MJUE MEJA JENERALI MBUGE | AWATAKA VIJANA JKT KUJIPANGA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 37

  • @edwardgwaspika4943
    @edwardgwaspika4943 4 роки тому +4

    Hongera sana mh. Meja General... Unamtazamo wa mbali sana kila kijana angalau awe na nafac ya kulima eka moja itasaidia sana... Tuwe wazalishaji wa chakula kwa bara zima la Africa.... Tuna kila sababu ardhi tunayo, amani ya nchi iko vizuri watu wa kutosha ambao ni vijana wapo so we have every reason!

  • @naturalwallpapers4884
    @naturalwallpapers4884 4 роки тому +10

    Kurutu wa Ruvu jkt kama mm mikono juu........Mungu akutangulie Mbuge ktk utendaji wa kaz!!!

  • @ibrahimjobu9141
    @ibrahimjobu9141 4 роки тому +14

    Ahahahahahahahahahahahah huyu ndio General anaekuja kama unakubaliana na Mimi gonga like za kutosha

    • @masakaupdate1488
      @masakaupdate1488 4 роки тому

      Ibrahim Jobu mimi nakubali

    • @albaharyhaji8231
      @albaharyhaji8231 4 роки тому +1

      Historia wengi wa wakuu wa majeshi walipitia kuwa wakuu JKT sema jana ana bahati sana kapanda vyeo haraka sana..

    • @stn4873
      @stn4873 Місяць тому

      GENERAL JJ MKUNDA🔥🔥🔥

  • @kilwaboysmatteacher3167
    @kilwaboysmatteacher3167 4 роки тому +8

    Namkumbuka sana Mbuge, kpnd hko nikiwa 832 KJ RUVU
    Hakika huyo ni kiongozi.....

  • @daudhenry6212
    @daudhenry6212 4 роки тому +2

    Mungu azidi kukuinua CM Mbuge

  • @josephmkini6118
    @josephmkini6118 3 роки тому

    Da OP kikwete 832 kj ruvu mwaka 2015 tunakupongeza Sana mkuu wetu ulitulea vzr Sana kuwa vijana wakakamavu na majasiri

  • @robertchuri3222
    @robertchuri3222 4 роки тому

    Hongera sana mkuu kwa juhudi ulioionesha mpaka umekubalika

  • @taturajabu5977
    @taturajabu5977 3 роки тому +1

    Kafata nyendo za babaake jamani!babaake alikuwa muaminifu sana

  • @Ambagaye
    @Ambagaye 4 роки тому +4

    @Medani Tv; nakuomba sana uhamishe ile nembo ya kampuni yako kutoka katikati ya picha uiweke pembeni chini au pembeni juu kwa sababu inaziba sehemu kubwa ya video. Ni maoni yangu tu; huna haja ya kuyakubali wala kujibizana na mimi hapa kwenye sehemu ya maoni. Wewe yasome tu halafu ujue utakavyoyafaniya kazi itakavyokupendeza mwenyewe mwenye kumiliki channeli hii.

  • @yahayaramadhani3653
    @yahayaramadhani3653 4 роки тому +1

    Naomba na mimi kujiunga na jeshi napenda sana

  • @mpmsafitz7901
    @mpmsafitz7901 4 роки тому +1

    Nafasi za jeshi zinatoka lini?🇹🇿

  • @avand4237
    @avand4237 4 роки тому

    Mungu akubariki sana

  • @allyissa7770
    @allyissa7770 4 роки тому +1

    I wish nitaend jkt

  • @majumbatv1116
    @majumbatv1116 4 роки тому

    Wp 957 nachingwea kikosi cha hasia awiii?

  • @lucasjuma8465
    @lucasjuma8465 4 роки тому

    namkubali mno huyo mkuu wangu

  • @osbethdaniel7835
    @osbethdaniel7835 4 роки тому +1

    💪💪💪💪

  • @ChachaZakaria
    @ChachaZakaria Місяць тому

    Mkulya atari

  • @shangwemzuri2560
    @shangwemzuri2560 4 роки тому

    Big up

  • @geraldlaurent7465
    @geraldlaurent7465 4 роки тому

    Nakumic Sana 2015 mkuu wakati nipo ruvu

  • @vitaniamani2640
    @vitaniamani2640 4 роки тому

    subscribe kwenye channel hii ya vita ni amani(link : ua-cam.com/channels/f4W_zZjLJN1mC0Bq9q34Dg.html) ili uwe wa kwanza kupata habari na uchambuzi mbalimbali za matukio ya vita na mbinu na silaha
    ua-cam.com/video/3Td3TkSPlwM/v-deo.html

  • @mselanondo5148
    @mselanondo5148 4 роки тому

    148 big like

  • @user-fw6dp9iy4i
    @user-fw6dp9iy4i 3 місяці тому

    Ujingaujinga

  • @osbethdaniel7835
    @osbethdaniel7835 4 роки тому +1

    💪💪💪💪