Wajua aina ngapi za ndege?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 сер 2024
  • Wanapopaa angani, kutua kwenye miti au wakitembea katika mazingira yao asilia, ndege huweza kuwa na mvuto mkubwa. Hiyo ni kando na kuwa baadhi wana sifa za kipekee. Je wewe unafahamu ndege aina ngapi? Hebu taja majina ya wale wako kwenye vidio hii , sifa zao au hata manufaa yao ya kipekee katika mazingira.

КОМЕНТАРІ • 1

  • @mpere
    @mpere 6 років тому

    Nawajua wote