Polisi wakabiliana na waandamanaji eneo la Mathare huku biashara zikifungwa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 бер 2023
  • #CitizenTV #News #Kenya

КОМЕНТАРІ • 290

  • @KevinWakliFitness
    @KevinWakliFitness Рік тому +8

    Kenyans don't know how much we Nigerians love them...Kenya🇰🇪 Nigeria🇳🇬 loves you❤

  • @benardjuma-xx5yt
    @benardjuma-xx5yt Рік тому +7

    Asante Sana mafisa wetu wa polisi kwa kazi nzuri mnafanya

  • @watonorah6366
    @watonorah6366 Рік тому +3

    Pongezi police wetu Kwa uvumilivu.Mungu awahifadhi nyote.Naomba Amani nchini mwetu.

  • @mohamadali-3350
    @mohamadali-3350 Рік тому +18

    Kwa kweli Kenya yetu wajinga ni wengi tu....

    • @risukiart4615
      @risukiart4615 Рік тому

      ww nimekupenda bure umesema ukweli wakenya wengi ni wajinga sana

    • @OkelloFelix-ix9eq
      @OkelloFelix-ix9eq Рік тому +1

      Wajinga kama wewe ....wewe lala huko

  • @sylviaochieng8786
    @sylviaochieng8786 Рік тому +1

    Mungu akulinde Baba tunakuombea kila kunapokucha

    • @chrissavage44
      @chrissavage44 Рік тому

      hata ukiomba aje maombi yako hayataskika as long is raila is involved thats man is filthy

  • @edquest5764
    @edquest5764 Рік тому +25

    Imagine, children of the poor are missing school, while schools for Azimio people are open....... students are preparing to sit their summer exams comfortably............
    Kweli wajinga ndio waliwao.......🤔

    • @asparagusonly
      @asparagusonly Рік тому +3

      Who is azimio people and what schools are those 😂

    • @dorcasmukhanji5231
      @dorcasmukhanji5231 Рік тому +1

      Wewe ndio mjingq are you happy with what's happening in Kenya?as if the government is favouring you,

    • @gordonkigen8796
      @gordonkigen8796 Рік тому +4

      @@dorcasmukhanji5231 mbona hamkuandamana during handshake government?

    • @jacklinemumbua2149
      @jacklinemumbua2149 Рік тому +1

      Ongea kitu kingine but not about useless colonial education that only steals our children's destinies...

    • @bongasasa3895
      @bongasasa3895 Рік тому

      Tu some na njaa right?

  • @lizkimondo2644
    @lizkimondo2644 Рік тому +9

    Sons and daughters of Kenya peace ,peace,,,vita Haina faida

  • @OkelloFelix-ix9eq
    @OkelloFelix-ix9eq Рік тому +1

    😂😂😂😂 Tutaandama...Hadi Baba akufe😂😂😂....AZIMIO DAMU

  • @dikmwandiki6026
    @dikmwandiki6026 Рік тому +7

    This is not GSU but RDU Mr. Reporter..

  • @kinakostan4155
    @kinakostan4155 Рік тому

    I thought all reporters and journalists in particular could be as genuine as this reporter Koz what he is reporting is what is been seeing on the ground

  • @elizabethwanjiru8501
    @elizabethwanjiru8501 Рік тому +2

    Hawa ni waizi wa mathare, l can't imagine those youths throwing stones to the police, where is this generation heading to?

  • @doyouknow232
    @doyouknow232 Рік тому +4

    Sasa izo mawe wanarusha ndio mnataka police wavumilie?🤷🏿‍♀️🤷🏿‍♀️

  • @mercynjagi9692
    @mercynjagi9692 Рік тому +10

    That nonsense is in slams.

