KASHASKIA KUNA CROWN FM ANAANZA KUWASHWA,,NA IVI ALIPAFORM KWENYE UZINDUZI😊,,SKIA HUYO SIGALA KALI ALIMNYEAGA DAI,,KAHAMIA KWA MA J,, MWACHENI ATAFUTE UGALI
bora nimekuja huku make ule waraka Instagram nimeshindwa kuusoma😂sasa dulla hapo mwanzo kasema wafanyakaz wake ndo walisababisha asipande iweje aseme hataki kuongea na majizo kha
Hongera dula, uko sawa endelea kupigana kiume hivyohivyo.
Ni sawa labla kakosa treat nzuri kwa hao wafanyakazi wa Majizo....sasa hapo Majizo yupo na kosa gani mpaka aseme haongei tena na Majizo
Bora nilikuwa natafuta nani wakunisomea😂😂😂😂😂 maana nimeshindwa kusoma
KASHASKIA KUNA CROWN FM ANAANZA KUWASHWA,,NA IVI ALIPAFORM KWENYE UZINDUZI😊,,SKIA HUYO SIGALA KALI ALIMNYEAGA DAI,,KAHAMIA KWA MA J,, MWACHENI ATAFUTE UGALI
😂😂😂😂
King of singeli auna baya makabila umeongea ukweli Maana mbaya Sana kukaaa na kinyonge
Sasa ataelewana na nani kila mtu mbaya
Hivi hii Dunia ni nan Mwema aiseee....khaaaa 😂
Huyu aliharib wasafi sahv anataka kuharibu na huku
Dula ana asira na maisha tulia piga kz
Apige kazi bila hela
bora nimekuja huku make ule waraka Instagram nimeshindwa kuusoma😂sasa dulla hapo mwanzo kasema wafanyakaz wake ndo walisababisha asipande iweje aseme hataki kuongea na majizo kha
Kwa sisi wataalam wa Nyota yule Zaylissa alikua -anamchaji jamaa kung'aa
Sasa ww Dulla unamnunia tajiri kweli una akili ndogo😂😂😂
Hana kabisa 😂😂😂😂
Dulla anagubu 😂😂 kama za baraka darprince😅😅
😂😂😂😂😂
😂😂😂
Cream zinachoma mishipa ya faham
Ukitaka usiongee na watu akikisha kila kitu unacho usiombee msaada kwa watu usitaka kuongea nao
Ana Uhuru wa kutoa mawazo yake yupo sawa
Yupo sahihi kabisa dulla atakae Sema Kakosea hamna Akili. Kama ni kweli wamefanya hivyo wamekosea Sana
Hata ruby aliwahi kumlalamikia majizo
Ma cream yanamchoma kwenye mishipa ya fahamu 😂
😂😂😂😂
Sasa alitaka nani apande huo muda😂...
MAKABILA MWEHU, MAPENZI YAMEMVURUGA .ANATOA WAPI NGUVU YA KUBISHANA NA TAJIRI... TAJIRI HANUNIWI😂😂😂
Huyu naye anapenda huruma tuu!!!!
Uyu dulla mbona mswahili
Usikute ni kiki hii kuna nyimbo inakuja.
Ukitaka kuitwa mbaya sima ukweli mungu yuko dullah 😂
Huo dulla hakili hana si alikua mtu wake
Mziki umekushinda mdogo wangu kwani anaejua anakua tu hata ukipanda Saa moja asubuhi watavibe na ww
Sasa Majay na Dulla nani ni looser😂😂 unamnunia tajiri
Ngoma imebuma kiki tu..mchewww
Anajua kuna Crown FM huyu kama sio kiki
Alimlaumu Bugatti sasa ni majizo😂😂
Yuko na matatizo sana huyu jamaa anapenda makasiliko sana 😂😂😂
.mbn ata ww una maksikiko nyoko ww
@@landmadvdmbeyacity9561 matusi ya nn kuruwe ww
@@landmadvdmbeyacity9561 mbwa ww kwanza rudi shule jifunze kuandika
Hahahahaaa
dula unapotea
Kiki zao tu
Makabila yupo sahihi ila wajinga watasema anapotea... Bongo wapigaji wengi😢
Walimaliza watu wakaenda kwa zombie haujui!!!!!!!
Duh
Hizo ni Kiki t Kwa Dulla
Ndy mana aliachwa
Kwani Meja kunta aliamuaje wakuu?
Kwani hawez toa nyimbo bila kiki