Professor Habib Mazinge Atinga Rasmi Kenya Kupambana na Wachungaji Wabishi.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 вер 2024
  • XPTV IS NOW ON GOOGLE PLAY STORE Apart from Videos and Live Streaming of Daawa activities other features included in the XPTV Android App include: 1. XPTV LIVE 2. XPTV Lite Version 3. Free Islamic Books 4. #Africa4Islam 5. Twitter Updates 6. Chat with XP 7. XP Daawa Website Plus many more Comparative Da'awa material
    To Download XPTV Click this link: bit.ly/41zgqD6
    ___________________________________________________________________________________
    OTHER APPS BY COMPARATIVE DAAWA APPS BY XPTV:
    1. Abass Online TV - App on Google Play
    bit.ly/3IvUO2V
    2. Ahmed Deedat Books - App on Google Play
    bit.ly/3pQ8grU
    3. Angels and Jinn - App on Google Play
    bit.ly/3Ot9O5v
    4. Comparative Da'awa Books - App on Google Play
    bit.ly/3ML76ae
    5. Judai 001 - App on Google Play
    bit.ly/42Xgsp2
    ___________________________________________________________________________________
    YOUR SUPPORT FISABIILLAH CAN BE A STEPPING STONE TO THE NEXT LEVEL OF DA’AWA IN AFRICA To support daawa Lipa na MPESA Till Number 5266153 (buy goods) or Mpesa Direct. 0724500984 (Name: Lemmy Easter) For more Comparative Daawah Videos and daawa info, visit bit.ly/xpdaawa Africa For Islam Daawa Tour featuring Ex-Pastor Ibrahim (XP) _____________________________________________________________________________________#Whatsapp_254724500984 #Support_Daawa #AhmedDeedat #Mazinge #Muhadhara #IbrahimXP #Islam #Daawa #Reverts #Kusilimu #Jesus_is_not_God #DiniYaHaki
    MAELEZO ZAIDI
    #ibrahimxp #africa4islam #debate #Eastleigh ____________________________________________________________________________________TAFADHALI SOMA HAYA MAELEZO HAPA CHINI __________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________Asalaam Aleikum Warahmatullahi Wabarakatu Baraka Allahu Fiikum for supporting this work by subscribing and sharing our content. A MUST WATCH; Latest XPTV Live Streams To watch this Playlist click on the link below. ____________________________________________________________________________________ bit.ly/3H6stja ___________________________________________________________________________________
    XPTV IS NOW ON GOOGLE PLAY STORE Apart from Videos and Live Streaming of Daawa activities other features included in the XPTV Android App include: 1. Free Islamic Books 2. #Africa4Islam 3. Twitter Updates Plus many more Comparative Da'awa material To Download XPTV App on Google Play Store Click this link: _____________________________________________________________________________________bit.ly/41zgqD6
    ____________________________________________________________________________________JIUNGE NA KAZI HII FISABILILLAH (Swahili/English) /BE PART OF THIS WORK FISABILILLAH ____________________________________________________________________________________ MSAADA WAKO FISABILILLAHI YAAWEZA KUWA SABABU YA KUFANIKISHA DA'AWA BARANI AFRIKA Kwa mujibu wa kazi inayotukabidhi ya kuendeleza daawa tunahitaji msaada wako (Sadaqatul Jaariya) ili kuendelea kutoa da'awa muhimu kwa watu wanaohitaji ujumbe wa Tawheed ya Kiislamu na kuwafikishia ujumbe wale ambao haijawafikia. Tujuavyo Uislamu ni huru kwa watu wote ila kuupeleka kwa wasio Waislamu ni ghali sana. Simama nasi kuchukua ujumbe wa kutoa wasio kuwa Waislamu kwa giza na kuwafikishia Uislamu (Tawheed) kokote walipo ambao wanasubiri tu mtu awaambie kuhusu Uislamu. NAAMINI SOTE TUNA MALENGO YA PAMOJA KATIKA MAISHA HAYA SASA NA KESHO AKHERA. In Shaa Allah kwa sadaqa yako, bila kujali kiasi, mtu atasikia juu ya Mwenyezi Mungu na dini yake ya kweli ambayo ni Uislamu kwa mara ya kwanza kabisa leo. Mwenyezi Mungu akulipe kikamilifu na akupe Jannah na akulinde dhidi ya fedheha siku ya Qiyama kwa mchango wako wa ukarimu Aamin. _____________________________________________________________________________________ YOUR SUPPORT FISABIILLAH CAN BE A STEPPINGSTONE TO THE NEXT LEVEL OF DA’AWA IN AFRICA In this connection we need your help to continue to provide essential da’awa to people who need the message of Islamic Monotheism (Tawheed) and reach out to the unreached. Islam is free to all, but taking it to the non-Muslims is very expensive. Stand with us to take the life-saving message of Islamic Monotheism (Tawheed) to the lost and unreached souls around the World who are just waiting for someone to tell them about Islam. WE HAVE A COMMON GOAL IN THIS LIFE AND IN THE HERE AFTER. Because of your support, no matter the amount, someone will hear about Allah and His true religion that is Islam for the very first time today. May Allah fully reward you and grant you Jannah and protect you from shame on the day of judgement for your most generous donation. BARAKA ALLAHU FIKUM

