BIASHARA ZA M-PESA, JINSI WANAVYO LIPA KWA MWEZI NA FAIDA ZAKE. SEHEMU YA II
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2025
- Huu ni muendelezo wa biashara za M-pesa na hii ni sehemu yake ya pili biashara ya M-pesa, jinsi wanavyo lipa kwa mwezi na faida zake. sehemu ya II
Kama shemu ya kwanza ilikupita basi usijali gusa link hapa chini;
Aste kaka yang mm napenda sana kazi iyo kama Nikiwa na swali nitakucheki❤
Kazi nzurii lkn ningependa kujua kuhusu kutofautiana kwa kiasi cha malipo kulingana na hela mteja anayoweka au kutoa. Umesema mfano wa 1k and 10k
Bro nme kpata vizur kk somo zur
Asante sana kaka
Kka samahan Hy biashara ni imenikaa sana akilin mwangu nipe maelekezo Zaid mpaka nifanikishe malengo yang
Kaka samahan kama naanza na milion2 ntazigawaje kwa lain zote4 na ninatakiwa nibak na shingapi mkononi
Kila laini weka tsh 250,000 au 300,000 Kisha baki itakayo baki iyo ndio ya mkononi
Shukurani 🙏🙏
Dyuh kumbe biashara ni nzuri kama ukijituma
Thanks
Kaka samahan je nikianza na mtaj wa million moja inatosha
Ndio
@@rabaonetvSema inategemea na eneo aliko kama kuna mzunguko haitoshi
Ukisha kua na mzunguko mkubwa uwezi baki na 1M lazima utakubidi kuongeza mtaji tu, ila iyo 1M ni kwajili ya kianzio
Je lipa kwenda lipa inalipa?
@TunsumeMwaijumba ndio
Kama asant sana
Shukran sana kwa elimu nzuri kiongozi. Naomba kujua je unarekodi vipi kwenye daftari lako la mauzo kila siku, je unaandika ela ambayo umefungua nayo asubuh wakati unafungua biashara na jioni ela uliyofunga nayo? Au unaandika kwenye daftari kila muamala wa mteja unaofanya? Nataka kujua ili ata ukimuajir mtu ujue unamfuatilia vipi
Kila muamala ulio fanyika nikipata nafasi nitafafanua zaidi
Shukran sana #itapendeza
Somo zuri na tumelipenda, , , hyo lipa namba unaipataje, , maana ni nzuri, , inakuwa na usajili wake au inakuwa vipi???
Naomba kuuliza hio kamishen inajumyishwa kwenye flot ilioko kwenye lain au
Inawekwa kwenye till namba yako (namba ya WAKALA)
Je mahesabu unapigaje? Kwa siku au wiki au mwezi na ni vip Yani ili ujue na faida yako?
Nataka kuanza biashara ya mpesa mtaji shilingi ngapi
Mtaji wa laini 4 niwe na shilingi ngapi!
Kamisheni huw zinapatikana vip na niwe na mtaj kiss gan kuanzisha hii bias har a??
ua-cam.com/video/N1hME0bxIvA/v-deo.html
Gusa link hapo juu upate ufahamu wa kamisheni
Good
Kaka kama utasajili kwa mtu hizo lain kuepuka process haisumbui
Na je miamala ya kununua luku comishen yake unapewa ? Au ni ofa tu kwa wateja!
Hellow
Ni uwongo mkubwa sana wanasajili kwa gharama kubwa sana kwa baadhi ya mitandao kama tigo na airtel
Inawezekana Ila huduma uwa nibure Ila kama ujuavyo vya Bure siku zote lazima vinakasoro fulani fulani, mfano: kucheleweshwa,... kwaio ndio mana wengine wanamua kulipia
Mi naomba kuuliza mteja wa Togo pesa kiwango cha mwisho kupokea pesa ni ml ngapi?
Asante
Lipa number ni gani
Boss nmekuelewa sanaa...sasa ntaomba no yko chief tuyajenge!
Naomba kujibiwa iv kunashida yyte kumwekea mteja au kumfanyia miamala mara nyingi kwenye hiyo hiyo namba yake??
