Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Hii Kiluvya ni noma,inacheza mpira mzuri sana aiseee
Wekeni utaratibu wa kupost full mechi hususani za ligi kuu na Klabu Bingwa tuendelee kupata burudani🎉🎉💚💚💛💛🔰🔰🇹🇿
Mechi za ligi kuu ni mali ya azam media hawawezi kupost huku tajiri
Waposti mechi zote mwanzo mwisho tuendelee na Burudani
Huwa wanaweka mbona
@@flavianajohn5250 highlights si ndio,sio full match
@@flavianajohn5250 highlights au full match?
Hongereni vijana we2 Mungu awape afya njema mupambane Zaid na kila mechi mushinde magoli mengi Inshaallah
Safi na match za kimataifa mkewe naweka zakika zote 90 safi san tuna injoy yangatv
Wewe utakuwa unatumia WI-FI ya bure tu hizo GB za kuangalia FULL MATCH duu
Yanga bingwa ❤❤❤😂😂😂 najuwa makolo waliona yanga imeshinda roozaho zinawahuma wanashidwa kuhelewa nimechi zakitafiki
Yanga bingwa inshaallah
Good stuff.. Full match nyingine nazo ziwe zinakaa humu hata msipocheza tukijihisi kuboreka tunakuja kuzicheki
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kiluvya wako vizuri
Wercome simba to enjoy pamoja
💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛
Allaah Akbar
Hata mazoezini kwenu ni mechi
Sauti vipi mbona hatusikii?????
Semaji letu angetangaza uyi match bwana natumaini ya kufata wata boresha zaidi kwenye sauti
Kama kawaida tu
Mbona kama Yanga ilizidiwa hivi
😮umotonyinyi haya ritakufajitu hapa
Sielew chochote hapa hakuna mvuto wowote 😂😂😂naona mkimbio tuu😄😄😄
Wako na utulivu sana hawana papala pindi wanapokuwa na mpira
Baleke benchi litamuua,hadi mechi za kirafiki hapambani
Wekeni utaratibu wa kuposti mechi ambazo zimeshachezwa full machi za ligi kuu na club bingwa hindio kazi ya UA-cam channel . Alafu hii video sijui kwanini mmeingima sauti.
Saf San hili ndio boli tunalo lipend yang rah san
Wanga wakubwa
Kama ilivyo kwa makolo
Mi najiuliza ni yanga ipi? Maana madogo wapo ft
Huu ndo ukubea wa timu
Hawa iluvya wako daraja fan na ni wawapi?
Ni game ya kirafiki ama!??
Ligi ya Mabingwa CAF 😮😮😮