MZEE SAID ANAOMBA MECHI NA YANGA| WALIVURUGWA WACHEZAJI MPAKA BENCHI😂|MWAMNYETO ATAWAUA WANAYANGA😂

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 250

  • @CareenJulias-iu7tf
    @CareenJulias-iu7tf 25 днів тому +42

    Yaaani huyu Mzee Said balaa sana hakika unatupa burudani saana. Mungu azidi kukupa afya njema na maisha marefu zaidi.

  • @westonyjob1747
    @westonyjob1747 25 днів тому +62

    Naomba like 100 tu kwa Mzee saiz

  • @melissa_garden
    @melissa_garden 18 днів тому +1

    😂😂😂Mzee huyj akitaja jina Mavambo😂😂😂😂

  • @GraceSinkalla
    @GraceSinkalla 18 днів тому +1

    😂😂😂 we mchambuz mzee saidi

  • @asiliyetuonlinetv5063
    @asiliyetuonlinetv5063 25 днів тому +20

    Mzee Said anaongeaga mpira katika lunga nyepesi sana,anajua sana🎉🎉🎉💚🔰

  • @Shadia544
    @Shadia544 24 дні тому +7

    😂😂😂😂Jamaniii mzee saidi jamaniii 😂😂Jamaniii basi pole pole najua furaha yako sasa 😂😂😂

  • @KidoBanks
    @KidoBanks 25 днів тому +21

    Waooo mzee said tulikusubilia kwa hamu ❤❤❤ chagamba

  • @NicholasNgendwa
    @NicholasNgendwa 25 днів тому +18

    Kumekucha 🎉🎉🎉😂 pameanza kuchangamkaaa 😂😂🎉🎉🎉

  • @OfficialKadumba
    @OfficialKadumba 25 днів тому +6

    😂😂😂 iyo kazi iyo acha mzee ume nichekesha sana

  • @OmanOman-hj7tv
    @OmanOman-hj7tv 24 дні тому +6

    😂😂😂😂😂😂😂eti duka liko wazi haya bhana mzee said kulia kupokezana wakati wako huu kufurahi

  • @nurumigeyo4625
    @nurumigeyo4625 24 дні тому +6

    We mzee Saidi wewe 😳🤣🤣🤣 wakakwangua mfupa kupima umekomaa mpaka umebadilikaa🤣🤣🤣🤣 Asante mzee Side

  • @RASHIDYSAIDY-o7v
    @RASHIDYSAIDY-o7v 25 днів тому +7

    Mfilage mgeni kunumba akalale Asante kweri mnyamwezi mzeee said

  • @k2nailstz
    @k2nailstz 24 дні тому +2

    Daahhh!!!! Huyu mzeeee ananipa rahaaa saaanaa 😂😂😂😂😂

  • @KosovoNaiiem
    @KosovoNaiiem 25 днів тому +25

    Wewe mwaandishi atukupi like lazima mumpe pesa Mzee saidi anawabeba sana hilo lazima tunampenda na mnamuoji Kila siku mumpe pesa Mzee saidi bila ya hivyo atuingii hilo mjue na tunayo simu yake tutamuuliza like ningi sababu ya Mzee saidi tunampenda sana na mkweli

    • @DanielBaraka-j9p
      @DanielBaraka-j9p 24 дні тому

      Kweli kabisa jamani wanakula hela tu kupitia mzee saidi, wempe wampe kabisa

  • @suleymansalum4292
    @suleymansalum4292 24 дні тому +1

    Bwana wewe usinitumbue maini yangu wewe nilienjoy vibaya mno ila mzee said😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @AnastaziaAndrea-e2f
    @AnastaziaAndrea-e2f 23 дні тому +2

    mzee said ww ni balaaa😂😂😂😂

  • @Khalidniya380
    @Khalidniya380 25 днів тому +8

    Finally Mzee Said😂
    Alafu wajinga wanasema mzee Said ni mamluki
    Mamluki gani anafurahia Yanga kufungwa
    Mzee Said nakupenda bure Mzee wangu😂❤

