PART27:WAMAYO TAJIRI WA PESA ZA KICHAWI ALIEFILISIKA AELEZA SAFARI YAKE UTAJIRI NA KUUA NDUGU ZAKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 96

  • @habibumbawala1173
    @habibumbawala1173 Рік тому +15

    Nakukubari sana wamayo... Umejitahidi sana kuwa muwazi katika story yako na umetufundisha mengi mno.…

  • @teresiajerotich2064
    @teresiajerotich2064 Рік тому +2

    Mimi mkenya ila nimeufuatilia hii story saaana
    Wamayo thank you for the good lessons you've thought us

  • @Patience.67
    @Patience.67 Рік тому +10

    Kabla sijaokoka kuna siku nilikutana na mwanaume na kuanzia hiyo siku maisha yangu iliharibika sanaaaa,lakini namshukuru mungu Kwa kunikomboa na wokovu

    • @UsafiMichael-mc8kt
      @UsafiMichael-mc8kt Рік тому

      Ulikutana naye kimwili au kirafiki tuu tuelezeee

    • @HappyMwaigwisya
      @HappyMwaigwisya 6 місяців тому

      Hapo lazima kimwili. Anatuambia ili kututahadharisha na kutufunza. Si rahisi kujiweka wazi. Asante Patience ubarikiwe utaponya mabinti wengi humu​@@UsafiMichael-mc8kt

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw Рік тому +7

    Watu tunaipenda sana hii story ka Mkubwa wote tunafurahi sana🙏🔥🔥

  • @Patience.67
    @Patience.67 Рік тому +16

    Baba ni asante Kwa wamayo na wasimulizi wote ,namfunika na damu ya yesu,I declare a turn around in his life, every satanic bondages be broken in Jesus Christ of Nazareth,I speak salvation over him in Jesus name ameeeen

  • @imaliolive9453
    @imaliolive9453 Рік тому +8

    I cant get over this channel❤

    • @salukisendi9333
      @salukisendi9333 Рік тому

      LKN WAMAYO HAYO MAMBO YOTE NI WW ULISABABISHA BALAA KWA WATU. MAANA YAKE BADALA YA WW KUTUMIKIA ADHABU YAKO ULILETA BALAA.KWA BINADAMU WENGINE KULETA JINI LA KUHARIBU MAISHA YA WATU.

  • @Patience.67
    @Patience.67 Рік тому +12

    Wakwanza Leo jamii munipee likes ❤

  • @mildredakinyi9855
    @mildredakinyi9855 Рік тому

    Asante msimlizi kwa kuendelea kusimlia hii nifunzo tosha

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 Рік тому +4

    Dahii yaani hapa kwenye jini ni mtihanii sana Kwakwelii bla maombi hapo hauchomokii tuombe sana jamanii kwenye hili akuna ujanja😢

  • @Patience.67
    @Patience.67 Рік тому +4

    Huyo babu madhabau yake ipigweee na radi na Moto wa roho ukose uhai na ipasuke kabisa katika jina la yesu Christo wa Nazarethi🔥🔥🔥🔥🔥😂,waaa uyo jini alikuwa hatari kweli

  • @mohdnasser894
    @mohdnasser894 Рік тому +7

    Hiyi story ya wamayo na story ya zabron mwita ndizo nilizopenda sana sana

  • @patrickpazza4764
    @patrickpazza4764 Рік тому

    Duuuuu masikini Yule mzee nilimsikiaga kafia Gest daaaa

  • @monicambuva529
    @monicambuva529 Рік тому +2

    Dunia hii ndo maan mm mwiko kwendaa club mwiko kuwa na mahusiano nje ya mume hata before mume yan ni mwiko .... 😢😢😢

  • @donathamwangobe2776
    @donathamwangobe2776 Рік тому +7

    Kupitia hii story nimejua umuhm wa maombi

    • @rerisamba
      @rerisamba Рік тому

      Tufie kwa maombi tu na neno la Mungu

  • @mwashumcubwa1928
    @mwashumcubwa1928 Рік тому +3

    Wa kwanza

  • @AceneyPoal-ql1wc
    @AceneyPoal-ql1wc Рік тому +4

    Wamayo in the house

  • @heritier5119
    @heritier5119 Рік тому +2

    Hata makahaba wengi sana ni majini wanachukua nyota za watu

  • @butondodavid2105
    @butondodavid2105 Рік тому +2

    Ntaanza kuwa ogopa wanawake sasa, Unavimba mtaan mwenyewe nimepata dem kumbe,umepatikana . Unakuta unatembea na mwanamke Mara unaanza kufulia hata buku mfukoni unakosa.Daah nimekoma

