Christina Shusho - Kando Ya Mito (Official Video) SMS [Skiza 9842699] to 811

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 674

  • @dennoh_phennal5754
    @dennoh_phennal5754 Рік тому +441

    If you're a kenyan and her music always touch your soul,,let's gather here❣❣❣

  • @sueomondi
    @sueomondi Рік тому +212

    Kenyans let's gather here and support this God sent gospel legendary queen ❤❤🔥🔥🔥🔥🔥

  • @MirriamChiti-sk3cv
    @MirriamChiti-sk3cv Рік тому +221

    nipeni likes mi wa kwanza kutazama huu wimbo❤❤❤❤

  • @marynafula7836
    @marynafula7836 Рік тому +9

    Christina shusho wa zamani amerudi tena 🙏🙏🏿aki mom plz usirudi kufanya collabo tena na hawa up coming artist wanaharibu huduma yako

  • @hotnesiawairia9652
    @hotnesiawairia9652 Рік тому +34

    What more can we say?..Psalms 137 has received justice!...i just love the tone in her voice -it blends so well with the message in the context..God bless you Shusho

    • @mercyesendi294
      @mercyesendi294 Рік тому

      I saw the chapter then I said she's anointed on a different level ❤❤❤❤❤ 🇰🇪🇰🇪

    • @nellyshivere4267
      @nellyshivere4267 10 місяців тому

      Thank you for taking me straight to Pslms 137...Babiloni ulinitesa ,nimekusahau,Sayuni umenipea amani, Yerusalemi umenieka huru sitakusahau milele...eh Sitakuangusha nikiwa Yerusalemi

  • @SalahParmale
    @SalahParmale 4 місяці тому +8

    Let's gather here ALL Kenyans and appreciate Cristina Shusho🥰♥️😘

  • @Matilda-wambugu
    @Matilda-wambugu Рік тому +14

    Who agrees christian shusho is blessed by God...give me likes

  • @MJ-ye7dd
    @MJ-ye7dd Рік тому +43

    This is the Christina Shusho I grew up knowing. She is back 💕

    • @safarimolo4440
      @safarimolo4440 Рік тому +1

      you are right

    • @tabithanyambura3059
      @tabithanyambura3059 Рік тому

      Kabisa

    • @joshuawafula3907
      @joshuawafula3907 Рік тому

      She's back and we bless the Lord 🙏

    • @violet4388
      @violet4388 Рік тому

      She has never lost her way. Every song she has produced over the years everyone of them she has been in line with God and she still is.

  • @zara.smithwick
    @zara.smithwick Рік тому +57

    Halleluya!!!
    Tuuimbeje wimbo wa bwana katika nchi ya ugeni!
    Christina wa siku za "Unikumbukee" yuko hapa amerudi kwa vishindo. Such a powerful song! Love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @christophermshuza5648
      @christophermshuza5648 Рік тому +2

      Kweli kbs huyu ndio Christina wa unikumbuke na BWANA umenichunguza,Mungu azidi kumbariki sana

  • @PendoMabula-y5e
    @PendoMabula-y5e 7 місяців тому +5

    Hapa nimeelewa ulinifanya niache kusikiliza nyimbo zako lakn Sasa nitakuwa nashinda nazo nimependa umerudi kama mwanzo❤❤❤

  • @lilianachayo
    @lilianachayo Рік тому +4

    Ewe, mwanamke tumbo lako limebeba mimba ya zaburi, barikiwa milele

    • @nickyw3chai231
      @nickyw3chai231 Рік тому

      Uuuuuuuuuuu,,,,,,,,,nywele yangu yote imecmama kwa coment yako❤ tubarikiwe milele

  • @fredernestonline6011
    @fredernestonline6011 Рік тому +15

    The first one. One day ntakuja kuimba na shusho kwa utukufu wa Mungu 🙏

  • @pearlcrystalmedia9553
    @pearlcrystalmedia9553 Рік тому +37

    This video and singing now,is the Christina we knew.The one who used to bless us.She is back

    • @TheGospelMelodies
      @TheGospelMelodies Рік тому +2

      The video could have been dope without make-ups ikue tu natural

    • @christinewaga8817
      @christinewaga8817 Рік тому

      iko sawa tu hivo vile mwenyewe aliitaka. Tunabarikiwa@@TheGospelMelodies

    • @carolinealiero8769
      @carolinealiero8769 Рік тому +1

      Very true

    • @awuorjanet1406
      @awuorjanet1406 Рік тому

      What do you mean she's back. Mscheeew..... Christina has never left. Stop your religiosity people and pray God gives you discernment to see people for who there hearts are and not the outside