  • @austinegona8256
    @austinegona8256 Рік тому +9

    Raila is this peacefully démonstration.
    RAILA MACHO YAKO YANAONA KWELI

  • @ladyaladya4019
    @ladyaladya4019 Рік тому +4

    Hii Kenya ingekuwa tu na wajaluo ingekuwa kama south Sudan. They are so stupid wanakuwanga na sheep mentality. Now if you destroy your workplaces and homes what do they expect Raila to do for them. Crazy world

    • @asparagusonly
      @asparagusonly Рік тому

      Please tell me that where you work, tribalism and bigotry is your job description coz you're very good at it... Kuchukia watu sababu ya kabila yao inakaa ka ni talent yako😂😂

    • @ladyaladya4019
      @ladyaladya4019 Рік тому

      @@asparagusonly 😂😂 it is not tribalism, it all about thinking critically. Why do we have to shorten our weekday because of Raila. People who hail from Mathare and Kibera are poor doing manual work most of the time and get paid per day. What about their families??? Aren't they going to be fed. Wajaluo watajiri wako nyumbani wakiprotect their children.

  • @hillaryngeno310
    @hillaryngeno310 Рік тому +16

    Hawa wajaluo ni wajinga Sana wanarusha mawe Kwa polisi ...

    • @dorcusliech6953
      @dorcusliech6953 Рік тому

      Si wajinga...mjinga ni wewe....they have guts not cowards

    • @davidndugere5665
      @davidndugere5665 Рік тому

      Very stupid indeed

    • @eunicewanjiru6931
      @eunicewanjiru6931 Рік тому

      Hiyo ni kazi yao wanakuaga hivyo.hatuezi Fanya handshake na watu ainahio!!!!!

    • @carolineachieng6156
      @carolineachieng6156 Рік тому

      Kwani wewe meno Yako huona tu ni wajaluo,ni siku gani utafungua macho uone ni demonstration?

    • @hillaryngeno310
      @hillaryngeno310 Рік тому

      @@carolineachieng6156 mandamano ya wajaluo wajinga munataka unga kwani unga iko Kwa Barabara...c mukule mawe yaani mutapikania MTU mwenye ATA hakujui mahali uko ,pikania jirani yako mwenye munaeza zaidiana

  • @phibiantowett4785
    @phibiantowett4785 Рік тому +1

    Acheni upuzi buana ,sahii mnapanda mawe kwa barabara watu wakipanda vyakula ,then mtakuja kusema gharama ya chakula iko juu poleni sana mtaandamana adi lini 🤔🤔

  • @lav5319
    @lav5319 Рік тому +2

    bei ya gas pia irudi chini. Tell raila aandamane serikali ipunguze bei ya gas

  • @ag-tm7je
    @ag-tm7je Рік тому +1

    Watu wa mathare plz acheni maandamano watoto wetu hawaendi shule jaribuni next Monday muende karen plz mtoto wangu na wako ndio wataumia na Bado fees tutalipa tu

  • @lynnedarling1135
    @lynnedarling1135 Рік тому

    If you let them demonstrate they won't throw stones.It's their right to demonstrate.People talk about peace but they don talk about justice

  • @manasehkamau740
    @manasehkamau740 Рік тому +1

    Watu ndiyo wanachokonza police Kwa kuwaluzia mawe,🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭

  • @feyrusfanaxle9945
    @feyrusfanaxle9945 Рік тому +15

    Raila just call off this high cost of living is everywhere na server ungeitisha after election not now let's husle in peace

    • @jacksonmusyoka8837
      @jacksonmusyoka8837 Рік тому +4

      Kwani saver ilitupwa..lazima ifunguliwe

    • @Mike-vl4tm
      @Mike-vl4tm Рік тому

      @@jacksonmusyoka8837 ooh

    • @sophiezakaria
      @sophiezakaria Рік тому +2

      Raila was just minding his business after elections,but Ruto and Gachietha started it so don't blame Raila unless you don't want to say the truth 😏

  • @chrissavage44
    @chrissavage44 Рік тому +1

    yeah this is so peaceful

  • @borudiida8993
    @borudiida8993 Рік тому +1

    Naona it's so peaceful

  • @catherinecarter4120
    @catherinecarter4120 Рік тому +1

    Go to central, Rift valley and other parts of Kenya...people are busy cultivating. Thanks God for the rain. Ruto is not God to change Kenya. Raila is giving him so much power thinking he is messing him up. Sasa waluos pekee yao ndio wanashida ya chakula. You have let Raila misuse you to glorify himself. Anyways...acha nikapande mahindi . Thanks God for rain

