RAIS MAGUFULI AMBANA RPC RUKWA 'Nawapa siku 7, Hata mke wangu anaona sura yangu mbaya"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024
  • Rais Dk. John Magufuli leo Oktoba 6, 2019 anaanza ziara ya siku tatu mkoani Rukwa ambapo anatarajiwa kufungua barabara ya Tunduma - Sumbawanga yenye urefu wa Km 223.21. Rais Magufuli yupo katika ziara ya siku tisa katika mikoa ya Songwe, Rukwa na Katavi.

КОМЕНТАРІ • 5