Imekuwa cku njema kwangu nyimbo imetoka Leo mwamba akiwa kwetu mwakitoryo no 5 ,ko Ngoja nijiandaee kwenda kuishudia live song la NZUNA WANE, HONGERA BRO BMS.
Bhudagala miongoni mwa wengi walio washabiki na wadau wako wanaokukubali mimi huwez kunitoa, mungu aendelee kujalia kazi ya mikono yako bro piga kazi nasi tuko nyuma yako kwa surpot.
Ndo mana wasukuma tukakwita king 👑 of traditional songs jina halikuja tu butebure hujawah poa miaka yote wa moto tu hii nayo kali nyingine pamoja sana 🎉🎉🎉🎉
Asante kaka bhudagala kwa kazi zako zenye mafundisho Ama kweli wewe ni kioo cha jamii na hakuna shoo yako mbaya yaani kiukweli Bhudagala ni legendary wa Kisukuma music
Moto 🔥 ni ule ule punguza mwendo tuwaone na watoto wanasemaje maana kwa sipindi hii watakosa la kusema waachie japo miezi mi 3 uone wanasemaje kisha uje uwafungie mwaka mfalme budagala 👑 kingi wa kisukuma
Waambie Kaka yangu make hawana shukurani binadam ila najua hawatasonga najua tabu tupu pia kuwa making na wanadam Kaka make hawana zul Salam sana my buradha
Mwalimu Bora Kwenye Jamii 🙏 Tanzania tunajivunia wepo wako Wasukuma Wenzangu Tujuane Sasa
Imekuwa cku njema kwangu nyimbo imetoka Leo mwamba akiwa kwetu mwakitoryo no 5 ,ko Ngoja nijiandaee kwenda kuishudia live song la NZUNA WANE, HONGERA BRO BMS.
Bhudagala miongoni mwa wengi walio washabiki na wadau wako wanaokukubali mimi huwez kunitoa, mungu aendelee kujalia kazi ya mikono yako bro piga kazi nasi tuko nyuma yako kwa surpot.
@@SimonMakoye-fs9uo❤❤❤
Ndo mana wasukuma tukakwita king 👑 of traditional songs jina halikuja tu butebure hujawah poa miaka yote wa moto tu hii nayo kali nyingine pamoja sana 🎉🎉🎉🎉
🔥🔥
Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu big up sana mwana kang'wa
Asante kaka bhudagala kwa kazi zako zenye mafundisho Ama kweli wewe ni kioo cha jamii na hakuna shoo yako mbaya yaani kiukweli Bhudagala ni legendary wa Kisukuma music
Nakubali kaka nimeerewa sana nyimbo iyo mm madaha salala mwanza
Kazi kazi na kazi iendelee
Moto 🔥 ni ule ule punguza mwendo tuwaone na watoto wanasemaje maana kwa sipindi hii watakosa la kusema waachie japo miezi mi 3 uone wanasemaje kisha uje uwafungie mwaka mfalme budagala 👑 kingi wa kisukuma
Nyimbo Kali sasa brother🎉❤😊
Sanaaaaaa🎉🎉🎉
Kaka angu kipenzi mungu abariki kazi za mikono yako na akujalie ufike mbali sana
Kweli kabisa kazi ñzuli sana
Kazi nzr
Hongera sana kiongozi wewe Kimping wa wasukuma,karibu sana Kahama tumekumis Mwime
B. Ww namba moja
Hapo brother bhudagala umetoboa all the way from somalia
Tulikwelelwa gete mungu akulinde wendelee kulanga kubitila mimbo gako
Huu wimbo unatukumbusha Wana ndugu kuwa kitu kimoja bigapu Sanaa mwalim wa wasanii wa nyimbo za kisuma wasukuma tunajivunia kuwa na msanii kama wewe
Komando wawasanii ote wawasukuma🎉🎉🎉🎉
😮waooo dah jamani wimbo umenigusa sana
Huyu mwamba kwa darasa tyu, SHIKAMOOOH, EMINZA
Bigger up Sana