  • @ronaldsawino8568
    @ronaldsawino8568 Рік тому +2

    Mbona wanarusha mawe police pia ni binadamu yawa

  • @polinekarura455
    @polinekarura455 Рік тому +2

    Wooi Kenyans when will we learn😢

  • @melkzedekokari8420
    @melkzedekokari8420 Рік тому +5

    walai watoto wetu awaendi shule kwasababu ya tamaa ya mzee Raila but mungu yupo na ajue kila kitu kina mwisho

    • @eunicewanjiru6931
      @eunicewanjiru6931 Рік тому +1

      Just imagine watoto wawatu hawatawahi ends shulee ,lthink anatumia wazua furugu dio watu wachoke duo afanye hand shake

  • @sabasabinibinsaba356
    @sabasabinibinsaba356 Рік тому +2

    Where is kitendawili ?😊

  • @PurityMuthoka-ly1qg
    @PurityMuthoka-ly1qg Рік тому +1

    May God have mercy on Kenya , where are we ending??.

  • @njeri_Wa_Mugo
    @njeri_Wa_Mugo Рік тому +3

    Peaceful indeed😓😓😭😭😭

  • @mkenyampole5793
    @mkenyampole5793 Рік тому +5

    Me naitwa Mkenya mpole na niko sure siku moja nitafika 1k subs

    • @hopefulhope3963
      @hopefulhope3963 Рік тому

      😂😂😂😂lakini wewe mkenya mpole 😂😂😂anyway nimefanya ivo

  • @estherndanu8729
    @estherndanu8729 Рік тому +3

    Why only one people are known for property destruction??

    • @eunicewanjiru6931
      @eunicewanjiru6931 Рік тому +1

      Wanaonekana na international.they know them

    • @thragg00
      @thragg00 Рік тому

      @@eunicewanjiru6931 are you done scissoring each other with your nonsense?

  • @wellingtonmakinen224
    @wellingtonmakinen224 Рік тому +1

    UHURU KENYATTA NA RAILA WALINUNUA MAWE TAKIRIBANI MAGARI ISHIRINI NA TANO

  • @ruthwambui7532
    @ruthwambui7532 Рік тому +1

    So citizen TV wamepata kazi ya kufanya jameni

  • @WinnieAmondi
    @WinnieAmondi Рік тому

    We are suffering alot. Bec

  • @annyndegwa
    @annyndegwa Рік тому +4

    Hii ndio raila anasema ni peace full maandamano licha waandamanaji wanarusha make??

    • @catherinecarter4120
      @catherinecarter4120 Рік тому

      Ann Ndegwa twede tukapande bebe na mbocho. We will come and sell them this exact place for some good profit. Acha warushe maweeee.

  • @abdab8466
    @abdab8466 Рік тому

    Hapa ndicho kilele😢 mtangazaji usikubali kutangaza kwa Kiswahili ikiwa lugha ni ngumu

  • @danielkioko8712
    @danielkioko8712 Рік тому +4

    I like this kind of peaceful demonstrations.....

  • @kateleenwanjiko3188
    @kateleenwanjiko3188 Рік тому +1

    Hii ujinga ndio sasa hatutaki ya wananchi kamaa hii

  • @leilaassey1726
    @leilaassey1726 Рік тому +1

    Raisi wa kenya jeuri siatoke angoe na wananchi awetie moyo

  • @mercynjagi9692
    @mercynjagi9692 Рік тому +4

    Power through backdoor is total failure.

  • @safinaamutabi2843
    @safinaamutabi2843 Рік тому +1

    But why

  • @Gffry9520
    @Gffry9520 Рік тому +5

    Why are the police blocking Kenyans from going about their business ? Their presence is very intimidating given their history.

