Chemical Ft Malkia Karen - Unanifaa (Official Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2024
  • For Bookings and enquiries;
    Email: chemicaltz1@gmail.com
    Catch Up with Chemical on
    Instagram: / chemical_tz
    Twitter: / chemical_tz
    Facebook: / chemicalofficial
    ITUNES:itunes.apple.c...
    SPOTIFY:open.spotify.c...
    TIDAL: tidal.com/browse/artist/15739491?play=true
    For Bookings: Contact +255 787 012 490
    Email: chemicaltz1@gmail.com
    Subscribe on Chemical UA-cam Channel: / @chemical_tz

КОМЕНТАРІ • 362

  • @kamalissabig8649
    @kamalissabig8649 4 роки тому +170

    Ngoma kali ana mkubali Chemical ametisha weka like twende sawa

  • @mziwandakorea5228
    @mziwandakorea5228 4 роки тому +28

    Kuna wasaniii wanapendeza sana machoni bana na song linabembeleza wapi like za chemical

  • @billnemess9369
    @billnemess9369 4 роки тому +5

    Chemical nakupenda sana ndomana nakuitaga “my Tanzanian wife!”🙌🙌🙌💎 huu wimbo nawusikiza mara kama 10 kwa siku! Malkia Karen sasa ndo akamarizia kila kitu❤️❤️❤️❤️🇹🇿🇧🇮🇺🇸🔥🔥🔥🔥👊🍹

  • @daudashery4992
    @daudashery4992 4 роки тому +92

    Kama nawewe unakubali kua aloimba kiitikio atakuja kua mkali zaid ya nandy gonga like

  • @edwingwesso129
    @edwingwesso129 4 роки тому +45

    Kama unamkubal kareni achia like

  • @chemicalofficial8555
    @chemicalofficial8555 4 роки тому +15

    Chorus sasaaaaaaa......Mamaaaaaaa Karen umeumizaaaaa

  • @nasramwalimu2900
    @nasramwalimu2900 4 роки тому +15

    Du!!! Mungu wangu chamical nakupenda mno

  • @orpuladventuretours4313
    @orpuladventuretours4313 4 роки тому +17

    Chemical nimezimiss swagger zako Bora umerudi

  • @florandetei5211
    @florandetei5211 4 роки тому +14

    Hii naicheza hadi mauti,,, my love for chemi gal 💖💖💖💖💖

  • @DavidAtiti-kh9sh
    @DavidAtiti-kh9sh Рік тому +3

    Chemical is SUPER TALENTED RAPPER

  • @youngbishoo2
    @youngbishoo2 4 роки тому +39

    Like nyingi kwa chemical

  • @issa9537
    @issa9537 4 роки тому +5

    We mkali hakuna mpinzani.... Big up sana!!!

  • @kakaproduction919
    @kakaproduction919 3 роки тому +1

    Karen umenimaliza na chorus from+254 Chemical pamoja

  • @youngdreamertz731
    @youngdreamertz731 4 роки тому

    Kazi kali sana Dada Chemical huwajahi niangusha Dats true

  • @Eliroster
    @Eliroster Рік тому

    Karen sauti tamu sana...nyie watoto hakuna kama nyinyie

  • @magrethmateso7987
    @magrethmateso7987 4 роки тому +16

    Kama umeludia kuanglia ili song gonga like ap

  • @TobyGabone
    @TobyGabone 4 роки тому +6

    Sijawahi juta kuangalia video wala kusikiliza ngoma zako. Hongera kwa UNO🔥🔥🔥

  • @ambokileasheengai1140
    @ambokileasheengai1140 3 роки тому

    Chemical Nakukubali kama Jina Lako ,,,,,kissss

  • @ramakadzingo99
    @ramakadzingo99 4 роки тому +6

    Wow! Gd staff 4 sure, Alafu Karen una sauti classic napenda unavyovaa tu mm 😙😙

  • @rasphodmercy2877
    @rasphodmercy2877 4 роки тому +5

    My best female hiphop star in Tz...Good job malkia Karen

  • @lizynoelmaselle5110
    @lizynoelmaselle5110 4 роки тому

    Nimeilewa sana iii song ni moto chemical unakosea kabisa kumuweka caren yn daaaah nouma

