IRAN YAFUNGA MFUMO MPYA HATARI WA ULINZI|ZOUBIN NI ZAIDI YA IRON DOME WA ISRAEL

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 164

  • @KOMBO-q3p
    @KOMBO-q3p Місяць тому +12

    Mashallah mashallah mwenyezi mungu ajalie Iran ishinde

  • @KilimbikeHaji-iy2fm
    @KilimbikeHaji-iy2fm Місяць тому +3

    Safi sana iraan mung azidi kuwaifazi kwakila balaa na sharyy ziwaepuke amiiiiiiiiin yarrabana takabali duwaaa zetu

  • @paschalfausitine7108
    @paschalfausitine7108 Місяць тому +11

    Hapa sasa. Moyo wangu turi,,Iran ,shambulia wayahudi wa mchongo

  • @IshipalemyPasko
    @IshipalemyPasko Місяць тому +7

    We mwamba naona umeamua kutupasha habali za motomoto kila sekunde asee. Big up sana ❤❤❤❤

  • @kasabalibraryseason4018
    @kasabalibraryseason4018 Місяць тому +16

    HAYA NDO MASWALA SASA.IRANI NI BAAALAAH🔥🔥🔥🔥....

    • @blessingntuli3796
      @blessingntuli3796 Місяць тому +2

      Kabisa 🤝

    • @sirpaza8513
      @sirpaza8513 Місяць тому

      Maneno ya kufarijiana tu hayo

    • @hajiramadhanihaji355
      @hajiramadhanihaji355 Місяць тому

      Kaka Iran tupo vizuri Sana kuliko Israel huu ndio ukweli kwenye ulimwengu wa Sasa.​@@sirpaza8513

    • @Denyo11wiggo
      @Denyo11wiggo Місяць тому

      ​@@sirpaza8513 Subir uwone waajemi huw awafagilii machoko

    • @ShabaniNuru-o1y
      @ShabaniNuru-o1y Місяць тому +2

      Irani si mchezo uliza kwanini tangu Iran ianzishwe Wana mzozo na marekani,Iran ni nchi pekee yenyewe dron za uwezo wa Hali ya juu duniani

  • @samorasamsonmazira9795
    @samorasamsonmazira9795 Місяць тому +2

    Mimi ni Mkristo ila niko upande wa Iran, Korea ya Kaskazini na Urusi.
    Mwenyezi Mungu awajalie wazidi kupata nguvu ili kuilinda dunia dhidi ya uonevu wa magharibi.

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 23 дні тому

      Kwa mkristo anaejitambua hawezi kuwa upande wa Israel

  • @samorasamsonmazira9795
    @samorasamsonmazira9795 Місяць тому +1

    Hongera sana kwa chambuzi nzuri

  • @AliMsellem
    @AliMsellem Місяць тому +4

    Israel imeisha kwa uwezo wa allah s w ataondoka tuu kwa uwezo wa allah s w yy ni mgeni atarudi kwawo Iran piga wote wanaoipenda Israel wote waende

  • @kasabalibraryseason4018
    @kasabalibraryseason4018 Місяць тому +14

    Sasa esraeli huko waliko matumbo ya uharo yanawabana...kina nyau nyau ...hawajui wpi wakimbilie🤐😁😁😁

  • @hidayahidaya-vd3ze
    @hidayahidaya-vd3ze Місяць тому +4

    Wale wakirsto na waislamu tulip upande WA marijali wanao pambana na mashoga wanao muudhi muungu huku duniyani tuwaonbee duwa viongozi WA rashiya na irani

  • @awadhsalim2680
    @awadhsalim2680 Місяць тому +9

    IRANI OYEEEEE. PIGA MADHOGA HAO HAWAWEZI KUPAMBANA TAIFA KWA TAIFA. MASHOGA MPAKA WAJIKUSANYE NCHI ZAO ZOTE WAMSHAMBULIE MTU MMOJA.

