TUIPE MUDA SIMBA, MAMBO MAZURI YANAKUJA ❤️

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 15

  • @swalehlikongo1512
    @swalehlikongo1512 2 місяці тому +3

    Kimoja Cha nguruwe watoto kibaoooo😅😅😅

  • @sera.8bomani502
    @sera.8bomani502 2 місяці тому

    Kweli.. ni swala la muda!

  • @SalimAlhilal
    @SalimAlhilal 2 місяці тому

    Yanakuja kweliii ila kwa yanga watakula bakora mpaka wasemee niniiii

  • @kumbukahery2166
    @kumbukahery2166 2 місяці тому

    ❤❤❤❤

  • @JoshuavictorMartial
    @JoshuavictorMartial 2 місяці тому +1

    Dakota omary

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 2 місяці тому

    Nakuunga mkono,tuipe muda Simba.

  • @TheGreatPerson1
    @TheGreatPerson1 2 місяці тому

    Sio kwa kipa muda huku ,Kila siku tunafungwa sisi 😭😭

  • @fabiandanielkatikiro1478
    @fabiandanielkatikiro1478 2 місяці тому +1

    Hatimaye Simba ukifungwa goli chache unashangilia 😂😂😂😂,... hivyo sana. Ila endeleeni kujidanganya tuuuu ety timu itakaa sawa 😂😂

  • @shabaniismaily1470
    @shabaniismaily1470 2 місяці тому

    Tungekua tunahitaji magolii ya nyumbani kama belouzdad ungekula nyingi ila iyo kuvuka hatua

  • @HappynesElia
    @HappynesElia 2 місяці тому

    Dada magili mengi2 tumebaniwa

  • @StellaErasto-o8h
    @StellaErasto-o8h 2 місяці тому

    Najibalaguza ila naumia😢

  • @GloryJoseph-md6ic
    @GloryJoseph-md6ic 2 місяці тому

    Kupigwa ni kupigwa2 chamsingi mmefungwa.

  • @shabaniismaily1470
    @shabaniismaily1470 2 місяці тому

    Kwan iyoo si kuvuka Hatua kutafuta magolii

  • @hatibbaraka3956
    @hatibbaraka3956 2 місяці тому

    Leo afadhali umeanza wewe Salma kuna siku ulitaka kutoka hapo studio kwa Zembwela alivyokua anakumbushia kushinda kwa Yanga.

  • @rukiyamohammed2945
    @rukiyamohammed2945 2 місяці тому

    😂😂😂 keep dreaming maa