HALI TETE KIBITI KAYA ZAGEUKA KUWA MTO, NYUMBA ZASOMBWA, DC ATEMBEA NA BOTI KUKAGUA "TUNAOMBA MSAADA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 52

  • @AndulHida-hs5py
    @AndulHida-hs5py 6 місяців тому +5

    Subbhanna Allah!, Yarabi, Ewe Mola wetu mlezi tuondoshee majanga haya yarabi, hatunakimbilio zaidi yako mola wetu, inshaallah mola atawaondoshea majanga haya inshaallah.

  • @selinamwakiluma7968
    @selinamwakiluma7968 6 місяців тому +1

    Jamani Jamani Mungu anusuru watu wake

  • @halimahalima1488
    @halimahalima1488 6 місяців тому +2

    Subhana Allah ndugu zotu jmnii Allah awafanyie wepesi na hili janga home sweet home 😢

  • @eliaspeter4017
    @eliaspeter4017 6 місяців тому

    Poleni Sana ndugu zetu, hakika mvua ni baraka lakini kwa namna zinavyotupa changamoto tumuombe Mungu atusaidie, kila sehemu ni changamoto za mvua

  • @mudhihirIbrahim-hb7ry
    @mudhihirIbrahim-hb7ry 6 місяців тому

    subuhanallah
    Allah awanusuru

  • @peacedstadius
    @peacedstadius 6 місяців тому +1

    Pole wahanga

  • @SadaMohamed-xl9rc
    @SadaMohamed-xl9rc 6 місяців тому

    Subhanna Allah, Allah atunusuru na majanga Rufij home sweet home

  • @SalminiAmur
    @SalminiAmur 6 місяців тому

    ALLAH awafanyieni wepes

  • @majaliwabwitonde6900
    @majaliwabwitonde6900 6 місяців тому +3

    Waondieni watu kwenye mikondo ya maji, waelekezeni maeneo salama kuishi, wahandisi mnajua,na wazee wapo, tunachoka kulia sisi.

    • @magorymara5515
      @magorymara5515 6 місяців тому

      Tamaa ya kuishi kila mahali tunatakiwa kukaa pamoja maeneo salama tunatabia ya kuvamia sana ardh bila mpango

    • @w4058
      @w4058 6 місяців тому

      Yaraab wasahilie waja wako kote ulimwenguni hamjaathirika peke yenu

    • @w4058
      @w4058 6 місяців тому

      Mkwajuni kumbe iko kwingi nyumbani

    • @w4058
      @w4058 6 місяців тому

      Serikali ya Samia au ya wananchi?

  • @FidasMwaiteghelesya-hw9qs
    @FidasMwaiteghelesya-hw9qs 6 місяців тому

    Wenyeji wamefurahi Sanaa fursa ya samaki

  • @ashrona9884
    @ashrona9884 6 місяців тому +4

    Mama samia /maombi ya kitaifa unakwama wapi Bibi Wewe hayo yote ni sababu ya ushoga NA usagaji

    • @ntiliyothomas225
      @ntiliyothomas225 6 місяців тому

      Wakili wako yupo au unalopoka 2😢

    • @majaliwabwitonde6900
      @majaliwabwitonde6900 6 місяців тому

      Ongea kama mti, siyo kitu

    • @ibnkhaldoun9694
      @ibnkhaldoun9694 6 місяців тому

      @@ntiliyothomas225@Watu wetu hawajajua kuwa Sheria ya mtandao ni kali sana na inafanya kazi.

  • @sokastreet
    @sokastreet 6 місяців тому +1

    Pray for kibiti

  • @lukomanomaliki5442
    @lukomanomaliki5442 6 місяців тому

    Haki ya Mungu ningekuwa na ndugu yangu maeneo hayo nisingekubali aishi maeneo hayo hatarishi.

  • @HaidaliMikongo
    @HaidaliMikongo 6 місяців тому

    mm sipingani na selekali kwakutoa masada wa mahindi kwa mm niushauli wangu nibola selekali ingeingia galama nyengine ya kuyasa hayu mhnd wakafikishiwa unga sasa uyo mhnd awo laiya wapike makande

  • @ZekaniS
    @ZekaniS 6 місяців тому

    Polen ndugu zetu

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 6 місяців тому +1

    Muombe Mungu usiombe wadau kwahy unataka maafa yaendelee au

  • @MussaSuleiman-ui9fy
    @MussaSuleiman-ui9fy 6 місяців тому

    Dua muhimu sana

  • @mbwanamungia9921
    @mbwanamungia9921 6 місяців тому

    Poleni saaana

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 6 місяців тому +1

    Mkuu wa wilaya anavaa life jacket lakini watoto wadogo hawana life jacket hii nchi ya ovyo sana