    • @iddyothman163
      @iddyothman163 Місяць тому +1

      Mbona zamani tu Israel hapigano peke yake ndio maana anatembea kifua mbele mashoga wote wanashirikiana vita ya urusi na vita ya Gaza

    • @awadhsalim2680
      @awadhsalim2680 Місяць тому

      @iddyothman163 akili zako zipo kwenye nyayo zako za miguu unazikanyaga. Ukiona mtu anapinga ukweli bc huwa akili ni ndogo sanaa.

    • @MikelSitoe
      @MikelSitoe Місяць тому +1

      EUA Sasa itakaa ikijuwa kama hii Dunia ina watu wenye nguvu bali hawataki ku ji Gamba😂😂😂

    • @mustafamruma1307
      @mustafamruma1307 Місяць тому +2

      ​@@iddyothman163mashoga ni Israel na washirika wake, coz Vita ya Israel wanapigana wao Wala sio israel

    • @SwedyMohamed-vt5zm
      @SwedyMohamed-vt5zm Місяць тому

      Asante kwa kutupasha habari.

  • @MohammedBwanga
    @MohammedBwanga Місяць тому +3

    Aisee huu mifumo wa irani Israel itasubiri sanaaa

  • @PatrickKagiraneza-ok8cw
    @PatrickKagiraneza-ok8cw Місяць тому +4

    Ongera kwa Iran...

  • @AliSuleiman-q8y
    @AliSuleiman-q8y Місяць тому +1

    Mashaa alwah ikisha mseme Iran inasaidiwa na urusi wakati wamarekani wanailaumu Iran Kwa kuisadia urusi live bila aibu. Ila mwenye macho haambiwi tizama Hawa ndiwo wakombozi walio tatajwa intansuru lwah yansurukum.

  • @AgustaZaile
    @AgustaZaile Місяць тому +4

    Nasimama na Iran

  • @kassimhussain5034
    @kassimhussain5034 Місяць тому +1

    Allah atawapa nguvu ameen❤

  • @SeuriMollel-im5yw
    @SeuriMollel-im5yw Місяць тому

    Bwana adam mungu akubariki wengi tunaomba hawa magaidi ambao wanajiita taifa teule kwakweli tunaomba mungu apatikane taifa la kuidhoofisha maana wamezidi sana kumwaga damu za watu wasio na hatia sasa ifike siku nao waone wanacho wengine

  • @yassinhamza1969
    @yassinhamza1969 Місяць тому +2

    Hongera sana irani

  • @MpwataOmari
    @MpwataOmari Місяць тому +2

    ALLAH taqabari dua .

  • @kellymwegelingoha.3306
    @kellymwegelingoha.3306 Місяць тому +1

    Safi sana

  • @sayeedmsct4255
    @sayeedmsct4255 Місяць тому +1

    Masha-allah ❤❤❤❤

  • @athumanmapunda
    @athumanmapunda Місяць тому +3

    SAWA

  • @JustineKalombo-d1c
    @JustineKalombo-d1c Місяць тому +1

    Muajemi mchape huyo baiden wa myahudi ,mtwange

  • @bakarimusa6297
    @bakarimusa6297 Місяць тому +3

    Mashaallah

  • @sukari800
    @sukari800 Місяць тому +1

    Ttz unakaaa kimya Sana ndugu

  • @emmanuelmmbaga5209
    @emmanuelmmbaga5209 Місяць тому +6

    MLINZI WA KWELI NI MUNGU PEKEE,
    TUMTEGEMEE YEYE KTK KILA JAMBO
    MAANA PASIPO YEYE HAKUNA MFUMO UTAFANYA KAZI MBELE YA MAKOMBOLA LUKUKI.

