Hapa sinema ni ndefu.Kule visiwani mara chache kusikia mtu katekwa. Bara kila kukicha.Waziri ni mzanzibar, amekaa kimya,tuchukulie kuwa haoni,hasikii,hajali kwa vile nyumbani ni shwari.Masauni anakwaza,Kama anapendwa,atafutiwe kazi nyingine,nasikia ni muhandisi.
kwani uyo alie uliwa kikatili c binadam anae staili kuishi c mtanzania mwenye haki sawa nauyo masauni ukiondowa vyeo hivyo tena vyakuteuliwa basi tuamini sote tunaaki sawa chini yaaridhi hi tunakuwa naofu kuliko kuchukizwa naunyama uliopo
Hakuna ubaya waziri kwenda msibani uwezi jua ukaribu between waziri na marehemu walikuwa watu wenye mahusiano gani...watanzania sio kila kitu tukichukulie vile hisia zetu zinavyotutuma muda mwingine hisia zinatupeleka long place...embu jiulize kwa nini Mbowe jana alipandwa na jazba baada ya wanachama wa chadema kumzomea waziri..
Ingekua kenya 🇰🇪 waziri angekua mahali pema
Ila zembwela muelewa sana, yani unamtumaje waziri sehemu kama ile ili kumfhalilisha au kutaka kuona nini kinafuata
Hapa sinema ni ndefu.Kule visiwani mara chache kusikia mtu katekwa. Bara kila kukicha.Waziri ni mzanzibar, amekaa kimya,tuchukulie kuwa haoni,hasikii,hajali kwa vile nyumbani ni shwari.Masauni anakwaza,Kama anapendwa,atafutiwe kazi nyingine,nasikia ni muhandisi.
Wajiuzuru hao .watu hatuna amani
Ingekua Kenya saiz kunauteuzi mwingine angemfata marehem
Halafu waziri niudongo wa Zanzibar huyu
😂😂 zembwela mnafki😂😂
Zembwela bana 😅
Semeni tu waziri alisutwa!
Hii inchi viongozi wetu awana uzalendo tumetawaliwa na starehe za kikahaba ndio vinavyo leta shida hii
Intelijensia ipo kwa ajili ya mikutano ya upinzani siyo kwa watu wasiojulikana
Zembwele ze way anavyoongea utamuelewa anaongea kma moyo wake unavuja dam lkn hajui namnah nn afanye 😂
Zembwela kweli wewe chawa wa serikali,jeshi imara mtu anatekwa ndani ya basi!?
Zembwela mnaf kumbe nae pale wangeamua kumpiga wangempiga Tu sema nn walijua Tanzania watu wake wajinga yaan pale hakua naulinzi wowote
kwani uyo alie uliwa kikatili c binadam anae staili kuishi c mtanzania mwenye haki sawa nauyo masauni ukiondowa vyeo hivyo tena vyakuteuliwa basi tuamini sote tunaaki sawa chini yaaridhi hi tunakuwa naofu kuliko kuchukizwa naunyama uliopo
Hakuna ubaya waziri kwenda msibani uwezi jua ukaribu between waziri na marehemu walikuwa watu wenye mahusiano gani...watanzania sio kila kitu tukichukulie vile hisia zetu zinavyotutuma muda mwingine hisia zinatupeleka long place...embu jiulize kwa nini Mbowe jana alipandwa na jazba baada ya wanachama wa chadema kumzomea waziri..
Duh wakili banah
Duh wakili banah