  • @JohaivenMzee-vo1dl
    @JohaivenMzee-vo1dl 23 дні тому +2

    Vile Mzee wangu unaongea ,,,Mimi nazidi kupata afya njema,,,🎉🎉🎉🎉🎉❤❤😂😂😂😂

    • @JosephatMassae
      @JosephatMassae 21 день тому

      Eti utakuja kulia mdomo wa mbwa woooowoouh wooouh😀😁😂😀😁

  • @JosephMwita-f9d
    @JosephMwita-f9d 25 днів тому +7

    😂😂😂😂😂😂😂mzee said tumekusubili sana toka sku ya kmc 😅😅😅

  • @ElizabethLukosya-lv2vf
    @ElizabethLukosya-lv2vf 25 днів тому +6

    Mobetoooooo🤣🤣🤣 wasisubutu kutuletea wachezaji wa yanga!hatuwstaki wasije kutufeilisha tu

  • @IsackOppa
    @IsackOppa 25 днів тому +5

    Ila mzee Saidi 😂🤣😁

  • @googleus4903
    @googleus4903 24 дні тому +1

    Mobetoooo😂😂😂ndoa linii😅😅😂 dah mie Yanga ila mzee Said unanifurahisha mzee wangu

  • @NathanaelKatundu
    @NathanaelKatundu 25 днів тому +8

    Ahahaha huyu mzeee ameongea ukwelii.. YANGA waliidharau Tabora.

  • @johnmollel6915
    @johnmollel6915 25 днів тому +5

    Chagamba kwann ulichelewa kumuhoji Mzee Said 😂😂

  • @DannyEmmanuel-y6p
    @DannyEmmanuel-y6p 24 дні тому +1

    Mzee said munguu akupe maishaa marefu jamoon

  • @abuuzahra-fc2jg
    @abuuzahra-fc2jg 25 днів тому +4

    Huhuhuuuu Mzee Said huyu ana vituko hatariiii

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 25 днів тому +5

    Wahoo mzee wangu Leo ana Cm kubwa inapendeza sana❤

  • @roi2554
    @roi2554 25 днів тому +4

    Mzee said bhana dahh😂😂😂😂

  • @Aman_mmari
    @Aman_mmari 24 дні тому +2

    Nakubali sana😅😅😅😅😅😅 mzee said 😅😅

  • @HamisKiza
    @HamisKiza 22 дні тому +1

    Mzee said unachekexha 😅😅😅

  • @JosephMwita-f9d
    @JosephMwita-f9d 25 днів тому +4

    Chagamba lete namba ako unachelewa kutuletea mzee etuuu😅😅😅😅

  • @SaidMwegelezi
    @SaidMwegelezi 25 днів тому +3

    Mfile mgeni kuichumba kinyamwezi ichooo 😂😂😂😂

  • @SawariaMwaitete
    @SawariaMwaitete 25 днів тому +8

    Mzee said 😂😂😂

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 25 днів тому +3

    ...Duh nilimsubiria sana DADEKI 😂

  • @maigemayasa3382
    @maigemayasa3382 25 днів тому +7

    😂😂😂😂😂
    Chagamba kutwa nzima naangalia kama umefika kwa Mzee wetu

  • @lourykibudu
    @lourykibudu 25 днів тому +3

    SEMA Mzee said dahhh ana flower za hatari sana 😂😂😂😂

  • @hafidhmohd8696
    @hafidhmohd8696 25 днів тому +13

    Tulikuwa tunamsubiria mzee said

  • @AloyceShimwela
    @AloyceShimwela 25 днів тому +8

    Weee mzeee said wewe!!!!!!!

  • @abdulazizmpilla5605
    @abdulazizmpilla5605 25 днів тому +6

    Sidee😂😂😂😂

  • @IbuniKilapaya
    @IbuniKilapaya 24 дні тому +1

    😂😂😂huyu Mzee nae ni comedy

  • @NemesMasawe
    @NemesMasawe 25 днів тому +6

    Ilaaa mobetooo hongeraaa zakeee

  • @SaidyKaoneka
    @SaidyKaoneka 25 днів тому +4

    Mzee noma huyu dah tahiyatu ya muda nimecheka 😂😂😂😂

    • @JosephatMassae
      @JosephatMassae 25 днів тому +1

      😀😁😂

    • @rashadymuhamad6293
      @rashadymuhamad6293 23 дні тому +1

      Huyu Mzee M_baya kweli kweli! eti Mabeto anasema unaona Mzee nilivyomfilisi😂😂😂
      ila kipigo kibaya jamani. Mudathir katoka kwenye kupiga simu hadi Attahiyatu!!! Network ilifeli kabisa!!!.

