MIRAJI |YANGA WAMEJIRIDHISHA KMC COMPLEX NI SALAMA KWAO NIMEOGOPA SANA| GAMOND KUONDOKA SIO MATOKEO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 163

  • @melchizedekmaturlu3544
    @melchizedekmaturlu3544 День тому +4

    Mimi ni mwana Yanga, lakini napenda sana kazi mnayoifanya Miraji na Chagamba...uchambuzi mzuri na very balanced..

  • @MADAHAYOHANA
    @MADAHAYOHANA 2 дні тому +4

    Aah jaman mzee chembela ! Mungu amusaidie apone. ! Kidogo nikulize juzi maana sijamuona station muda bwana. ! Inshallah mungu amusaidie bwanaa. !

  • @YohanaJumanne-v3v
    @YohanaJumanne-v3v 2 дні тому +19

    Kmc hawajafunga camera kuwaona wakiroga Simba lindeni mchana na usiku Azam kaeni nao vizuri ili na hapo kmc wakimbie tena

    • @munarnkungu8654
      @munarnkungu8654 2 дні тому

      utakimbia safari hii Yanga tishio

    • @SebaProcess
      @SebaProcess 2 дні тому

      Sasa Simba walinde kwani ni wao

    • @joelkihogo9312
      @joelkihogo9312 2 дні тому

      Mnatumia madawa ya kusisimua misuli​@@munarnkungu8654

    • @malietamaliet
      @malietamaliet 2 дні тому

      😂😂😂nyie kwaiyo mliziona mapema camera ikabidi mkubali morogoro mkaenda uko mbangula akawabangula mkarudi Tena dar ama?

    • @jaffarishabani
      @jaffarishabani 2 дні тому

      miraji chonde chonde utaeleweka vibaya na wanasimba

  • @hoseadyson4474
    @hoseadyson4474 День тому +2

    Miraji kweli ww mwamba unaona mbali sana mungu akuweke sana unajitahidi sana kutuelewesha ila cc binadamu ni wa gumu sana kuelewa

  • @SamsonSamsoni-q9s
    @SamsonSamsoni-q9s 2 дні тому +5

    Simba bingwa 🏆🦁💪💪🙏

  • @harakainterprise1655
    @harakainterprise1655 12 годин тому

    Ww miraji mshirikina sana yanga hamna kituuu

  • @DennisFandi
    @DennisFandi 2 дні тому +4

    Miraji mm nakuelewa, Yanga kwenye mambo ya ushirikina wako serious kuliko maelezo utaona km utani vile, ni tofauti na simba tuko kimpira zaidi hatuwafanyii umafia ile roho mbaya Yanga km alivyofanyiwa na Azam, wakaziba mirija yote ya figisu za yanga

    • @godlistengodlisten7552
      @godlistengodlisten7552 День тому +1

      Weweeee Unachokisema Tunaomba Uthibitishe Wacha Unyenyenye Wewe, Kolo.

    • @LilianBitwale
      @LilianBitwale День тому

      Acha ufara unachokiongea hukijui unaropoka tuuu

  • @chiengwalu6312
    @chiengwalu6312 2 дні тому +3

    Viva Miraji viva Chagamba

  • @faheemhassan9331
    @faheemhassan9331 2 дні тому +4

    Leo miraji katuangusha sana kaongea pumba tu 😂😂😂

  • @msolekaonlinemedia
    @msolekaonlinemedia День тому

    Combination ya Chagamba na Miraji ni superb sana

  • @devothaignatius5256
    @devothaignatius5256 3 години тому

    🤣🤣🤣🤣🤣 Umenichekesha sana kumbe Amonazi nyimbo yake ipo namba moja eeeh

  • @jonasdaniel1025
    @jonasdaniel1025 День тому +1

    Miraji yupo sawa kabisaaa

  • @nashirkamugisha9425
    @nashirkamugisha9425 18 годин тому

    Miraji 55% yanga na 45% simba

  • @GadiusNdiwago
    @GadiusNdiwago День тому

    Hongera kwa kueleza ukweli,migogoro ya Yanga na viongozi wake yanatuhusu nini Wanasimba?Huyo Manara ni ukoma,tumuugope.