  • @rue_.k
    @rue_.k Рік тому +52

    The LORD is faithful. Thank you, Christina Shusho. I love how you always quote the Scriptures word for word. This is what Christian music should be. God bless you 🙏

    • @giftedvince5035
      @giftedvince5035 Рік тому

      True

    • @MWALIMUCHAKATV
      @MWALIMUCHAKATV Рік тому

      Zaburi 137:1-6
      [1]Kando ya mito ya Babeli ndiko tulikoketi,
      Tukalia tulipoikumbuka Sayuni.
      By the rivers of Babylon, there we sat down, yea, we wept, when we remembered Zion.
      [2]Katika miti iliyo katikati yake
      Tulivitundika vinubi vyetu.
      We hanged our harps upon the willows in the midst thereof.
      [3]Maana huko waliotuchukua mateka
      Walitaka tuwaimbie;
      Na waliotuonea walitaka furaha;
      Tuimbieni baadhi ya nyimbo za Sayuni.
      For there they that carried us away captive required of us a song; and they that wasted us required of us mirth, saying, Sing us one of the songs of Zion.
      [4]Tuuimbeje wimbo wa BWANA
      Katika nchi ya ugeni?
      How shall we sing the LORD'S song in a strange land?
      [5]Ee Yerusalemu, nikikusahau wewe,
      Mkono wangu wa kuume na usahau.
      If I forget thee, O Jerusalem, let my right hand forget her cunning.
      [6]Ulimi wangu na ugandamane
      Na kaakaa la kinywa changu, nisipokukumbuka.
      Nisipoikuza Yerusalemu
      Zaidi ya furaha yangu iliyo kuu.
      If I do not remember thee, let my tongue cleave to the roof of my mouth; if I prefer not Jerusalem above my chief joy.

  • @sylviaoum2943
    @sylviaoum2943 Рік тому +24

    Hata niimbeje wimbo wa Bwana ktk hali hii ya utumwa.. nisaidie Mungu wangu maana ninaangamia haya sio maisha yangu niokoe Yesu. Wimbo wa kusindikiza maombi yangu . Ubarikiwe Shusho🙏🙏🙏

    • @janethnarsis188
      @janethnarsis188 Рік тому +1

      Ujibiwe kwa haki ya bwana .Amen

    • @christophermshuza5648
      @christophermshuza5648 Рік тому +1

      Neema ya Mungu isimame juu yako ni maombi yangu Mungu mwema akukumbuke.

    • @sylviaoum2943
      @sylviaoum2943 Рік тому +1

      Amina Amina

    • @CosmasLeza
      @CosmasLeza 10 місяців тому

      Mungu akutendee Sawa na maombi yako

    • @FlorenceMukulu-e8y
      @FlorenceMukulu-e8y 3 місяці тому

      Invite God to walk with you in whatever you are going through dear.He has promised He will never leave us.mostly we pray God to clear whatever we are going through but forget that He is still with us .like the way He was the children of Israel in captivity, God was still with them when they suffered until the captivity ended and they went back to Jerusalem laughing.Trust the process and thank God

  • @DavidDeheroDehero
    @DavidDeheroDehero Рік тому +1

    Wow yani hii fantastic niliingojea sanavideo yke wewe dada

  • @kephaoyalo-cm8ey
    @kephaoyalo-cm8ey Рік тому +5

    Highly flammable and touching shouldn't be listened near petrol station bcz it will explore all diesel😂😂😂

  • @melchizedeknyarora2490
    @melchizedeknyarora2490 8 місяців тому +2

    God bless You abundantly Mtumishi Christine Kazi safi sana.

  • @StephenMakau-uk2st
    @StephenMakau-uk2st 8 місяців тому +2

    I was searching for this better version be blessed.

  • @joshuawafula3907
    @joshuawafula3907 Рік тому +2

    This is classic. Extraordinary. Blessings from Kenya.