КОМЕНТАРІ • 212

  • @hassanmansur1818
    @hassanmansur1818 2 роки тому +17

    Mashallah nawaombea mashehe wetu.ALLAH awape nguvu na afya mwendelee kupigania dini yetu ya kislamu.

  • @StraightPathDawah
    @StraightPathDawah 2 роки тому +6

    Mashallah shukran jazeelan

  • @fatomhalogandy4045
    @fatomhalogandy4045 2 роки тому +4

    Takibr Allahu Akbr.MashaAllah tabarakallah.mungu akupe umuri murefu sheik mazinge

  • @rahmaali6662
    @rahmaali6662 2 роки тому +4

    Naam Uislamu ndio dini ya haki...Allah Akubarik sheikh wetu mazinge

  • @murcwere6415
    @murcwere6415 2 роки тому +2

    Allah azza wa jallah akuzidishie heri na umri mrefu sheikh wetu... kupitia kanda zako za kuwalingania wasokua waislaamu mm nilisilimu.. hata cjawahi kkuona ana kwa ana lakini kupitia kwako maneno ya Allah yalinifikia na nikaona haki... Allah akuzidishie kila la kheri duniani na kesho akhera akulipe malipo mema....

  • @issmuking3987
    @issmuking3987 2 роки тому +9

    Yaan mm sheikh namshkur Allah ujumbe unafika kwetu sisi waislamu na ni wafuasi wa mtume muhammad s a w

  • @ukweliwauislamu9590
    @ukweliwauislamu9590 2 роки тому +9

    Masha Allah , JazaKAllahu kheyran ustaadh wetu .....

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 2 роки тому +9

    Masha"Allah masheik wangu Allah awalinde na kila balaa Insha'Allah.

  • @abdillahmbarak7418
    @abdillahmbarak7418 2 роки тому +1

    Mashaallah mungu akujalie umri mrefu na akujalie na pepo inshaallah

  • @saadaabdallah7473
    @saadaabdallah7473 2 роки тому +7

    Allah awahifadhi na awabarikie umri na afya awafanyie wepesi kuitangaza dini yake Ammyin

  • @aishaaisha4549
    @aishaaisha4549 2 роки тому +6

    MashaAllah Allah akupe afya akufanyie wepesi katika shuguli zako

  • @sophianyangalio3796
    @sophianyangalio3796 2 роки тому +6

    Walaikum salam warahmatullah wabarakatuh MashaAllah

  • @amanichanga3448
    @amanichanga3448 2 роки тому +1

    Mashaallah,,, Allah akujaalie kila lililo la kheri Mazinge na wenzake

  • @maimunafzaka880
    @maimunafzaka880 2 роки тому +6

    Wow.. ako mombasa

  • @Ukhtyzuhura
    @Ukhtyzuhura 2 роки тому +1

    Allah aluzidishie umri mrefu wenye kheri,na usiseme hakiamungu ustadh wetu
    Sema Wallahi Tallahi Billahi

  • @mangeraalbert7982
    @mangeraalbert7982 2 роки тому +4

    Mazinge wetu, Allah akukinge na wabaya wote

  • @rhiophiri6857
    @rhiophiri6857 2 роки тому +5

    Watching you from Lusaka zambia, you talking Sense professor

  • @munirashughuli7224
    @munirashughuli7224 2 роки тому +3

    Taqbeer Allahu Akbr Sheikh Mazinge twakupenda

  • @maimunafzaka880
    @maimunafzaka880 2 роки тому +5

    MashaAllah ex pastor wetu...

