei utafika mbingun umechoka😊😊😊
😅😅😅😅
😂😂😂😂😂umeona eee anamuua mzee wa watu kwa kis 2
😂😂
Shey shei 😂😂😂 daaah kweli n Mukenya
Cocomelon got me down on the floor sheila 😂😂😂😂😂😂,kwani kp na zebuu ni watoto wadogo aje?😂😂😂😂
Eeeeih KP na zebuu wamalize kula Kisha watawekewa coco melon 😂😂😂😂😮😮😮😂😂,,,eeeih nawapenda team likoma na kp...much love from kenya
Walai move tamu dakika kitoko haise ongeseni bc💓💓💓💓
😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉 napenda Sanaa kazi zenu kp&zebuu🙏🙏🙏🙏🙏🙏
😂😂😂😂 sheila wetu wa kenya nakupenda bure yan wacheza kikenya kwel
Hongera saaana jamanii 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉 ongezen juhud
Kazi nzuri sana mzee likoma unaweza 😊😊 🇰🇪
Ila mzee likoma 😂😂😂😂
Shei shei utanimaliza aki 😂😂😂😂
❤❤❤❤❤❤❤❤ jamn mko vinzur nawakubali sana
😂😂😂😂😂😂chunga likoma na mtoto wa kikenya atakuramba ushangaee 😂😂😂❤❤❤❤❤
😂😂😂😂😂likoma shikamooo😂😂😂😂
Waaah, mkenya kutoka digo ama ametokea likoni 😂😂😂😂😂😂😂😂❤
😂😂😂😂😂sheila😂😂😂😂
Tunakubali likoma jamana🎉🎉🎉😂😂 alafu shey shey😂😂😢🇰🇪🇰🇪
❤❤❤❤❤❤ kp na zeeb you look very young
Jamani😂 Shei mkenyaaa😂
😂😂😂😂😂😂 kp acha izooooh
sheila unatabasamu tamu sana
Mzee likoma unawezaaaa❤
Nimependa sana movie hahahaha 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂mzee likoma 😂😂 u're so funny I really love your work nawapenda
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo❤
😂😂Likoma hayo yanaitwa mahabrati kisayansi kwa shey shey😂 huchomoki
Sijui itakuwaje shei shei akiwa mke wa likomaaaaaaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kaz nzur sana❤❤
Movie nzuri sana master ❤❤❤😂😂🎉😢😮😅😊
Hii ndio tamu kuliko plan b I say. Iko furaha kabisa big up guys....
Poleni jamani kwa kazi nzuri
Aaaah subutuuuu kwa nnavyomjua Sheila apo amumfanyi kitu ngoja tuone 😂😂
Hahaha likoma mpenda mabusu
Au chumvi nyingii😂😂au wamefata uvinzaa
Ila Sheila we nomaaa 😂😂
Hebu mwache mkenya shey shey bna
Nimejikuta nacheka mwenyewe kwa saut at roho inarukaruka kichura😅😅😅😅😅❤
Yani Sheila hatali mie nakukubali unaingiza kibabe zaidi
KP na zebuu nawapenda sanaaa ❤
Mganga sasa etifukuza nguguru😂😂😂na kp nazeebu wanamsaidiye kucheza😂😂
Nawapenda bureeew😂😂😂✋😂
Ila Sheila nakupenda ❤❤❤❤
Nilikuwa nimesubiri sana Mr money 🤑 3mzee likoma na dibozi manuva nawapenda sana kazi nzuri wakuu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Eti mama yangu atakuwa ni mwizi, crush, na pia aliniipia mimi mwenyewe!!! mchambazi 😂😂😂 haiwezekani walai. from Kenya 🇰🇪, nawafuatilia watu wangu
kwanza eti ni yeye ndo nlikuwa nimempenda alafu babangu akampenda kighafla 😂😂
Mambo ❤❤❤❤❤❤❤❤
Jamani tunawapenda nyote❤❤❤
Hello mister likoma nakupenda sana we ni munoma kbs niite Emmanuel kutoka DRC congo
Sheishei nakukubali sanaaaa
nani anayejua kwamba shey shey atawapiga kp na zebuu vizuri tuu
😂😂😂😂 mama mwenyewe sasa karequest boda boda, cm ya mtoto mpaka baba yao😂😂😂
Kimeumana😂😂😂😂anyway congratulations🎉🎉🎉
Kam wanfunz kwl hongern 🎉😊😊😊
Shela na Mzee likoma hongera saaana jamanii 🎉🎉🎉❤
Courage ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Ila likoma bn mim unanifurahisha sana nakupenda bure ety unapandisha bendera ya taifa
😂😂😂😂❤❤❤❤nabapenda sana 🇧🇮🇧🇮
😂😂😂😂😂😂😂😂😂kimeumana Atari sana
Sheilla kumbe muzuli sana hadi namupenda😂😂
Mganga matikisaa😂eti si unajua moto wangu