UZINDUZI WA HUDUMA YA SADAKA!
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2025
- Kutoa ni Moyo, Sio Utajiri!
Benki ya CRDB iliwakaribisha viongozi wetu wa dini katika uzinduzi wa huduma ya SADAKA ambayo inawawezesha waumini wote wa dini ya kiislam na kikristo kutoa sadaka zao kidijitali kupitia SimBanking hata wakiwa nje ya nyumba za ibada.
Viongozi mbalimbali wa dini waliungana na Mkurugenzi Mkuu wa Benki
ya CRDB Ndugu Abdulmajid sekela katika kupokea huduma hii mpya
ambayo itarahisisha ulipaji na upokeaji sadaka kwa waumini pamoja na viongozi.
Piga *150*03# kisha chagua 3 au
Fungua SimBanking APP, chagua Malipo, Malipo zaidi kisha tafuta SADAKA kuendelea.
#HudumaYaSadaka
#CrdbBankPIc
#Tunakusikiliza
#ProductLaunchEvents #EventVideoCoverage
#CornerstoneSolutions
#EventsManagement
#ExperientialMarketing