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 2 роки тому

      Maneno yanawaishia mpaka mnaiba maneno ya watu. MashaAllah wapi kwa wapi na kafiri?

  • @mwanahamis5487
    @mwanahamis5487 2 роки тому +3

    Mashaa Allah shukran Walimu wetu

  • @munamuna4621
    @munamuna4621 2 роки тому +1

    Mashaa Allah. Allah awajalie pepo ya fradaus

  • @eshasalim5496
    @eshasalim5496 2 роки тому +1

    Maa Shaa ALLAH, Tabaraka ALLAH. Baraka Allahu Fikum

  • @fatmitopretty5062
    @fatmitopretty5062 2 роки тому +1

    Ma Sha Allah

  • @alisaid7783
    @alisaid7783 2 роки тому +3

    Jazakaallahu Allah akufanyie wepesi katika shughuli zako

  • @ramazecha2877
    @ramazecha2877 2 роки тому +3

    Mashallh mzingie mungu akuongoze

  • @samirasadasalum5974
    @samirasadasalum5974 2 роки тому +1

    Allah akupe umri mrefu sana na afya njema

  • @maimunafzaka880
    @maimunafzaka880 2 роки тому +5

    MashaAllah

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 роки тому +1

    ماشاءالله
    Jifunze quraan kusoma na kuandika Muhammad kipanga

  • @ucjvvjcjjvih9934
    @ucjvvjcjjvih9934 2 роки тому +1

    Mashaallah 🤲ya allah nasi tuwe Waja wako wema amen

  • @rajababdallah579
    @rajababdallah579 2 роки тому +3

    Allah akupe umri sheikh

  • @ukweliwauislamu9590
    @ukweliwauislamu9590 2 роки тому +2

    Masha Allah , Sheikh Anwar ....

  • @fatomhalogandy4045
    @fatomhalogandy4045 2 роки тому +1

    Allahumah Ameen

  • @barkemohamed4198
    @barkemohamed4198 2 роки тому +3

    Ukweli utasimama kitakapo simama kiama mda sio mrefu jifunzeni uislamu na usomeni

  • @IssaAyubu-br4qk
    @IssaAyubu-br4qk 5 місяців тому +1

    Allah Akbar Allah akupe umri mrefu wenye manufaa kwako na kwetu pia

  • @charlesmakazi5662
    @charlesmakazi5662 2 роки тому +6

    Uislamu dini ya Muhammed si ya mungu njoni kwa yesu mpate uzima wa milele

    • @nakundwamkubwe7823
      @nakundwamkubwe7823 2 роки тому +1

      @Charles Makazi kama boss wenu Ndacha kashindwa kuthibitisha ktk maandiko ukristo ni Dini ya Mungu na Yesu embu tuacheni waislamu na Dini yetu.

    • @charlesmakazi5662
      @charlesmakazi5662 2 роки тому +1

      Kuran peke yake ndoinayo sema uislamu ni dini mbona vitabu vingine zaburi,injili torati hazisemi ni hiyo kuran ya Muhammed na nilazima uthibitishe na mashahidi 2ama3 poleni xana njoni kwa yesu mbatizwe.

    • @nakundwamkubwe7823
      @nakundwamkubwe7823 2 роки тому

      @@charlesmakazi5662 Alhamudilah Quaran imesema uislam ni Dini vipi Biblia imesema ukristo ni Dini ?
      Vitabu vya Kale vyote Taurati, Zaburi na Injili vimesibitisha Mitume wote walisujudu hata Yesu alisujudu na kuingia msikiti kufanya ibada je wanao sujudu na kuingia msikiti kufanya ibada ni kinanani kama sio waislam? Unataka ushahidi upi kutoka ktk vitabu vya kale zidi ya ushahidi huu uliopo ndani ya vitabu ivyo kuwa uislam ni Dini ?

    • @nakundwamkubwe7823
      @nakundwamkubwe7823 2 роки тому

      @@charlesmakazi5662 lete andiko ukristo Dini Kama huna kaa kimya usikatake kutia watu ktk moto wa jehanam . Uislam ni Dini ndio tena Dini ya Mwenyezi Mungu mmoja sio Mungu watatu .