  • @DanielChaula
    @DanielChaula 2 дні тому +1

    Tuzo ya chagamba iko wapi jamani

  • @Alexjoseph-cu4nb
    @Alexjoseph-cu4nb 2 дні тому +2

    Huyu miraji kuna muda unaweza ukasema ni chawa yani kuna muda haeleweki yan simuelew ni mshabiki ambae kuna muda anakua muoga kwan wkija kuna shida gan brow usiamin uchaw sna

  • @BoboPhiri
    @BoboPhiri 2 дні тому +5

    Huyu milaji kweli nichawa sasa unataka yanga ikifugwa tushidwe kushangilia achamaneno

    • @زينبالخالدي-م4م
      @زينبالخالدي-م4م 2 дні тому

      Anakera siku izi😢

    • @jamesmaneno2281
      @jamesmaneno2281 2 дні тому

      Uyu jmaaaa sikuizi mamluki sikuizi kabisa kabisa mwanagu

    • @nuruosward8161
      @nuruosward8161 День тому

      @@jamesmaneno2281Ajielew huyu ata mechi ya yanga na Tabora alisema Tabora watachezea nyingi tuu ndo wale wale propaganda Fc😂😂😂😂 haijelew na mzee said ndo maana napenda kumsikiliza Gb 64

    • @ChinkoTanzania
      @ChinkoTanzania День тому

      Huyu siku hizi hana tofauti na shabiki yoyote wa Yanga. Anawahusudu sana Yanga. Inabidi tuelewe mapema

    • @LilianBitwale
      @LilianBitwale День тому

      Acheni ufara hiv Mtu WA Simba akiongeaga ukweli ndo mnamuona mamluki shida mnapenda kusifiwa tuuu kila kitu😂😂😂

  • @wimranpatrick
    @wimranpatrick 2 дні тому +1

    allah amsaidie mzee wa kibuyu arudi kabisa

  • @GodwiniFwelo
    @GodwiniFwelo День тому

    Miraji na😂mzee said nawapa respect 🙏 sana me yanga damu. Hampo kam mchome

  • @MonaMbalike
    @MonaMbalike 23 години тому +1

    Yaan nyie cdhani kama mnaumia kuhs Farid kama mm nnavyoumia...Farid ananiuma sana

  • @hamadabdullah9702
    @hamadabdullah9702 2 дні тому +2

    Uy miraji sijui nayy km hatumiwi na ynga

    • @angellomarcel5677
      @angellomarcel5677 2 дні тому

      sa ingine anakuwa kam anasukumwa huyu..anatafutaga kupendwa na watu wa UTOPOLO

    • @roberttagaya9098
      @roberttagaya9098 2 дні тому

      Kweli huwa anajifanya kubalance ili mashabiki wa utopolo fc wampendem​@@angellomarcel5677

    • @Rugambwa
      @Rugambwa 2 дні тому

      Huyu huwaga ni plastic fan kinoma yeye ni Simba ikishinda tu

  • @abubakarykivo7366
    @abubakarykivo7366 16 годин тому

    VP GSM hanunui mechi tena

  • @Ibrahimlundenga
    @Ibrahimlundenga 2 дні тому +1

    ilibid nicheke TU miraji anavyotuchambua wanayanga

    • @msabahaissa6201
      @msabahaissa6201 2 дні тому

      Yanga wameamini Simba siyo washirikina ndiyo maana yanga hakusita kuja Kmc complex.waanajua hata kama mambo yako huwashindi

  • @LilianBitwale
    @LilianBitwale День тому

    Ila saa nyingine miraji nawe unapenda kujifikirisha vitu afu unataka kutuaminisha viwe kweli 😂😂😂

