Uchambuzi Clouds FM🚨: Yanga ilivyoandikwa na magazeti ya Afrika Kusini | Eng. Hersi kusajili mastaa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 тра 2023
  • Magazeti mengi ya leo nchini Afrika Kusini yameandika habari za ujio wa Yanga ambayo itapambana na Marumo Gallants katika mchezo wa marudiano wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika katika dimba la Royal Bafokeng, ambapo taarifa mbalimbali kwenye magazeti hayo ni kuhusu tetesi za usajili ambazo Yanga inahusishwa nazo. Mchambuzi Shaffih Dauda kupitia Hili Game ya Clouds FM amechambua alichokishuhudia huko
    #magazetiyaleo #uchambuzi #cloudsfm #afrikakusini #enghersi #shaffihdauda #afrikakusini #yanga #usajili #enghersi #wasafifm #khamabilliat #khanyisamayo #tanzania #simba #yanga #cafcc #jemedarisaid #geofleah #uchambuzi #pesa #soka #tanzania #tff #kariakoo #wamachinga #raissamia #wazirimkuu #kariakooyetu #mgomo #lemutuz #mazishi #biashara #mwanafa #nchi #maisha #daresasalaam #arusha #jinsiya #ninimaana #hakuna #afrikakusini #mamelodisundowns #marumogallants #uza #nunua #youtube #youtubevideos #tanzaniayoutuber #online #simu #computer #zanzibar #feitoto #gari #mkojani #kingwendu #mweusiog #joti #masanja #mpoki #daiamondplatinumz #alikiba #marioo #harmonize #rayvanny #mbosso #zuchu #kingkiba #juakali #uchambuzi #wasafifm #efm
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 4

  • @SpotikilaSaa
    @SpotikilaSaa  Рік тому +1

    SUBSCRIBE CHANNEL YETU ILI UPATE HABARI ZOTE NA UCHAMBUZI WA MICHEZO

  • @TEAM-lq3ve
    @TEAM-lq3ve Рік тому

    Yanga bingwa

  • @DeeperTheSea
    @DeeperTheSea Рік тому +1

    Yanga moto wa kuotea mbali ..... weka mbali na watoto