Katika asili ya sisi wa africa uyu analaka na mtoto wake kiuchawi yule babu yake amemdanganyia kijana uyu mimba mimba nasura ya mtoto ni mia kwa mia babu yake kuliko baba yake aliye mbaka mama Amisi kwakumalizia uyu baba ahombe D NA hospital .Babu mchawi kamtwika mwanaye mimba.
Mama mdogo acha asira tulia msikize huyu mjomba alie kupachika mimba baada ya kuvunja ubikira wako. Rudi kwenye Bibilia usome kuhusu msamaha. Mie Mkenya.
Mumeo ameomba musamaha amenyenyekea please ww n mwana mke please mume wako anakuoenda nn Baya ww tunatamani watu kma hawa lakini atupati shukuru mungu ❤❤❤
Wewe achana na huyo mama watoto ni mwanga atamrudisha kunyonyesha mtoto tena wee kama anaikil7 angekumnyonyesha mtoto wa 17 huoni anataka kutembea na mtoto unamfunulie ziwa huoni haya
Bisumilah.. naonakama alienda kwamuganga kumukomowa uyo baba asiowe ahangayike hadi arudikwake ndo akapewa masharthi amunyonyeshe mutotohadi myaka kumi na ndo amerud sasa alooooooooh
Tunapaswa kusameh IKIWA MUNGU ANATUSAMEH MAKOSA MAKUBWA YASIYOELEZEKA NA ANATUSAMEH sembuse mm na ww tusiwezi kusameheana..msameh lkn usikubali kuwa nae wajua ww alivyokufanyia😂😢
Dada msamehe mwanaume mbaka karudi kwako ajaoa kakuomba msamaha muelewe mumeo utaolewa na nani mwanaume kajirudi mwenyewe kuwa na moyo wa kike kuwa mke jamani msamehe mwenzio jamani binadamu tumeumbwa kukosea ata wewe unakosea pia utaitaji kusamehewa msamehe mwenzio
Wewe mama, tulia, kama hakuna kitu unacho kijuwa kuhusu mwanawe kwanini umegangania mwanawe azidi kunyonya na Pia kwanini kumukatalia mumewako? Pokea musama wa mume wako alafu mukayayengeneza hayo matatizo munayo ypitia.
Uyo mchawi kweli kama sio mchawi mbona anakazia seem iyo tu uchawi uchawi toto miaka 17 ananyo anacho nyonya kitugani ananyonya au anamtia nyege zinaishia apo kumpenda mtot apate malezi bola ya kielimu dunia na ahera pia sasa vyote mtoto hapati kama sio uchawi kitugani
Mcheki vizuri akiwa anamnyonyesha macho yanalegea Sasa wakikaa wawili chumbani uyo Jana si ndio anafanyanae mapenzi kabisa ndio maana hataki kuolewa anajua wakumtoa upwiru yupo mtoto wake
Nikweli jamaa amekimbia nda nrefu tena inaonyesha wazi kama akubakwa nilitambua ili tejea nwanzo walikuwa wapenzi na jamaa alikimbia kwa 7bu za mcngi kabisa na lia uyo awez ishi nae tena uyo coz ilo mdada liba mausiano na mwanae uyo na mtoto awez kumkubali mwanaume yyte kuwa nae maribu koz ana tembeea na mwanae na mchawi pia nikweli bhanaa kaka angu sepa akutaki uyo na uyo mtoto ni mme mwenzako nikweli watu wa kusini ni washirikina sn ingawa cwote lakin asilimia kubwa wako ivyo aina ubishi
Ujinga mtupu huu,huyu msichana na baba wameshikia mtoto majini maana baba mwenyewe anafanya kaa ambae ako na majini 50 kukodoa macho kama za majini,washamkoroga kijana network yao yote iko kwa huyo kijana mdogo maskini 😢😢😢😢
Bibie wewe haujaloga chochote
Wewe unamapenzi makali mungu amekubaliki kwa mapenzi mazuri
Pungua Hasira kidogo mwaachie mwenzio akusaidie pumzika kidogo❤
Huyu mama ni mchawi kabisa mtoto miaka kumi na saba ananyonya 😢😢😢😢 wewe ni mtu wa aina gani
Huyu hata papa analiwa nahuyo mtt tt refu eti linanyonya bado mgongoni
Hta nkma wanafanya mapenzi n huyu kijana...hta bbke msichana anakaa mchawi,,,,,,n it's like anafanya sex n msichana wake,,,wapelekwe polisi watasema yte
Huyu mama hamisi sio bule kunakitu anakijua,alisema akipata wakumuoa anaolewa nakumuachisha mtt kunyonya,na alikili wanaume hawamtaki sababu ya kunyonyesha,sasa amempata baba hamisi hataki atamuachisha lini hamisi?