    • @pamoles1303
      @pamoles1303 2 роки тому +1

      @@charlesmakazi5662 huo ukristo wako hata kwenye bibilia haujatajwa

  • @firdausmasinge74
    @firdausmasinge74 2 роки тому +1

    Mashaallah bab

  • @maimunafzaka880
    @maimunafzaka880 2 роки тому +4

    Hiyo publishing company ifungiliwe mbali

  • @rajeep-ni7lh
    @rajeep-ni7lh 2 роки тому +1

    MashaAllah Allah protect you InshaAllah❤❤❤❤❤❤

  • @monicabh1668
    @monicabh1668 2 роки тому

    Mwalimu Francis Ndacha Mungu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥tutawabatiza nyooote ninyi.

  • @DavidJames-um4hz
    @DavidJames-um4hz 2 роки тому +1

    Baada ya ndacha kukunyorosha ukanyorosheka sasa umekimbia msikitini kulalamika, kweli ndacha mwalimu wako mazinge, Mikotano yako yote na ndacha nimeona kakunyorosha kwa hoja to, mkiwa na uyu x pastor , ulipo ndacha MUNGU akubariki sana tena zaidi uelimishi watu kwa uslam ni dini ya kupakwa to na mtu Vitabu viko wazi kabisa

  • @fatomhalogandy4045
    @fatomhalogandy4045 2 роки тому

    Walaikm salam warahmatulai wabarakatuh.

  • @emoalembe4790
    @emoalembe4790 2 роки тому

    Ume nipa hasira ya kuendelea ju sapoti injili ya Yesu Kristo n'a itikadi kali sana.

  • @monicabh1668
    @monicabh1668 2 роки тому

    Allah sio Mungu wa kweli

  • @emanusrubaba3486
    @emanusrubaba3486 2 роки тому +1

    Huna lolote mazinge, maisha yako yataishia kuwa emptiness nakuombaomba, sababu ujana wote umetumia kuzunguka kuipinga kweli ya Mungu

    • @SaleheAmiry-mx1yn
      @SaleheAmiry-mx1yn 2 місяці тому

      Sawa tuone na wewe mali zako utakazo zipata ujanani uwende nazo kabulini

  • @rbagha5280
    @rbagha5280 2 роки тому +1

    Dear viewers. You are my brothers and sisters in the universality of mankind. Wwe have been created by the same God, who in Islam is called Allah and by Jesus as Elaha in the Aramaic language. Look it up if I am lying. There is only ONE GOD. Muslims love Jesus more than lip-service Christians. We keep a beard like Jesus did. He never ate pork, neither do Muslims. He prostrated to God, like Muslims do. Our ladies wear Hijab, a head-cover, like Mother Mary. If by believing that only through Jesus, you will be SAVED, then what about those prophets and good people mentioned in the Bible who came BEFORE Jesus? They will go to hell? Ask yourself: if the Bible was not tampered with, what is the last name those revelations coming through Paul? Of Mathew? John? Luke? Will you be allowed to travel with a passport without your last name to give your name validity? Think without BIAS. We are monotheists. Let not SATAN lead you to hell my dear. I love you for the sake of the ONE GOD. Please seek the correct way to Heaven.

  • @frankmpembu2505
    @frankmpembu2505 2 роки тому +1

    Waislamu ndiyo Makafiri,,

    • @pamoles1303
      @pamoles1303 2 роки тому

      Wakristo ni makafiri hilo jina halifutiki

  • @barkemohamed4198
    @barkemohamed4198 2 роки тому +1

    Wale wapungufu wa imani ndio watabatizwa

  • @johnmgaya2280
    @johnmgaya2280 Рік тому

    Wapinga Kristo hao

  • @edgarnandonde48
    @edgarnandonde48 2 роки тому +1

    mimi nashangaa waislamu ndio wanaua watu ovyo sijui kwa nini aisee

    • @maherzain615
      @maherzain615 2 роки тому

      Lakushangaza wasiokuwa waislamu wengi wajiunga na uislamu

    • @mwanashaali4863
      @mwanashaali4863 2 роки тому +2

      Na nyie wakristo mnaozini mpaka na vitoto vichanga njoo huku bara uone ndio ujue ukrisro hauna imani

    • @maherzain615
      @maherzain615 2 роки тому +1

      Wakristo maovu yte ya dunia wao ndio wako mstari wa mbele kuyatekeleza kwaajili yesu kafa kwakuondoa dhambi zao

    • @mwanashaali4863
      @mwanashaali4863 2 роки тому

      @@maherzain615 kila mtu atabeba zigo lake mwenyewe Yesu hayajui hayo ya dhambi za watu

    • @maherzain615
      @maherzain615 2 роки тому

      @@mwanashaali4863 waambie wao

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 2 роки тому +1

    Wanaiamini Quran ndio mana wameweka kava ktk Biblia yao 🤔😆.Wanajua Biblia ni utopolo nahaieleweki hawajiamini ktk Biblia. Wallah hawa makafiri Allah ndio atawahukumu hapa Duniani na kesho mbele ya haki.