Na je changamoto zake ni zipi
Nisahidie plizz alopaa ni nni
Mkuu vipi hali kwema naomba kujua hapo kwenye lipa namba umesema mtu akitoa elfu 10000 nampa elfu 9200 baasa ya kukata mianane yangu sasa naomba kufahamu hizi hesabu naweza zipata kwa mfumo gani ilinijue natakiwa kupata kiasi gulani kwenye ela flani napiga kiasilimia au vip
Yaani ni kwamba analipa sh 9500 ile miatano anakatwa na mtandao then ww kwenye hiyo 9500 yako ni 300 ko yeye utampa 9200
hakuna hakuna asilmia ta nyongeza kutokana na miamala mingi uliyofanya
Naomba kujua kupata lessen inahitajika kama sh ngap na nina ipata wapi hyo lessen
Almashau (manispaa) ya mji, jiji, wilaya laki 1 Kuja chini
Nimependa unavyoelekeza kwa ufasaha'ubarikiwe
Je itakuwaje? me nkifungua duka la zaga zaga vp nitapasi au vp
Zaga zaga ndio tuka gani?
Rejareja@@rabaonetv
Bro mm nina laki sita nataka niweke raini nne4 nita toboa kweri
Mbona mmetaja faida ya mtandao mmoja tu
Inaendanda haiyachani sana
nakwamtandao wa halopesa kwamfano ukatoa 1000 unalipwa shingapi
iyo lipa namba unaipataje
ukiwa na million 9 unaweza kufungua mitandao yote si ndiyo
Hata M2 tu unaweza wakufungua yote na kubakisha chenji
Lips namba inakua n line yenyewe au ipo ndan ya mfumo wa mpesa tigo au halotel
Ipo ndani ya mfumo, ila ina menu yake na ndani ya mfumo inaitwa account ya biashara
Mtaji sh?
Alopesa ni nini
Kaka nikiwa na m5 nina uwezo wa kufunga shii ngap kwa mwenzi nikiwa najituma kwa sana.
Ili swali uwa ni ngumu kulijibu moja kwa moja mana kinachofanya wewe ufunge faida ya kutosha ni jinsi unavyo weka na kutoa yani miamala mingapi unatoa na kuweka
Abar yako kaka angu me nlikuwa natamani sana hii biashara lakini nlikuwa cna mtaji wa kuanzia sasa nmeshapata mtaji kitu ambacho nataka unisaidie jee napataje izo line vitambulisho vyote ninavyo kasolo leseni na hyo tin namba ndio ambacho cna ninaitaji line mbili ya Vodacom lipa namba na Tigo pesa
0755 912 838
Me nmelipwa commission ila haipo kwenye account naitoaje kweny m pesa ili iingie kweny accounts
Mimi lipa no yangu imefungiwa ikiwa na pesa naitowaje
Wasiliana na watu wa uduma kwa mteja
Lipa namba unaipataje?
Nisaidie mawasiliano yenu..
Ntk number zak
je hakuna nyongeza yoyote kutokana na miamala uliyofanya
Sina uwakika sana wa hii, Ila inaweza kuwepo si unajua mambo Yana badilika mara kwa mara
broo mamb vep nimependa elim yko ya biashar.mm swali langu kwako ni mtaj kias gn kwa mtu anae anza biashar iyo
Angalabu uwe na tsh 350,000 na kuendelea na hii ni kwa line moja
Lipa namba unaipatake
Me nahitaji line za wakala mwenye nazo tuwasiliane
Kwahyo elfu kumi ukiitoa Kwa pamoja Kwa mfano elfu hamsini hapo Hela camission yako inasoma hiyo miambl na point mara Tano au inasoma muamala mmoja?
uwakala unahitaji uwe mtaji kiasi gani
Kima cha chini kabisaaaa ni Tsh 250,000 kwa laini
Namtaji wa laki 200000 naweza kufungua biashara ya uwakala
mmh kaka
Ndio
Je unatakiwa uwe na mtaji Kama shingapi
Naomba kuuliza je kwenye maswala kama haya hamna wizi ambao unaweza kutokea,namba wakala unaipata kwa muda gan??
Wizi wa namna gani unazungumzia?, muda wa kupata ni kutegemeana na wanao kufanyia iyo huduma
Mm nauliza na km mtaji unaweza ukaanza na sh.Ngapi
Kwa laini moja ni tsh 250,000/300,000
@@rabaonetvmimi nna laki 4 na nusu naweza kuanza nayo kwa line mbili
@@rabaonetvhiyo ela ni yakununua rain tu au balance ya ela unayotakiwa uanze kueka ili uwalushie watja ela?!