  • @mabubakitambi6599
    @mabubakitambi6599 4 роки тому +1

    Daaaah wimbo mtaamu kweli,,, Mimi ndo chemical ""boy"" na kareen ""girl""ndo Dem wang

  • @husnamkwata2755
    @husnamkwata2755 4 роки тому +2

    Karen jamn mi nakupenda snaa... anyway mmetisha pia napenda kuona watoto wa kike mkishirikiana hvo😍😍

  • @lovinomwamtambulo6629
    @lovinomwamtambulo6629 4 роки тому +7

    🔥🔥🔥🔥 wewe Mtoto Nakuja Kutoa Mahali

  • @dioncmusic7027
    @dioncmusic7027 4 роки тому +6

    Aliyeimba kiitikio muangalien kwajicho la tatu atakuja afunike watu Kama unakubali gonga like hata tano tu

  • @mariomikejones603
    @mariomikejones603 3 роки тому

    Ngoma tamu..much love

  • @anotvmtate7831
    @anotvmtate7831 4 роки тому +10

    Pamoja chemical nimeipenda hiyo ngoma kinomanoma

  • @salamakenga2782
    @salamakenga2782 4 роки тому +7

    From +254 i appreciated ua job ma dia,pamoja xana nani kama chemical,, after papa jonhs wewe ndo unafuata kwa wale raper naokubali

  • @tozzaalexandar4905
    @tozzaalexandar4905 4 роки тому

    Chemical wewe huna mpinzani unajuwa sanaa

  • @mussahamza8484
    @mussahamza8484 4 роки тому +1

    Kama kawaida yako nakuelewa sanaa hukoseagi

  • @sampalsa_Official
    @sampalsa_Official 4 роки тому +2

    Mamy naona kabisaaa unaniosha Kinoma nakuambia duh!!

  • @rubyisaac142
    @rubyisaac142 4 роки тому +4

    Alot of good music is underestimated in Bongo, lovely song.

  • @chemicaltz2287
    @chemicaltz2287 4 роки тому

    Sijui kwann nimechelewa kuionaaaa

  • @josboy5384
    @josboy5384 4 роки тому +1

    Kaz nzur dadaz

  • @neemavictor1800
    @neemavictor1800 4 роки тому +4

    Soo talented ♥️

  • @saidihamzaramadhan2338
    @saidihamzaramadhan2338 4 роки тому

    Sana chamical big up Mungu akuzidishie wepesi i like yr music

  • @mariammbelwa8259
    @mariammbelwa8259 4 роки тому

    Chemical yupo tofauti Sana'a yaan me namkubalii na ninampenda sana chemical na msfananishe chemical na rosaree yule mtfta kiki tu nakachukia

  • @michaelanthony7470
    @michaelanthony7470 4 роки тому

    aaah wapi mimi sisamehi kwa kweli...
    potelea pote

  • @jivankulikwa24
    @jivankulikwa24 11 місяців тому

    Karen Aliua sana huu wimbo🔥🔥🔥

  • @pendopascal1899
    @pendopascal1899 Рік тому

    Nakupenda sana chemikal 💋💋💋💖💖

  • @africaonetv5462
    @africaonetv5462 4 роки тому

    Nimekuja sababu ya king kiba kumtaja huyu dada kweli anajua aisee

  • @elizabethmichael5687
    @elizabethmichael5687 4 роки тому +1

    Nawa penda sana

  • @innocentboykid244
    @innocentboykid244 4 роки тому +56

    Wanaokubali chemical afananishwi na aliefanya xxx akafungiwa juzi gonga like

    • @abdulmohd6880
      @abdulmohd6880 4 роки тому

      Ww Gades yupo juu sn huwezi mfananisha na chemical sema nd vle umagharibi mwingi tu...

