JAWABU PART 2 || NEW BONGO MOVIES 2022 || FILAM MPYA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 81

  • @totooz5853
    @totooz5853 2 роки тому +4

    Kibendo ni hundsme hata kuliko huo dunia..hahaa

  • @mwajumakaisi2033
    @mwajumakaisi2033 2 роки тому +1

    Mwajuma kazi mzuri ssna nawapeanda

    • @busatitv
      @busatitv  2 роки тому

      Asante sana 🥰🥰🥰

  • @agneskemmy4935
    @agneskemmy4935 Рік тому +1

    😂😂😂 hatar na kaka nae ndiye sio haba barikiweni jamen

  • @jumakandy2075
    @jumakandy2075 2 роки тому +3

    Classic movie movie. Hiko sawa kabisa More fire 🔥🔥🔥🔥💯💯💯

  • @saifSaif-yj9uu
    @saifSaif-yj9uu Рік тому +1

    Hiii muvie imenikubusha mbari sana kutafutiana wanaume uku mtakuja kuwakosha watu

    • @busatitv
      @busatitv  Рік тому +1

      Kabisaaa mapenzi hayalazimishwi

  • @essambader4075
    @essambader4075 2 роки тому +2

    Ongereni sana wapezi kwakazi yenu zuri sana mubarikiwe wote ❤ ❤ ❤ ❤

  • @mwanamisirama1836
    @mwanamisirama1836 2 роки тому +3

    Kaka nae hawezi kuongea polepole 🤣🤣

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 2 роки тому +2

    Hongereni Sana nimefurahi Sana filamu nzuri

  • @vesitinarevocatus7333
    @vesitinarevocatus7333 2 роки тому +3

    Mie napenda2 mnapochukulia video mazingira nimeyapenda yametulia mnoo

  • @zeddydefirst888
    @zeddydefirst888 2 роки тому +4

    😂😂😂😂mapenzi nyie ikiwa hujawahi pitia hii stage yakulazimishwaa usiye mtaka,,wala ujawahi umia kitu 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @BLESSEDHUMBLE-s9t
    @BLESSEDHUMBLE-s9t 2 роки тому +2

    kaangalie kalivyokomaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂,,,ak nyinyi

  • @aysha9932
    @aysha9932 2 роки тому +4

    Nampenda kibendu anvyoongea💕

  • @allahkareem9111
    @allahkareem9111 2 роки тому +1

    Ukweli usemwe kibwendu yuko hb lkn dunia mama hee ni dunia kweli lkn muwacheni faudhia na kibwendu wake jamaniiiyyyyy

  • @bintihassan6534
    @bintihassan6534 2 роки тому +3

    Muko vizuri sna big up💪

  • @ummyilham117
    @ummyilham117 2 роки тому +3

    Wakwanza mie

  • @halimanj8544
    @halimanj8544 2 роки тому +1

    Waaah nzuri sana hongereni part 3

  • @fatmarama1279
    @fatmarama1279 2 роки тому +1

    Kibendu ni handsome boy 😍

    • @busatitv
      @busatitv  2 роки тому

      Vijana wetu wengi ni ma handsome 🤣

  • @paskaliangoto2849
    @paskaliangoto2849 2 роки тому +1

    ❤❤👌👌 mbn rahaa miee

    • @busatitv
      @busatitv  2 роки тому +1

      ❣️❣️👌👌👌

  • @rajeshrajesh-lp2oy
    @rajeshrajesh-lp2oy 2 роки тому +2

    Hamnaga shoo mbovu 👌👌nawakubali saner ❤

    • @busatitv
      @busatitv  2 роки тому

      Hatunaga bahati mbaya

  • @paskaliangoto2849
    @paskaliangoto2849 2 роки тому +1

    Weraaaaa kazi tamuu

    • @busatitv
      @busatitv  2 роки тому +1

      Tusaidie ku share Mpenzi

  • @aysha9932
    @aysha9932 2 роки тому +3

    Asanten kwa muendelezo 💕

  • @timabakari7360
    @timabakari7360 2 роки тому +1

    Fau wamtafutia kaka maajali jamaan

  • @BABUWAYANGACHAMAZISHULE
    @BABUWAYANGACHAMAZISHULE 2 роки тому +2

    Kaz iendelee..❤️❤️❤️

  • @halimangumbao5574
    @halimangumbao5574 2 роки тому +1

    Nimecheka😂😂😂🥰

  • @dgffydyeu4014
    @dgffydyeu4014 2 роки тому +1

    👩‍❤️‍💋‍👨👩‍❤️‍💋‍👨👩‍❤️‍💋‍👨nice move

  • @taharamohd2515
    @taharamohd2515 2 роки тому +2

    Da nimechelewa

  • @mwanamksisoppah9325
    @mwanamksisoppah9325 2 роки тому +2

    Good job

  • @rozasafiswideni7034
    @rozasafiswideni7034 2 роки тому +3

    Aaaaa 😂😂😂😂😂❤️❤️👌👌👌👌👌🔥🔥

  • @mariamndugu1311
    @mariamndugu1311 2 роки тому +2

    ❤️❤️❤️🔥 🔥 🔥

    • @busatitv
      @busatitv  2 роки тому

      ❣️❣️❣️❣️

  • @zuhuramrssalum2276
    @zuhuramrssalum2276 2 роки тому +1

    Part 3 Mbona siioni

    • @busatitv
      @busatitv  2 роки тому +1

      Tazama hiyo iliyoandikwa Jawabu Full @Zuhura

  • @jalxs6745
    @jalxs6745 2 роки тому +2

    Ila kibendu ni muhand som sna wallah

  • @hassanferej8553
    @hassanferej8553 2 роки тому +1

    Plz part 3

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada 2 роки тому +3

    Faudhia

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 2 роки тому +1

    Muendelezo jamani

    • @busatitv
      @busatitv  2 роки тому

      Poleni jamani muendelezo utakuja soon kuna tatizo kidogo la kiufundi limejitokeza studio kwetu hivyo tunaliweka sawa

  • @mayaashassan3918
    @mayaashassan3918 2 роки тому +2

    Ssa uciuweke🙄

  • @salmarashid3492
    @salmarashid3492 2 роки тому +2

    Eh n mm leo nmewahi

  • @ummyilham117
    @ummyilham117 2 роки тому +3

    😍😍😂

    • @busatitv
      @busatitv  2 роки тому

      ❣️❣️❣️

  • @allahkareem9111
    @allahkareem9111 2 роки тому +1

    Part 3 jawabu ipo wapi????????????

  • @fettylove1561
    @fettylove1561 2 роки тому +1

    Muendelezo

    • @busatitv
      @busatitv  2 роки тому

      Muendelezo utakuja soon kuna tatizo kidogo la kiufundi limejitokeza studio kwetu

  • @agneskemmy4935
    @agneskemmy4935 Рік тому +1

    😂😂😂 hatar na kaka nae ndiye sio haba barikiweni jamen

  • @agneskemmy4935
    @agneskemmy4935 Рік тому +1

    😂😂😂 hatar na kaka nae ndiye sio haba barikiweni jamen