Hii familia ya mama hamisi Hawa wanafaa maombi sana kunashida Tz ongooa Tz
huyo mama hamisi nimuchawi😂😂😂😂😂🎉
Mama Hamis ni ngumu kumsamehe baba Hamis kwa sababu ilo Toto ni bwana lako
😂😂😂😂
Hahahahahahah
😅😅😅😅
Mama hamisia regisha moyo wako mulia mtoto wenu hata mungu ukimkosia ukirudia mungu hukusamihe
Hawa watu wanatuaktia tu hamna lolote hapa 😊!
Mmm .Mtangazaji angaliya hilo suala .Huyo mama kwa upande mwingine jambo la kumkana mumeo .
Mama Hamis msamehe mmeo jamani, si kajishusha, utamkumbuka haya weeeeh!
Daa hii balaa jamani ila mama amisi nawewe unashikilia sana hayo mambo ya kichawi yaache ila baba amis anaongea point sana msamehe jamani
Dada omba mungu sana mtoto ya miaka Kuni nasaba ananyonya apana makosa sana aibu mungu akuome
Wap nikweli mtoto kalogwa kivip kijana wamyaka 17 akanyonye pumbavu wakike pu😢😢😢😢
Rakina nawewe mwandishiwahabar unatabiya mbaya san tena san wewe unachonganisha kuriko kuwakutanisha siyo powa hata kindongo wewe kaka acha ironeno rawuchawi unachonganisha 😭😭😭😭😭
Mama hamis kwa tabia ilonayo ngumu kuolewa kua Hadi Leo unalinyonyesha toto lishakua baleghe siku likwambia na wewe ulinyonye ndio utajua hujui
Mchawi saaaaaaaana Tena sana analala na mwananye
Dada acha hasira mrudie mumèo kwa Faida ya hamisi wetu najua majeraha aliÿokupa ila msamehe mimi mwanamke mwenzio.
Katika asili ya sisi wa africa uyu analaka na mtoto wake kiuchawi yule babu yake amemdanganyia kijana uyu mimba mimba nasura ya mtoto ni mia kwa mia babu yake kuliko baba yake aliye mbaka mama Amisi kwakumalizia uyu baba ahombe D NA hospital .Babu mchawi kamtwika mwanaye mimba.
Mtoto anakula ya baba sio bule😅😂
msamehe mzaz mwenzio kuokoa Marsha y mwanao
Bwana huyo mtoto aachishwe kunyonnya huyo mtoto ni tegemeo la familia bwana😢😢😂
Jami binadamu muogopeni mungu mwamtusi mama hamisi mchawi na nyinyi ndo mumemroga
Mama mdogo acha asira tulia msikize huyu mjomba alie kupachika mimba baada ya kuvunja ubikira wako. Rudi kwenye Bibilia usome kuhusu msamaha. Mie Mkenya.
Huyo dada ni kwanga kweli
Wanatoana upwiru so mtoto uyo nywele zimetapakaa kila sehemu husika fa masihala nini 😅😅😅😅
Baba hamis njoo uniowe mie
😂😂😂😂
Mama Hamisi samehe mumewoo
Mumeo ameomba musamaha amenyenyekea please ww n mwana mke please mume wako anakuoenda nn Baya ww tunatamani watu kma hawa lakini atupati shukuru mungu ❤❤❤
Mi sikushauli bro iyo familia sio chukua mtoto jikatae
Huyu mama hulala na huyo mtoto wake ndio maana anafanya hivyo
Dhana mbaya 😂😂 period
Eee lazima awe anafanya mapenzi na huyo mwanawe
@@aishadaba7045 🤣🤣🤣🤣🤣
Kama mnataka kujua kuwa ni uwongo angalia huyo jamaa sy msukuma anajilazimisha kuongea kisukuma
Nyooooo. Ukweli unauma mtoto wamiaka kuminasaba umnyonyeshe kweli!!!!!! Cjapata kuona akibalehe je, itakuwaje?! Achauzamwamwa wemwanamke cyewote tunawatoto loh! unahaya!!! Ckuakikwambia umpesamaki papa wako achezee utampa?! Nadhani utampa man unaona ww umezaa dunia naunajuwa kulea wengne hawajui. Unamuharibia khamiss future yake.
