SIMBA SC VITANI NA ZAMALECK

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024
  • Klabu ya Simba Sports Club imeingia vitani kugombea mchezaji dhidi ya Zamalek ya nchini Misri.

КОМЕНТАРІ • 2

  • @Ramadhanijafari-qn1rx
    @Ramadhanijafari-qn1rx 4 місяці тому

    Pull up

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 4 місяці тому

    Kwanini tuchukue mchezaji asiye na game time ya kutosha huko Mamelod? Hata umri wake si sahihi kuja Simba. Chukueni vijana wabichi kutoka Assec au kwingineko. Usajili wa Onyango utakuja kuwaumbua Viongozi. Tafadhali fikirieni upya suala hili.