    • @gustavompemba1781
      @gustavompemba1781 6 місяців тому

      C wakanunue

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 6 місяців тому

      @@gustavompemba1781 serikali ilitakiwe wawape kama walivyowapa wakubwa mkuu wa wilaya

  • @zainabwage4658
    @zainabwage4658 6 місяців тому

    Polen sana ndugu zetu

  • @lukomanomaliki5442
    @lukomanomaliki5442 6 місяців тому

    Ukiwa kiongozi we ni zaidi ya mlezi,DC umeonesha uchungu sana kwa wananchi wako.

    • @BakariSalum-j6b
      @BakariSalum-j6b 6 місяців тому

      huyu ndo kiongozi,mungu akupe mema zaidi.

  • @rayaabdul-gm3hc
    @rayaabdul-gm3hc 6 місяців тому

    😢😢mungu wangu.poleni sana .kibiti.na rufiji..hapo ndugu zetu wasisogelee .mana mamba wamemwagika hapo

  • @rahma6189
    @rahma6189 6 місяців тому

    Poleni jamani

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 6 місяців тому

    Wapeni basi matent mazuri ili wajisitiri! Duh tunshindwa hata kuytoa matent wakati makampuni ya kutengeneza matent Tanzania tunayo?

  • @Mariam-w9s3b
    @Mariam-w9s3b 6 місяців тому +1

    Jaman mungu anatuazibu Kwa madhambi yamezid watu kusagana na kufil****kila siku Tena adharan ona matokeo yake

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 6 місяців тому

      Unaongea upumbavu kabisa mbona nchi zingine Hadi wanaowana Na hawana majanga yeyote , huu ni upuuzi wa wananchi Na serikali kuwaachia wananchi kukaa Karibu Na mabonde Na mafuriko sio mara ya kwanza

    • @Mariam-w9s3b
      @Mariam-w9s3b 6 місяців тому

      @@Kabwela776 ndugu tengua kauli yako mungu akitaka kuleta mahafa ajalishi upo wap Mimi nipo Oman na ni nchi ambayo mvua ni mara chache Kwa mwaka inaweza ikawa mara moja na Sio nyingi ni vilashalasha Ila mwaka huu ni ya mafuliko yaan APA Jana familia moja wamekufa watu Tisa gar la shule limesombwa na maji Aya nayo iyo ni uzembe WA serikali?

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 6 місяців тому

      @@Mariam-w9s3b ni mabadiliko ya tabia nchi Na haihusiani Na maovu ya binadamu kuna nchi zina maovu sana Na hawana majanga !

  • @mbwanamungia9921
    @mbwanamungia9921 6 місяців тому

    Sio kibiti peke yake kuna sehemu hapaja tokea mafuriko lkn mwaka huu yametokea. Kwengine mlima umekuwa tope umeshuka nyumba zimefunikwa mvua hii kubwa mnoo

  • @clementhiddi1486
    @clementhiddi1486 6 місяців тому

    Hili ni janga la taifa.

  • @CholoMwamba
    @CholoMwamba 6 місяців тому

    Baba yetu nakuona piga kazi mzee wetu

  • @lukomanomaliki5442
    @lukomanomaliki5442 6 місяців тому

    Utakuta mtu anaishi Masaki vizuri,huku Kibiti mzazi anapata tabu ya Mafuriko.

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 6 місяців тому

    Tufikirie kutatua tatizo kwa kuwapa makazi salama ya kudumu..... Sio kuwaweka kambini Kisha kuwaacha walivyo

  • @MuzneOthman-l7i
    @MuzneOthman-l7i 6 місяців тому

    MAN MADE FLOOD.

  • @hostkayava6768
    @hostkayava6768 6 місяців тому

    god salvate my fellow Tanzanian this is hard time

  • @PotinSoya
    @PotinSoya 6 місяців тому

    2ombe mungu2mekosea wapi a2onyexhe mara mafuriko manyara.mara mbeya. Xahivi rufiji.

    • @FatmaZena
      @FatmaZena 6 місяців тому +1

      Ushoga na usagaji pia uuaji na machafu mengi dhulma,Allah atusamehe,turudi kwake kwa kutubu

  • @magga_v
    @magga_v 6 місяців тому

    Fifa wanayo ela msiombe ombe

  • @Rich-wo
    @Rich-wo 6 місяців тому +1

    Tumrudie Muumba