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 роки тому

    Jifunze quran kusoma kuanfika gusa picha yang hapo kama hautojali

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 Рік тому

    Mazinge muhongo nyama ya ngulue kilo kumi ,Humuwezi ndacha hata upigane vipi ,We umpiganie MUNGU, hizo ndio upotoshadi MUNGU hujipigania mwenyewe

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 роки тому

    Jifunze quran kusom kuandika gusa picha yangu hapo kama hauyojali

  • @chrislunga6624
    @chrislunga6624 2 роки тому +1

    Mazinge dawa yako ni Rev. Dasha amekufunza ukweli kabisa wacha kupotosha watu na story book za mtu aliaslimisha mashetani..

  • @jacksonkilonzo1439
    @jacksonkilonzo1439 2 роки тому

    MUONGO MKUBWA WEWE ATI ULIMKOMESHA NA HUNA HAYA UNAPIGA KELELE TU MBONA NA UKIWA NA YEYE NDACHA KWA DEBATE ANAKUSHINDA . KWA TAARIFA YAKO BIBLIA NDIO YA KWANZA KUANDIKWA KABLA YA QURAN. WEWE NDIO WAFAA UITWE KAFIRI .MKUBWA AMUWEZI TETEA DINI YENU. NI MARA NGAPI AMEKUSHINDA KWA MIJADALA

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 2 роки тому

    Kwa hakika pale Dar Ndacha alinywea kama kamwagiwa maji. Ndacha sio chochote mbele ya Allah ni swala la muda tu. Kuna kafiri aliekuwa anamtukana Mtume Muhammad kama Simbaulanga kule Tanzania? Yuko wapi leo hii Simbaulanga.

  • @frankmpembu2505
    @frankmpembu2505 2 роки тому

    Mazinge acha uongo, Yesu hakuwa Muislamu, mafundisho yake yenyewe yanapingana na Uislamu

    • @abdulhakimhasan7673
      @abdulhakimhasan7673 2 роки тому +1

      Dini ya Kiislamu ni ya Mmungu mmoja . Dini ya Mmungu Mmoja zina kubaliana bila tofauti. Tumia akili yako vizuri .

    • @pamoles1303
      @pamoles1303 2 роки тому +1

      Mafundisho ya yesu yanapingana na ukristo nyinyi mnamfuata paulo

    • @frankmpembu2505
      @frankmpembu2505 2 роки тому

      @@abdulhakimhasan7673 Mimi natumia akili yangu vizuri kuliko wewe. Nenda kausome Uislamu vizuri. Uislamu ni Dini iliyoanzishwa na Mapadri wa kikatoriki (Waraka na Bahira) na Makuhani wa kiyahudi ili kumounga YEHOVA Mungu wa kweli.

    • @frankmpembu2505
      @frankmpembu2505 2 роки тому

      @@abdulhakimhasan7673 Dini ya Kristo niya Mungu mmoja, wa kweli YEHOVA

    • @abdulhakimhasan7673
      @abdulhakimhasan7673 2 роки тому +1

      @@frankmpembu2505Umepatikana ni muongo. Padre Bahira hakuamini Yesu ni Mungu. Dunia walimjua kutoka vitabu vya waislamu. Frank Mpembu ni muongo aliye filisika .