  • @elishaaunserio645
    @elishaaunserio645 8 місяців тому +3

    Psal[1] By the rivers of Babylon, there we sat down, yea, we wept, when we remembered Zion. [2] We hanged our harps upon the willows in the midst thereof. [3] For there they that carried us away captive required of us a song; and they that wasted us required of us mirth, saying, Sing us one of the songs of Zion. [4] How shall we sing the LORD's song in a strange land? [5] If I forget thee, O Jerusalem, let my right hand forget her cunning. [6] If I do not remember thee, let my tongue cleave to the roof of my mouth; if I prefer not Jerusalem above my chief joy. [7] Remember, O LORD, the children of Edom in the day of Jerusalem; who said, Rase it, rase it, even to the foundation thereof. [8] O daughter of Babylon, who art to be destroyed; happy shall he be, that rewardeth thee as thou hast served us. [9] Happy shall he be, that taketh and dasheth thy little ones against the stones.
    Psalm 137 : 1-9

  • @isaacomondi4988
    @isaacomondi4988 Рік тому +1

    Please next should come from😢😢 the book of job at that part of temptation

  • @ministerlunas
    @ministerlunas 8 місяців тому +1

    This songs 🔥 🔥 🔥 🔥
    Fresh in my bones 🙌 🙌 🙌 🙌

  • @PaulineNthenya-it6fg
    @PaulineNthenya-it6fg Рік тому +1

    Powerful 🔥🔥🔥 we love you 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @marywangari9343
    @marywangari9343 Рік тому +2

    The shusho that we want , verified, authentic,,👌

  • @jemimambubi8771
    @jemimambubi8771 Рік тому

    Mungu aliye mbinguni akubariki sana maman ❤❤

  • @raellimo5040
    @raellimo5040 Рік тому +2

    Psalms 137,I love this song

  • @jamesmbolesila7600
    @jamesmbolesila7600 Рік тому +2

    Very blessed from Nairobi Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @loycedavid8352
    @loycedavid8352 Рік тому +3

    Amazing song from zaburi 137:1
    Kando ya mito ya babeli ndiko tulikoketi tukalia tulipoikumbuka sayuni.....tuimbeje wimbo wa Bwana katika nchi ya ugeni( katika mateso)
    Mungu tutoe katika mateso Ili tukufanyie ibada na sifa

  • @Lizahlizer
    @Lizahlizer Рік тому +2

    My favorite songs 💗

  • @ZephanieKinaha
    @ZephanieKinaha 6 місяців тому +2

    Waliyo tuonea walitaka furaha lazima tuwaimbie waliyo tuonea kwani walitaka furaha tuwaimbie nyimbo za sayuni. Merci beaucoup ma mère Christine shusho. Je t'aime !

  • @joannduhiu
    @joannduhiu Рік тому +2

    Kando ya mito, ya Babeli,
    Ndipo tulipoketi,
    Tukalia, tulipokumbuka, kumbuka Sayuni.
    Katika miti iliyo, katikati yake,
    Tulivitundika, vinubi, vinubi vyetu.
    Maana huko, waliotuchukua, mateka, walitaka,
    Tuwaimbie, na walituonea, walitaka furaha.
    “Tuimbieni baadhi ya nyimbo, Nyimbo za Sayuni”
    Tuimbeje wimbo wa Bwana, katika nchi ugeni?
    Tuimbeje wimbo wa Bwana, katika nchi ugeni?
    Tuimbeje wimbo wa Bwana, katika nchi ugeni?(repeat chorus)
    Eh Yerusalem nikikusahau, Kusahau wewe,
    Mkono wangu wa kuume, na usahau.
    Ulimi wangu na ugangamane, na kaakaa la kinywa changu,
    Nisipokumbuka, nisipoikuza, ikuza Yerusalemu.
    (Tuimbeje wimbo wa bwana ,katika nchi ya ugeni)(repeat).)
    Nchi ya ugeni, mateka nchi ya ugeni ,(repeat)
    Tuimbeje wimbo wa bwana, katika nchi ya ugeni.

  • @FaithKerubo-e1n
    @FaithKerubo-e1n Рік тому +1

    ❤❤❤from kenya

  • @time8388
    @time8388 Рік тому +16

    With how Shusho writes, settles for every part of all her sounds and the authenticity of her videos, she's will always win the heart of many. #Kenya.