  • @msaysha5886
    @msaysha5886 Рік тому +2

    Wa Moyo tuko 🤝

  • @mwashumcubwa1928
    @mwashumcubwa1928 Рік тому +3

    Nipo on😂naisubir 💃

  • @mildredakinyi9855
    @mildredakinyi9855 Рік тому

    Nikweli kabisaa wazazi wengi wanakimbilia ata na kutusi watoto pasipo kujua wametekwa waaa. Mungu aturehemu

  • @evachuwa3809
    @evachuwa3809 Рік тому +2

    Duh MUNGU TUSAIDIE BABA

  • @Inkubutembo7779
    @Inkubutembo7779 Рік тому +3

    Tupate part 28 ya kulalia jamaniiiii

  • @heritier5119
    @heritier5119 Рік тому

    Makahaba wengi,manesi,madaktari wengi ni mawakala wa shetani,omba sana ukiwa na mgonjwa hospitalini.
    Thus manesi wengi ni makatili Sasa ya Ile roho ya shetani uwavaa na kuwafanya wawe makatili

  • @AminaMaziku
    @AminaMaziku Рік тому +2

    Hii ni Kali ya mwaka

  • @ConsolathaNyanzobe
    @ConsolathaNyanzobe Рік тому +2

    Wamayo umeng’aaa ❤

  • @MALAMBIJEREMIAH-cq5cw
    @MALAMBIJEREMIAH-cq5cw Рік тому +1

    Malambi Jeremiah Kutoka Dom Tanzania.
    Aise kweli yule joka mkubwa aliyetupwa mbinguni yupo hapa duniani.
    Heri yule asomaye na kuona huu ujumbe na amtafute yesu kristo mwana wa MUNGU aliyehai yeye ndo tegemeo letu na hatatuacha kamwe tukifuata mapenzi yake.
    Mganga kuna wakati naye atakufa hivyo tusimtegemee kamwe mwanadamu

  • @saranyambia8096
    @saranyambia8096 Рік тому

    Story mzuri nimejifunza kitu aky, nilikua nalegea kwa maombi sasa wacha niamuke

  • @tahirnephessalum3678
    @tahirnephessalum3678 Рік тому +1

    Ila wamayoo anapenda misosi hatariii😄😄

  • @imagepower3641
    @imagepower3641 Рік тому +2

    Wamayo 🔥

  • @greyson67
    @greyson67 Рік тому +1

    Hapa kuna somo kubwa sana

  • @Anastadhi
    @Anastadhi Рік тому +2

    Wanaume tufunzu apo ni kweli

  • @msaysha5886
    @msaysha5886 Рік тому +4

    Ulipo tupo😂

  • @sonko-c6h
    @sonko-c6h Рік тому +1

    Wa kwanza nipeni maua yangu

  • @samwelisamsoni6402
    @samwelisamsoni6402 Рік тому +1

    Hzo nyota zinakazi gani hasa naomba nisaidie kumuuliza please

  • @Aliceurio
    @Aliceurio Рік тому +1

    Nikisikia akisemaKibaya zaidi ujue ujue anasimulia kitu kizito zaidi.

  • @heritier5119
    @heritier5119 Рік тому

    Shetani utumia wanawake wengi sana wazuri kuiharibu dunia.Thus wanawake wengi wazuri hawaolewi

  • @salmaabuu765
    @salmaabuu765 Рік тому +2

    Nani kampa wamayo Hela ya saloon namuona kanyoa ndevu 😂😂 me nilishamzoea Na madevu yake bhna ila Bro davita Uyu wamayo ni balaaa

  • @heritier5119
    @heritier5119 Рік тому

    Nyota Ina pembe tano.
    1.mvuto,2 ndoa,3 uongozi,4umiliki,5 kibali

  • @mwendwa444
    @mwendwa444 Рік тому

    Mpe namba ya Mwakasenge,huyu lazima aokoke,na sio Kila mtumishi ataweza

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 Рік тому

    Ukweli na uwazi

  • @mwitamalwa2773
    @mwitamalwa2773 Рік тому

    Wanayoo

  • @ayoubmwangonji2357
    @ayoubmwangonji2357 Рік тому

    Wamayo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @rerisamba
    @rerisamba Рік тому

    Huyo jini jamani alimaliza mtaa kabisa watu waokoke kabisa ili wasipatane nahili jini

  • @catherinejames6714
    @catherinejames6714 Рік тому

    29 pls

  • @DennisManumba
    @DennisManumba Рік тому

    Wewe Ulitambuaje Kma Anachukua Nyota? Hizo Nyota Ilikua Unaziona?

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Рік тому

    👊🙏.

  • @Aliceurio
    @Aliceurio Рік тому

    Tunaendelea kwa pamoja.