  • @kennah03m
    @kennah03m 2 роки тому +1

    Ati alimkomesha ndacha???😂😂😂laanatullilah innah lillahii mazinge alioga

    • @frankmpembu2505
      @frankmpembu2505 2 роки тому +2

      Waislamu ata mkishindwa huwa hamkubali,, Mazinge hajawahi kumshinda Ndasha,, midahalo aliyofanya na Ndasha hapa nyumbani Tanzania alishindwa na mpaka rafiki yangu Mpemba NURDIN SALEH kauacha Uislamu

    • @kennah03m
      @kennah03m 2 роки тому +1

      @@frankmpembu2505 mazinge hakujibu swali hata moja

    • @frankmpembu2505
      @frankmpembu2505 2 роки тому +1

      @@kennah03m Tatizo la Waislamu, hasa huyu Mazinge,, ata wakishindwa hawakubali kushindwa kazi kujigamba tu. Waislamu wengi wamempokea Yesu apa Tanzania baada ya mdahalo wa Ndasha na Mazinge, Mfano rafiki yangu Nurdin Saleh tena ni msomi wa kipemba, kasomea Uislamu. Ninapo fanya kazi, Waislamu wengi wameuacha Uislamu baada ya mdahalo wa Ndasha na Mazinge hapa nyumbani Tanzania.

    • @maherzain615
      @maherzain615 2 роки тому +1

      Ndacha atakomeshwa na moto wa jahhanam

    • @kennah03m
      @kennah03m 2 роки тому

      @@maherzain615 mazingwe mwenyewe anakiri ndacha ni mkorofi😂😂

  • @dennisgamuya6123
    @dennisgamuya6123 Рік тому

    Africa Ina wakristo pia. Tuheshimu Hilo acheni propaganda potofu.

  • @emanusrubaba3486
    @emanusrubaba3486 2 роки тому +1

    Kafili mkubwa niwewe, umepoteza ujana wako wote kuzunguka kuipinga kweli ya Mungu,

  • @amblozambloz8812
    @amblozambloz8812 2 роки тому

    Mazinge umerobokwa siku mingi sana lakini sasa vaccine yako ako amepatikana ni bibilia Nuru ya Dunia team

  • @jeanmuzaliwa3171
    @jeanmuzaliwa3171 2 роки тому

    mzee uyu amejaa maneno mengi mudomoni ila maandiko amuna.

    • @ibrahimxptv
      @ibrahimxptv  2 роки тому +1

      Hakuna mchungaji asiekua na maneno mengi ila maandiko hawamfiki

  • @moshantoj
    @moshantoj 2 роки тому

    Pastor wabishi na wewe huwa unajipiga kifua na hauna lolote🤣😂🤣😂

  • @monalisalebasoto2538
    @monalisalebasoto2538 2 роки тому +1

    Huyu mazinge hana hoja kabisaaa Hadi aibuuu

  • @monicabh1668
    @monicabh1668 2 роки тому

    Mazinge subiri moto wa milele kwa kupotosha watu,Yesu Kristo ndiye mkombozi wa ulimwengu sio Mohammed mzoga.

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 2 роки тому

    ebana eeee waislam wanapenda kujisifia kwakifupi huyu jamaa keshajihesabia haki 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @fatomhalogandy4045
    @fatomhalogandy4045 2 роки тому

    Astagafirullah

  • @frankmpembu2505
    @frankmpembu2505 2 роки тому

    Mazinge acha uongo, hujamshinda Ndasha wewe,, midahalo uliyofanya na Ndasha hapa nyumbani Tanzania ulishindwa vibaya, na kufanya rafiki yangu Mpemba Nurdin Saleh auache Uislamu

    • @mathewnemes5469
      @mathewnemes5469 2 роки тому

      Huyu mazinge hakuna kitu awezi kushindana na ndacha hata siku moja ameshindwa midahalo yoteee

    • @ibrahimxptv
      @ibrahimxptv  2 роки тому

      Wacheni uongo leteni ushahidi? Tuma link ni wapi Ndacha alimshinda Mazinge?

    • @frankmpembu2505
      @frankmpembu2505 2 роки тому

      @@ibrahimxptv We kweli kilaza, angalia midahalo yote kuanzia hapa hadi huko Kenya, hakuna mahali Mazinge kamshinda Ndasha.

    • @frankmpembu2505
      @frankmpembu2505 2 роки тому

      @@ibrahimxptv Ni wazi ata midahalo ya Ndasha aliyofanya na Mazinge huifuatilii wewe

    • @ibrahimxptv
      @ibrahimxptv  2 роки тому

      Duh eti kilaza? Kwanini Ndacha amekataa mdahalo na mimi?

  • @danieljoseph8758
    @danieljoseph8758 2 роки тому +1

    666 mkubwa na kama kweri yesu kristo ndie atakae ludi kuuhukumu ulimwengu mazinge you will receive your payment trust me

  • @samwelmwasomola2457
    @samwelmwasomola2457 2 роки тому

    Ulishindwa acha uwongo,Ndacha anatoa ushahidi we ni maneno mengi tuu yasiyo na maana.