  • @agnessmusondamusonda
    @agnessmusondamusonda Рік тому +19

    am a Zambian but I always get blessed with her songs

  • @connieconny3584
    @connieconny3584 Рік тому +2

    Uweeee! Shusho God bless you.mamaa'aa❤❤

  • @giftedvince5035
    @giftedvince5035 8 місяців тому +1

    Hallelujah 🙏🙏🙏 God is wonderful

  • @FridahMakena-qz6uf
    @FridahMakena-qz6uf Рік тому +11

    If you are from Kenya kindly show this comment like ❤❤❤

  • @Sarahysaraphine-gk1ub
    @Sarahysaraphine-gk1ub Рік тому +1

    Ahsante kutubariki na nyimbo mzuri..I always love your songs.

  • @dankowuoth
    @dankowuoth 7 місяців тому +1

    This is great i love the song indeed

  • @FaithKamanthe-hv5su
    @FaithKamanthe-hv5su 11 місяців тому +1

    Good one ❤❤❤ glory to God.. hopefully this song talks of about Moses and children of Israel.....????? after crossing red sea

  • @Williams222
    @Williams222 Рік тому

    Ameen Barikiwa sana Mtumishi wa MUNGU Christina Shusho 🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @stanleypamba8889
    @stanleypamba8889 Рік тому

    Nakukubali sana shuho, nyimbo Kali za rohoni kabisa.
    Yani naskia huzuni sana nikiskia huu wimbo, nahisi kama mm ndio Niko kando ya huo mto nikiwa kama mateka.

  • @PatrickMiti-p3i
    @PatrickMiti-p3i 10 місяців тому +1

    Am from 🇿🇲🇿🇲zambia enjoying the wonderful music 🎶God bless you 🙏 you susho❤❤❤

  • @andrewmumba7617
    @andrewmumba7617 Рік тому +1

    ♥️♥️♥️💪🤔🤔🙏🙏🙏🙏 this woman can sing powerful

  • @emilesandey5356
    @emilesandey5356 Рік тому +7

    No one beats the Psalmist... and God's own given tune through her mouth. This is it. God bless you.

  • @virtuekid3223
    @virtuekid3223 Рік тому

    KAZI NZURI DADA KEEP FIRE OF THE ALTAR BURNING

  • @ananemaemanuel8751
    @ananemaemanuel8751 Рік тому

    Wapo Watumishi wa Mungu waliokata tamaa kwasababu ya Changamoto za maisha na ugumu , Wakati mwingine wametamani kuacha kufanya kazi ya MUNGU, Katika ugumu huo huo Bado Mungu anakuhitaji uifanye kazi yake , Maana Mungu habadilishwi na majira , Nyakati na changamoto Bado katika Yote hayo tuendelee kuifanya kazi ya MUNGU , Tuitetee Imani mpaka mwisho. Mungu akubariki kwa Utumishi mwema, Nakupenda Dada ❤

  • @lightnesskweka4774
    @lightnesskweka4774 11 місяців тому +1

    Jaman 😊Ameen barikiwa safina redio kwa kupiga hu wimbo

  • @MegaOnyango
    @MegaOnyango Рік тому +1

    Now this is truly Shusho!

  • @Okito-c1p
    @Okito-c1p Рік тому +1

    Hapa umenirudisha tena kwa wakati ule wa wimbo unikumbuke, mungu akubariki

  • @kyungudaisy1633
    @kyungudaisy1633 Рік тому

    Sauti ya Christina niya kimalaika hongera sana Christina nabarikiwa na nyimbo zako mno🙏

  • @Irenetrendy
    @Irenetrendy Рік тому +1

    Shusho you are a blessing to many..

  • @anastaziasamson593
    @anastaziasamson593 Рік тому +1

    Bwana mm ni mateka nchi ya ugeni,niokoe katika mikono ya adui wa moyo wangu,ndipo nitaweza kuimba wimbo wa Bwana

  • @briannyadida8941
    @briannyadida8941 11 місяців тому +2

    Eeeeeiii😢 kwani you never disappoint!!! Just listen when it starts...