Uko vizuri kaka yani napenda sana nyimbo za kinyumbani jamani tupendane wapendwa
Waambie Kaka yangu make hawana shukurani binadam ila najua hawatasonga najua tabu tupu pia kuwa making na wanadam Kaka make hawana zul Salam sana my buradha
Hakuna wakishindana na wew
Brother big up xana
Hongera kaka
Kaka endelea kufundisha ulimwengu hatuna msanii mwingine mwenye ubunifu kama wako bigapu kwako kazi nzuri sana
❤❤❤ pamoja san bos wa nyimbo za jandi kaz nzuri san❤❤
Nyimbo zr san katik kuelimish jamii ýet kaz zr
Hogera Sana kaka
Kaka uko vzr sana
Hongera bro karbu ulowa nasi tutazame ngoma kali
Mungu akujalie maisha malefu tasinia ya muziki wa asili isife hongera sanaaaaaaaaaaas
NOumaaaas Sana hapo sielewi nyinbo mzima lakin mdundo nakaa nyimbi zako nyingi ninazo nainjoy Sana wasukumaaaaa oyeeeeeeee
Daaah aya bana kazi nzuri
Piga kazi mzee mungu akutangulie ❤
Bhudagala heshima kwako bro mungu akuzidishie
Iko vizuri,,,,,
Kidaganda tunakuomba uje tena,,,🎉
❤❤❤❤❤❤safi saana kaka nmeipenda
Kaz nzr saaana brother yang mwanamalonja
Nakubali sana Ng'wana Makolo,, karibu Dar es salaam
🙏🥰👍😍🔥🔥🔥tupo pamoja Kaka yetu
Kazi kubwa sana
Nakukubali sna kaka yani kwenye asili ni wewe na bahat bugalama basi
Nagozunije nkolo wane bhudagala emilemo yako misomba gete
safi sanaa, Ngoma inafundisha na kuchezeka kwa uzuri
nakukubali broo
❤❤❤❤napenda Sana nyimbo zako
Hii kaz ni konk dir_mato
Oya
Nimependa kutukagee ♥️
🎉🎉🎉chukua maua yako meamba wetu
Mwanaume ni mwanaume tu #bhudagala ukiamua nyimbo moja tu wanakaa
Pamoja Sana mwana maronja
Piga kazi brother
Hatari sana
Ubulya mnumba 😂😂😂😂
Watakusema lakini hauchuji kijana wangu
Mwalim wa asili Africa kaza mwendo
Nakupata mwamba Kasololo hapa
Kaz nzur kk mung akusaidie
Mfalme budagala hakuna kama wewe labda uwafundishe wawe kama wewe
Hongera sana kaka bhudagala
Nice song bro bhudagala
Bhudagala pamoja na umri kwenda bado ww ni mwamba
Kaka unae jua music na ni music za kufundishaaa jaminiiii ng'wana makolo
Good music for bhudagala
bhudagala ww namba moja
asili yetu inatamba Sana nimeipokea nyimbo nikiwa dar es salaam
Kaz nzuri
ishi maisha ya kawaida hata kama wew nitajil
Kazikazi kaka ntemi napatikana lain simiyu
Kaz nzuli sana
Karibu kigoma mwalim wa jadi zetu
Nitumie bac kaka nyimbo ya recho
Nimelipata goma nikiwa dar es salaam tanzania
Kaka unatixha xana broo
Nipo morogoro ila huyu mwamba ni fundi wa Ngoma za asili
Pamoja kaka ❤
bado tupo pamoja ssna
Safi sana omwamalonja
Nakupata nikiwa itilima simiyu
Hapo nimekubali
Piga kaz wa ng'wa sugha
Mpka wasemee
Legend
Kaka hakika wewe ni kioo kwa wasanii wote wa kisukuma na ndo maana hata kama anaanza leo anatamani kuwa kama wewe
bhudagala umepigeje apo
Good🎉🎉🎉🎉
Hogera wa nyumbani
SIMON DANGER is 🔥🔥🔥🔥
BMS motooooooooo
Ukitoka Mwakitolyo namba Tano uje Kahama Mwime
Watakubali tu
🔥🔥🔥🔥🔥💯💯
Pamoja kaka
Kalb nyumbn nyangokolwa
Ok pw
Naipata nikiwa itilima simiyu
Ikanzalenge ulinichanganya nkulu wane
Alibhuli nkoi
Unyama