wewe na wenye hila na husuda wenzio ndio mnavyo dhani hivyo kwa hila na hadaa zenu ovu ili kupotoa maandiko kwa nia zenu. Eti watu washerekea pasaka kwa mazoea, wewe na watu wa aina yako ndio wanaofanya kwa mazoea ili kupata mkate wenu wa kila siku kwa hadaa bila jasho.
Nina swali naomba niulize, kwa mujibu wa maandiko uliyosoma Mungu alisema ni siku ya 14 ya mwezi wa NISANI, je Pasaka ya siku hizi inafuata tarehe ile aliyoitaja Mungu? Swali la pili, Nani au ni wapi Yesu aliposema naitangua ile ya Mungu akatoa maelekezo ya sasa hivi? Maana tatizo sio AGANO jipya bali tatizo ni haya mabadiliko ya tarehe ya AGANO. Ukumbusho wa kifo inakuwaje mwaka huu tarehe hii na mwaka mwingine tarehe nyingine ila tukio lile lile. Ebu nifundishe taratibu bila kutumia nguvu maana mimi ni mchanga katika imani
Swali unalo uliza hata mimi najihuliza maana hata wanaodhani wanajua hawajui maana sikukuu zote ziko tofaut na tarehe ya biblia mpaka pente coste unaitakiwa kuwa siku ya 50 tangu kufufuka kwa YESU sasa ukianzia tarehe 10/3 mpaka mwezi wa 6 unasiku ngapi?? Na hiyo pasaka aliyokula YESU ilikuwa ni ya mwezi wa kwanza siku ya 14 sasa sisi ni hipi tunayosherekea?
Shukrani sana 🤝🤝
AMEN Asante San pastor. Na kukubali san
Asante sana Pastor wetu -Najifunza-Amina-Barikiwa
Amina sana
Ameen....nice
Amen 🙏
Hapo nimekuelewa
Safi sana.
Ameen
Hii imeelewka
Amen
Duuuh huyu jamaa bhana

AMEN AMEN
Amen
Amina