Mim natak kujua kimfano kwenye tigo pesa nimeanz na lak1 laki 1yo naigawa mar2 ya kwenye lain nanyingine cash siinafaa
Mtaji
Je tin naomba inapatikanaje na je ili umilik line unatakiwa uanze na mtaji wa sh ngap na je hiyo lips naomba Mayo mi line na inapatikanake
ua-cam.com/video/Aj2GjPpHg84/v-deo.html
Nauliza lipa namba wanasema haina kamishina je faida yake naipata je
ua-cam.com/video/Q8tn1nXY4jY/v-deo.html
Fatilia hapo utapata majibu yote 👆
Sorry bro,napataje line za uwakala
Tembelea mawakala wakuu wa mitandao ya simu ndio wanatoa izo huduma
Nashukuru sana kaka.!! Ila samahani naomba kufaham Endapo nimeweka Pesa (Flot) kwenye line yangu ya Mpesa kwa muda na Biashara Nikaamua kuacha. Nitazipataje? Hizo pesa (FLOT) NITAZITOA KAWAIDA AMA. KUNA PROCESS?🙏🏽
Aiwezekani kutoa kawaida ,
Kuna njia mbadala za kufanya
1. Kumuingizia flot wakala mwenzako Kisha yy akupe keshi
2. Upate mteje mwenye uwitaji na pesa Sawa ulio nazo kwa laini yako Kisha umuwekee
@@rabaonetv nashukuru sana. Kaka.
Je naweza kuanza na mtaji wa kiasi gani km nikitaka line 3 tigo mpesa na halopesa?
Kima cha chini ni Tsh 250,000 laba kama wawe wamebadili mfumo
Hii ni lwa laini moja
Kaka naweza kuanza na mtaji wa shingapi ,,
Inategemeana na maeneo ulipo kama Kuna wateja wengi ni bora ukaanza na 500k na kuendelea
Kama watu wachache 250k hadi 500k
Nawezaj kupata lipa namba?
Nenda kwa wakala mkuu wa mtandao usika
👍👍👍👍
Inawezekana ukapata laini mkoa mwegine naugaenda kuhudumia mkoa mwegine
Ndio
Swali Zuri kama kaniulizia mm
Laini napata kwa sh ngap
Zataani wanaanzia Tsh 250,000
Unatakiwa mtaji kiasi gani?
Na lipa namba naipataje?
1 milion itatosha kwa lain zote?
Haitoshi, ila unaanza nayo iyo iyo ili ianze kukusogeza
Je ukitaka kupata lain unpaswa kuaandaaa xhngap
Kama nimeanzisha uwakala wa laini nne yaan M-pesa, Tigo pesa, Halopesa na Airtel money kwa mtaji wa laki tano, Je nitazigawaje kwenye laini zote hizo napia natakiwa nibaki na cash kiasi gani?
Ni ndogo hazitoshi kwa mitandao yote iyo
Sasa kma mm cijaelewa nikiwa na no ya nida na hyo barua tofaut na TN number
TIN muimu zaidi mana yenyewe ndio itakufanya upate leseni ya biashara
@@rabaonetv na kwamfano hyo TN number ni itagarimu shingi kwa uzoefu wako
@@shabanmuhidin1399 ni bure bila garama yoyote
Tin hip inafaa kaka non business au business
Zote zinafaa ilimradi uwe na TIN kwanza kama wataitaji for business inabadilishwa hapo hapo
Kaka kama nina laki mbili naweza kuanza ?
Inategemeana unanza na line gapi
@@rabaonetv laki mbili naweza Kwa line ngapi
Mbona mi Niki wekaa 1000 vodaa napa kasheni 33.66
Ndo hyo ni kamisheni mpya usiwaze
[1] Na izo pesa ninazotoa mtaji utakuwa wangu au?
[2] je kama mtaji ni wangu nazipataje izo pesa ninazotum?
Ukituma ela si lazima upewe cash na mteja
@@naseebjoseph5330 naukitoa unapataje iyo pesa???
@@Happy-z8uyaani kama vile mteja akitoa lazima ubaki nayo ww kwnye sm Yako Akija mwingine anaweke Kisha anakupa Cash Ivo Yani
Lipa namba naipata siku ninayopata laini za uwakala?
Kama ukitaka
Alopecia ni nni
Wee acha ungo 10000 sio 200 ni 175 kaah acha kudanganya watu lamda hiyo ilikuwa zamani sio Sasa ivi
Tatizo la watanzania Pali pakutoa somo watu waelewe unaanza acha uwongo, uwongo wangu ni nini hapo mm nimesema ninacho kijua na kukielewa kuwa ni 200 na ww kwa uzoefu wako umekuja kupunguza unasema 175
Sioni kama Kuna uwongo hapo kila mtu amesema kulingana na uwelewa wake, au kwa vile wewe ni wakala mkuu ndio mana unatuona sisi mawakala wadogo atujui ?