  • @fatumasophu5855
    @fatumasophu5855 25 днів тому +9

    Ndo mana nakupenda baba angu hapo kwa pakome hapo naungana na wewe baba

  • @JohnAlagwa
    @JohnAlagwa 24 дні тому +3

    😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 Dume. La nyani hahahahahhahahahahahahahaha

  • @patrickmukundichalamila3038
    @patrickmukundichalamila3038 24 дні тому +1

    Mzee Said nakupenda sana ila kakicheko kakikuda kweli kutusimangaa Yanga 😂😂

  • @KosovoNaiiem
    @KosovoNaiiem 25 днів тому +7

    Tena Mimi namsapoti Mzee saidi atumtaki pacome Wala mamnyeto Wala mchezaji wowote wa yanga tafuteni wengi wachezaji wako wengi tunaomba

  • @FredyBennymassawe
    @FredyBennymassawe 25 днів тому +6

    Mzee said bhana😂😂😂 ett wakipona wote hataki kukutana na yanga ila saiv anataka mechi na yanga kwa kuwa majeruhi ni wengi

  • @MurisalMpelembe
    @MurisalMpelembe 25 днів тому +6

    Mzee wa burudani🎉🎉🎉

  • @nurdinuledi9705
    @nurdinuledi9705 25 днів тому +6

    😂😂😂 mzee uje yanga uchez namb 9 maan kun wazee wenzako huk

  • @DicksonWilliam-t1x
    @DicksonWilliam-t1x 24 дні тому +1

    😅😅😅 Dah mzee said bhan, xawa tu

  • @daudikisoma2284
    @daudikisoma2284 25 днів тому +11

    Ila gamba, Mzee Saidi kafanana sana na gamond kasolo rangi tu na miwani

  • @raphaelmwaipeta3732
    @raphaelmwaipeta3732 25 днів тому +3

    😂😂😂 Mobeto

  • @Moonlight-m7l4h
    @Moonlight-m7l4h 25 днів тому +11

    Likes kwa Mzee Said

  • @DeusMsira
    @DeusMsira 24 дні тому +1

    Kwamba ukimpigia mluzi anashituka 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @emmanuelysagayika5412
    @emmanuelysagayika5412 24 дні тому +1

    Nimecheka sana kwa Michael Essien😂😂😂

  • @munirmaulid8155
    @munirmaulid8155 25 днів тому +2

    Mzee saidi wee nomaaaaaaa

  • @Roja-c3u
    @Roja-c3u 25 днів тому +5

    Hahahaa 😢😢😢😢😢

  • @YohanaPetro-xv9tp
    @YohanaPetro-xv9tp 25 днів тому +3

    Nimeisubr Sana Hiiintaviyu 😂😂😂😂😂

  • @JosephatMassae
    @JosephatMassae 20 днів тому

    Mudathir aka KATAYIATU😀😁😂😀😁😂
    Mobeto akawaambia viongozi mmeona nlivyomfilithi😀😁😂😀😁😂

  • @HusseinIdrissa-ed6tl
    @HusseinIdrissa-ed6tl 25 днів тому +5

    Hapa sawa ss

  • @maigemayasa3382
    @maigemayasa3382 25 днів тому +3

    😂😂😂mdaka mishale akikaa taiyatu hahahaha

  • @mamuwadomu8448
    @mamuwadomu8448 24 дні тому +1

    NENO JIPYA ,,LIGWAGU LYAMPITULA MTENYI,😂😂😂😂MZEE SAID maneno Methali za kigogo unazijua 😂😂😂

  • @danfordmwangesile9043
    @danfordmwangesile9043 25 днів тому +3

    Mwambie mzee Said. Pilipili boga inaitwa GREEN PAPER

  • @EnockMbuna
    @EnockMbuna 25 днів тому +1

    Ila mzee said😂😂😂

  • @CharlesFadelis-te5fp
    @CharlesFadelis-te5fp 24 дні тому

    Mzee namkubali sana 😂😂😂😂😂

  • @asiliyetuonlinetv5063
    @asiliyetuonlinetv5063 25 днів тому +4

    😂😂😂😂et yakipona yote sitaki😂😂😂

  • @danielndunye1034
    @danielndunye1034 25 днів тому +2

    Nakubali 😂

  • @hafidhmohd8696
    @hafidhmohd8696 25 днів тому +5

    Ohooo

  • @blacknighttv7148
    @blacknighttv7148 25 днів тому +2

    Mtoto ananuka benchiii hahaha

  • @PaulPaul-n7r
    @PaulPaul-n7r 25 днів тому +2

    Mzeee side 🙌🙌

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 25 днів тому +2

    Dah nilikua nanhamu na mzee said jmn

  • @mrcharm166
    @mrcharm166 24 дні тому

    Kwani nje ya uwanja hakuna mtu anauza supuuu kisemaji Cha utopolooo alijifichaaa kweli kwelii😅😅😅😅😂