  • @Mumlion2624
    @Mumlion2624 2 дні тому +1

    Gamond nikama benchika kweli miraji hujakosea .viongoz wa yanga wanapaswa wakaenae chin wamkaje aache hiyo tabia coz yy nicocha mzur sana

  • @Alexjoseph-cu4nb
    @Alexjoseph-cu4nb 2 дні тому +2

    Naomba wanasimba tupambane na mambo yetu jamn tuachane na mambo ya hawa wtu jamn

  • @DavidJonathan-s6e
    @DavidJonathan-s6e 20 годин тому

    Mipraji leo umeongea kwa fikra Kama yanga nimpira umekataa na ukiangaria msimu Jana tulikuwa wabovu

  • @RayPaul-g2n
    @RayPaul-g2n День тому

    We miraji unasema yanga wametumia mda mfupi Kuhama na simba wamechelwa kuhama simba walichelewa koz uwanja wa kmc ulikuwa haujakamilika na yanga wamehama haraka koz kimekamilika Co unaongea ongea tu kaka

  • @HalidiIbuva
    @HalidiIbuva 14 годин тому

    wafunge taa mana yanga wahuni

  • @awetumtengera1147
    @awetumtengera1147 2 дні тому +1

    Yanga wakilitaka jambo lao hawana kusubiri, lakini nyie mlisema mnahamia Burundi lakini mpaka leo bado mpo bongo vipi??????????.

  • @ramadhanimohamed4190
    @ramadhanimohamed4190 2 дні тому +1

    Kweli sisi simba atuna vitendo km yanga ndio maana yanga kaja kmc

  • @athumanmapunda
    @athumanmapunda 2 дні тому

    Miraji maramoja upo vizuri sana nakupenda upo vizuri sana

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 2 дні тому

    Semq Nyiy Team Finest Uwqg Mnanpiga Rqhq Kwelii Mungu Awqlinde

    • @monifrank347
      @monifrank347 2 дні тому

      Ww nae andiko vizuri kama mtoto😂

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 2 дні тому +1

    NA HAWA UTOPOLO WANATAKIWA WAFANYIWE UMAFIA MKUBWA SANA TENA SANA YANI ZAIDI YA UMAFIA

  • @EksamHassan
    @EksamHassan 2 дні тому +1

    Amia yanga miraji

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 2 дні тому +1

    Mlete mzee said

  • @Alexjoseph-cu4nb
    @Alexjoseph-cu4nb 2 дні тому +2

    Brow kinacho kutesa kuhusu yanga kuja kcm ni uonga na kuamin uchawi

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 День тому

      Kilicho ihamisha yanga azam nini ?
      mpaka aje kupangiwa mechi za saa sita mchana pale kmc ?

    • @LilianBitwale
      @LilianBitwale День тому

      ​@@maftahmusa9513kufeni kama imewauma😂😂😂😂😂😂 hata tukipangiwa mechi saa 4 asubh so shida zetu

  • @Mathamayaka
    @Mathamayaka 2 дні тому +1

    Milaji upo sahihi kabisa

  • @SilasJacob-z6v
    @SilasJacob-z6v День тому

    Kuna mda miraji unaiogopesha tim yako ko unazingua we huna sifa ya mwanajeshi unawaogopaje xaxa

  • @MADINAKITEMO
    @MADINAKITEMO 2 дні тому +2

    Wewe nae yaani unaigopa yanga kuliko Mungu kweli wewe mwehu mxiuuuuuu

  • @DanielChaula
    @DanielChaula 2 дні тому +2

    Chagamba huwa unacheka au unaguna 😂😂😂😂😂😂

  • @Tz100Tz
    @Tz100Tz 2 дні тому

    Miraji una uyanga kubali ukatae, Ila huwez kuitoa simba kwenye reli

  • @GodfreyKiondo-pz2ji
    @GodfreyKiondo-pz2ji 2 дні тому

    Mimi ni mshabiki wa yanga lakini,hata kama nikifungwa,huyu jamaa lazima nimsikilize.anajua mpira