  • @kaimzwilly4886
    @kaimzwilly4886 Рік тому +1

    Crazy country we are living in😢

  • @noiczakma58
    @noiczakma58 Рік тому

    Why are the police locking them up.let them go for demonstration

  • @gladyschepkorir6789
    @gladyschepkorir6789 Рік тому +32

    This is so sad. And raila is busy telling us it's peaceful demonstrations. Throwing stones is peaceful indeed

    • @abiudokumu9909
      @abiudokumu9909 Рік тому

      🖕go and tell your Venezuelan president

    • @safinaamutabi2843
      @safinaamutabi2843 Рік тому +5

      But why are police not allowing them

    • @hfjg2951
      @hfjg2951 Рік тому +4

      Police started this game

    • @dorcusliech6953
      @dorcusliech6953 Рік тому +5

      Not Raila...the sight of police...

    • @sophiezakaria
      @sophiezakaria Рік тому +7

      How sure are you that those are Raila's supporters? Your brother Ruto and his wife Gachietha may have organized goons to throw stones at police to make it look like it's Raila's supporters 😏

  • @estherndanu8729
    @estherndanu8729 Рік тому +3

    Maandamano ifanyike uko bondo

  • @Missionary_work
    @Missionary_work Рік тому +1

    That's very bad

  • @irenewayua443
    @irenewayua443 Рік тому +1

    Which peaceful

  • @francissgodlove
    @francissgodlove Рік тому +2

    If they shoot tunaanza lalama

  • @christinekisavi2299
    @christinekisavi2299 Рік тому

    Na ujue Hao ni ap not gsu. Differentiate

  • @alicealicechepkoech6952
    @alicealicechepkoech6952 Рік тому

    Polepole tu hadi usikia moja alifariki

  • @philipsabwa2771
    @philipsabwa2771 Рік тому

    In the BBC interview Raila was asked what about his followers who are throwing stones at the police, he said the police started it: hapa kwa hii video naona raia ndio wanatupia polisi mawe na polisi bado hawajareact,so vile polisi wamereact ndio nyinyi watu wa citizen mnachukua video vizuri kwanza mkimulika sura za polisi, what about that?

  • @sammyopingoofficial6895
    @sammyopingoofficial6895 Рік тому

    Very unfortunate

  • @pamelagatwiri8170
    @pamelagatwiri8170 Рік тому +3

    This is what they call peaceful demonstrations.??..these pple are very foolish...unarushia aje watu wamejihami na siraha mawe?

    • @asparagusonly
      @asparagusonly Рік тому

      Umeifanya tena!!😂 How do you spell foolish properly alafu unahata *silaha🤣🤣🤣

    • @OkelloFelix-ix9eq
      @OkelloFelix-ix9eq Рік тому

      Siraha ni wewe

  • @joyhope2498
    @joyhope2498 Рік тому

    Mtu Moja asisumbue wanaichi.

  • @elonkagotho9667
    @elonkagotho9667 Рік тому

    This government should do away with all slums in Nairobi!!!!!

    • @catherinecarter4120
      @catherinecarter4120 Рік тому

      Wewe Kagotho achana nao. Niko kwa shaba na panda maize 🌽 ya kuwauzia in the next few months tena na bei ghali. Ni takuwa hapa papa wanarushia mawe . Mvua imenyesha. Sisi watu wa Highlands, Rift valley tuko busy cultivating with the rains pouring . Thanks be to God. Let them Glorify Ruto thinking he is the one to change Kenya. Raila made this slums for this purpose. Mahindi nitawauzia soo soon Kwa bei ghali hapa Kibera na Mathare. Wacha warushe mawe....

  • @miriamwere7202
    @miriamwere7202 Рік тому

    Who witches the officers

  • @deboraanyango5584
    @deboraanyango5584 Рік тому

    Why are they throwing stones mmmh

  • @joyhope2498
    @joyhope2498 Рік тому

    Sasa wedawazimu wamepata kazi ya kuandamaana.

