JIBU LA 141 ; JEE NI SAHIHI MWANAUME KUSUKA AU KUSOKOTA NYWELE?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • FATAWA ZA SHEIKH ABDUL-QAADIR AL-AHDAL (ALLAH AMUHIFADHI)

КОМЕНТАРІ • 3

  • @ramadhanhaddad7348
    @ramadhanhaddad7348 Місяць тому +1

    Shekh vp kwa sisi wamasai ambao kwetu wanaume husuka na huvaa shanga?

  • @Ukhtyzuhura
    @Ukhtyzuhura 11 днів тому

    Je ndio sawa na kusuka wanavosuka vijana wa sasa wanasukwa saloon za wanawake ambao sio maharimu zao...wanawake
    wamevaa uchi hawana
    hijab na wengine sio waislam wenye kuwasuka hizo nywele

  • @Ukhtyzuhura
    @Ukhtyzuhura 11 днів тому

    Mtihan mimi mwenyewe
    nilipata challenge na watoto wangu wa kiume wanasoma madrasa na walisoma somo la hadith
    ya kuwa mtume alifungua makka alionekana amefunga nywele zake
    sasa wao wanapambania ya kuwa sio haram
    na sie tunaishi nchi hizi
    za ughaibuni uk
    vijana watu wazima wamesuka na kutoboa maskio,pua
    Mtihan mkubwa hakika