    • @luluamin1388
      @luluamin1388 2 роки тому +1

      Wakristo wakisikia maneno yakiarabu basi wanadhani ni quran. Ndacha anawadanganya tu! Shida hamusikilizi na hamujui

    • @زينبعليعبدالله-ز3س
      @زينبعليعبدالله-ز3س 2 роки тому

      @@luluamin1388 😂😂Kweli kabisa

  • @frankmpembu2505
    @frankmpembu2505 2 роки тому +1

    Mazinge acha uongo, Yesu ni tajiri Namba Moja Duniani
    Mathayo 17:27
    27 Lakini tusije tukawakwaza, enenda baharini ukatupe ndoana, ukatwae samaki yule azukaye kwanza; na ukifumbua mdomo wake utaona shekeli ichukue hiyo ukawape kwa ajili yangu na kwa ajili yako.
    Yesu anatoa ela ndani ya Samaki, Yesu kulala nje haina maana kuwa yeye ni Maskini, ni kujishusha tu. Mfano tajiri Mohammed Dewji, huwa anapandaga bodaboda kwenda kazini, Je yeye ni Maskini?

    • @abdulhakimhasan7673
      @abdulhakimhasan7673 2 роки тому

      Wacha kubabaika . Hawa Masheikhe waliokuwa wakristo wakubwa wa makanisa .

    • @frankmpembu2505
      @frankmpembu2505 2 роки тому

      @@abdulhakimhasan7673 Sasa Kwa hiyo kama walikuwa Wakristo, mbona Pastor ISMAIL alikuwa Mufti mkubwa sana katika Uislamu.

    • @frankmpembu2505
      @frankmpembu2505 2 роки тому

      @@abdulhakimhasan7673 Nyie Ndiyo mnababaika, Wakristo hatubabahiki sisi, Wala hatuna pressure. Huyo Mazinge ni muongo,

    • @pamoles1303
      @pamoles1303 2 роки тому

      @@frankmpembu2505 ww ni muongo Sana kwann wakristo mnakuwa hivi eti kajidai rafiki yake mpemba kaacha uislamu nimecheka kwa sauti we mpemba gani utamfanya awe kafiri acheni uongo

    • @frankmpembu2505
      @frankmpembu2505 2 роки тому

      @@pamoles1303 Mimi ndiyo kafiri, namkafiri shetani na Dini ya Kiislamu,,,

  • @sankofaman4112
    @sankofaman4112 2 роки тому

    Mijitu myeusi inabishania dini za watu weupe eti ipi bora?😆😆😆. Kwenye hii dunia hakuna cha uislamu wala ukristo, kuna weupe, weusi, wekundu.....

    • @AliDiamond68
      @AliDiamond68 2 роки тому +1

      Huo ni ujinga uliopindukia haya abudu sanamu Sisi tunaabudu Dini ya Alie hai Mungu haangalii rangi

    • @beccaacro6193
      @beccaacro6193 2 роки тому

      Dah Mungu akusamehe tu wallah Sankofa pumzi inakuhadaa ivi ushawahi kujiuliza hio pumzi unayoringia ikikata atakae kusaudia kurudisha ni nan

    • @sankofaman4112
      @sankofaman4112 2 роки тому

      @@beccaacro6193 mimi sijapewa pumzi na mungu wa watu weupe. Na wala sijasema kuwa hakuna Mungu lakini tafsiri yako na yangu kuhusu ni yupi mungu wangu haziwezi kulingana sababu yule unayemuabudu wewe sie yule ninaemuabudu mimi. Halafu nawaona kama hamna akili sawasawa. You are scared of upsetting the white man in your brains. Hivi mungu aliniumba nije nimsubiri mzungu na muarabu waje wanifundishe mimi jinsi ya kumuabudu wakati sisi tulikuwepo kabla yao?

    • @sankofaman4112
      @sankofaman4112 2 роки тому

      @@AliDiamond68 sidhani kama una utashi wa kufkiria vizuri. You are just a mental slave of the white people. My God is not white and He is alive.

    • @beccaacro6193
      @beccaacro6193 2 роки тому

      @@sankofaman4112 we c muislam wala c mkristo sasa kilichokufanya uingie na ucoment nini we bak na huyo unaemuabudu achana na dini za watu mwisho wa cku cc sote kaburi linatuhusu

  • @jeanmuzaliwa3171
    @jeanmuzaliwa3171 2 роки тому

    acha kupotosha watu ww maandiko ahuna kwanza kafiri mkubwa ni ww.

