Nandy an pili wa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 вер 2023

КОМЕНТАРІ • 24

  • @user-kt5re5eq2g
    @user-kt5re5eq2g 9 місяців тому +1

    Uzungu huuu uta wafikisha pabaya sn,zamani mtu akiwa na mimba ana jificha ,leo hii imekuwa mambo hadharan km watamba juu ya mimba zao

  • @ashwaqhasni
    @ashwaqhasni 9 місяців тому +7

    Unajua wanawake sisi ni wanafki sana yupo atakayemdifia umependeza kwa ukivaa tu nguo nzri kuliko kuvaa matambara autopendeza mimba yako ahitaonekana??? Mpaka utuonyeshe tumbo alafu kuna mambo wanawake tunapaswa kutambua ukiwa uchi yahani wewe ni mbaya kinyama labda utapendeza ukiwa uchi chumbani kwako lakini ukivaa muonekano wako unaonekana hata kama nguo siyo nzr

  • @user-lf7oz4sx2i
    @user-lf7oz4sx2i 9 місяців тому +2

    Kumbuka ipo cku utakutana na mola wako, na adhabu zake ni kali mnooo

    • @theresiagideon2178
      @theresiagideon2178 9 місяців тому

      Kwakweli Mungu tumemsahau kabisa tunageukia njia zetu wenyewe

  • @salmasalam3268
    @salmasalam3268 9 місяців тому +5

    Sielewi kinachofanyika apa aki😢

    • @fredalikiprop279
      @fredalikiprop279 9 місяців тому +1

      wee cheka nawenzio tu kaa kioo kikinuna nawe nuna kikicheka nawe chaka😂❤

  • @elvinefaida7
    @elvinefaida7 9 місяців тому

    Kiukweli Nandy rafiki Muzuri sana

  • @victoriastephano1753
    @victoriastephano1753 9 місяців тому +2

    Nyie wamama mda mwingine akili inawaruka

  • @Moviechanel255
    @Moviechanel255 9 місяців тому +2

    Nani kaona kigodoro cha nandy😂

  • @user-wq4ii5ki4o
    @user-wq4ii5ki4o 9 місяців тому +1

    😢jaman aliemxhauri😂

  • @mlapikauma7660
    @mlapikauma7660 9 місяців тому

    KIbibi yuko wapi au kishawaka. Maana hamchelewi

  • @user-xh6qc9mc8i
    @user-xh6qc9mc8i 9 місяців тому +1

  • @CornelleSephania
    @CornelleSephania 9 місяців тому +1

    Pili❤❤

  • @JohariSorene-rn6kq
    @JohariSorene-rn6kq 9 місяців тому +1

    Nandy ❤❤

  • @RoziDocta-cq6bb
    @RoziDocta-cq6bb 9 місяців тому +2

    Pili ana ujauzito wapili tena?

  • @DainesMwapela-mr4wc
    @DainesMwapela-mr4wc 9 місяців тому +1

    ❤️♥️♥️♥️🤰

  • @RachelJulius-fh9nl
    @RachelJulius-fh9nl 9 місяців тому +1

    Dah jmn mbona Sasa yupo uchi

  • @rosemaryalex-pq4gc
    @rosemaryalex-pq4gc 9 місяців тому

    Rafk yako kibibi wa huba sijamuona hapo