🔴DAKIKA 45 NA MH.TUNDU LISSU, 26 AGOSTI, 2024
Вставка
- Опубліковано 12 вер 2024
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our UA-cam Channel : bit.ly/itvtanzania
Facebook : bit.ly/2KeQNl3
Twitter : bit.ly/2XG7aii
Instagram : bit.ly/34KItmg
Walitaka kuuwa mtu mhim sana Kwa taifa letu, ila Mungu akawakataria, Asante MUNGU MKUU
Kusudi la Mungu Baba ndani ya Lisu hakuna mtu anayeweza kuzuia. Anayepigana na Lisu anapigaña na Mungu Baba Mwenyewe na atakuwa anachezea mbonì ya hicho2 la jichò la Muumba.
Mungu akawakatalia amen
6:47 😅😅😅😅😅
Lissu asee mungu kambariki vingi sana najifunza vingi sana kutoka kwake
Siyo pekeyako tuu jeshi
Mimi kutoka moyoni kabisa huyo jamaa ni Role model wangu katika maisha yangu yoote
Nami pia najifunza mambo mengi toka kwake.
HAKIKA
Mtangazaji upo makini , hongera.
Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿
Mazungumzo mazuri sana kutoka kwa mtu makini mwenye akili pia kutoka kwa host msikivu na mwenye utulivu....safi sana mwamba lissu my role model kwenye siasa za nchi hii ya ukanda wa Afrika mashariki.
Nadhani Mhe. Tundu Lisu ni mtu muhimu sana katika Taifa letu aungwe mkono. Tuleteeni mama dakika 45 zijazo tuone.
😂😂😂😂
My president Tundu Antipas lissu mungwai
Hongera mwandishi, umaitendea haki taluma yako, unasitahili sana kuwahoji watu wenye akili kama Mh. Lissu.
The lion of the Nation
Mtangazi naye alikuwa amejipanga.
Hongera sana Farhiya Middle
Simba la masimba tundu lisu
Nimejifunza makubwa sana kwa Tundu Lisu
I too Mussa
❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤@@illomowerner7690
Chadema for life simba for life
Tundu Andipas Lissu, SIMBA WA TAIFA
Very calm
Huyu Dada anajus kuhoji.maana anatoa nafasi kwa mhusika kujieleza vzr sio yule chawa wa star TV anayeuliza swali alafu anakuelekeza cha kujibu!
Yule wa Star TV ni mwoga. Na hana ujasiri wowote kuendesha kipindi kwa wale anti CCM
True true
Huyu ni mkweli toka utoto wake Simba
This is Tundu Lisu, Mtu na Nusu
Very nice
Lissu we ni mwalimu mkuu wa haki! Yaani usingekuwepo hayo madudu ya ccm sijui tungesemewa na nani 😢
Tunaposema Lissu ni IQ watu wawe wanaelewa
Rais halali wa mioyo ya watanzania mhe Tundu Antipas Mugwahi Lissu 🇹🇿🇹🇿🇹🇿💖💖💖✌️✌️✌️
Kweli lissu ni Simba hata samia analijua hilo na wa Tz tunalitambua mungu akubarik.
Muite Tundu Lisu...vichekesho vya rais Dr Samia, aliagiza Simba aitwe Tundu Lisu
Na ni Simba kweli kweli😅
Simbaaaaaaaaaaaaaaa💪
tundu lissuuuuu
Hongela sana mkuu 💯✔️🇹🇿🙏✔️
2025 n yako iwe mvua tutaoga nayo liwe jua tutakomaa nalo had ccm ichimbe kabur na kujifukia umo
Simba anaunguruma madini adimu Sana tundu hoyeeeeeeeee
Simba wa taifa
Vizuri sana, mheshimiwa Tundu Antiphasi Lisu
Rais Tundu lissu anazungumza
Jiwe waliolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni
❤simba
My president of URT of all time
Absolutely the one and only
Sio hatari kwa chadema kwa nchi nzima hakuna jembe kama hilo.
Mh anajua sana kujieleza usipomuelewa rudi mirembe najifunza mengi sana
Mungu awe nawe TUNDU LISSU AKUBARIKI SANA
Tunakupenda sana mpaka tuliokuwa ccm
Nakubali mkuu 🎉🎉🎉
Hongera sana mkuu kwa hoja zako ,
Lissu mtu mwenye akili kubwa na jasiri pia, Mungu azidi kukulinda.
Ubaya ubwela unyama ni mwingi
Duuh,logical answers
Simba
Simba inabidi uwe tu rais, kila swali unapewa kwanza maelezo yake 2025 nakupigia kura mzewangu
Hongera sana kamanda Lissu tuko pamoja
noma
Rais Ajaye
2070😢
Genius man
Big brain Mungu akubariki sana na wengi tunaopenda haki tupo nyuma yako
Sad mtu anayejua mambo mengi hivi kwenye nchi zetu hizi anapingwa vikali badala ya kuwa embraced
The one & only. LAW FATHER.✌️
Nia njema💯
Ufahamu💯
Maarifa💯
Msimamo💯
Haki💯
Sheria💯
Tundu Lissu atakua Rais Bora kuwahi kutokea Tanzania, Mungu Tusaidie🙏
Amina
Yuyu ndie yule mteule wa MUNGU tunayemtaka
Ni ka mzozo
Sema chadema wajipange ili waweze kupata viongozi wa ngazi za Chini kwasababu Hao hisaidia kwenye uchaguzi mkuu
Naomba tujipange mapema kuwe na utaratib mzuli ili tuweze kufanikisha hili
Kwa lissu mi Sina Shaka huyo ni TITAN
4:33 simba🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mh,rais anazungumza muda huu 24:10
Mheshimiwa tundulisu usipogombea uraisi sipigi kura
Tundu Antipas Mungwai lissu akili kubwa.