  • @chiefgimbo4793
    @chiefgimbo4793 День тому

    Siku hazilingani Leo miraji umepoteana

  • @AliMpenda
    @AliMpenda 2 дні тому

    Mimi nakwambia hao yanga ninyinyi simba wanyewe tu ila hao ni weupe sana

  • @AbisinaRashidi-c8d
    @AbisinaRashidi-c8d День тому

    Chembela ni yule mzee wa yanga anatumwa mpeni pole

  • @HalimaPembe-pm7yi
    @HalimaPembe-pm7yi 2 дні тому +1

    Miraji ana wagopa sana yanga

    • @hamadyasin7429
      @hamadyasin7429 2 дні тому +1

      Shida yeye anatengeneza ballance ya kipindi inawezekana ana masirah yeye na mzee saidi

    • @RenatusMatungwa-o7c
      @RenatusMatungwa-o7c 2 дні тому

      ​@@hamadyasin7429mbona inajulikana hiyo

  • @kakamkubwa9393
    @kakamkubwa9393 День тому

    Miraji una akili sana kaka...nimeelewa mfano wako wa unaweza kuleta utani, halafu adui akafanya ukweli

  • @Josephtibu-l9e
    @Josephtibu-l9e 2 дні тому +1

    YANGA WANA ROHO MBAYA SANA 😂😂MECHI YA TABORA ,ALLY KAMWE KASIMAMA DAKIKA 90 ARAFU HAMISA MOBETO KAKAA 😢😢😢

    • @ZabibuMwenda
      @ZabibuMwenda 2 дні тому +2

      Hamisa chombo ya boss yule Aziz ally anapakwa tu mafuta kwa mgongo wa chupa

  • @YohanaJumanne-v3v
    @YohanaJumanne-v3v 2 дні тому +1

    Mzee Said yuko wapiii Yanga haoooo alisema ni waswahili mnooo hawana uvumilivu na nikweli wamekimbia uwanja wachawi hao

  • @PhilkevinFelix
    @PhilkevinFelix 2 дні тому

    Ally Komwe kusimama dakika 90 ni sawa na Hamisa Mobeto kukaa ni sawa. Wewe unaeshangaa inaonyesha hufahamu suala la "ustaarabu" na hadhi ya wanawake.

  • @allymtunge5530
    @allymtunge5530 2 дні тому +2

    Uchawi bhna. Wanaloga mno

  • @Ruyembe
    @Ruyembe День тому

    Miraji ameona mzee Said anafaidi, naye kaanza ndimi mbili.

  • @AbisinaRashidi-c8d
    @AbisinaRashidi-c8d День тому

    Milaji anatumika upande wa nyuma mwiko kwanini usiwapigie viongozi simu ukawaambia hayo kama wew unajua yanga wachawi Kwakua haya yanga tukifungwa wanatucheka na nyimbo ya Ali kiba wanacheza

  • @JohanesByamkama
    @JohanesByamkama 2 дні тому

    😂😂😂😂 Ili mara moja na gamba mmenitoa stress hizi timu zitatutoa roho kiukweli

  • @MaulidHussein-z6x
    @MaulidHussein-z6x 2 дні тому

    Nakubal miraji

  • @harunamashaka6200
    @harunamashaka6200 2 дні тому

    Hamna kutunga shanga nyanyua virago kusepa😅😂

  • @caimedia
    @caimedia 2 дні тому

    Umezungumza mpira Miraji

  • @shaabanbusolo4254
    @shaabanbusolo4254 День тому

    Mimi huyu miraji simuelewi ni kama mchome tu

  • @leonardlunguya7112
    @leonardlunguya7112 4 години тому

    Tulishaambiwa pale utopolo wenye akili ni wangapi? Jibu tulia nalo

  • @jamesmaneno2281
    @jamesmaneno2281 2 дні тому

    Sikuizi natukamwa kisa miraji niliwaletq familia kama 20 sasaiv miraji chawa

    • @chiengwalu6312
      @chiengwalu6312 2 дні тому

      Miraji anatengeneza brand anaongea mpira siku hizi na siyo ushabiki.

