Enoplat - Nijinyonge Offical Lyrics Video

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 23

  • @babanaylahtv
    @babanaylahtv Рік тому +1

    Mzk mzuri Sana kijana
    Anaimba kikubwa

  • @chrissnyotatz
    @chrissnyotatz Рік тому +1

    Jaman naitaj collabo apo maana goma la mwaka ilo🔥🔥

  • @bobpixels7195
    @bobpixels7195 Рік тому +1

    Kazi nzuli sana mzazi ,,,,,,Tuenderee kupiga kazi njia zipo za kutoboha mikononi mwetu

  • @deejaybysertz194
    @deejaybysertz194 Рік тому +1

    Naiyona kesho ya mafanikio ya enoplat dogo anajua Sana kikubwa kumwomba mungu asimame nae

  • @directormisonyo2471
    @directormisonyo2471 Рік тому +1

    Simping uyu jnjaa nakubal san kaz zakee ✊️✊️✊️✊️

  • @kennedmagungu
    @kennedmagungu Рік тому +1

    Unyama sana anajua sana uyu mwambaaaa✌✌✌✌

  • @aidanjoseph3983
    @aidanjoseph3983 Рік тому

    Duuuh mwamba anajua in short ana Melody Kali Sana akipata maneger uhakika ✌️💥🔥🔥🔥💥

  • @motomotoproductiontv
    @motomotoproductiontv Рік тому +1

    Anaimba Sana kijana

  • @deejayazizi
    @deejayazizi Рік тому +1

    Magic boy ...anajuaaaaaa mbka anakeraaa

  • @JumaSaid-d8c
    @JumaSaid-d8c 10 місяців тому

    Aujawai kuarbu kijana wetu Una we za 💥💥💥💥💥

  • @hudhaifamoyo-ji7mh
    @hudhaifamoyo-ji7mh Рік тому

    Unajua sana braza 🔥🔥🔥🔥

  • @tikisakids_africa
    @tikisakids_africa Рік тому

    we are together kijana naiman soon tu kila kitu kitakua sawa from PIGGYBRAND ENTERTAINMENT
    #enoplat

  • @fuzomc
    @fuzomc Рік тому

    Sijawai kukupinga mwanang enoplat

  • @ericcantona9590
    @ericcantona9590 Рік тому

    magic boy big up blood..melody kalii

  • @infotinenent
    @infotinenent Рік тому +1

    Duh cyo pwa Kaka kazi nzuri kijana anaimba anaandika ana melody ana look ya kuwa star yani ni full package 💥💥 naiona hii sauti mbali sana 🙏 2023 ni mwaka wake keep push the sound

  • @lovenesszeloth6848
    @lovenesszeloth6848 Рік тому

    Unyama mwingi blood

  • @sebajaybrand
    @sebajaybrand Рік тому +1

    Ifakara to the top pure talents combo ,respect to the whole team✊

  • @stevegido2785
    @stevegido2785 Рік тому +1

    🙌🙌🙌🙌🙌💥💥💥💥💥💥💥DONE

  • @josephmlelwa8124
    @josephmlelwa8124 Рік тому

    good job

  • @YoanaGeorge-vc5rb
    @YoanaGeorge-vc5rb Рік тому

    familiah unyama ni mwing san

    • @MussaBakary
      @MussaBakary Рік тому

      Pachaaaaaaa you will be a big hero soon so never give up coz God upon you,,,,By your brother Ivan apaa

  • @mapmjeul1209
    @mapmjeul1209 Рік тому

    ni swala la muda tu TZ itatambua uwezo wa dogo. hoya PCP usimuache dogo endelea kumkuza na kumsimamia naamini yupo mikono salama 🙏🙏🙏🙏