MCHUNGAJI HANANJA Afunguka kuhusu wachungaji wanaotabiri vifo

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 29

  • @edwardkamau8804
    @edwardkamau8804 7 місяців тому +1

    AM A GREAT FAN OF MCHUNGAJI HANANJA..HE IS ALWAYS ON POINT AND MOSTLY STRAIGHT 👌 TO THE POINT

  • @AverineLigohalimu
    @AverineLigohalimu 6 місяців тому

    Nakukubali sana Ananja unachosema ni kweli kabisa mchungaji.

  • @melkizedekwiliam-hi7bz
    @melkizedekwiliam-hi7bz 7 місяців тому +1

    Sawa sawa mchungaj. Mm nawashangaa sanahawa watabir wa vifo vya watu. Hv! Lengo lao ni nin hasa? Yaan! Kifo cha Lowasa manabii baadh walisema tulitabir!! Najiuliza mbona visipotokea hawasemi tulitabir? Mungu anapoonyesha hatar lengo tuimbe lisitokee. Mbona likitokea manabii baadh wanafuhia?

  • @SaideAliSaide-d4o
    @SaideAliSaide-d4o 7 місяців тому

    Mungu akuongoze katika njia tá Haji

  • @minanikafugugu6035
    @minanikafugugu6035 7 місяців тому +2

    Nakukubali sana baba

  • @mburuumbe5659
    @mburuumbe5659 7 місяців тому +1

    Jiooooooni sio mbaya baba wewe mwenyewe unasema uzoefu ni elimu so nadhani muda uliopita mchana ilikuwa muda wa kupata uzoefu unaoshea na sisi leo lakini pia hata mapito yako unayosimulia yanatia moyo kwamba kumbe ukiamua kubadilika inawezekana na hakuna kukata tamaa maisha ni hatua kwa hatua upande ujana uote uzee daaah Yan mie napata nguvu sana ya kusonga mbele kupitia wewe ubarikiwe baba

  • @jomba6514
    @jomba6514 7 місяців тому +1

    Mchungaji umeongea ukweli kabisa

  • @benjaminmartin4548
    @benjaminmartin4548 7 місяців тому +2

    Tunakusubiri United kingdom

  • @charleskaponya6063
    @charleskaponya6063 7 місяців тому +1

    Mungu akusimamie. Mzee wa kusema ukweli. Mchungaji, ni wajinga tu ndo wanaokuchukia. Usiwajali chapa kazi.

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 7 місяців тому

    🔥 moto, kimbunga, tofali😂😂😂.

  • @coolpara8192
    @coolpara8192 7 місяців тому

    Anayosema mengi nakukubali lkn kuwa mkweli dini ya haki ni ipi kwa wakati huu

  • @filozbaraka
    @filozbaraka 7 місяців тому

    Uyuuu mzee apewe Mai yake tu

  • @jacksonbayyo2937
    @jacksonbayyo2937 7 місяців тому

    Ni kweli

  • @jameskilowoko7153
    @jameskilowoko7153 7 місяців тому

    ,❤

  • @bosssyedmund8785
    @bosssyedmund8785 7 місяців тому

    TOFALI😂😂😂😂😂🙌🏿

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 7 місяців тому

    🤣🤣🤣🤣🤣👈👉🙌 points 👉 👈 silimu

  • @jesuspower2390
    @jesuspower2390 7 місяців тому

    wewe babu ni mnafiki

  • @jesuspower2390
    @jesuspower2390 7 місяців тому

    Halafu tuonyeshe cheti cha kuzaliwa eti una miaka 60 ahahahahah we una 78 + si uhamie msikitini hujalazimishwa kuwa mkristo.

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 7 місяців тому +1

      Mbona unapaniki vip

    • @rauhiaomar977
      @rauhiaomar977 7 місяців тому

      Hananja wala ata hana muda na comment yako unajisumbua bure, keshasema si lazima kumskiliza. Mnapendag sana matusi

    • @emanuelleopod3949
      @emanuelleopod3949 7 місяців тому +1

      Mla sadaka nakuona tu umehumuka baada ya kupigwa na nondo

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 7 місяців тому

      Mtu asiye mjua Kristo utamjua tu
      Kwa maneno yake na matendo yake.
      Emmanueli bado hujamjua Kristo bado ,Jifunze Neno la Mungu ili ukue

  • @jesuspower2390
    @jesuspower2390 7 місяців тому

    Kuhusu sadaka wewe mwenyewe unaanza kusafiri sasa hivi kwa ajili ya sadaka , unapenda kuongelea wenzako... kama ukristo hujauelewa na uzee wako huo una Matatizo.. kama ulizaliwa kwa mchanganyiko sio shida zetu ni shida za njaa zako .

    • @shaibumbwilo9938
      @shaibumbwilo9938 7 місяців тому +1

      @jesuspower2390,vipi unatesekea wapi,inaonesha anakukera eeeh😂.relax

    • @JaniMsangi
      @JaniMsangi 7 місяців тому

      Mchungaji Hananja kasema UKWELI MCHUNGU. Wakristo wote bado hatujauelewa Ukristo kwa undani. Hata hawa wanaoitwa PAPA (BABA MTAKATIFU WA ROMA), WACHUNGAJI,WAENJILISTI,MITUME,MANABII, WAALIMU WA BIBLIA, ni kama wanafunzi wa chekechea kwenye KIKRISTO, kubali usikubali Habari ndiyo hiyo.

    • @kelvinLusana
      @kelvinLusana 5 місяців тому

      Acha wivu Sasa ukifikisha umri wa hananja SI utakuwa mchawi kabisa wewe

    • @IsraeiMwankwasya
      @IsraeiMwankwasya 5 місяців тому

      Binadamu jamani wabaya sana mchungaji hana baya