  • @fextomaturo7815
    @fextomaturo7815 4 роки тому

    Daaaah hawa watuui wako vzr Sanaa's

  • @kigwangarakenya2065
    @kigwangarakenya2065 4 роки тому

    Ukiacha ujinga wako ww nimsanii mzuri sanaa

  • @justinemoris3046
    @justinemoris3046 4 роки тому +4

    Goma kari san big up chemical

  • @abubakarihtarimo7660
    @abubakarihtarimo7660 4 роки тому +16

    Kama umelielewa hii tena Kali zifike 100 like

  • @abdallahmchange1370
    @abdallahmchange1370 4 роки тому

    Mocco
    Chemical
    Karen
    Bonge moja la combination

  • @giftelia5535
    @giftelia5535 4 роки тому +6

    Bonge la rapa sema umekosa waandaaji wa Audio

  • @justinafyondi8455
    @justinafyondi8455 3 роки тому

    ##dah mwanang Umeuaaah##🥰🥰🥰

  • @lucybenedict6284
    @lucybenedict6284 4 роки тому

    Ngoma kali sana nimependa mnooo

  • @kepasibogosi2274
    @kepasibogosi2274 4 роки тому

    mi nakubali sana chemical unaweza sana ujawai kutuangusha bi mdada

  • @elitegeneration1613
    @elitegeneration1613 4 роки тому +2

    daaah napenda chemical anavyorelax kma hafany game ya bongo hv

  • @careenpaul2328
    @careenpaul2328 4 роки тому

    Wajina wangu yuko pw sana

  • @abdallahmchange1370
    @abdallahmchange1370 4 роки тому

    Watching it daily
    Nkiweka tyuu bando naanza na hiii

  • @davidkiwonde3019
    @davidkiwonde3019 4 роки тому +6

    Young ma from bongo🔥🔥🔥

  • @abtalimkali5382
    @abtalimkali5382 4 роки тому +25

    Kama unamkubari Chemical gonga like

  • @malahimartine4397
    @malahimartine4397 4 роки тому +1

    Duuh Karen ana saut Kali jamn mpk inaamsha mizuka😋😋😋

  • @Lovelove-or2ob
    @Lovelove-or2ob 2 роки тому +1

    Hakika ngoma iko powa sana wagapi wanaagalia kama mimi 28/10/2021

  • @paschalpeter4540
    @paschalpeter4540 4 роки тому +6

    Simple music but no one can do it only chemical

  • @suleimanharoub9252
    @suleimanharoub9252 5 місяців тому

    Upo vizuri sana

  • @dieudonnekiza7560
    @dieudonnekiza7560 4 роки тому

    Nakupenda chemical 😍😍😍😍😍😍

  • @Ronald-Oundo-Gospel-Music
    @Ronald-Oundo-Gospel-Music 3 роки тому

    Wow! Karen anasing poa naomba collabo popote upo chemical,Karen and centano naomba tu collabo pia yamoto bend

  • @ramachalii7148
    @ramachalii7148 4 роки тому +3

    Chemical wew nihatari San nkuelewa San ...From. A town Chuga boy ..ramaso

  • @rebecaanania5863
    @rebecaanania5863 4 роки тому

    mwanamke ni mwanamke tu, chemical na utomboy wote ila chuchu naziona

  • @chidykiwango1394
    @chidykiwango1394 3 роки тому

    Nakubaliiiiiiiiiiiiii sanaaa

  • @abedisalumu2295
    @abedisalumu2295 4 роки тому +10

    Mimi mwanamke wandoto zangu nikaren mda simrefu ntaliamusha dude Mana unanifaa ile mbaya

