Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Mamaangu alifanya nizizipende hiz nyimbo❤️❤️MUNGU azid kuwabariki
Uzidi kubarikiwa sana nimekumbuka mbali sana na huu wimboo
This song took me back,MBEYA mama yangu alikua anapenda sana hizi ngoma,Mungu awabariki mlitufanya tuishi kwenye hofu ya kuogopa dhambi
Uzidi kubarikiwa
KUG, nyimbo zenu ni nzuri sana, tunaomba uweke zote za zamani
Huu wimbo unanikumbusha mbalii sanaaa wakat wa mamangu alifanya tuzipende na tuimbe albamu yotee MUNGU wa mbinguni awabariki sanaaa 🙏
Ameen 🙏
Yaani kama Mimi uwii . Hakika Mungu awatunze
@@joshuamlelwa nitapataje flash ya hizi nyimbo
Nakumbuka nilikuwa napenda sana nyimbo za hili group nikawa nairudia rudia kanda mpka ikawa inaharibika kutwa nzima inaimba 😍😍
Izi nyimbo ziliwabariki hata wasio wakristo wapende ukristo. Asante Sana mpendwa
Hizi Nyimbo zinanikumbusha Wakati nakuwa Miaka 10’s Kuendelea hapo Hizi ndo nyimbo zilikuwa zinapigwa Nyumbani na Wazazi WanguNazijua Zote mashairi kwa MashairiAhsanteni Sana Mungu Awabariki Wazazi Wangu
@@joshuamlelwa ile inayosema ukimpenda jirani unae muona MUNGU wambinguni utampenda..na usipo mpenda jirani unae muona MUNGU wambinguni utampendaje....iv inaitwaje vile?
@@catyedokigutu7366Tupendane
Nikiikumbuka hii nyimbo nakumbuka simu yako Nokia flan hv pale chuo kwa masanja
huyu mtumishi kwakweli Mungu azidi kumpa pumzi ya uhai
Basi enzi hizo nilikua nauimba huu wimbo wote..Mungu aendelee kubariki huduma hii
aiseee huu wimbo unanikumbusha enzi hizo
MUNGU ametufanya na amani toka wadogo hata sasa tunasikiliza hii ngoma kali
Hakika
Numeziangalia hizi nyimbo nikiwa mtoto wa chekechea, nikawa teenager nikasoma posta chuo. Nimegundua Posta hapabadiliki hapo ni botanical garden 😂😂😂
Mungu awabariki sana
Nakumbuka mbali mnoooo nlikua katoto that time
....huwezi choka sikiliza wimbo huu....!!!
Amen amen huu wimbo unanikosha
Hii nyimbo ina video mbili tofauti kaka Joshua?
please can you record this audio again ples
Listen to this 👇ua-cam.com/video/PeoPw7JtgNk/v-deo.html
Nyimbo msuri sana ni meipenda
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu ..
Que Dieu nous pardonne !!!
Nyimbo zangu pendwa
tutapataje kupona
❤
Aya ni mahubiri 🙏
🙏🙏🙏
Mamaangu alifanya nizizipende hiz nyimbo❤️❤️MUNGU azid kuwabariki
Uzidi kubarikiwa sana nimekumbuka mbali sana na huu wimboo
This song took me back,MBEYA mama yangu alikua anapenda sana hizi ngoma,Mungu awabariki mlitufanya tuishi kwenye hofu ya kuogopa dhambi
Uzidi kubarikiwa
KUG, nyimbo zenu ni nzuri sana, tunaomba uweke zote za zamani
Huu wimbo unanikumbusha mbalii sanaaa wakat wa mamangu alifanya tuzipende na tuimbe albamu yotee MUNGU wa mbinguni awabariki sanaaa 🙏
Ameen 🙏
Yaani kama Mimi uwii . Hakika Mungu awatunze
Uzidi kubarikiwa
@@joshuamlelwa nitapataje flash ya hizi nyimbo
Nakumbuka nilikuwa napenda sana nyimbo za hili group nikawa nairudia rudia kanda mpka ikawa inaharibika kutwa nzima inaimba 😍😍
Izi nyimbo ziliwabariki hata wasio wakristo wapende ukristo. Asante Sana mpendwa
Hizi Nyimbo zinanikumbusha Wakati nakuwa Miaka 10’s Kuendelea hapo
Hizi ndo nyimbo zilikuwa zinapigwa Nyumbani na Wazazi Wangu
Nazijua Zote mashairi kwa Mashairi
Ahsanteni Sana
Mungu Awabariki Wazazi Wangu
@@joshuamlelwa ile inayosema ukimpenda jirani unae muona MUNGU wambinguni utampenda..na usipo mpenda jirani unae muona MUNGU wambinguni utampendaje....iv inaitwaje vile?
@@catyedokigutu7366Tupendane
Nikiikumbuka hii nyimbo nakumbuka simu yako Nokia flan hv pale chuo kwa masanja
huyu mtumishi kwakweli Mungu azidi kumpa pumzi ya uhai
Basi enzi hizo nilikua nauimba huu wimbo wote..Mungu aendelee kubariki huduma hii
aiseee huu wimbo unanikumbusha enzi hizo
MUNGU ametufanya na amani toka wadogo hata sasa tunasikiliza hii ngoma kali
Hakika
Numeziangalia hizi nyimbo nikiwa mtoto wa chekechea, nikawa teenager nikasoma posta chuo. Nimegundua Posta hapabadiliki hapo ni botanical garden 😂😂😂
Mungu awabariki sana
Nakumbuka mbali mnoooo nlikua katoto that time
....huwezi choka sikiliza wimbo huu....!!!
Amen amen huu wimbo unanikosha
Hii nyimbo ina video mbili tofauti kaka Joshua?
please can you record this audio again ples
Listen to this 👇
ua-cam.com/video/PeoPw7JtgNk/v-deo.html