  • @Fechasharon
    @Fechasharon Рік тому +2

    HUYU NDIYO SHUSHO NINAYEMFAHAMU MIMI.MUNGU AKUTUNZE MAMA

    • @HappyBahati-sn5kr
      @HappyBahati-sn5kr 3 місяці тому +1

      Daa Mungu akutunze shusho wimbo umenibariki sana God bless you

    • @HappyBahati-sn5kr
      @HappyBahati-sn5kr 3 місяці тому

      ❤❤❤❤ napenda sana nyimbo zako zinanialiki sana

  • @davidoadero2193
    @davidoadero2193 Рік тому +6

    My all time favourite gospel artist....l like the fact that your songs are in line with the Gods word
    Psalm 137:1..…keep on winning more souls in Christ....God has risen you to greater heights en he's still doing so

  • @SusanNasimiyu-ry2rj
    @SusanNasimiyu-ry2rj Рік тому +1

    The way I get close to God through her songs barikiwa sana

  • @mordecaiMoses001
    @mordecaiMoses001 Рік тому +14

    Hallelujah hatuwezi kuimba wimbo wa bwana nchi ya ugeni

  • @ericlowasa3097
    @ericlowasa3097 6 місяців тому +1

    Talented Singer....

  • @franciscoj754
    @franciscoj754 Рік тому +1

    Christina shusho always amazing ❤🎉

  • @mammyaswani6455
    @mammyaswani6455 Рік тому

    psalms 137.She sang each and every word in the chapter psa 137.nice

  • @aimeebusime5849
    @aimeebusime5849 11 місяців тому +1

    Nashukuru dada kwa wimbo nzuri kama asali😂❤ ina nikumbusha mengi nikokatika inchi ya ugeni namibia😭😭😭

  • @salutifelistu9168
    @salutifelistu9168 Рік тому +28

    My all time worshiper,much love from Zambia 🇿🇲

  • @themiddleastAr
    @themiddleastAr Рік тому +9

    you have been consistent throughout the years, releasing Holy Spirit-filled worship songs backed by scripture. God bless you and increase you in Jesus name.

  • @malkiahellen2030
    @malkiahellen2030 Рік тому +16

    Thank you holy spirit for this song

  • @irenebaya6296
    @irenebaya6296 Рік тому

    Much love mum 💝💝💝tuko huku nchi za kigeni tutaimbaje wimbo wa bwana 🙏🙏🙏

  • @BARAKABakenyaofficial
    @BARAKABakenyaofficial Рік тому +6

    Wimbo mzury sana Ni viwango vya roho mtkatifu be blessed Mama.

  • @oscarmatanatv6190
    @oscarmatanatv6190 Рік тому +4

    SHUSHO THE GOSPEL LEGEND IN AFRICA. NO ONE CAN OUTDO HER. I WISH SHE WAS MY MOTHER-IN-LAW. MAD RESPECT FROM 254 KENYA

    • @anajohn8132
      @anajohn8132 8 місяців тому

      She has two daughters

  • @LucianOboth
    @LucianOboth 14 днів тому

    Am a Ugandan but I really like mama Christian's worship songs, I believe she gets them in deeper spiritual realm, more grace to you mum.

  • @JelemayaJaphet
    @JelemayaJaphet 9 місяців тому +1

    ❤❤❤ Amen

  • @profongeri
    @profongeri Рік тому +1

    Psalms 137:

  • @boygenerabura4433
    @boygenerabura4433 Рік тому +11

    I don't think there is anyone that loves Shusho's music as me. You are a blessing to my life, Shusho

    • @violet4388
      @violet4388 Рік тому

      same here i love her songs to the max.

  • @matildamunis5658
    @matildamunis5658 Рік тому +1

    Imba mama imbaaaa❤❤

  • @lilianmumbua2963
    @lilianmumbua2963 Рік тому +3

    Am here Kenyans let's gather here to support her more grace mamaaa

  • @JanethLazaro-dj3bs
    @JanethLazaro-dj3bs Рік тому

    Wimbo mzuli sana ,wimbo watafakali

  • @Londonblues1997
    @Londonblues1997 7 місяців тому +1

    Nashukuru Mungu kwa kusikia wimbo huu. Unanijenga kiroho na kunisongesha karibu zaidi na Mungu. Barikiwa mtumishi wa Bwana, Mungu azidi kukutia nguvu na moyo wa kuipenda huduma hii zaidi. Jinyenyekeze daima na Mungu atakuinua kwa ajili ya utukufu wa jina lake. Amen.