  • @mwanaharusitsuma5880
    @mwanaharusitsuma5880 Рік тому

    Napenda unavo rapu yahabibi ❤❤❤❤

  • @jerryitonemedia
    @jerryitonemedia 4 роки тому

    Umeua Mwana Lubao
    Chemical

  • @mullerthedon3590
    @mullerthedon3590 4 роки тому +1

    Chemical nakukubal kimonoma noma kaz mwana

  • @deborahnziku3233
    @deborahnziku3233 4 роки тому +1

    Chemical we ni noma sana iko poa kinyana

  • @jeniphadida1742
    @jeniphadida1742 4 роки тому

    Karen mungu akulinde kwa hivi ulivuoimba kah!!👏 nyie ni wakari

  • @yusuphmjengo924
    @yusuphmjengo924 3 роки тому

    like kwanza,ili twende sawa 🚁🛫

  • @danielalvine2666
    @danielalvine2666 4 роки тому

    CHEMICAL TENA bado promotion tuna kaza kaza DRC. CHEMICAL MBELE MBELE

  • @Kazimily_Music
    @Kazimily_Music 4 роки тому

    Noma sana

  • @rassimasumail3832
    @rassimasumail3832 4 роки тому

    Ni Kali Sana

  • @asernalclassicmr.kipaji215
    @asernalclassicmr.kipaji215 3 роки тому

    Chemical u is fire sanaaaaa

  • @ramadhaniathumanimlenge6641
    @ramadhaniathumanimlenge6641 4 роки тому +1

    Shenzi sana dogo langu Chemical hii ngoma ungemshirikisha Nandy ungeua zaidi ya hapo ila poa tu mamy

  • @goodyalphonse268
    @goodyalphonse268 4 роки тому

    Nandyyy uko Wapiii Ndo Unapinduka hivo Hyu Karen SIO POA KABISA ANAIMBA MPAKA ANAIMBA TENA Anakupindua Nandyyy kwenye Umalikia Angalia Hata Anavojiitaa 😅 kwaheri Nandyy

  • @doponlinestories3124
    @doponlinestories3124 4 роки тому

    Yeeesssss muone mwanalubaooo ha ha haaa unanipa guzbum kinyama nice song boss

  • @montanatvqv3792
    @montanatvqv3792 4 роки тому

    Noma sanaaa

  • @billnemess9369
    @billnemess9369 4 роки тому

    Hii nyimbo natizama nakuiskiza kama 10 kwa siku❤️❤️❤️❤️💎🙌🙌🙌 I love u so much Chemical!

  • @daudidaudi964
    @daudidaudi964 4 роки тому +1

    Chemical natamani nikupe hug siku moja. Love you and always love your songs daima. Mwaaaaaaah!!!!

  • @IYANIZZO
    @IYANIZZO 4 роки тому

    Chemical karudi kwenye ubora wake afu crushie na yeye kabana chorus kinoma kubwaaaaaa.....
    #IyanizzoTheGenius #Supports

  • @hawasaid8262
    @hawasaid8262 4 роки тому +3

    Bonge ra jimbo weunaweza many😘

  • @jescamalima6939
    @jescamalima6939 4 роки тому

    Nakubali Sanaaa chemical

  • @rahimmarions5712
    @rahimmarions5712 4 роки тому +1

    Good song makemikaliiiiiii👍

  • @wemakalamu3538
    @wemakalamu3538 4 роки тому

    Karen na chemical muko vizuri hongereni nyimbo nzuri balaa

  • @hamrakhan8035
    @hamrakhan8035 4 роки тому

    Gomaaaaa kaliiiiiiii

  • @andulilemwakihabha2931
    @andulilemwakihabha2931 4 роки тому

    Namkubali sana huyu dem

  • @kelvinnyaga6007
    @kelvinnyaga6007 4 роки тому

    iko sawaaa

  • @selemantupa6375
    @selemantupa6375 4 роки тому

    Karen nakuelewa .,. ..

  • @hamrakhan8035
    @hamrakhan8035 4 роки тому +1

    kama unamkubali chemical like apaaaa

  • @hemedmikanda8808
    @hemedmikanda8808 4 роки тому

    Nakukubali saaana chemical utanikuta show ya th 29 /11/ show yako ya gairoo!!!

  • @meck_billions
    @meck_billions 4 роки тому

    Aaaah chemical unajua mziki adi unakera yaani Karen nae kaua kabisa na hyo vocal yake
    shutouts KWENU ASEEE

  • @wavinonoclassic1274
    @wavinonoclassic1274 4 роки тому +3

    Ngom nzur mno big up chemical

  • @ziakaitala2221
    @ziakaitala2221 4 роки тому +1

    Chemical ni mkali sanaaaaaaaaa

  • @stanleymathias4432
    @stanleymathias4432 4 роки тому

    Leo ndio nimejua huyu ni mwanamke

  • @petermunabi3753
    @petermunabi3753 4 роки тому

    Kali sana

  • @chachajumanne8175
    @chachajumanne8175 4 роки тому

    Nimeikubal kinoma noma pamoja sana chemical🔥🔥🔥