    • @AyoubHajj
      @AyoubHajj Місяць тому +2

      Ni kweli mdgo wangu ila usisahau kuwa m/mungu mwenyew katuahidi kuwa tujitahidi katika maisha yetu na yye ata tusaidiya
      So bila jitihada zao leo tusigesema kama Iran ni bora katika ulinzi wa raia wao

    • @nassorshaaban7295
      @nassorshaaban7295 Місяць тому +1

      Mungu huyo huyo ndo kawapa Binadam Akili ili waweze kujilinda na Adui

    • @ShehaHaji-k8t
      @ShehaHaji-k8t Місяць тому +1

      Muungu yupo lkn usirushiwe ngumi u Kasema muungu ataipangua kwza pangua alaf sema muungu kanipa macho nimeiona haraka nikapangua

    • @yassinhamza1969
      @yassinhamza1969 Місяць тому +1

      Vita vya maji maji walishajaribu hiyo akili waliishia kula bunduki za kichwa na kufa

    • @salumomar5234
      @salumomar5234 Місяць тому +1

      Basi henzi za mtume walikuwa wasitumie panga kwa kupigana na aduwi walikuwa waende tuu si mungu yupo bana

  • @hidayahidaya-vd3ze
    @hidayahidaya-vd3ze Місяць тому +1

    4:02

  • @richardmwangajilo6539
    @richardmwangajilo6539 Місяць тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kweli! Iran kichwa cha mwenda wazimu., waliazimwa S-300 na S-400 na zilidunguliwa. Halafu Iron dome haideal na masafa marefu linganisha huo utopilo na THAAD au Arrow air defense system. Iron dome is only for short range rockets fanya utafiti

  • @johnsinyinza7450
    @johnsinyinza7450 Місяць тому +1

    Mnashangilia vita subiri .mtakuja. Juta kuliya na kusaga meno vita vikianza mashariki ya kati meli zitasimama.mafuta yatapanda bei.nawewe ni moja wapo utaathirika.najaribu kuona majina ya watu wanaoshabikia ni walewale ambao hawekwenda shule. Tusiombe vita kwani wanao kufa ni watu siyo wanyama.

    • @cleverboy3812
      @cleverboy3812 Місяць тому

      Kweli kabisa.. Vita ni mbaya sana na ina athari kubwa sana kiuchumi..

    • @aliyuabdallah3210
      @aliyuabdallah3210 Місяць тому

      We ndo mwenye fkra za mbali kak unchsem ni kwel

  • @henrymatebe
    @henrymatebe Місяць тому +1

    Hiyo zoubin haiwezi ona B 2

  • @GodlistenTsere
    @GodlistenTsere Місяць тому +3

    Hiyo buried baadaye kilio tu huyu mtu anayeitwa myahudi ni mtu balaa anaijua hyo na anajua namna ya kutungu huo mfumo wenu

  • @AmiriMtei
    @AmiriMtei Місяць тому

    Ngoja inyeshe tuone panavuja wapi

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 Місяць тому +2

    Mbona halijaiweza izirael

    • @mangulimanguli3974
      @mangulimanguli3974 Місяць тому

      Haijaweza kivip??😂😂wakati uyo shoga Israel kila ck anaomba msaada kwa shoga mwenzie marekani, msikilize Col Douglas MacGregor wa marekani au ufatilii habari ndugu,shoga Israel bila shoga mwenzie marekani hamuwezi iran

  • @BabuhafidhAbdallah
    @BabuhafidhAbdallah Місяць тому +1

    Kaka mimi nawatakia ushindi zidiya Israil na washirika wake

  • @henrymatebe
    @henrymatebe Місяць тому +1

    Iran 🇮🇷watapigwa kama kuku waache wajitape tu

    • @salumabdallah2990
      @salumabdallah2990 Місяць тому +1

      Juzi israil walishambulia jee walipigwa kama kuku? Hemu tuoneshe video alivo shambulia iran na alivo shambulia israil😂

  • @AliNassor-qt6fm
    @AliNassor-qt6fm Місяць тому +1

    Mfumo wa bavar 303 tuliona ulivokua active wakati wa shambulio la Israel na huu naamini upo vizuri kuliko bavar 303