  • @stationerykinondoni7241
    @stationerykinondoni7241 2 дні тому

    Simba tutakosa matokeo mikoani na sio KMC

  • @RamadhanHaruna
    @RamadhanHaruna 2 дні тому

    😅😅 Yanga ni ubabe tu akuna sababu yyote Kweli yanga mafyyyyaaaaa😊😅😅😅

  • @BoboPhiri
    @BoboPhiri 2 дні тому

    Wew kama hutaki kushangilia yanga kufugwa kakimia sisi tuna shangili saiz umeanza kutupangia phaka vitu vyakuonge na vyaku shangilia

  • @ChinkoTanzania
    @ChinkoTanzania День тому

    Chagamba umekuwa shabiki wa Yanga. Siku hizi hata sina muda wa kukusikiliza tena. Inaonekana ushalishwa asali upande wa pili. Ukiendelea hivyo utapoteza mashabiki zako wengi sana.

  • @THADEOCHUNDU-eu3ez
    @THADEOCHUNDU-eu3ez 2 дні тому

    Bahasha hazipo saa hizi ndugu yangu Chagamba. Upepo ushahama huo.

  • @jacobsadock3530
    @jacobsadock3530 2 дні тому +1

    Raha sn kuona gongo wazi wakilalamika

  • @YussfAbdullramnsefu
    @YussfAbdullramnsefu День тому

    Nawashauri kmc waweke cc tv kamera kwa ajili ya washirikina yanga

  • @denisdanieli5571
    @denisdanieli5571 2 дні тому +1

    Leo hakuna ulicho ogea umeogea pumba tu na matope juu yake

  • @jasmineliana5238
    @jasmineliana5238 2 дні тому

    Wakwanza 😂😂😂😂😂 duh sijawahi

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 День тому

    Kaka unaona mbali kinabiii hakika tuta yaona

  • @ramadhanimbutasalumu9909
    @ramadhanimbutasalumu9909 2 дні тому +2

    Aisee kumbe yanga ni tishioooo

  • @abelimaganga417
    @abelimaganga417 2 дні тому

    Kikubwa ni kwamba mashabiki wengi wa nyuma mwiko hawajui mpira wao wanachojua ni ubishi tu ila mpira na kwenda uwanjani aaaaaaaaah😅

  • @deusjoseph8554
    @deusjoseph8554 2 дні тому

    Aende hospital huduma za nyumban huduma gan hzooo

  • @rashidally863
    @rashidally863 2 дні тому

    Miraji natajie maswaha kumu wa mtume

  • @fakimwakisu
    @fakimwakisu День тому

    Huyu Miraji sio huyu

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 2 дні тому

    Kmc wamesha.sema.wanafunga camera 📸 100

  • @SigwaKishkopa
    @SigwaKishkopa 2 дні тому

    Bega la chagamba lina pitia mengi😅

  • @franccoz94
    @franccoz94 2 дні тому

    SIMBA WASIPOCHUKUA UBINGWA VIONGOZI HAWANA AKILI SIMBA WANATAKIWAA KUFANYAA MAMBO KAMA AZAM ALIYO FANYA

    • @burukinyebo6294
      @burukinyebo6294 2 дні тому

      Tumia akili yako kufikiria, kwani Viongozi wa Simba ndio wanaocheza mpira uwanjani, Sema wachezaji wasimba wanatakiwa kukaza ili kushinda ubingwa

  • @BullahSambiga
    @BullahSambiga 2 дні тому

    Msemaji wenu ana mdomo mchafu sana

  • @z.osterzulu6899
    @z.osterzulu6899 День тому

    Cheka ipo muda utatoa puvu mbele ya huyo chagmba

  • @HusseinHussein-f7n
    @HusseinHussein-f7n 2 дні тому

    ile midude Michawi sana

  • @hamadyasin7429
    @hamadyasin7429 2 дні тому +1

    Miraji uko sawa

  • @johnbupimali5019
    @johnbupimali5019 2 дні тому

    YANGA NI NOUMA NYIE WAONENI WAKO KIMYA, WATAKUJA KUAINISHA WATU SUBIRINI NAHISI WOTE TUNALIJUA HILO AYA MI NIKO PALE TUSITAFUTANE BAADA YA KUTOKEA UDHALILISHAJI WA MTU FLANI