Falhia Medley katika ubora wake, mwenyezi Mungu akulinde.
Amen shukrani
Asante
Mungu akulinde
Tunaomba muda uongezwe ili tuweze kusikia mambo kwa upana
Farhahia mpige Tundu maswali magumu Ukiwaga hapo Farhahia napata burudani
Mahojiano mazuri sana na majibu mujarabu
simba
Nchi seriously dogo alitakiwa kuhojiwa juu ya kumfata lissu kumpa pesa
Nani panya wa kumfunga paka kengele ?
Tundu ni namba nyingine kabisa kwenye taifa hili
Big brain leader ❤
Viva Democracy 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
interview soft sana hii
misuse of Lissu
Tundu Antpas Lissu 🦁💪💪💪❤️
Simba mwenyewe😂😂😂
Nimtu mhimu sana kwainchi Hi
Hongera, SIMBA WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR.
Simba Kama simba
Kumuhoji lisu inaitaji utulivu kma iliyokua nayo uyu Mtangazaji,Lisu yuko vizuri taifa linakuitaji sana!!
Hongera Tundu Lissu Raisi ujae Mungu akulinde daima
Farhia ni mwandishi mwenye utulivu..nimependa jinsi anavyohoji na kumwachia nafasi ya kujibu na kutoa maelezo bila kuingilia majibu
Simba umeongea ukweli mbowe ni kiboko Yao ndio mana Wanamwandama wanaitaka wapandikize mamuluki kwenye chama letu tuwe makini
Hakika Lisu anaufahamu wa kujieleza na kueleweka ...CHADEMA ni chama kilichojijenga na kuwa na HAZINA kubwa ya viongozi wenye ueledi❤
lissu mtu wa mungu mtu wa haki mtu wa sheria tanzania siku wa kijua hili hakika watakulinda kama mboni ya jicho very wise open ,,big political brain?!!?
Shida ya watangaziji wa Kibongo. Nikukosa kabisa Maarifa na ufanisi ktk kuuliza au kuhoji. Yaani maswali yaaale yaale aliyo ulizwa kwenye chombo kingine na hapa ni hayo hayo. Sasa kunahajagani ya hivi vipindi!? Kwanini mnashindwa hata kuuliza kisheria Tendo la yule aliye mfuata Mh Lisu kumhonga Lushwa kisheria anaweza kushitakiwa!? Au ile Siku angeamua Lisu kuita Police au Takukulu wamkamate pale kwa Lisu je lingeweza kua swala sahihi kisheria!?
Vitu Ambavo Mama Samia Amepatia kwenye Vitu Vamsingi Niku Muita TUNDU LISU SIMBA Nani kweli LISU Ni SIMBA KWEL
TUNDULISU WEWE NI RAISI AJAE UNA AKALI NYINGI SANA....LIBARIKIWE TUMBO LILO KUZAA WEWE NI HAZINA YA TAIFA BILA LISU SIWEZI TENA KUSIKILIZA CHOCHOTE CHADEMA
Nimekuelewa Sana kiongozi
CHADEMA ina vichwa ata angekua Heche nondo zingeshuka kama kawaida
Hii Dunia ni mbaya sana, kama huyu dada walimzushia amefariki jmn,au sikumbuki ndg Zang!?
Ila Huwa ni mzuri wa kuhoji sana dk 45
Big brain
Asante makamu wetu,umetuwakilisha vema
Umeeleweka kiboko Lissu
Wanao sema simba siwaelewi
Samia alipokuwa kwenye tamasha la kizimkaz alitembelea band la maonyesho la simba mmoja mkorofi sana akauliza huyu simba ana jina hana akawaambia muiteni Tundu Lissu 😅😅
Tundu ni Simba diamond Simba jike
Safi bhabha Nshimba
Tatizo la watanzania watu wasio na uelewa hawatasikiliza kwani wataona hastahili kusikizwa kwa vile wamezoea kudanganya na kupakwa mafuta na kuimbiwa mapambio!
❤
Uyundolaisi wawatanganyika
Mtangazaji 100%
Safi sana unajielewa sana, Mbowe anahongwa atawauza, ukweli ndio huo kama wanaongea tu midomon kwenye matendo hakuna, ona mamaenu anaimba malidhiano halafu huyo huyo anawafunga.
Mheshimiwa we somo hapa inchini?
yule jamaa wa Star tv aje ajifunze kufanya interview apa
Yule wa Star TV ni mwoga ni kama mamluki au asiyejiamini
Itv sasa aitwe Mama chakubimbi huyo aje hapo!