  • @lucymeck-ev2zh
    @lucymeck-ev2zh Рік тому +1

    Yote hayo yanafanyika ww huonekani dah wanayoo

  • @msaysha5886
    @msaysha5886 Рік тому +2

    Kumbe ni Wamayo mi najua wa moyo😂 sijui moyo wa nani 😂

    • @owinomakochieng828
      @owinomakochieng828 Рік тому

      "Wa mayo" ni Kisukuma kumaanisha "Wa mama", ama "Wake mama", kama sijakosea. Yaani, yeye ni kijana wa mama, licha ya ukatili aliyomfanyia. Kwa mtazamo wangu, mengi anayosimulia ni kweli ila mengine ni hekaya za Abunuasi.

    • @StarDunda
      @StarDunda Рік тому

      Wamoyo tena😂😂😂

    • @msaysha5886
      @msaysha5886 Рік тому

      @@owinomakochieng828 za bunuasi tena pita hivi acha nayo

    • @UsafiMichael-mc8kt
      @UsafiMichael-mc8kt Рік тому

      @@owinomakochieng828 kwahyo kama ni hekaya za abunuasi wewe umechangia davista shilingi ngap?

    • @owinomakochieng828
      @owinomakochieng828 Рік тому

      @@UsafiMichael-mc8kt Hela tena, Msafi? Tuna uhuru wa kutoa maoni, waabeja. Alivyosema Mtume Petro, "Sina fedha wala dhahabu lakini kile nilicho nacho nitakupa".

  • @killmanofficial1415
    @killmanofficial1415 Рік тому +1

    Duuuh

  • @JoyfulGod
    @JoyfulGod Рік тому

    Muone wamayo vile ako smart.

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 Рік тому

    Vipi kuhusu magonjwa alikua asambazi Ukimwi kwanjia hiyo

  • @remzaadam6857
    @remzaadam6857 Рік тому

    Wamay uko vizur kweny sekt yakula

  • @joshuamakota6714
    @joshuamakota6714 Рік тому

    Wamayo natamani avue kofia nione ndonga yake, hana kakipara kweli huyu mwamba???

  • @heritier5119
    @heritier5119 Рік тому

    Kama ulishawahi kwenda kwa mganga tambua ulishaibiwa nyota yako.
    Nyota ni biashara kubwa sana kwa waganga

  • @ArbetMangwea-if6ih
    @ArbetMangwea-if6ih Рік тому

    Uyo jini hakuna wema alio wahi fanya yeye ni maovutu

  • @womanofsteel1402
    @womanofsteel1402 Рік тому +1

    Uzinzi Ni kitu kibaya sana ,tujifunze kupitia Wamayo

    • @butondodavid2105
      @butondodavid2105 Рік тому

      Mungu alitupa amri kumi kumbe zina maana kubwa ,Maana hii dhambi ya uzinz dah

    • @womanofsteel1402
      @womanofsteel1402 Рік тому

      @@butondodavid2105 Yaan hata Mimi nimefikiria hiyo Amri ya usini kumbe Ina Maana kubwa sana

    • @elizabethleonce1089
      @elizabethleonce1089 Рік тому

      ​@@butondodavid2105ni kweli yani ina maana kubwa

  • @ArbetMangwea-if6ih
    @ArbetMangwea-if6ih Рік тому

    Arafu huyo jini hana jinsia yani oyaoya aaaaaa Dunia hii hadi jini shoga

  • @zulekhasaud483
    @zulekhasaud483 Рік тому

    Davistar kumbe chanel yako ya dini mbona wafuta comment za ndini nyingine wanapo jbiwa .ukwer wewe wafuta sio poa mungu hapendi upendeleo

  • @rahimomary7663
    @rahimomary7663 Рік тому +1

    Samahani hiviii nyota ya mtu inayozungumzwa Sana na baadhi ya watu hivii katika mwili wa binadamu nyota hukaaa Wapiii...?? Au hiyo nyota inayozungumzwa huwa Ni kitu ganiii

    • @joshuarafael5186
      @joshuarafael5186 Рік тому +1

      Nyota inayozungumzwa na watu wengi naamini hua ni wito tunaweza sema destiney au kitu ambacho mungu ameiusudia kwako kwenye maisha ya hapa duniani.
      Mungu anaweza kuwa ameweka kwako uwe dactari/ raisi au mwalimu, mtu kama daktari lazima awe na akiri shuleni ndio wanaiba akiri ya huyo mlengwa, na wakitoa hakiri manaake wameiba destiny yote yaani huwezi kuwa dactari tena, mwingine ni mwanasiasa kama kuna mtu anataka kuwa mwanasiasa akaenda kwa mganga, mganga anachofanya anaiba nyota ya mwingine kuweka kwake yaani kuchukua lile jambo ambalo Mungu amekupangia uwe kwenye maisha yako hapa duniani.
      Tunaita nyota na hilo neno linachanganya kweli, wengi hatuelewi nalo. Sizani kama nmeeleza vizuri kama navyoelewa kabisa lakini kidogo unaweza elewa apo. God bless you brother