    • @leonardjohnson2058
      @leonardjohnson2058 Місяць тому

      Wakati ulilipuliwa

    • @peteremmanuelymatwimatwiem3258
      @peteremmanuelymatwimatwiem3258 Місяць тому

      ​@@leonardjohnson2058😅😅😅😅ulilipuliwa wakafa watu wa5 tu akili huna

    • @leonardjohnson2058
      @leonardjohnson2058 Місяць тому

      @ acha story za madrasa mbona sasa hv wamekir wenyewe walililipuliwa kweli

    • @Denyo11wiggo
      @Denyo11wiggo Місяць тому

      ​@@leonardjohnson2058 Yan ungejua laia wa israel awajalizik na shambulio lile la kichoko san subil majibu dunia iwasaidie maan iran akishambulia dunia nzm inamsaidia israel ebu jiuliz iran ni nan 😂

    • @leonardjohnson2058
      @leonardjohnson2058 Місяць тому

      @ story za madrasa hizo subir usifute coment

  • @GodlistenTsere
    @GodlistenTsere Місяць тому +2

    Alivyoshambuliwa na israeli hivi juzi makombora ya israeli yalipenyaje? Kama ni makini

    • @abdulhamidhaji5056
      @abdulhamidhaji5056 Місяць тому

      Uwe unazingatia kinachosemwa
      Amesema haujawahi kutumika sasa anazuiaje ?

    • @GodlistenTsere
      @GodlistenTsere Місяць тому

      Samahanini lakini mimi naiangalia israeli kinabii zaidi sio katika uwezo wake tuu, hata ungejitahidi kuwa na silaha kubwa na teknolojia ya hali ya juu bado ni ngumu kumpiga na kushinda vita vya hawa watu wanaoitwa israeli hasa hawa mayahudi soma isaya 14:1-4 nakumbukumbu la tortilla 49:8-10

    • @maclaudismail6606
      @maclaudismail6606 Місяць тому

      Muwe na akili ya kujadili sometimes eeh, ndege za Israeli zilizoenda Iran zikuwa 100 yaani uingereza marekani na ufaransa. Kila ndege ilikwa na makombora yasiyopungua 10, yaliyopenya ni manne tu. Halafu taarifa kwamba israeli imepiga S 300 ni za uongo. Soma humuhumu ipo taarifa hakuna satellite image inayoonyesha picha za Yukio hilo 😂😂😂

    • @GodlistenTsere
      @GodlistenTsere Місяць тому

      @maclaudismail6606 we mwenyewe hujajitishea kwa akili kwakuwatuhumu watu hawana akili coment unazojibu waliziandikeje ? Ukijibiwa kiuwezo usiwatuhumu wanaokoment tafuta uwezo wa kumjibu mtu sio kumtusi wala kumkejeli mi nakwambia tena na tena iran hana uwezo wa kumpiga mwiraeli hata kidogo atajivimbavimba na maneno mengi mwisho wa yote ni kilio kikavu baadaye nisije nikasikia wajitetea ooo, tumepigwa na marekani au taifa fulani unatakiwa utulie tuliiìi,.

  • @neemamarisamarisa-rd7cq
    @neemamarisamarisa-rd7cq Місяць тому

    Muda utaongea.

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 Місяць тому +2

    Hakuna usalama hapo

  • @cassianndunguru3560
    @cassianndunguru3560 Місяць тому

    Sasa mbona ndege za Israel zimefanikisha kupiga vituo vya kijeshi, kiwanda cha icbm na radar za iran? Ungekuwa mfumo imara kwanza ilitakiwa wa detect ndege za Israel na kuzitungua maana zile ndege ziliingia hadi anga la Iran pasipo kugundulika na zote zilirudi salama Israel baada ya mashambulizi😮😮

  • @kuluthumuzalari
    @kuluthumuzalari Місяць тому

    Zaubeen, lran hatari

  • @Giovanni-f8n
    @Giovanni-f8n Місяць тому

    Iran nikuma tu kwa Israel😂😂

  • @blackmonkey4606
    @blackmonkey4606 Місяць тому

    Majivuno ya Bure itaunguzwa mbaya Sana wenye siha wako kimya

  • @msomajuma8811
    @msomajuma8811 Місяць тому

    Muda ukifika tutaona.