  • @judithwambui433
    @judithwambui433 Рік тому

    Raila kama anapenda Kenya awache kuchangia umasikini Kenya juu hii maandamano haina sense

  • @dancansaka5004
    @dancansaka5004 Рік тому

  • @musalumbi8490
    @musalumbi8490 Рік тому +1

    Ukraine needs volunteer fighters

  • @joyhope2498
    @joyhope2498 Рік тому

    Raila wewe mpia ni mwendawazimu

  • @generalkago5361
    @generalkago5361 Рік тому

    Ujaluo ni gharama kweli

  • @ruthrukunga3838
    @ruthrukunga3838 Рік тому +1

    Peace, peace. Let people continue with their little hustle s our dear leaders. Thieves are taking advantage of this maandamano. So the objective is being lost. Is there another alternative of handling these political issues,? Clearly ,it is not about the food. Otherwise, we would see the organisers, telling their followers to plant first and avoid damaging other poor hustlers small businesses.

  • @danielkioko8712
    @danielkioko8712 Рік тому

    Polisi wafanye kazi yao sasa ... this is risk for them .....

  • @jessyjizzy2396
    @jessyjizzy2396 Рік тому

    😢

  • @joyhope2498
    @joyhope2498 Рік тому

    Mzee wazimu ni raila

  • @richardngeno8092
    @richardngeno8092 Рік тому +3

    More stones more peace, raila is doing alot peace

    • @Ibrahim-Mohamud
      @Ibrahim-Mohamud Рік тому +2

      Stones will be thrown until servers are opened and Ruto goes home.

    • @asabajoyce9130
      @asabajoyce9130 Рік тому

      @@Ibrahim-Mohamud mnahitaji kuchimba quarry kadhaa za mawe juu mwenye mnadeal naye anaitw dr.ruto na mtoto WA Mau Mau Riggy G.hawa hawaendi mahali

    • @Ibrahim-Mohamud
      @Ibrahim-Mohamud Рік тому

      @@asabajoyce9130 Gachagua ni mtoto ya Moi. Angalia meno yake.

    • @Ibrahim-Mohamud
      @Ibrahim-Mohamud Рік тому

      Ruto ameaza kwisha ngozi na mfupa ndio imebaki.

    • @alicewangari3607
      @alicewangari3607 Рік тому

      ​@@Ibrahim-Mohamud pole ,find more stones an prepare take teagas as Rutto will remain the president of Kenya an Riggy G the Deputy president of Kenya

  • @susyawinja1655
    @susyawinja1655 Рік тому

    Yellow fever bandits.Wezi wa livestock.Mnafunza nn common mwananchi.

  • @freddzitu3437
    @freddzitu3437 Рік тому

    They should be let to go where they want ,why is the police , putting a barricade

  • @mlolovo
    @mlolovo Рік тому

    Hao siyo waandamanaji ni majangili na wakora, wezi na wavamizi. Dawa yao ni mtutu wa bunduki bila huruma.

  • @Faith-xf8nl
    @Faith-xf8nl Рік тому +1

    Kwa kweli ruto na raila pliz kucheni pamoja muonge musikilizaneni sisi rahia tunaumia uku nje

  • @michaelwaweru1585
    @michaelwaweru1585 Рік тому +3

    Jaluo ni vipii tu

    • @susanmakena7083
      @susanmakena7083 Рік тому

      Very true

    • @asparagusonly
      @asparagusonly Рік тому

      Bruh kwanini mnakuanga obsessed na makende za watu hivi?😂 nyinyi na wanawake wenyu makende inakuanga kwa vichwa zenyu Kila time

  • @joyhope2498
    @joyhope2498 Рік тому

    Raila wacha ujinga

  • @edquest5764
    @edquest5764 Рік тому +7

    Raila are you seeing your peaceful demonstrators....???
    Itafika jioni na unaeza kulia lia...........ati ooohhh polsi Iko brutol.......hao napiga watu yetu........
    Where are you, you should have taken your first dose of teargas by now.........
    You are giving us a raw deal..........you can not cost us a whole day , and you take half the prescription of teargas.........
    Wewe hapana muoga............start early kamata hii gas mwanaume....😀😀