Jmn biashara hiyo😊
Nacheka tu mie
Kumekucha hapa wasamehane mimi natamani mume wangu harundi kwangu nawenzi wewe mama wacha ujiga msamee baba hamisi 😢😊
Hapo umeogea vzr
Mungu tuonekanie yesu
Huyo Dada sio
Hyu mama ni mchawi kijana wa miaka 17 balekhe Zima bdo yuanyonya mpka matiti ni marefu 🙄🙄🤭
Duuu cjawai limwanaume la miaka 17 linanyonya uuuuyeee😢😢😢😢😢😢😢😢
😂😂😂😂😂
Huyu dada anatembea na uyo mwanae ndiomana ana lala nae jee mavuzi anamnyoa
😂😂😂😂
Huyu mama michaei kweli, mtangazaji naye fala, mbona huyo kaka hajasema ni wachawi?
Dada huyu ana mambo yake ua siri yeye na kijana wake inawezekanaje kunyonyesha lutoto hadi miaka 17 aibu kubwa dada . Anastahili maombi
Wewe achana na huyo mama watoto ni mwanga atamrudisha kunyonyesha mtoto tena wee kama anaikil7 angekumnyonyesha mtoto wa 17 huoni anataka kutembea na mtoto unamfunulie ziwa huoni haya
Karogwa sio kawaida jamani wachungaji mkoap?
Nani amegundua kua huyu mama ana ladha ya uchawi😂Tz iko shida wallae
Vyombo vya serekeli viingilie kati ili kumuokowa mtoto kijana,mama Hamis bado ana asila.
Bisumilah.. naonakama alienda kwamuganga kumukomowa uyo baba asiowe ahangayike hadi arudikwake ndo akapewa masharthi amunyonyeshe mutotohadi myaka kumi na ndo amerud sasa alooooooooh
Huyo mama anajua alichomfanyia mwanawe
Wewe kijana unashida sana msukuma ovyo
Tunapaswa kusameh IKIWA MUNGU ANATUSAMEH MAKOSA MAKUBWA YASIYOELEZEKA NA ANATUSAMEH sembuse mm na ww tusiwezi kusameheana..msameh lkn usikubali kuwa nae wajua ww alivyokufanyia😂😢
Rajab wanawake ni wengine sana.achana na huyo mama ovyo Sana.
Dada msamehe mwanaume mbaka karudi kwako ajaoa kakuomba msamaha muelewe mumeo utaolewa na nani mwanaume kajirudi mwenyewe kuwa na moyo wa kike kuwa mke jamani msamehe mwenzio jamani binadamu tumeumbwa kukosea ata wewe unakosea pia utaitaji kusamehewa msamehe mwenzio
ww dada huyo mtoto mnabwafuana usitudanganye unalaana ww mjinga
😂😂😂
uyo dada yuposahihiiiiiiiiiiiiiii myanaume mwenzangu ijifuze wamezoea kufanya upumba inasema eti nitatubu nitaomba msamaaa yataishaikome kabisashenzi
😮hiyo ni jini
Wewe mama hebu fikilia kama wazazi wako wange kilea vile ingelikuwaje kuwa na hakili kuzim inakuitaj
Wewe mama, tulia, kama hakuna kitu unacho kijuwa kuhusu mwanawe kwanini umegangania mwanawe azidi kunyonya na Pia kwanini kumukatalia mumewako? Pokea musama wa mume wako alafu mukayayengeneza hayo matatizo munayo ypitia.
Uyo mchawi kweli kama sio mchawi mbona anakazia seem iyo tu uchawi uchawi toto miaka 17 ananyo anacho nyonya kitugani ananyonya au anamtia nyege zinaishia apo kumpenda mtot apate malezi bola ya kielimu dunia na ahera pia sasa vyote mtoto hapati kama sio uchawi kitugani
Hebu tuambieni ukweli jamani hii stori ni yakweli ?kweli
Mcheki vizuri akiwa anamnyonyesha macho yanalegea Sasa wakikaa wawili chumbani uyo Jana si ndio anafanyanae mapenzi kabisa ndio maana hataki kuolewa anajua wakumtoa upwiru yupo mtoto wake
Dada hakuna mwenye atakuoa, kubali huyo mme wako ameomba msamaha,siku Moja utamkumbuka
Huyu sio mzima
Dada hizo zako laanaa
ila kama unamtaka omba radhi mshawishi mchumbie muowe , lkn huna haki yyte kwa khamis na khamis hana haaki yyte kwako.
