Yesu wangu na Bwana wangu nakupenda sana, nitakung'ang'ania siku zote za maisha yangu nikiikimbilia tu ile paradiso nyumbani mwa milele. Nisaidie kila nikikumbuka wale walioniumiza moyo wangu na kuujeruhi niwasamehe, unifutie uchungu juu yao na kisasi ni cha kwako wewe. Amani na utulivu wako Bwana ukatawale ndani yangu daima na milele Amen 🙏🏾...
Eee Bwana nisaidie kisha unawezesha hizi siku kumi na mbili za mfungo, kwa jina la yesu Napokea kufanikiwa pia na kuwezeshwa🤲🤲🤲🤲🤲
Naomba Neema ya kusamehe na kuachilia katika Jina la Yesu Mwana wa Mungu uliye hao,, ee Bwana,,,
Amen baba Mungu akubariki sana
Bwana Yesu naomba rehema kwa ajili ya nchi yetu,,, niendee mema Jehova,, nikuabudu wewe pekee yako kwa maana akuna Mungu mwingine kama wewe Bwana,,,
Yesu wangu na Bwana wangu nakupenda sana, nitakung'ang'ania siku zote za maisha yangu nikiikimbilia tu ile paradiso nyumbani mwa milele. Nisaidie kila nikikumbuka wale walioniumiza moyo wangu na kuujeruhi niwasamehe, unifutie uchungu juu yao na kisasi ni cha kwako wewe. Amani na utulivu wako Bwana ukatawale ndani yangu daima na milele Amen 🙏🏾...
Amen amen tuko pamoja Mtumishi mpaka shetani aelewe tunaye Mungu mwenye nguvu na mamlaka yote Duniani na mbinguni. A❤
Huu wimbo Damu ya Yesu huwa unanibariki sana kila tunavoanza session
Asante Yesu tunabalikiwa sana kuptia mtumishi wako Amina
ahsante Mungu kwaajili yamtumishi wake nimebarikiwa sanaa 🙏
Amen mtumishi wa Mungu 🙏🙏🙌🏻
Amina nawafatilia kutoka singida mkalama
Amen
asante yesu kwa usiku huu
Amen 🙏🙏 thank you ABBA FATHER
Asante yesu
Amen Amen❤
Dama ya yesu nkanitete daima
Damu ya Yesu initakase
Ameeen 🙏🙏🙏
Amina Amina
Amen 🙏
AMEN AMEN
Amen Amen
Amen