Hadi muda natengeneza iyo video ilikua 200 na uwo ndio uwelewa wangu mm 🙏
Mimi nimeanza uwakala tareh 23 had saiz bado sijalipwa
Et
Mimi nimeanza kazi tareah 23 lakin bado sijalipwa
Miamala mingi ndio inamfanya mtu alipwe, sasa kama hujafanya miamala ya kutosha iyo inaweza kua sababu mojawapo
pesa zako wanakuwekea kwenye acount ya bank au
Ya simu yako
Je biashara ya uwakala inafaa uanze na mtaji wa kiasi gani??
Video imeleza Tsh 500,000 ni mtaji mzuri wa kuanza nao
Asante bro kumbe nina uwezo wa kuanza
Na kuhusu mtaji wakuazia kwenye hizo line za mpesa inahitajika kuazia shingapi!?
VIPI KAMA MTU ANATOKA INJE YA NNCHI ANAWEZA KUWA WAKARA??
Ndio ila kwa kununua laini zenye usajili wa mtu mwingine ambaye ni mzawa au mwenyeji
Pia mimi nahitaji line nitaipataje
Je pesa za kulipia wateja waliokuja kutoa au
Swali alijaeleweka
Yaani kwa mfano mteja anatoa pesa je? Zile pesa unazo mpa ni za kwako au unapewa na kampuni
Kampuni aikupi kitu cha ziada tofauti na laini na zile karatasi za matanganzo au za kuangalia kuusu kuweka na kutoa tu 🤣
Mengine yote ni ya kwako ww , ndio mana unasikia lazima uwe na mtaji
Kaka na je kama unataka kuongeza uwakala wa Bank kama CRDB na NMB Najisajili vp na faida napataje
Ili swali nitakujibu
Sawa
Samahan kaka, naweza kuzihamisha pesa kutoka line yangu ya LIPA kwenda line yangu ya Mpesa kama flot ?
Hii sijajua ila nitakuja kukupa majibu
@@rabaonetv sawa, nasubiri majibu yako mkuu
Aiwezekani
@@rabaonetv Nashukuru sana kaka.!! Ila samahani naomba kufaham Endapo nimeweka Pesa (Flot) kwenye line yangu ya Mpesa kwa muda na Biashara Nikaamua kuacha. Nitazipataje? Hizo pesa (FLOT) NITAZITOA KAWAIDA AMA. KUNA PROCESS?🙏🏽
Kaka we unasema laini ni bure kivpi mbona leo nimekwe kwenye mitandao nikuta gharama voda wanataka 32000 halotel 20000 tigo 20000 hiyo nje ya leseni
Acha kudanganya watu laini ni bure ukiona umechajiwa jua Kuna vigezo ujatimiza ,
Ukifatilia vizuri nimehainisha nini na nn kinaitajika
@@rabaonetv siwzi kudanganya sabu nazihitaji na leo nimekwenda voda tigo na halotel ss sijui kama wanataka kunipiga
@@rabaonetv na tili ya kununua nimeambiwa kwa tigo 100000 na halotel 70000
Pole sana
Samahan kaka hiyo commission nitaitoaje ILI nitumie
Inatumwa kama pesa za kawaida na unaweza kuzitoa kwa wakala yeyote
Nakkbal
Naomba kujibiwa iv kunashida yyte kumwekea mteja au kumfanyia miamala mara nyingi kwenye hiyo hiyo namba yake??
hakuna hakuna asilmia ta nyongeza kutokana na miamala mingi uliyofanya
Na je changamoto zake ni zipi
Na je changamoto zake ni zipi
Changamoto kukosa wateja tu
Je ukitaka kupata lain unatakiwa kuandaaa xhingap?
Naomba kujibiwa iv kunashida yyte kumwekea mteja au kumfanyia miamala mara nyingi kwenye hiyo hiyo namba yake??
Hapana , ndio mana kuna watu wana wakala wao mahalumu
Naomba kujibiwa iv kunashida yyte kumwekea mteja au kumfanyia miamala mara nyingi kwenye hiyo hiyo namba yake??
Naomba kujibiwa iv kunashida yyte kumwekea mteja au kumfanyia miamala mara nyingi kwenye hiyo hiyo namba yake??
ndo shido ipo