  • @kelvinsanga2907
    @kelvinsanga2907 2 роки тому

    Hana lolote huyo Ndacha ndio kiboko yake

  • @benjaminmwilaria1145
    @benjaminmwilaria1145 2 роки тому

    Hata ukizunguka itabindi uokoke

  • @ruu6592
    @ruu6592 2 роки тому

    Kwa nn utake bibilia liwe Kama Quraan ukafir una balaa

  • @dennisgamuya6123
    @dennisgamuya6123 Рік тому

    You will fail big time

  • @charlesjoseph2092
    @charlesjoseph2092 2 роки тому +4

    Mazinge hana chochote, ndacha kiboko ya waislam anawabatiza saana

    • @ibrahimxptv
      @ibrahimxptv  2 роки тому +3

      Kwanini huyo Ndacha anahepa mialiko yetu? Tutafika huko huko anakoenda.

    • @charlesjoseph2092
      @charlesjoseph2092 2 роки тому +1

      @@ibrahimxptv mjipange maana anatisha kama ukoma yuko vizuri saaana kwa hoja

    • @fatmaabdilahi1007
      @fatmaabdilahi1007 2 роки тому +1

      @@charlesjoseph2092 ndacha Hana hoja hata moja.

    • @charlesjoseph2092
      @charlesjoseph2092 2 роки тому +1

      @@fatmaabdilahi1007 uongo

    • @mangeraalbert7982
      @mangeraalbert7982 2 роки тому +2

      Ndacha analolote kwa mazinge na ex pastor wetu.

  • @frankmpembu2505
    @frankmpembu2505 2 роки тому

    Wabishi akina nani? Yeye na nyinyi Waislamu ndiyo wabishi,, kuanzia hapa nyumbani Tanzania hadi Kenya hajawahi kumshinda Ndasha na wenzake.

    • @maherzain615
      @maherzain615 2 роки тому

      Nyie warongo mbna munaeka kava ya Qur'an kwa biblia?

  • @paulnyakxx
    @paulnyakxx 2 роки тому

    Na mtabatizwa sana kama huyu tu ndo mnamtegemea. Someni mjue ukweli, na ukweli utawaweka huru

    • @ibrahimxptv
      @ibrahimxptv  2 роки тому +1

      Tunamtegemea Mwenyezi Mungu ndio maana ma Pastor wanasilimu

    • @paulnyakxx
      @paulnyakxx 2 роки тому +1

      @@ibrahimxptv uzuri Ndacha huweka debate zake live. Na hoja zake zilikuwa za kweli na wazi. Itakuwa kazi ngumu kumnyamazisha

    • @jeanmuzaliwa3171
      @jeanmuzaliwa3171 2 роки тому +1

      @@paulnyakxx kabisa uyu mazinge iko full maneno mudomoni ila maandiko amuna kbs

  • @kennah03m
    @kennah03m 2 роки тому

    Ubaya wa uislamu ni propaganda pekee yake mbona umuite kafiri mara mkorofi si kama una hoja umsilimishe ndo tujuee unaweza hamna lolote waislamu ni mdomo tuu

    • @luluamin1388
      @luluamin1388 2 роки тому +2

      Wakristo wanatengeneza bibilia na kuita quran ana kweli hamuna dini bali kampeni za kupotosha watu

    • @kennah03m
      @kennah03m 2 роки тому

      @@luluamin1388 unajua kwamba quran imeliwa na mnyama wa kufuga??

    • @luluamin1388
      @luluamin1388 2 роки тому +2

      @@kennah03m Najua imeliwa na mnyama asiemjua Mungu. Jina lake anaitwa kennah.

    • @kennah03m
      @kennah03m 2 роки тому

      @@luluamin1388 hahaha mwanzo wa kabisa wa qurani kwa kiarabu imeandikwa al quran al hakim kwa kiswahili quran tukufu aliyegeuza nani??

    • @kennah03m
      @kennah03m 2 роки тому

      @@luluamin1388 kabisa usisahau mtume wako alirogwa kabisa alipewa sumu na hafswa akafa yuko madina ameozaa

  • @ommy_sborn
    @ommy_sborn 2 роки тому +2

    Masha Allah