  • @henrymatebe
    @henrymatebe Місяць тому +1

    Iran watamtumia B- 2 bomber watamfumua hadi ubongo umwagike

  • @MaryamKhamisi-d7f
    @MaryamKhamisi-d7f Місяць тому

    Nyie huu mfumo ni hatare. Ila hii vita km naiona

  • @henrymatebe
    @henrymatebe Місяць тому +1

    Mbona amepigwa

  • @gabbyedward4079
    @gabbyedward4079 Місяць тому +2

    Iran hadi wanafunga mfumo mpya..! Wanajua walichokutana nacho kupitia Drones za Israel zilivyoleta Balaa na kurudi Israel salama bila kuonekana na hiyo mifumo yao ya Anga 😄 😅😅

    • @hajiramadhanihaji355
      @hajiramadhanihaji355 Місяць тому

      Kaka acha ushabiki mbona Kuna tofauti kubwa Sana kati ya shambulizi lililofanywa na Iran ,na lile lililofanywa na Israel. Au hufuatilii?

    • @gabbyedward4079
      @gabbyedward4079 Місяць тому

      @hajiramadhanihaji355 Sikatai Kaka..! Kwa icho unachokizungumzia
      Unajua kwann..??? Iran wamefunga mfumo mpya wa kuzuia mashambulizi ya Anga???

  • @KhalidAlly-je8ky
    @KhalidAlly-je8ky Місяць тому +1

    Netanyahu yupo ana harisha saizi 😂

  • @henrymatebe
    @henrymatebe Місяць тому

    Zoubin yenyewe itafumuliwa hadi kuteketea

  • @MpwataOmari
    @MpwataOmari Місяць тому

    Tunategemeasitira kutokakwako YAARABI.

  • @JactonKai
    @JactonKai Місяць тому +1

    uongo mtupu mnataka pesa.

  • @victormalelemba4324
    @victormalelemba4324 Місяць тому

    Mbona israel huwa anapenya iran kiuraini tu

  • @FrankAugustino-g2s
    @FrankAugustino-g2s Місяць тому

    Kama MC vile anavosheheresha arusi baada ya ndoa tu kila mtu kwao 😂😂😂

  • @GeorgeElias-p5o
    @GeorgeElias-p5o Місяць тому

    Bondia kabla ya pambano, baada ya pambano kilio😂😂

  • @hafifayusuph3781
    @hafifayusuph3781 Місяць тому

    Wapigwe tu hao waizrahell wamchongo,eti taifa teule😂 wacha wasanuliwe sasa ndo watajua km wao sio wenyewe

  • @liberatusjackson5045
    @liberatusjackson5045 Місяць тому

    Mwalabu 😂😂😂😂😂na waabudu majiniii wanavhekeaha

  • @Denyo11wiggo
    @Denyo11wiggo Місяць тому

    Irone dome inatukuzwa lakn makombola ya iran huwa azuii peke yake yanaanza kupozwa jordan iraq uko na kambi za marekan lakn aksem azuie yye km yey israel hawez

  • @shanisshow1864
    @shanisshow1864 Місяць тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 watu mnajidanganyaaa sanaaa

  • @kbiaboss1231
    @kbiaboss1231 Місяць тому

    😂😢🎉😮😅😅😊😊

  • @mboneamalaki5674
    @mboneamalaki5674 Місяць тому +2

    Utasikia kesho au keshokutwa Aly Khamenei kapelekwa ahera,Usicheze na Israel

    • @HammyJey
      @HammyJey Місяць тому +2

      😅😅😅 sio kiongozi wa wagambo wa Hamas uyo Wala sio kiongozi wa wagambo wa hizbullah huyo ni kiongozi wa nchi ya Iran.