  • @valkimvalkim.4619
    @valkimvalkim.4619 Рік тому +2

    Shusho you have no idea of how much am proud of you, not for beauty or fashion, but because you are God's iconic musician, heaven is clapping, heaven is fully represented!! Long live shusho! Our God is God of purpose! The only God known in and out of Earth!!!❤

  • @sultanmswahilitv4864
    @sultanmswahilitv4864 Рік тому +1

    She is blessed with a melodic voice.

  • @teblatebla7739
    @teblatebla7739 Рік тому +28

    A constant reminder to look at God. What ablessed song. original voice is back🎉❤

  • @tituszechariah2250
    @tituszechariah2250 Рік тому +8

    Ooh my goodness..this lady is talented..the voice.amazing..ooh my God..may u live long shusho..never be sick..sing sing sing to the lord..

  • @IsabellJohn
    @IsabellJohn 11 місяців тому +1

    Ameeee Amin

  • @ireenekasemire7817
    @ireenekasemire7817 Рік тому +1

    Asante saana maman kwakutubariki na nyimbo njuri

  • @rahellusinde9115
    @rahellusinde9115 Рік тому +1

    Ubarikiwe mama ❤

  • @lmashua
    @lmashua Рік тому

    Nivigumu kuimba wa Bwana katika nchi ya ugeni,

  • @LilianAchayo-b9b
    @LilianAchayo-b9b 7 місяців тому +1

    Oracle of the most high God, may your Master Jesus reveal this message more to souls suffering in wrong places of finding God's face, let's go out of our ways follow him no matter what, not easy but the kingdom that we r promised is greater than what people will say.hongera dada songa mbele ulumwengu usio na Mungu utakuhukumu tu.penda wewe saaana, unao mimba kubwa saaana ya zaburi usio koma kuzaa , endeles zaa zaidi, mataifa bado Wana kiu kubwa

    • @giftedvince5035
      @giftedvince5035 7 місяців тому +1

      Amen,,mti wenye matunda ndio hulengwa mawe. Mama yetu simama tena.Wewe ni baraka Kwa kizazi hiki

  • @chermerilyn7968
    @chermerilyn7968 Рік тому +4

    With everything that is happening in this world ,this is the time for us to be more strong and powerful with our faith❤❤❤❤❤❤

  • @drchristianreagannday8081
    @drchristianreagannday8081 Рік тому +1

    Moto 🔥🔥🇨🇩🙌🙌

  • @Samuel-rs9rj
    @Samuel-rs9rj Рік тому +1

    Sound kali sana

  • @jacklinemwelu5033
    @jacklinemwelu5033 Рік тому +2

    Hapo kwa "ulimi wangu wangu ugandamane nisipo ikuza yerusalemu Mungu anisaidie ".thankyou Shusho for this powerful message 💕 🌹 🌷

  • @ZakiaMwakikonyola
    @ZakiaMwakikonyola 7 місяців тому +1

    Amen and Amen

  • @annesuva5806
    @annesuva5806 9 місяців тому +2

    I love this....we can't sing our songs in the land of captivity 😢

  • @richardkobelo6241
    @richardkobelo6241 Рік тому +2

    The God is here❤❤

  • @mmaitsiowen1121
    @mmaitsiowen1121 Рік тому +2

    Kenyans loves you and your songs ❤...Eager to attend your concert 🎉

  • @NanaaKanana-kr2zd
    @NanaaKanana-kr2zd Рік тому

    Tuimbeje wimbo wa Bwana ....❤sending love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Farajamangaiko-ye2lz
    @Farajamangaiko-ye2lz 7 місяців тому +1

    Amen amen

  • @rachaelreuben8617
    @rachaelreuben8617 Рік тому +15

    AMEN 🙌🙏
    Huu wimbo umenipa nguvu katika roho..now am totally strong in spirit because of this song,.may GOD bless you my mom,.. AMEN and AMEN 🙏🙌

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 Рік тому

    Mungu awbariki wote wamtumainiao, 🙏

  • @mourineblessed3245
    @mourineblessed3245 Рік тому +3

    I get the the message from Jeremiah 29 when they were captured and taken to captivity together with the ark of the covenant of God, they failed to sing the song of victory in the land that they were exiled. But the God of the Heavens Army, the God of Israel had plans to prosper and give them peace even in foreign land 🙏 🙏🙏🙏🙏

  • @givenmsule6891
    @givenmsule6891 Рік тому +1

    Amina mama ❤️