  • @OnyangoTheDon
    @OnyangoTheDon 2 дні тому

    Anakuwagaa mwogo mwogo nae hata sio wakumwamini

  • @andrewmaiga4331
    @andrewmaiga4331 2 дні тому

    Mzee atumie Jerry ya Mwani.

  • @makamesaid9137
    @makamesaid9137 2 дні тому

    Makolo rudini CHAMANZI mkashirikiane na wspiga bodi wenzenu

  • @albtstanislaus4319
    @albtstanislaus4319 2 дні тому

    Leo umeongea ujinga kabisa mpira sio uchawi

  • @amirabdallah6984
    @amirabdallah6984 День тому

    Awana pakwenda ao yanga

  • @kaundasutikaunda7769
    @kaundasutikaunda7769 2 дні тому

    WEWE MIRAJ MBONA KADRI SIKU ZINAVYO KWENDA UNAZIDI KUONGEA PUMBA ...YALE NI MANENO YA KISHABIKI TU MAANA SIMBA NA YANGA MIAKA YOTE WANACHEZA UWANJA MMOJA. MCHAWI KUWA NA KIKOSI BORA TU. PALE AZAM WOTE TUMEHAMA KUTOKANA KUWA NA OPTIONS NYINGINE VINGINEVYO TUNGEENDELEA KUWA PALE PALE. HAO YANGA UNAO WASIFIA MBONA WALIKAA MIAKA 4 JUZI TU HAPO BILA UBINGWA??? SIMBA HUU MSIMU WA 3 NA TUNAO KUNA MWANGA MZURI KWENYE KIKOSI.

  • @RhodaMaungu
    @RhodaMaungu День тому

    Unasema hatuna uvumilivu nyie mnatushinda nini kwenye uvumilivu,sisi tushatembeza mpaka bakuli,nyie bakuli mnalijua nyie.

  • @BoboPhiri
    @BoboPhiri 2 дні тому

    Wewe kama unataka hamiya yanga mbona simba walipo sema wana hamauwanja wa azam ulipiga kerere sana kwetu sio sawa irakwayanga saw angalia nyuma simba walisema wana ama uwanja tazama uliongea nini na sasa unaongea nini

  • @houmdmajid-ur9dp
    @houmdmajid-ur9dp 2 дні тому

    Ni matokea sio matoke vp mbn kipind hajafungwa hawakumfukza wala hawajasema km hana nidhamu acha kutetea ujinga na ww mandevu km brashi la choni

  • @twalibuchaye7687
    @twalibuchaye7687 2 дні тому

    LEO UNAONGEA UPUUZI MTUPU TU

  • @MwajumaMsogoti
    @MwajumaMsogoti 2 дні тому

    Milaji unaxingua

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 2 дні тому

    Unaongea sense nyingi ila kuna mengine unapunyanga sana kama sio matokeo why not hayo maamuzi yasifanyike before matokeo ya kufungwa?

  • @biggievandar254
    @biggievandar254 2 дні тому

    Gamondi haendi mahali umechacha kinachomwondoa kinachomwondoa

    • @ZabibuMwenda
      @ZabibuMwenda 2 дні тому

      Umevurugwa mpaka unakosea kuandika ubaya ubwela tuliwambia hii sanda itawatesa sanaaa

  • @georgematovu1317
    @georgematovu1317 День тому

    Huyu kashalogwa!!

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 2 дні тому

    Xavi mtupu

  • @RenatusMatungwa-o7c
    @RenatusMatungwa-o7c 2 дні тому

    Hivi ww Milaj unataka simba wafanye nini.?