Masha Allah hivi nauliza kuna dua yoyote ya kuosha maiti ama?ju kuna siku nilienda kuona wakiosha maiti nakapa mwenye alikuwa anaosha akisoma dua sa naomba kujua JazzkAllah
Mtoto wa miaka saba below taoshwa na MME au mke Mtoto above above 7 ataoshwa na jinsia yake me kwa mme na mke kwa mke Kumtoa kinyeshi na kumtawazisha udhu wa swala
Jazzakkallah khery
Yaa Allah tujaalie mwisho mwema ameen
Bismillah
Allah tupo mwisho mwema
Shukran... Allah azidi kuwafungulia mema kuwajaza ilmu muzidi kutufunza na sisi🤲
Allah_akuhifadhi
Allah ubarik, allah ubarik, allah ubarik nataman sana kuwaona
Masha Allah maelekezo mazuri.
😢😢😢
شكرا وجزاك الله خيرا وبارك الله فيك
Masha Allah hivi nauliza kuna dua yoyote ya kuosha maiti ama?ju kuna siku nilienda kuona wakiosha maiti nakapa mwenye alikuwa anaosha akisoma dua sa naomba kujua JazzkAllah
Manshallah
Allah akulip Kheir
Mwenye kutaka mahubiri basi kifo kinatosha, kifo kinatisha kisipokubadilisha basi tena!!
Hakika
Mashaallah
MashaAllah
sabuni inayotumika iwe ya harufu nzuri au yoyote
Shukran jazila
Mashallah jazakallah kheir
Shukran
Katika kuosha maiti hutumika Kata ngap za maji
Neema khamis
Sasa ostadhi ukiwa wamtawadhisha hivyo unasoma zile dua za kutia udhu kama kawaida au
Mtoto wa miaka saba below taoshwa na MME au mke
Mtoto above above 7 ataoshwa na jinsia yake me kwa mme na mke kwa mke
Kumtoa kinyeshi na kumtawazisha udhu wa swala
Mh
Subhanallah,kazi nyingi.kafur ndio?perfume au?
Ndiyo manukato
Ndio manukato
Shukran jazila