  • @kingoriloise6682
    @kingoriloise6682 Рік тому

    Azimio will have to surrender! Wananchi wameshoka. Raila's past records are thing to go by. After demonstrations you enjoys the fruits of the Government alone. Where is your brother Uhunyi ako kwa madamano???Don't take Kenyan for aride

  • @maurinelumumba2662
    @maurinelumumba2662 Рік тому

    The police officers must leave kenyans to go and domenstrate peacefully why are they blocking hem

  • @mohamedabdikadir-fb7dy
    @mohamedabdikadir-fb7dy Рік тому +1

    There is need to motivate the police with allowance promotions, letter of appreciations/examplary performance we will see how the rioters will be neutralised

  • @gareroshawn4635
    @gareroshawn4635 Рік тому

    Hawa si GSU

  • @davidndugere5665
    @davidndugere5665 Рік тому

    Hawa ndio peaceful?

  • @joyhope2498
    @joyhope2498 Рік тому

    Wachana kuzumbua.watu na maadamano.

  • @karimaxlimited5138
    @karimaxlimited5138 Рік тому +1

    Raila Wacha zako.

  • @winniemburu5740
    @winniemburu5740 Рік тому +1

    Why do they act this childish 🙄

  • @Iam_Johnbosco
    @Iam_Johnbosco Рік тому +1

    Those are not GSU

  • @ourdays.4021
    @ourdays.4021 Рік тому

    Mawe 3 bao.

  • @Ibrahim-Mohamud
    @Ibrahim-Mohamud Рік тому

    Tandika hawo askari mpaka waende.

  • @stardaija256
    @stardaija256 Рік тому

    G.s.u gani😂😂😂😂😂watu si wajinga bana tunaijua g.s.u vizuri

  • @geofreyosano9563
    @geofreyosano9563 Рік тому +1

    Reporter hawa ni rdu sio Gsu

  • @DannRight
    @DannRight Рік тому +1

    Hao si GSU, ni AP Kali

  • @stephenkioko4366
    @stephenkioko4366 Рік тому +1

    MTU apelekwe ICC hata kama ni mzee sababu hajieshimu

    • @OkelloFelix-ix9eq
      @OkelloFelix-ix9eq Рік тому

      Wewe unajiheshimu haungekuwa unacomment hapa.....pieri

    • @stephenkioko4366
      @stephenkioko4366 Рік тому

      @@OkelloFelix-ix9eq kwa hivyo hata wewe haujieshimu sababu imecomment

  • @miriamwere7202
    @miriamwere7202 Рік тому

    They're misusing the people bad

  • @susanmakena7083
    @susanmakena7083 Рік тому +1

    Wangefanya maandamano na uko bondo

  • @mosesgikonyo7929
    @mosesgikonyo7929 Рік тому

    Foreskin zao ndio zinawaambia warushe mawe?

  • @marywanjirunganga3985
    @marywanjirunganga3985 Рік тому +1

    Sifuna sifuna now is why is ur demonstrators throwing stones, ad after this the only thing uwill tell Kenyans is how police threw tear gas, address ur demonstrates, cause what we c is not peaceful demo at all!!!!

  • @rechardomollo3753
    @rechardomollo3753 Рік тому

    polisi usijaribu raiyia

  • @benjamitewatchmensda5613
    @benjamitewatchmensda5613 Рік тому

    If Ruto really loved Kenya,he would just seek peace.I don't support Raila,but I Believe such a step would prove bravery than what he is doing.Uhuru did it, others did it too.We may not know what to holds,many countries have entered desperate state and civil war,after following this steps

    • @alicewangari3607
      @alicewangari3607 Рік тому

      Peace is very important but , handshake as that's the only thing that Raila wants ,do u think he has anything to do with the cost of living,

  • @nshaijatedy5512
    @nshaijatedy5512 Рік тому

    Kuna mitaa inatisha kumbe nchizetu za kiafrica Bado sana sio tz tu , Alf kama tunauafadhali iv wenzetu uswaz ,ni shida

    • @asparagusonly
      @asparagusonly Рік тому

      Bro Kuna ghetto hadi america ghetto ziko Kila mahali hii dunia