    • @bhaijanali5092
      @bhaijanali5092 Місяць тому

      Apelekwe kwa makombola Yale ya fataki ya juzi?😂😂😂

    • @salumomar5234
      @salumomar5234 Місяць тому +1

      Kwani haminey yeye ndoo anayefyatua makombora

    • @IshipalemyPasko
      @IshipalemyPasko Місяць тому

      Kweli kundu wewe

  • @Daudimakaza-s1v
    @Daudimakaza-s1v Місяць тому

    Urusi kampa hiz

  • @سالمالجابري-ق8ك
    @سالمالجابري-ق8ك Місяць тому

    Sasa iyo mfumo si waipeleke lebanon

    • @peteremmanuelymatwimatwiem3258
      @peteremmanuelymatwimatwiem3258 Місяць тому

      Una fatilia vitu usi ovyo vijua Lebanon niki baraka wa magharibi ila kile kikundi Anacho kifadhili iran ndo uta kua umenielewa

  • @brytonstwange6833
    @brytonstwange6833 Місяць тому

    Biashara hiyo iran

  • @ProsperKapinga-gg2zs
    @ProsperKapinga-gg2zs Місяць тому +1

    Hivi wayahudi. Mnawajua sawasawa? Iran huo ni mkwara TU.Ngoja uone watoto wa mungu watakavyowachapa kirahisi.Ktk biblia na coran. Mungu kasema waambieni Wana wa Islael hakusema waarabu.Wale jamaa zetu sio wakawaida.Kinachotakiwa kuwakalisha chini maana waarabu Gaza wanakwisha, sio kuchochea

  • @rashidikhalfani-qt8rp
    @rashidikhalfani-qt8rp Місяць тому

    Israel Hana uwezo wakupambana na iran yeye ni kibaraka wa marekani anatumiwa kupigana nae lakini hawezi kama hamas amewashindwa vipi iran atamueza?

  • @redydasca8846
    @redydasca8846 Місяць тому

    Vitabu vyote vya dini vinaamani hakuna wa kuzuia myahudi kwasasa ni yesu peke yake tu ndo atakuja kupambana nao na kuwashinda ila ivyo vingine ni mbwembwe tu 😂😂😂😂

  • @FrankAugustino-g2s
    @FrankAugustino-g2s Місяць тому

    Kwaiyo zaobini ni bora ya s-400.???

  • @FredWabwire-w3q
    @FredWabwire-w3q Місяць тому

    Tutaharibuhizo akunakituhapo

  • @ProsperKapinga-gg2zs
    @ProsperKapinga-gg2zs Місяць тому +2

    Kwanza waislael ni majasili sana wanaishi katikati ya nchi za kiarabu lakini wababe 'hachaaaaa'

    • @hajiramadhanihaji355
      @hajiramadhanihaji355 Місяць тому +1

      Wababe sio Israel Bali marekani na NATO ,

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE Місяць тому +1

      akili zako za matope na mafua ndiyo zilipoishia kufikiria jinga la mwisho wewe

  • @PeterSilwamba-zz6hj
    @PeterSilwamba-zz6hj Місяць тому

    Endeleeni kudanganyana kwani nyie wote ni wajinga watupu,

  • @PeterSilwamba-zz6hj
    @PeterSilwamba-zz6hj Місяць тому

    Wote mnao shabikia vita akili zenu nikama madudu mavi

  • @fredysiwale5413
    @fredysiwale5413 Місяць тому

    Hadi wewe.unajua Izilael walishajua toka. Wanayafanyia. Majaribio makombora hayo

  • @Daudimakaza-s1v
    @Daudimakaza-s1v Місяць тому +1

    We c kidume iran iweje uende urusi km wwe mwanaume ss adui wa israel n adui wung acha mkamuone mungu wa israel