  • @edvesmshayo509
    @edvesmshayo509 25 днів тому +5

    Mzee side mmoja tu

  • @AlbinusAmon
    @AlbinusAmon 25 днів тому +4

    Nicee

  • @lucasnela2785
    @lucasnela2785 25 днів тому +3

    😅😅😅😅😅kazi ipo

  • @Fridankini-v6z
    @Fridankini-v6z 24 дні тому

    Mzee Saidi 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MwajumaMohamed-i4y
    @MwajumaMohamed-i4y 25 днів тому +5

    Kweli mzee said hukiwatoa bacca na job wengine wote ni magarasa😢😢😢

  • @MbukaniByamungu
    @MbukaniByamungu 25 днів тому +5

    Unasemakweli mzee saidi mipira nawanawake aviambatani mobeto amemumaliza

  • @RabsonSalmon-ys7bf
    @RabsonSalmon-ys7bf 25 днів тому +2

    Vzr🎉🎉🎉

  • @malick_jrzramadhan7298
    @malick_jrzramadhan7298 24 дні тому

    Ila mzee said 😂😂😂😂😂

  • @HusseinHussein-f7n
    @HusseinHussein-f7n 24 дні тому +2

    mungu akikuandikia kufungwa utafungwa2 siku iyo hata wangekuwemo wote awo mungu akupanga ufungwe unafungwa2

  • @ImanMachaba
    @ImanMachaba 24 дні тому

    mzee anaatali.kwel👍👍

  • @jacksonjombo7221
    @jacksonjombo7221 25 днів тому +2

    Sana Gamba kabla ata sijamsikiliza mzee wetu

  • @twalibuchaye7687
    @twalibuchaye7687 25 днів тому +5

    Mzee side boy

  • @AnusiataMatei
    @AnusiataMatei 25 днів тому +5

    Vizur sana mzee funguka

  • @KosovoNaiiem
    @KosovoNaiiem 25 днів тому +5

    Atumta pacome Lile zee tafuteni wachezaji wadogo huyo wanini

    • @HappyEdson-d9h
      @HappyEdson-d9h 24 дні тому +1

      Pacome na huyo Deborah wako mtoto mjitu yenu yote mizer

  • @joharibakari
    @joharibakari 25 днів тому +5

    Mzee saidi eeeeeeeeeeeh😂😂😂

  • @AllyHozza
    @AllyHozza 25 днів тому +1

    Mzee wa kushenyetaaa 😂

  • @jamila-wf5oj
    @jamila-wf5oj 24 дні тому

    😂😂😂😂😂😂 uwiiii

  • @geralddeus1434
    @geralddeus1434 21 день тому

    Daaah icho kirugha😂

  • @omarydololo1717
    @omarydololo1717 20 днів тому

    Uchi kigogo mzee saidi

  •  25 днів тому +2

    😂😂😂😂😂

  • @amanilupembe9788
    @amanilupembe9788 25 днів тому +1

    Haya bwana mzee said

  • @KosovoNaiiem
    @KosovoNaiiem 25 днів тому +2

    Kweli kabisa yanga beki wawili tu Mzee saidi anasema kweli

  • @PaulKidula-o9g
    @PaulKidula-o9g 25 днів тому +1

    😂😂😂dadek

  • @mnyongeiddi2454
    @mnyongeiddi2454 25 днів тому +3

    Mzee wa kutoa burudani 😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃

  • @SalmaMakusudi
    @SalmaMakusudi 25 днів тому +3

    Kweli pakome atumtaki

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 25 днів тому +5

    Wakat yanga wanashnda kagol kamoja tunaojua mpira tulisema yanga wamechoka wakasema msmu huu wanaangalia point sio magol Sasa kumeanza kuvunja yajayo yanafurahisha

  • @HUSSEINMVUNGI-s6y
    @HUSSEINMVUNGI-s6y 24 дні тому +1

    Nilikua namsubiri mzee wangu kwa hamu mbaya

  • @NemesMasawe
    @NemesMasawe 25 днів тому +3

    Mzee wa burudan nakukubaliii sanaaa