    • @rahimomary7663
      @rahimomary7663 Рік тому

      @@joshuarafael5186 kwa maana hiyo sasa Kama mganga anaweza fanya hayo mathlani kuiba nyota it's means Ni kuwa kila Jambo Mungu anakuw kakusudia Hilo likupate pia maana haliwezi fanyika Jambo mpaka Mungu apendeee

    • @bakari-si1pw
      @bakari-si1pw Рік тому +1

      Yeah true 👂

    • @butondodavid2105
      @butondodavid2105 Рік тому +1

      Hapa kidunia tuna ita nyota ila huwa namaana ya karama au hatima au kisudi la Mungu kwa binadam, nahii zawad kuichukua ningumu ukiwa na nguvu ya Mungu, Ila shetani na mawakala wake wanachofanya wanakutumia mikosi,shetan muongo sana atajifanya anakupa nyota kumbe anakupa jini kwa maagano mtakayo ingia.Hayo mambo yote ukifatilia shuhuda za Davistar wameyaongelea sana

    • @joshuarafael5186
      @joshuarafael5186 Рік тому +1

      @@rahimomary7663 ndio kabisa ndugu, Mungu hujua yote... naweza sema kwa mfano una mtoto, ukaamua kumnunulia zawadi lakini unajua kabisa kuwa anaweza kuibiwa kwa sababu hajui thamani yake kwa hiyo hawezi itunza vizuri pengine ataharibu, lakini bado utamnunulia tu, si kwasababu hujali no! Ila ni kwa sababu unampenda na kumpa the best, na pale anapoharibu au kuibiwa akirudi kwako kajifunza vizuri kutunza pengine utamnunulia iliyo nzuri zaidi kwa sababu amejifunza vizuri.
      Likewise kwa Mungu wetu, hujua yote lakini yeye atabaki kuwa ni Mungu na anatupenda sana, anatupa japo anajua wengi wetu tutakosea pia anajua atatuokoa pia, na Mungu ndiye chanzo ya uhai kila kitu anacho tena tele, hakuna siku tutamu-outrun mungu. Tukijua tumeharibu tukarudi kwake kwa unyenyekevu pengine atatupa kilichobora zaidi.
      How wonderful is our Lord.

  • @heritier5119
    @heritier5119 Рік тому

    Thus biblia inakataza uzinzii ili kuepukaa usipate magonjwa ya kiroho na kimwili

  • @tahirnephessalum3678
    @tahirnephessalum3678 Рік тому

    Hii ya majini kuwa wengi ktk maclub nimeiskia sana hata kwenu davista ile club ya Nolasco Majini wanakujaga sana pale... ukimuona ni kama dem mkali Sana

    • @bakari-si1pw
      @bakari-si1pw Рік тому

      Kigamboni mji mwema pale usiku atari sana wikeend atari

    • @tahirnephessalum3678
      @tahirnephessalum3678 Рік тому

      @@bakari-si1pw hatar kaka mitaa ile yamenikuta mengi ikiwemo kupotea njia, njia ambayo naipita kila siku ila siku hiyo nilikuwa siioni kuanzia usiku wa sa 5 mpaka sa 9 nahangaika afu mwisho njia nikaja kuiona pale pale nilipokuwa siioni 😄😄

    • @bakari-si1pw
      @bakari-si1pw Рік тому

      @@tahirnephessalum3678 yani nayashangaa sana kuyasukia aya hapo napita kila siku za Mungu natoka Dege nakwenda Darajani job ila ukipita usiku pale kumekucha kaka mambo ni 🔥🔥🔥kumbe mijini tupu

    • @bakari-si1pw
      @bakari-si1pw Рік тому

      @@tahirnephessalum3678 unajuwa kitu ambacho najiuliza wwe umepoteaje wakati pale seemu akuna vichchoro vingi ukitaka kutoka lazima uje mpaka mji mwema au uje hapa kituoni daraji na uwezi tembea kwa miguu lazima uchukuwe usafiri ndoo upate kutoka au kama kwako naribu ndoo utatembea Ssa kitu kinanishangaza yaani wwe usiku mzima bado unatafuta njia Inashangaza kusikia aya😳😳muda huu saa8:00asubui hii napita hapa bado watu wapo wanakunywa tu

  • @GLORIAHAROYAL
    @GLORIAHAROYAL Рік тому +1

    Muone😅

  • @juliethswai4263
    @juliethswai4263 Рік тому

    daaah nimejifunza mengi mno mno kwenye hii story...tuishi katika maombi shetani yupo kazini kila wakati