Ww mama mujiga sana Tena ww ni ukweli ww niujawi ajana nayo
Pst Ezekiel aliwaambia wanawake wa kundunga pia mmmmh, Sasa kanenepa jamani,wanawake ukipendwa pendeka, ni bahati,ila ujui
Ahaaaa wamakonde bwana
Ww mwanamke
Mbona huyu mama anaonekana mdogo kuliko huyo Hamis wake😂😂😂😂hapa kuna balaa
Mama hamisi msamehe mumewe
Mama hamis acha maringo basi muelewe mumewe
Haya baba hamisi mwambie ukweli huyo ni mwanga kweli
Kweli mtoto wa baba yake sio wa huyo jamaa
Mama hana shida shida ipo kwa baba alimuingiliya kimaumbile.
Sasa huyu baba hayuko sawa .huyu..mtoto wa kimpa..mke atapona kwa uwezo.wa nungu
Mkapimwe ukimwi kwanza
🙏🙏🙏
Nasema huyu msichana inavyoonekana nimpenzi wa mtoto wake nahuyu babu name ni mzee ni washirikina
Eti mama Hamisi umekasirika, hivi huoni hii si kawaida hapa kuna uchawi, huyu mtoto karongwa mama karogwa pia
Mwanga kweli
Were manganese mcawi
Kwani serekali ipo wapi mliwahi kuona mtoto miaka 17 ananyonya
Sasa mwanaume hgani atakuja kukuowa kama wewe bado unanyonyesha litotobla miaka 17,mchawi huyo mwanamke
Hawa wanatuigizia hakuna kitu kama hicho
Nikweli jamaa amekimbia nda nrefu tena inaonyesha wazi kama akubakwa nilitambua ili tejea nwanzo walikuwa wapenzi na jamaa alikimbia kwa 7bu za mcngi kabisa na lia uyo awez ishi nae tena uyo coz ilo mdada liba mausiano na mwanae uyo na mtoto awez kumkubali mwanaume yyte kuwa nae maribu koz ana tembeea na mwanae na mchawi pia nikweli bhanaa kaka angu sepa akutaki uyo na uyo mtoto ni mme mwenzako nikweli watu wa kusini ni washirikina sn ingawa cwote lakin asilimia kubwa wako ivyo aina ubishi
Akijitambua lini naumemfanya zezeta😂😂😂
Huyo si atamuelewa tu polepole tu haraka haraka haina baraka
Et kujitambua sahau maana iyo kunyonyesha mpk umri huo sahau ushamwaribu
Tabia baya sana kumnyonyesha barobaro
Hawezi kukusamehe uyo anaona utamkosesha vingi kwailo libaba limt lizim alioni aibu linanyonya kama litoto
Ujinga mtupu huu,huyu msichana na baba wameshikia mtoto majini maana baba mwenyewe anafanya kaa ambae ako na majini 50 kukodoa macho kama za majini,washamkoroga kijana network yao yote iko kwa huyo kijana mdogo maskini 😢😢😢😢
Huyu anaweza hata kutembea na baba yake unatoa ziwa mbele ya baba yake ni wanga
Wewe dada acha kumfanyia hivo mtoto huo sio upendo bali unapoteza
Huyu mwanamke apelekwe hospitali
Hana ugonjwa wowote huyu nimshirikina tuuh huyu kishaa mtoa huyo mtt kamtoa ufaham apate mali
Ni lini kiki zenu, litafikiya mwisho wake ???
Anaonekana tu anaminyeje mingi anawezaje kushikwa chuchu na dume lenye mivumbi kila kola wankulana awa
Huyo Dada na baba yke wachawi
Kwanza huyo baba mtoto achukuliwe hatuwa kwa kubaka pili huyu Babu liko jambo pia achukuliwe hatua
Afuilipumbavu linafanana nauyo mwanae 😂😂😂
Maji yakisha mwagika hayazolikia kwa nn ulimkubali
Kama uchawi hapa daaah umezidi
khaaaa uyu dada jamaniiii
Baba Amis amemuzalisha bibiye baba amis mudogo so amezoea hio yamtoto
ana shida gani wakati. Kila kitu anapata kwa hamisi.