MBWADUKE: TOBAAH! HUYU AHOUA AKIZOEANA NA KINA MUTALE, NGOMA, CHASAMBI NI BALAA ZITO/ MUKWALA...
Вставка
- Опубліковано 2 лип 2024
- Usisahau ku-subscribe, ku-comment na ku-like...
UFAFANUZI
Mzee wa Data ameteleza kidogo. Usahihi Ahoua amefunga mabao 12 na kutoa assists 9 (na siyo kufunga mabao 9 na assists 12). Kumradhi.
By Mhariri Mbwaduke Stats "Spoti Next Level"
Nakukubali sanaa mzee wa datasa👍
Kram hakuwahi kuwa mvp babu@
Uko sahihi
Sio pakome hapo umetereza kidogo MVP alikua ni Abin Cramo
Naomb uwaambie Simba SC imlete Petro atletico de Luanda... SIMBA day
Mungu ibariki simba❤❤❤
good Sana
Honger xna
Good explanation
Yangu ni Maombi kwa Mungu azidi kuwalinda wachezaji wetu awalinde na mabaya
Tunataka heshimaaaa this season 🎉
Leten tim ngumu simba day
Safi sana
Kwa hizo data naamin Ahoua atatupa kitu kimataifa na Nbc
Nimekuelewa kaka
Magoli 12 na Asist 9
Umemsahau Aubin Cramo alikua MVP pia
We hatar sana nakubal kaz zako bro...
2letee notes za player mwingine father
Acha. Waje
Simba nguvu moja
Kazi nzuri🫡
mbaduke hapo umeteleza kidogo umejichanganya, amefunga goli 12 assist 9
Uko sahihi. Shukrani kwa kutukumbusha. Ni kweli na ndiyo maana tumeomba radhi hapo juu kwenye descriptions. Ahsante kwa kuendelea kutuunga mkono.
Nakupenda sana@@MbwadukeStats
Habar uchambuzi
Je ? Uchezaji wake ni kama mchezaji gani wa England na Spain pia ufaransa kwanzia miaka ya 2018 kuja mbele mpaka 2020
Dah jamaa yuko vizur sana
Jean Charles NI mchezaji Bora kitakwimu ila tumuombee aweze kui ngia kwenye mfumo WA simba
Unyama mwing mwaka huu yaan
Simba nguvu moja..
Kazi wanayoo mwaka huu atuna wapaka poda wachambulie vizur wamjue
atashangaza wengi Ahoua
Mo apewe maua yake
Hivi ukiwa una izungumzia simba au yanga ipi unapata watu wengi Miyangatu
Msimu ujao kaz wanao
😂😂😂😂😂 mbwaduke umechapia pacome na MvP wap na wap dah.
Ni mabao 12 na asisti 9
Yes. Uko sahihi na ndiyo maana tumeomba radhi hapo juu kwenye descriptions. Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!
Fund wap mlimwona wap
Yanga bingwa Mara 5 usifute coment hii
Usijali, ngoja nii-save
Umetudanga msim uliiopits alikuwa aubn klamo sio pacome hajawahi kuwa mvp
Wewe ndio muongo,Mwanduke yupo sahihi
Ww ndo ujui ki2 kak😂😂😂
Ww ndo hujui mpira🤣🤣🤣
Mbaduke yupo sahii kwa uchambuzi anakuchambua ata wewe!!!
An hairuhusiwi kukosoa kwa hii. Darasa
Kazi wanayoo mwaka huu atuna wapaka poda wachambulie vizur wamjue
We jadil Tim Yako xawa
Simba nguvu moja
Simba Ya motoooo