    • @nasseralhatmi1762
      @nasseralhatmi1762 Місяць тому +1

      🦍🦍🦍👺🧌🐒👺🐒👺💯😂😂😂

  • @iddikibwana9185
    @iddikibwana9185 Місяць тому

    Hahahaha Israel tumbo joto

  • @juliusshirima1151
    @juliusshirima1151 Місяць тому +1

    Hamna kitu hapo

  • @philipmmbono2131
    @philipmmbono2131 Місяць тому +1

    Israel 🇮🇱 ina mkono mrefu ndege zake za kivita zitapenya hiyo anga zifanye mashambulizi yake na kurejea mijini Tel aviv salama salmin.

    • @hajiramadhanihaji355
      @hajiramadhanihaji355 Місяць тому +1

      Weweee I ran Ni habari nyingine huwezi kulinganisha na Israel ambaye anasaidiwa na marekani kwa Kila kitu.

  • @ProsperKapinga-gg2zs
    @ProsperKapinga-gg2zs Місяць тому

    Netayahu balaa, Hamas walishakimbia gaza wanasaidiwa na adui zao Hezbora na wenyewe wanapigana kiraia wanaogopa kuvaa sare watakwisha

    • @nasseralhatmi1762
      @nasseralhatmi1762 Місяць тому +1

      🦍🦍🦍🐒🐒🐒🐄🐄🐄💯😂😂😂

  • @Daudimakaza-s1v
    @Daudimakaza-s1v Місяць тому

    Mtaaibika wte mtauona mkono wa mungu wa israel licha ya wao kuish ktk dhamb ila mungu anatizam kusud

    • @nasseralhatmi1762
      @nasseralhatmi1762 Місяць тому +1

      🦍🦍🦍🐒🐒🐒🐄🐄🐄💯😂😂😂

  • @marysanga5310
    @marysanga5310 Місяць тому

    kwani msifunge mala yakwansa hizo ni mbwembwe za irani zauwongo

  • @JoelFortunatus-du8ww
    @JoelFortunatus-du8ww Місяць тому

    Sawa Iran 🇮🇷🇮🇷 imefunga zombhi air defence system je utaweza kweli dhidi ya mzayuni Israel 🇮🇱 maana Iran hapigani na Israel anapigana na marekani mpaka Sasa tunavyo zungumza mda huu tayari marekani kasha peleka madege ya kimkakati makubwa makubwa ya mangamizi je muajemi au Irani itawezaaaa????

  • @juliusshirima1151
    @juliusshirima1151 Місяць тому

    Hamna kitu hapo mmepigwaje hapo

  • @Denyo11wiggo
    @Denyo11wiggo Місяць тому

    Irone dome inatukuzwa lakn makombola ya iran huwa azuii peke yake yanaanza kupozwa jordan iraq uko na kambi za marekan lakn aksem azuie yye km yey israel hawez

  • @Denyo11wiggo
    @Denyo11wiggo Місяць тому

    Irone dome inatukuzwa lakn makombola ya iran huwa azuii peke yake yanaanza kupozwa jordan iraq uko na kambi za marekan lakn aksem azuie yye km yey israel hawez

  • @Denyo11wiggo
    @Denyo11wiggo Місяць тому

    Irone dome inatukuzwa lakn makombola ya iran huwa azuii peke yake yanaanza kupozwa jordan iraq uko na kambi za marekan lakn aksem azuie yye km yey israel hawez

  • @Denyo11wiggo
    @Denyo11wiggo Місяць тому

    Irone dome inatukuzwa lakn makombola ya iran huwa azuii peke yake yanaanza kupozwa jordan iraq uko na kambi za marekan lakn aksem azuie yye km yey israel hawez