Maadhimisho ya MIAKA 85 ya TAG (Kipindi cha Saa ya Kukutana na Bwana)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Ibada hii maalum ilifanyika siku ya tarehe 28 mwezi wa nne ikiwa ni siku ya hitimisho ya Semina iliyofanyika kuadhimisha miaka 85 ya kanisa la TAG.
    kwenye kipindi hiki, Mchungaji kiongozi, Rev. Dr. Mulenda Omary anazungumza nasi kuhusu maadhimisho haya. Ameongelea historia ya kanisa letu toka uamsho ulipotokea mpaka sasaivi.
    Karibu kusikiliza na usisite kusambaza ujumbe mzuri kwa ndugu, jamaa na marafiki zako. Pia usisahau kulie na ku subscribe kwenye channel hii ili uwe wa kwanza kupata taarifa pindi tunapokuwa live au kuweka maudhui mapya.
    Asante na Mungu akubariki. Kanisa letu linapatikana Goba, Matosa. Kwa mawasiliano zaidi, Tupigie kupitia namba 0673 280 229
    Ili kumtolea Mungu zaka na sadaka, unaweza kutumia njia zifwatazo;
    VODACOM LIPA NAMBA
    5201833
    CITY LIGHT TEMPLE
    Au kupitia
    BENKI YA CRDB
    ACCOUNT NAMBA 133704447900
    Jina la Account - TAG CITY LIGHT TEMPLE
    USISAHAU KU SUBSCRIBE NA KUSHARE HABARI NJEMA
    #CLT #SEMINA#NenoLaMungu #TanzaniaAssembliesOfGod #TAG
    Pia unaweza kufuatilia mafundisho yetu kupitia facebook kwa jina la CITY LIGHT TEPLE-CLT

КОМЕНТАРІ •